KWA MARA YA KWANZA WANANCHI WAELEZA JUU YA KAMANDA KATABAZI, TULIONA NI BABA YETU, SERIKALI ITUSIKIE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 136

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 25 днів тому +20

    Hongera afande katabaz ❤ni adimu sana kuona askari kama huyu, ni wachache mnooo. Mungu akubariki sana.

  • @HamisDaud-i8r
    @HamisDaud-i8r 25 днів тому +17

    Ukiona wana ichi wana sifu jeshilapolisi ujuwe kuna kamanda kwelikweli sasa katabazi aondoke manyara katabazi ni kiongozo mchapa kazi manyara ijawai kutokea hongea katabazi

  • @richardmushi-lj6tb
    @richardmushi-lj6tb 25 днів тому +14

    Katabazi nikiongozi wapeke sana mwema sana kwanini haondole wafanya bishara sasa atuta lala uvunjaji utaludi tena tumekwisha selekali tuna omba sana abaki kwausalama wetu mbona katabazi anajituma sana

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 25 днів тому +26

    Mkuu asante sana kwaniaba ya manyara nzima mungu akulinde uendako ila ikimpendeza rais uko mbele ya safari akupe nafasi ya ukuu wa mkoa unaweza sana

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 25 днів тому +17

    Mungu akubariki sana RPC....tunaiomba serikali itusikilize wananchi.

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 25 днів тому +23

    Mika Ndaba unatangaza vizuri sana asante. Ila tu elewa kuwa neno " aghalabu" unavyolitumia si sahihi. Maana yake sanifu ni "mara nyingi"(often) lakini wewe unalitumia kama vile kina maana "ni nadra sana" (seldom ) . Tumieni kamusi watu wetu.

  • @PongezZablon
    @PongezZablon 25 днів тому +11

    Manyara tumekwesha Kama katabazi hakiondoka madawa yakulevya yataludi katika mitaa yetu rushwa uonevu uvunjaji katabazi kiongozi wetu mwema Sana

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 25 днів тому +7

    Kamanda katabaziiiiiii ni mtu na nusu inseeee❤❤❤❤❤❤

  • @JesseSix-fq5xe
    @JesseSix-fq5xe 25 днів тому +13

    Tanzania yetu tuna ipenda sana sijui tatizo nn viongozi wazuri awa Takiwi mwacheni huyu kamanda aende leze kazi

  • @YonikeSawe
    @YonikeSawe 25 днів тому +8

    Katabazi kiongozi mzuri katusaidia sana watu kupata elim kwaza ilitusi vunjeshelia pia kunishirikisha naviyendo vyakialifu ukatili wakijisia

  • @Lascobizz-dv1xu
    @Lascobizz-dv1xu 25 днів тому +8

    Rpc Manyara kafanya kazi sana kumebadilika sana vibaka madawa rushwa uonevu kashiliki katika shuuli zakijamii sana na penda sana kuwapa watu Elim

  • @nassorowaziri3076
    @nassorowaziri3076 25 днів тому +12

    Hongera Sana Mh Katabazi

  • @SadySadiki-d8k
    @SadySadiki-d8k 25 днів тому +12

    Katabazi nikiongozi mwema.sana.kafanya megi sana.yakupendeza kama manyara kuna bahazi.ya mitaa ilikua gumzo.kwamadawa.naukatili wakijisia.kubakwa watu naulifu mkubwa ila.yeye.kaweza.kumaliza.kama.mtamtowa manyara.wimbi laulifu.na.madawa yakurevya yanarudi tena.kwa.sababu viongozi.wegi.walishindwa.kumaliza.katabazi. ni wapeke.sana..IGP tuna.omba sana.tuachie.katabazi.wetu

  • @jasonwatz7457
    @jasonwatz7457 25 днів тому +13

    Hivi ndio namna kiongozi anatakiwa aache alama, sio masifa

  • @williamssempoli2294
    @williamssempoli2294 25 днів тому +12

    Atakuja mwingine, atafuata nyayo zake hapo. Muache akatumikie sehemu nyingine, Tanzania ni kubwa hii!

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 25 днів тому +17

    Kwer kabisa katabaz kaz zake mzr xinaonekana alaf mpole sana baba wawatu mungu ampe umri mrefu

  • @AlphoncePotel
    @AlphoncePotel 25 днів тому +21

    Maafande kamahawa ndowana hitajika tanzania ninampongeza sana RPC kwakuishi vizuri na wananchi kama laia wakawaida.
    Hukukwetu maafande wanaogopeka sana

  • @Bongovillagex
    @Bongovillagex 25 днів тому +5

    Wamuache mbn mtu akishatengeneza alama kwa wananchi anakuwa kikwazo anaondoshwa na jina kupotea lkn kwa huyu kamanda popote atakapoenda basi ataacha alama

  • @kasimramadhani1502
    @kasimramadhani1502 25 днів тому +13

    Katabazi ni mfano mwema,,,,mungu akupe maisha mema

  • @BashiruSaid-o4s
    @BashiruSaid-o4s 25 днів тому +7

    KATABAZi katusaidia megi sana manyara kwamda mfupisana tuachieni KATABAZi kiongozi bora sana Tena madawa yataludi kwani haondoke kasapoti michezo kwa vijana kajega dalaja tuhambieni Kuna RPC kamauyu Rais tuna kuombasana IGP fanyeni kitu kwa KATABAZi habaki manyara

  • @AlexJr-s7d
    @AlexJr-s7d 25 днів тому +7

    Vijana wengi walialibika madawa naulifu vituoni zamana ilikuja nigumu mtu kupewa mitaa ilinuka ulifu gogo ubakaji rushwa rpc katabazi kufika kwake manyara tulipona majaga mengi katika mitaa yetu tunaomba selekali watu hachie katabazi wetu tuna mpenda sisi kwetu ni baba nakiongozi bora

  • @sophiaamnaay9726
    @sophiaamnaay9726 25 днів тому +16

    S aamua nakuomba imwachie kijana wetu G. Katabazi
    Rais mwache Katabazi abaki Bahati Manyara. Wananchi wa Manyara bado tunahitaji.

  • @PeterSadala-k4p
    @PeterSadala-k4p 25 днів тому +11

    Mnatuvunja sana moyo kwakutuondolea katanazi kwani kuwamzalendo nakujituma kwake nikosa kisaidia watu nakupenda maendeleo nivibaya tunaomba sana selekali tuachieni katanazi wetu katuokowa madawa uvunjaji ubakaji rushwa nikiongozi bora sana manyara kafanya tukapenda jeshi lapolisi mama samia rais wetu tuna kuomba tuna kuomba sana tuachie rpc wetu

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 25 днів тому +8

    Amekua mzurii kama Afande mwabulambo mponjori Akupenda uonevu uko uliko mponjori Amani ya bwana iwe juu Yako na uzao wako lakini Awadhi Lana iwe juu yake na uzao wake Atakua kama MTU asiye na makazi Dunia na mabalaa yote yamkute Maradhi makubwa

  • @muksinimbaruku1233
    @muksinimbaruku1233 25 днів тому +13

    Mpeni congole huyu jamaa ana passion na kazi yake.

  • @MARIAMUBAJUTA
    @MARIAMUBAJUTA 25 днів тому +14

    Hongeraaa sana kwake

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 25 днів тому +13

    Huyo anarohonzuri ndivyoalivyo. Roho yamtu aiigwi. Mwenyerohombaya anarohombayatu kunadilika ni shida. Mungu amlinde naampe Afya njema

  • @user-ky7mz7qh1o
    @user-ky7mz7qh1o 25 днів тому +17

    Mungu akupe Maisha marefuu rpc katabazi

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 25 днів тому +5

    Hizo ndo tabia mbaya hawataki maendeleo, na utulivu na amani wakiona mtu anafanya vizuri wanamuondosha, hawapendi uhalifu uishe

  • @MrRaphaelNextLevel
    @MrRaphaelNextLevel 25 днів тому +5

    Kama kuna kamanda alifika manyara harifanya kama katabazi ndomana mwana ichi wana piga kuondoka kwake katabazi huyu nikiongozi bora sana

  • @judahshauri126
    @judahshauri126 25 днів тому +5

    uyu kamanda ni WA tofauti sana na nimfano waku igwa katika jamii na askli pia manyara kumpoteza kamanda kama huyu nipigo kubwa tuna omba IGP mtu bakizie kamanda katabazi manyara

  • @RobinMalya
    @RobinMalya 25 днів тому +8

    Kila akija kiongozi mzuri ana ondolewa imanyara lini viongozi wachapa kazi wata dum

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 25 днів тому +18

    HIII IIGWE NA MA RPC WOTE TANZANIA.... MFANO BOOORA KABISA ....

  • @user-sv6zy3hc8o
    @user-sv6zy3hc8o 25 днів тому +10

    Bada mashaanza anza kumsifia hivi hafiki mbali japo siombi ila waswahili wanasema ngoma inayo vuma sana ikokalibu kipasuka

  • @KhadijakassimMwaipaya
    @KhadijakassimMwaipaya 25 днів тому +3

    Mashaalah.mungu ambariki.jiukweli

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 25 днів тому +24

    Mmeshaharibu Yani watamtoa hapo hamtaamini tena mchana kweupe Sina Imani na serekali yangu🙌😂😂

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 25 днів тому

      Yaan vilw wananchi wanavyo vitaka ndio wanafanya kinyume

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 25 днів тому

      😂😂😂

    • @Boniphaceshayo5
      @Boniphaceshayo5 25 днів тому

      @@cheiknamouna2058 🤙😂

    • @merygodfrey3709
      @merygodfrey3709 25 днів тому +1

      Nampa hingera sana kwa Afande wangu Katabazi.Nyita njema huonekana asubuhi Hata mimi nilipolazwa Muhimbili kwa wakati wake akiwa DSM alinisaidia sana sana Mungu ambariki ampe kuishi kwema huko aendako.

    • @evalinemalole6709
      @evalinemalole6709 24 дні тому

      😂😂

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 25 днів тому +22

    Hongera saaaana kamanda perfect 💪🏽👊🙏🏼
    Tunahutaji makamanda wa hivyo👍

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 25 днів тому +4

    Mimi sijawai kupenda polisi hatasi sikumoja ila kupitia katamba nikingozi wake. alienivutia sana. Halivyo fika manyara alihaza kutowa elim kwajamii nakushilikia na jamii kwene kwene mambo mbalimbali kasapoti vijana michezo katowa bima kwa watu wene maitaji mahalum kapambana na ukatili wakijisìa madawa ya kurevya naulifu kwene mitaa yetu ijawa ikutokea watu wakapenda polisi ila katabazi kafanya tumependa jeshila polisi kwamala yakwaza ni wamfano sana katika mkoa wetu

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 25 днів тому +13

    Duuh RPC huu ana pendwa na wanaichi aisee

  • @Sengakarera
    @Sengakarera 25 днів тому +3

    Hongera sana kamanda

  • @FahmiNassor
    @FahmiNassor 25 днів тому +4

    Sijawahi kuona wananchi wakitamani kuishi na police kama hivi kweli kabisa ni mtu mzuri ma RPC igeni mfano huo siyo mkunje sura tu masaa yote angalieni mwenzenu katabazi watu wanamlilia wengine mkihamishwa watu wafurahi na kuwalani igeni mfano wa KATABAZI

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 25 днів тому +12

    Pole sana wanamamyala huyo kijana kweli anaroho ya mungu ndani yake tumemuona sijaona km katabasi abarikiwe sana

    • @user-ow3lc6lk9p
      @user-ow3lc6lk9p 25 днів тому

      Usimfananishe Mungu na chochote nafasi yake ibaki kuw ya kipekee na jina yeye pekee ndiye anayestahiki sifa njema zote so plz usirudie.tena

  • @KhalifaHassan-v5r
    @KhalifaHassan-v5r 25 днів тому +4

    Wauza madawa wanashelehe sasa vijana wataludi kulekule kuvuta madawa ujambazi selekale tunaomba sana mwacheni katabazi mtu wakazi afanye kazi manyara ili tuendele kubakisalama kwa sababu viongozi walio pita walishindwa kuzibi yeye kaweza

  • @HazidatiHamisi
    @HazidatiHamisi 25 днів тому +4

    Kuna watu wananiya njema nataifa letu kabisa na viongozi wazalendo wachapa kazi waminifu wapenda watu wauza madawa kometizao nikupiga nakuoma polisi wabaya katabazi ni wetu tuna mpenda sana uyu nimtu mwema sana

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c 25 днів тому +9

    Muheshimiwa katabazi sisi hatuko manyara lakin kwa sasa dunia ni kitongoji sifa zako zimefka mbali sanaa hongera mnoo tunaposema polis wengi ni wabaya haina maana ni wote ww umekuwa mfano wakuigwa hongera sana kamanda wetu nataman siku moja mungu akuinue uwe I G P

  • @MbwanaMbaga
    @MbwanaMbaga 25 днів тому +4

    Kaz yaupolis kwakeniwito ilakunawameingia jeshilapolis kwakufelimipangomingine haonikerokwananch

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 25 днів тому +11

    Askari jifunzen Kwa afande katabaz na sio kujijengea chukiekwa raia,,one leo katabaz analiliwa na raia abaki 🎉🎉

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 25 днів тому +11

    Hivi Tanzania homeland yangu wapo watu hawa kweli,, maajabu kweli polisi🙄

  • @Omar-g3x6o
    @Omar-g3x6o 25 днів тому +4

    Rpc katabazi nimzalendo sana kafanya mengi chuki na wivutu kujituma kwake watu hawapendi sasa wauzaji wamadawa ya kurevya wanafulai nawavinjaji waturudi tunaomba tuachie rpc wetu

  • @EliassMjema-px5gl
    @EliassMjema-px5gl 25 днів тому +3

    Rpc manyara nikiongozi wafano IGp tuomba fikiria Tena manyara itarudi kurekure kwa madawa ujambazi rushwa ubakaji nakupolwa watu katabazi tuachieni Hawa nyooshe walifu sasa.wauza madawa shagwe manyara

  • @KhalidKhalid-uw6rz
    @KhalidKhalid-uw6rz 25 днів тому +7

    Katabaza kafanya megi mazuru

  • @autorashautoelectrician2205
    @autorashautoelectrician2205 25 днів тому +3

    Sasa wazee mkuu wa police safi kabisa sasa mbona nyie wananchi tena mnabaka nakuchinjana tena au awo wakorofi watokea mikoamingine

  • @officialclamaxwaytz2827
    @officialclamaxwaytz2827 25 днів тому +4

    Kundi la vijana wengi wata teketea Kwa madawa yakurevya maana alivyo kuepo hali ilikua shwali sasa chombo kita kwenda mlama mji Mkoa ulikua ume tulia kabisa Amani muda wowote unatembea bila wasiwasi

  • @gracewilliam4102
    @gracewilliam4102 25 днів тому +8

    Katabazi wambakishe wanampeleka wapi manyara imekuwa vizuri mno

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 25 днів тому +9

    Apewe ukuu wa polisi wa jeshi la polisi Tanzania asafishe jeshi la polisi waache ukatili a

  • @MilloWamilonga-ft8ir
    @MilloWamilonga-ft8ir 25 днів тому +2

    Kwa nini Katabazi aliondolewa? Mmejiuliza au mnaropoka tu?
    Serikali ina uono wa mbali sana kuliko akili zenu.

  • @barakamagai0005
    @barakamagai0005 25 днів тому +3

    Katabazi mchapa kazi Sana

  • @victoriarwerengera4831
    @victoriarwerengera4831 23 дні тому

    Yaani...🙏🙏 Sijawahi kusikia sifa kama hizi zikienda kwa binadamu aliye hai....naona huyu afande K....ni wa.tofauti.....Hongera mdogo wangu...Mungu akutunze , akulinde na kuendelea kukuongoza ktk njia zako

  • @HussainMaula-wr5co
    @HussainMaula-wr5co 25 днів тому +2

    Raisi hapa huna budi kumrejesha kiongozi ambae wananchi wanamuhitaji kwa kua hayo ndio miongoni mwa mambo unayotaka .

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats 25 днів тому +4

    Huyu nimempenda kwa kweli na ukimkagua lazima utakuta amesoma. Sio hao police wengine vibaya wa lasaba B kumbaf zao.Huyu alifaa awe IGP maana ataambukiza hayo anayoyaishi chini yake.

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 25 днів тому +3

    Hana tabia Kama ya nyerere

  • @Goodluckjackob-pm5dz
    @Goodluckjackob-pm5dz 25 днів тому +2

    Mnatu vunja moyo wana manyara

  • @InnocentMakund
    @InnocentMakund 25 днів тому +1

    Kila akiletwa mtu mzuri na mchapa kazi Wana muondoa Sasa tuna taka viongo wa aina Gani manyara mnatu katisha tamaa Wana manyara

  • @youngyuzzo
    @youngyuzzo 24 дні тому +3

    ijawaikutokea wanaichi kupenda polisi Ila katabazi kafanya Wana Wana manyara kupenda polisi nakushilikiana kubaini warifu kwene mitaa Kata Paka wilaya .Nakufanikisha RPC ni jembe

  • @johnkuzwa3950
    @johnkuzwa3950 25 днів тому +1

    Kujitoa kwake kumetafsikiwa Kama mbio za kisiasa ktk teuzi

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 25 днів тому +3

    wananchi wanafiki si ndo hawa aliwabeba mabegani wamefunga barabara kisa mtoto kuchinjwa

  • @Omar-g3x6o
    @Omar-g3x6o 25 днів тому +1

    ❤Q❤❤

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 21 день тому

    Mhe. Katabaz Mungu akubariki sana kamanda wetu.

  • @SamwelLaiza-j3o
    @SamwelLaiza-j3o 9 днів тому

    Afande Rpc katabazi hongera kamanda kwa utendaji mzuriiii na unaopendeza kwa Mungu na kwa wananchi uliotutumikia hakika manyara tunashukuru

  • @ramadhanibahati2829
    @ramadhanibahati2829 23 години тому +1

    George katabazi, ni kiongozi Bora, anastahili

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 25 днів тому +5

    Ukioa hivyo ujue wanamtoa ili walete wezi wenzao, 😂😂😂

  • @solomonmsomba1677
    @solomonmsomba1677 25 днів тому +1

    Sasa twende Mbeya. Anahamishwa kwa sababu hajafanya kama Mbeya.

  • @JackKanyigo
    @JackKanyigo 22 дні тому

    Saf sana Afande mungu akubaliki sana

  • @fordmasnyenga_kiuyangulyri7409
    @fordmasnyenga_kiuyangulyri7409 24 дні тому +1

    Rpc kafanya mema sana manyara kama kupambana na madawa naukatili wakijisia

  • @Paulogapcho
    @Paulogapcho 24 дні тому +1

    katabazi kafanya mengi sana mazuri manyara ija waikutokea

  • @zephanialuangwaeliatosha9723
    @zephanialuangwaeliatosha9723 24 дні тому

    Hongera Sana kiongozi

  • @EckeyJonas
    @EckeyJonas 25 днів тому +1

    wauza madawa na walifu wana fulaisana kwa sababu katabazi hajawapa chasi kabisa ariwabana sana. wakijalibu wamekamatwa ukute hata ninjama zao haondoke ili wafanye yao

  • @RenatusMatungwa-o7c
    @RenatusMatungwa-o7c 7 днів тому

    Hongera sana

  • @alanmwijarubi
    @alanmwijarubi 24 дні тому

    Namfaham huyu kamanda, japo siishi Manyara ila naamini yanayosemwa ni kweli. Huyu mtu ana hofu ya Mungu ndani yake ndiyo maana anafanya kazi Kwa kujali watu wake kwanza. Ombi langu Kwa viongozi wetu wote, wawe na hofu ya Mungu ndani yao, mtu mwenye hofu ya Mungu hawezi kuwapuuza au kuwaonea watu walio chini yake.

  • @TatuJuma-c8u
    @TatuJuma-c8u 24 дні тому +1

    Kuna watu muna madili yenu ndomana una furai ndomana mnakometi vibaya urimpate na fasi yaku uza madawa magendo yenu sasa muna furaha sana

  • @TatuJuma-c8u
    @TatuJuma-c8u 24 дні тому +1

    Katabazi ni kiongozi bora sisi ndotunajua nyinyi mnaopiga munayenu na chuki zenu hapendagi viongozi wachapa kazi wakataha rushwa wapiga mabaya kusapoti jamii nyinyi hamjui kulivo kua

  • @MbwanaMbaga
    @MbwanaMbaga 25 днів тому +1

    Askarikamahuyu ajengewe sanamu

  • @user-fk2xe3gb2s
    @user-fk2xe3gb2s 25 днів тому +1

    Huyu nimtu sanaa

  • @AbasiAdam-y9g
    @AbasiAdam-y9g 24 дні тому

    Katabazi nikiongozi Bora Sana kwetu manyara madawa walifu wali pata shida Sana

  • @machibyandaji
    @machibyandaji 24 дні тому

    Warifu wenechuki wauza madawa navibaka ilijambo wamependa sana wene kupenda kazizuru najuudi zakamanda katabazi tujaenda kabisa wagetuachia baba yetu

  • @SarahsimonKarani
    @SarahsimonKarani 23 дні тому +1

    Katabazi nikipezi chawatu

  • @godwinmbwambo3316
    @godwinmbwambo3316 22 дні тому

    Apewe u IGP❤❤

  • @MwinyihojaMwinyikombo
    @MwinyihojaMwinyikombo 25 днів тому +1

    Uyu nikamanda

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 25 днів тому +1

    Awapi police ni police tu acheni kubwabwaja kwasababu ya unga

  • @kibwanakillua-fv2xn
    @kibwanakillua-fv2xn 24 дні тому

    HII NDIO MAANA YA KUWA POLISI SIO HAO WAPENDA RUSHWA NA KUVIZIA MTU AFANYE KOSA...HONGERA KATABAZI ASKARI WENGINE JIFUNZENI KATIKA HILI""

  • @zephanialuangwaeliatosha9723
    @zephanialuangwaeliatosha9723 24 дні тому

    Tuna penda kuskia sifa zanamna hii kwawananchi hususani Kwa watumishi wajeshi la polisi

  • @CHEMBATV_
    @CHEMBATV_ 25 днів тому +3

    Apewe Mkoa tu huyu jamaa

  • @flaviankiria8251
    @flaviankiria8251 21 день тому

    Mungu azidikumbariki huyu katabazi nani mfano mzuri kwa wengine

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 24 дні тому

    hatimaye magufuli wapo wengi..pongez kamanda kwa UPENDO wako kwa wananchi

  • @AbbasKarim-i9r
    @AbbasKarim-i9r 23 дні тому

    Katabazi ni baba nakiongozi bora sana manyara hatuta msahau

  • @SilvestaSechu
    @SilvestaSechu 25 днів тому +2

    Hengera Sana katabazi wewe Ni wamfano

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 25 днів тому +4

    Ila katabaz angepewa ukuu wa mkoa tu anakipaji kikuwa sana cha uongozi

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 25 днів тому

    Achane sias huo ni uamisho sio Kila mtu anakaa hapo eti kisa anakuwa karibu na wananchi eleweni Hilo ni jeshi

  • @TatuJuma-c8u
    @TatuJuma-c8u 24 дні тому

    Sikuzote kiongozi hakifanya mema kuna watu hawapendi rais wetu tuna kuomba katabazi habaki ili wauza madawa wasipate nafasi kualibu vijana

  • @MohamediSalim-e8t
    @MohamediSalim-e8t 24 дні тому

    Kometi mbaya nizawale wale wauza madawa walifu wenekutambua kazi ya katabazi hawapende kabisa katabazi kuondoka manyara