NABII MSWAHILI SERIES Episode 13 - Madebe Lidai, Havit Makoti (New Bongo Movie)
Вставка
- Опубліковано 5 вер 2024
- Nabii Mswahili Series Episode 13 - Madebe Lidai, Havit Makoti (New Bongo Movie) Madebe Lidai
Episode 1: • NABII MSWAHILI Part 1 ...
Episode 2: • NABII MSWAHILI Part 2 ...
Episode 3: • NABII MSWAHILI Part 3 ...
Episode 4: • NABII MSWAHILI Part 4 ...
Episode 5: • NABII MSWAHILI Part 5 ...
Episode 6: • NABII MSWAHILI Part 6 ...
Episode 7: • NABII MSWAHILI Part 7 ...
Episode 8: • Madebe Lidai - NABII M...
Episode 9: • Video
Episode 10: • NABII MSWAHILI SE1 Epi...
Episode 11: • NABII MSWAHILI Series ...
Episode 12: • NABII MSWAHILI SERIES ...
Subscribe to Madebe Lidai Movie Channel Here: bit.ly/2MVPITK
Madebe, Madebe Lidai, Nabii, Nabii Mswahili, LP Media, Bongo Movies, Tanzania Movies, African Movies, Swahili Movies, New Bongo Movie 2021, Nabii Mswahili Series, Bongo Movie 2021
Hongera saana MADEBE LIDAI kwahakika Filamu yako imenipa funzo kubwa sana maishani. Haswa uliposema "ukiendelea kufikilia kilicho kuumiza utaumia zaid lakini ukichukulia kama funzo utakua imara" Ubalikiwe Madebe. endelea kutuelimisha vijana wa leo.
Madebe unajua bro
Ll
Madebe Asante lkn kumbuka wakenya twakupenda Sana wewe kama hayati wetu magufuli una mafunzo mengi Sana na umenifanya nimekuwa star pia hongereni nyote watz
huyu jamaa anajua sahna
Wewe kama kaka mkubwa
"Usipoheshimu kumbukumbu za ulipotoka Ipo siku utapotea unapoenda," ...... mwanamke akikuchukia ana uwezo kukunyima mtoto aliyetumboni, na pia akikupenda anaeza kukupa mtoto wa mwanaume mwingine. Asante nabii mswahili nimejifunza.
Eeeeeeh bhanaaaaaaaaa eeeeeeeeh bro madebe salute kwako unatisha km njaaaaa
Ongera sana nabii mswahili kwa filamu zako za mafundisho ya maadiri hata vitabu takatiifuu vya mwenyezi hivyo
Suphian itaso kutoka kondoa Mondo madebe lidai yup vizur ukiwa muulewa Zaid au ukiwa na akil za ziada
Nimewai like kwangu I love u madebe
Ukiganda ganda wew acha mawazo yatembee....aisee madebe kaka n hatr
Nimejifunza mengi sana hasa kuhusu NDOA. Ahsante sana Mr madebe
Nimepata somo asanteeeeé MADEBE Mungu akuzidishie
iko pow sana
Asante kwa filamu mzul madebe unajua sana yan ongea sana endelea kutuletea filamu mzur.
Kaka Madebe nimeupenda sana ubunifu wa filamu zote unazotuelimisha kwazo.....Hongera sana Kaka big up
Nakukubali sana bwana nabii napenda sana movi zako
😂😂😂😂😂😂madebe una ujinga kweli unavyo mcheka sungura😂😂😂😂😂😂😂😂
Madebe mwalimu wangu nakupenda sana na mafunzo yako mema, namuomba Mungu akujalie mazuri na maisha marefu
Makofi kwa madebe jamanii na like
👏👏👏👏👏
Uko vizuri sana natamani kuigiza na wewe
Kwa kweli napenda filamu zako siko na ukweli kabixaaa
Nimejifunza kitu hapa,hongerasana ndugu
More of this and more, pia endeleza tamthilia ya matusi
Daaah nabii ujamfanyia haki sungura
Hongera kaka inshaalla akuinuwe mwenyezi.
Hongera sana sana sana Mwamba wa(______) Madebe Lidai
Napenda sana ushauri wako madebe
Thanks for your advice to young generation and the All community,,,keep up
We unhurt JH i9harm j
Èpl
Ylk
Safisana nabii muswahili
Kama walishindwa kukuona wakt unawaita watawezaj kukusikia wakt unawaangalia daaah sijui ata ulikuw na maan gani apa lidai
I like usemi wake nambii mswahili kwa kuwa unanifunza sana
Madebe we ni hodari was misemo zenye mafunzo kweli, Mimi in Michael Ndege
Jambo Nabii,Niyeleweshe ikiwa mwanamke ni MSUNGO , je MUME aitue vipi?kwa tathmini za hulka.miye no Michael Ndege was Nairobi
Nice message received
Nampenda sana muv zako
Madebe kama madebe ni 🔥 Asante kaka
ok poa kakaa
sawa nimeelewa Sasa Kuna mwendelezo au
Taifa limeachwa na majonzi na ukiwa mkubwa kwa kuondokewa na kipenzi Cha watanzania jpm. Du
Funzo timam kabisa nakkubal madebe.mungu akuongezee bidii ktk kaz yko!!
GREAT GREAT LIDAI MADEBE KAZI NZURI
My all time mentor 10:20pm
Upo sawa kabisa
Ongera kaka
Kazi safi sana hii
Nimeipenda sana
Thank you for your free advice
Madebe wwe ni teacher number 1 💯
Yesaaaaaaa...gud
napenda sana madebe
𝐍𝐚𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐢𝐳𝐢 𝐟𝐢𝐥𝐚𝐦𝐮 𝐳𝐞𝐧𝐮
kW hakika una mafundisho yaliyo bora Mungu akuzidishie
You're number one to educate citizen Madebe
Hii ni series kali sana
You're touching the culture at the right time
nakubali san broo
Hongera Sana mhariri Yaani makubwa Najifunza kwako
So good bro
Nakukubali sana sana kamkubwa
Ila kwel madebe nimekuelewa pia nimejifunza
Sahihi kabisa madebe
Very educative
Nabiiii mungu akuzidishie maarifa
Nme penda sana hongera nime jifunza kitu🙏🙏
Asie jua maana atakucheka the way live
Mwenye akili atamsifu na kujifunza mengi
Madebe MUNGU AKUBARIKI
Hongera sana shababy wetu kwamaneno yako yanaeelimisha mungu azidi kukulinda
I always follow
Nime kuelewa usifikirie kilicho kuumiza mwenyezimungu aki imarishe nakukujalia maariga mazur katika kazi yako
Jmaa namkubali sanaaa ukwel najfnza kupitia flam zake
Asante madebe kwa kuelimisha jamii chapa kazi
Thanks for educating and informing our generation
Moto sana wa kuotea mbali, madebe 💯🔥🔥🔥
Onger xan
Madebe Haki Walai Yaani siku Zote Nazikike sana mimi Haswa mafunzo Hadi sahizi Nashukuru kaka Endelea na matumbo?
You are the most educater
Napenda kazi zako zote na inani inspire xn
Wonderful video
The Big Master Mr lidai
Kwa kweli matusi nijinatu
Safi Sana nabii mswahili
Hongera Sana Kwa mafunzo ya ndoa
Nomaaaaaa
Very nice
Hii movie inqjiludia kwanini Kaka mqdebe
Good
Yona kiseyan
I like your advices Bw Madebe Lidai
The Man is very creative, God bless Madebe Lidai🙏🙏
Nice one
Asante kwa funzo
Naomba ushauri kwako ndugu Nabi Swahili madebe : Mimi niliowao mke basi mke wangu akaanza mambo ya ngono nika mtimua kisha mwezi tano kaolewa na Mme wa dada yangu wadamu
Swali kipi kilimgusa kwakufanya hivo?
I love that man❤❤❤
Madebe mwenyewe Nabii wa Kiswahili
Nzuri Sanaaa 🙏🇹🇿
Safi kaka tunakukubali bidii yako inatufanya tukupe support
Aksante
Hongera hkuna kma ww
Kaz nzur sana good story good idea
IPO juuu
Waooh bonge la dramaaa
Wanaume 2jifunze kabla ya kuowa n 2angalie wake pia
Lp media the best
inafaa sana
Mshauri wa kiukweli
Kazi mzuli madebe
Changamoto za ndowa tuzivumilie sio zakuisha miaka hii
Je préfère cette chaîne
aisee umeuwa atar
Yaaan movie zak haziishi utamu😄🤤💋💋💋💋
ww uko xaw kabixa