Watching this video from Kenya .. Mungu akujalie zaidi na zaidi Nabii Mswahili..
Aisee najikut napata Mafunzo ya ndoa humu hum kabla ata sijaingia...asante madebe
wape ukweli nabii mswahili nangalia kutoka Kenya kipidi kina mafuzo kweli hongera sana
We Madebe tangu ujue tunakukubali basi maringo tele...bt anyway ahsante kwa muendelezo achia matusi basi naee
Naangalia kutoka dodoma kaka unatisha ni shabiki wako wa ukweli mungu akupe maisha marefu na kipawa zaidi ❤❤❤❤❤❤❤❤💐🌹🥀🌷🌺🌸🏵️🌻🌼💮🌱🌿🍃☘️🍀 kwaajili yako
Nakukubali Rashid Bashora from Tana River county Kenya
I'm happy to see your movie, I'm in DRC,
Watching from Germany..hii wakati wa Coronavirus. Nilianza juzi ya kwanza. Zina mafudisho chungu Mzima 👍👏👏👏
From Nairobi Kenya nakukubai madebe, au sio huwezi kumshawishi nyani kuwa asali ni tamu kuliko ndizi halafu akakuelewa
Saw kaka nakukukubali achia vtu vipya kama huwez kutambaa bs kimbia na kama huwez kukimbia bs tembea
Hongera Madebe movie nazipenda sana.
Asante sn mkubwa mahana mda sn tuna subir vitu vyako kk dogo lako hapa toka USA Arizona fhoenix hapa
Madebe the master of kiswahili
Nabii umenikuna sawasawa
Mungu akupe neema tu na nyota uko ING,ae
Endelea kutuelimisha kaka madebe movie zako zimehit kinoma
Unawezaa mkuubwaaa
Amepigwa na kitu kizito kichwani 😃
Mungu akubariki uzidi kutoa filamu zenye elimu kama hii
I like your movies
U have done it
Kamanda umetisha
Sante iko poa
Asante sana madebe
Napenda sana sasa kwann unaludia ludia hauleti mwendelezo na muda mwengine unachelewa sana
Asante sana
Unanifurahisha sana am in Burundi
Nimezielewa
Madebe madebe madebe unatufunza kweli unajua kiswahili
Appreciate more nabii mswahili
Nampenda nabii mswahili
Naipenda sana movies zako Madebe
Ni episode gni ya nabii ime kubamba😂😂
Madebe noma eti wanasema liziki nipopote nenda ukauze nguruwe maka
Nakubali kazi
Kazi njema hongera ndugu yangu.
Kweli my brother
Unatisha nabii
Kazi poa
Saw Z Zealand amassed ds@aooow
Madebe we mwalimu wangu
Iko p
Kwakwelii unatisha kaka kwa hizii movie zako ni mafunzo kabsa
😂😂❤❤❤❤ sho me 2024
made madebe my king...
🤣🤣🤣 madebe ni baraaaa 🎉🎉
nakubali madebe
Tuspot mvi zet
Jamaa anajuwa kuelimisha jamii nice
Mai
Zuu
Nimeipenda sana asa nikiona jiji letu la tanga naona raaaa
Ulikuwa mzanii mwema sasa umeanza kujiangusha madebe
Anawez madeb
Chezea pezi lajinsia mojaa atalimis Bora afee
I love your videos.from Kenya
MashaAllah
daa broo umetish sanaaaa
Safi sana team madebe
Nc
Samahan kwa matusi ya watu
Safi
Clinton from kenya fuzo Mazuri
Nice
C'est bon
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu we ni ki book ila sasa usi jinge na filimasoni
Huyu hatari Sanaa hiki kichwa achen tu
Mbona shilingi Mnatoa vipande viwili harafu vifupi jaman
Which place live in drc
kutoka mombasa nakupa hongera
Kweli
Great job.
Nafurahiya sana
Kama mamb yako ayaend nenda ww
Matusi
Unanifundisha mengi
Yani nafanyaga kurudia movie za madebe
utamaduni n utajiri
Nabii sehemu yanza
Respect for members all
Bigapu madebe
Kal
Maneno Yako ni fundixho kwa vijana wa Sasa
Safi sana
I'm happy to you today and tomorrow is good form 💕💕
Anatisha madeb
Kila siku unatupostia marudio... Unatumalizia mb, Kama huna jipya acha kutuzingua.
Madebe namkubal sana
❤
PG up
🤝
💕💞💕💞
Nand
😮🎉😮😢😮
Nabii Mswahili Series Episode 13: ua-cam.com/video/FH-NtgaGYWo/v-deo.html
Part 14 plissssssssseeeee🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾😔😔😔😔😔🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰
We kiboko