NABII MSWAHILI Part 1 by Madebe Lidai (Official Bongo Movie)
Вставка
- Опубліковано 3 жов 2024
- Nabii Mswahili Full Movie Part 1 (Madebe Lidai)
Watch Part 2 Here: • NABII MSWAHILI Part 2 ...
Watch Part 3 Here: • NABII MSWAHILI Part 3 ...
Watch Part 4 Here: • NABII MSWAHILI Part 4 ...
Watch Part 5 Here: • NABII MSWAHILI Part 5 ...
Watch Part 6 Here: • NABII MSWAHILI Part 6 ...
CAST: Madebe Lidai, Nasor Thomas, Alvin Caparao, Hamisi Korongo, Jamila Mahege
STORY/SCRIPT: Madebe Lidai
DIRECTOR: Madebe Lidai
Subscribe to Africa Movies on UA-cam here: bit.ly/AfrichaM... #AfrichaMovies #AfrichaEntertainment #MadebeLidai
Uchumba ulio vunjika nibora Zaid Kuliko ndoa isio na amani ✊✊
Mara yangu ya Kwanza kukusikiliza Ila nmejifunza mengi Sana🥰🙏🙏
yaani mm nimechelewa sana kukujua madebe ila tangia nianze kuangalia filamu yako ya matusi basi hilo likanipa hamu ya kutaka kuangalia nyingi katika filamu zako......ww ndie kichwa hv xxa cha bongo movie japo kua wengi wanaweza wasitake kulikubali hilo...na huenda mayb ikawa kwa sababu ya kiburi na kujitukuza tu ambao ni hulka ya baadhi ya watu......you are the best film artist in tanzania..
Pole Sana kwa msiba uliyo kukuta nlikuwa pale nkitafakari haditi yako niipe Jina gani? Pale khanifa alipo Sema kuwa umridhishiii, ila tambua hakuna urafiki Kati ya fimbo na ng'ombe 👏
We kakwambia nani?
Katika hii Dunia hakuna ki2 ambacho utafanya kikawa siri. Ukitaka siri basi siri niyako mwenyewe na nafsi yako tu. So vitu vyengine tunajifunza humu umu UA-cam (thank you so much madebe love you 💓💕💞❤️💞💕💓💞❤️❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪)
Saf sanaaaa nakubali sana move zako...neno moja to mungu akubariki sana by ungele the son
Madebe Lidai (daktari unayeongoza kula mifugo yko) mbona huyo mzee kofia anapenda sana katka kila filamu kukutishia maisha tu!
Madebe lidai uko vizuri katika kuelimisha jamii mungu aendelee kukupa maono ili usije usije ukajisahau filamu zako ziko vizuri sana mm shabiki wako namba moja
Wallah huyu madebe mbeya na mwalimu pia😂😂😂😂😂
Anatowa siri zilizojificha💣💣💣💣💣na anailimisha pia kwa wale walio Kuwa na matatizo sugu👏👏👏👏👏👏lakini Dunia aina siri well done madebe keep up 👏👏👏👏👏👏👏💝💝💓💓💞💞❤️❤️💕💕💕
🎉❤❤🎉🎉🎉❤❤❤
Uchumba ulio vunjika nibora Zaid Kuliko ndoa iliokosa furaha na amani, 🤜🤛
Madebe wewe ni nabii mswahili kweli.............msanii hakika Heko! Sana kaka.
Daaaah?ongera Mr Madebe hii filamu ni Bora sana Kwa wote pia mie yameniguza sana.
Madebe umeutekenya mtima wangu Mno kwa tamthilia pevu ilo kwenda skuli, heko saana kaka yetu na wenzako. Natokea Kenya miye.a'sante
This is my first time watching this but I have agreed Nabii mwalimu is legend 🙌 👏
Nakushauri andika kitabu madebe
Big up
Tafadhali mimi ni Josephat Josely kutoka kenya. Mnanifurahisha sana. Lakini naombe muache hewani matusi sehemu sita kwenda mbele
Hey
Bravo madebe
Napenda Sna movie zako
Hongera sana napenda sana kazi yako ni nzur sana friend
Nasipenda sana storry zako buana madebe, ongera sana
Hongeleni
Aise madebe unajuwa mpaka hatali
Mnajua sana kuigiz hongelen....?
Ipo poa Sana 👏👏👏
Napenda sana filamu zako madebe
Napenda Sna movie zako
Bingwa wa Fasihi #MadebeLidai
naaam kbissa yniii
Duu nimekubali na mimi nakubali sana madebe
wawe unatisha wawaninambawane
Nabi hakuna Kama ww unamafundisho mazuri sana
Noma saaanaaa🇹🇿🇹🇿
Nice story
naingalia tena kwa mara ya pili 2020
Naipenda sana hii
Nabii mswaili madebe, nakukubali san fundi
Sdr
Nakubali... Izi mifano sahihi kabisa
Pendaga sana Dada anifa jmn
Hii imenikumbusha mbali naikubali saana hii ❤
Chanuo nakupebda sana ukiongea pozi zako tu mi hoi
Umenigusa madebe kuoa mke alieachika
Ikovizuli sana
Nimejifuza mengi kwa hii movie
Good
Huyu kweli gwiji,kofia tayari nimekuvulia👊🏿
Kali
Respect for you our legend 👑👑
madebe tuletee move
Gabafoga
May Allah bless you and your co-actors
nakukubali
fire
nice
Madebe tutengezee kitu kma hchi chengine maana hii movie haisinyi kuangalia..
Iko poa can madebe lidaii
Gd
uyu anapenda kusema alizishwi
Ndivo alivoekti
Duuuuuhh bro yaani nakubali
Video nzuri ninaipenda mno.
🔥🔥🔥
Madebe nakupenda bure
2021
Mimi napenda misamiati zako madebe
Hatariiiii
maisala mm kukupenda tu
Good movie
Ongela sana madebe 😍😍
Jamani kuna move ya madebe inaanza madebe anampiga hidaya kisa kamuamsha aende kuswal unaitwaje
Inaitwa kufuru.
Inaitwq Inshaallah
Kwa kweli dunia rangi rangile unaenza muona MTU kana kwamba amechizi lakini ako sawa kabisa kwani werevu wa MTU sawa kabisa na ujinga wake
Nice
Very much awesome and educative
Misemo yake ina maana kubwa kwa jamii ya sasa
Hongera san madebe
muito bem e bom
Madebe mbna uleti movies mpya uko kmy xna
Download madembe muv
Salut kwakonabii
Tatizo matangazo mengi san mpaka unakera
Huwezi kupeleka mbele au bado mshamba
Madebe usitaki gufatiria kipaji camutu kira mutu na bahati yake hawutamufikiria atasiku moja marehemu kanumba never 🙊🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
We nawe cjui umetokea Dunia gani
Uyo ndo nabii mswahili babu wee
Wenyewe waswahili tunamuelewa pambana huko kwenu kwenye vita tuache na nabii wetu
Ovyooo
Kwanza halijuw hta kuandika
Hatua na mkondo wa Kanumba
Kweli madebe ila mbona mmezingua kwenye matusi namba 4
mboana ipod namba4 hadi 5 ya 6 ndobado
Tuachie vidio mpya
❤❤❤
baati bukuku
Vzl
Sichoki kuangalia hii movie
Umeelewa dogo ilo hapa kwetu ujue
HII NIMIKUBALI NAIPENDA INANIFUNDISHA KITU
2023 moto sana
Madebe unajua kunikosha wewe baba
Sawa bhan
Hii nikali san
Kwawale tuona fatilia muvi gonga like
MUNGU awasaidie kwel ktk kaz yen
UBALIKIWE ENDELEA KUTUFUNDISHA VIPOFU SISI
Niuke
Nakuelewa saana
Ok
Dood
Madebe unajua hakuna mwingine kama wewe.
nawakubali wako vizuri
Leta vitu kaka
Madebe anamisamiat mizul sana hongela kwake
MADEBE mkali kabisa
Weka vitu madebe
Fuso kubwa
Hakika kubwa
Gao baba
Mamb
Madebe lidai
Nickodemus boy
Kazi mwaifanya inanifunza na Maisha yangu hii ya ujana