MBUNGE OLE SENDEKA ACHAMBUA CCM CHINI YA MAGUFULI NA CCM CHINI YA SAMIA "Ni kawaida Yetu Kubadilika"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 22

  • @nestor384
    @nestor384 Рік тому +1

    Maswali ya mwandishi ni very technical and nice..

  • @johnjackson9665
    @johnjackson9665 Рік тому +2

    Hii nchi ngmu sana na unafiki ndo slaha kuu,ukiwa mnafiki utavuna mema ya nchi

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 Рік тому +1

    Muulize mbona hataki kujiendeleza ki-elimu miaka yote? Au vyeti vinagoma?

  • @barakaisiraeli
    @barakaisiraeli Рік тому

    Moto mtawona kwenye serikar za mitaaa

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Рік тому +4

    Huyu sendeka ni jitu laajabu kwenye Jimbo lake anaongoza watu ambao hawaendi shule badala yakuhamasisha wazazi wapeleke watoto shule yeye kaziyake kula nyamachoma nakufuga kitambi

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Рік тому

      Hiyo ni kazi yetu sote tena bila kujali chama.

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 Рік тому

      Anatumia ujinga wa wananchi wa Simanjiro kujinufaisha Kama mbunge wa kudumu. Hataki wasome, kazi kuchunga ng'ombe tuu. Anawashauri fikra za Umaskini ili waendelee kuwa duni. Hapo Halmashauri akija Mtumishi mwenye kuleta muamko wa Maendeleo kwa wananchi anahamishwa haraka Sana.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Рік тому

      @@malopemaliyamungu5243 Sasa inatakiwa wanasimanjiro waamke wamkatae sendeka

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 Рік тому

    Mwandishi anajua

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 Рік тому +3

    2025 WABUNGE WOTE WA CCM INJE,

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Рік тому +1

      Ni kweli tumeichoka sana CCM lakini hakuna chama mbadala. Vyama vilivyopo Tanzania ni ovyo kabisa havina sera, itikadi wala falsafa.Ni kurukia tu matukio.

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Рік тому +1

      @@hajihassan5433
      Ndugu yangu umenena kweli kabisa maana hawa wapinzani ni wapinzani kwanza wa nafsi zao wenyewe wenye kitu tu mtu hataki kutoka je mkimpa nchi sasa sio ndio mazima kabisa.
      Ila kwa kweli ccm ya sasa haijawahi kutokea kwa vituko.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Рік тому

    Ninyi mko kwa ajili ya matumbo yenu tu. Mmsikilize Mwalimu hotuba zake. Ninyi mko kwa ajili ya matumbo yenu tu. Ninyi mnabadirisha Katiba lakini Katiba ya hao wanichi hamtaki kubadilisha Katiba ya Inchi ili mtutumikishe watumwa wenu vizuri

  • @pauloalfayo1868
    @pauloalfayo1868 Рік тому +3

    Cc sio chama Cha wanyonge Bali ni Cha mafisadi tu

  • @lilykarim8968
    @lilykarim8968 Рік тому +2

    Mnagombra nini tem hii mtajichaguwa wenyewe maana hamtutendei haki wizi kila kona tumewachoka tunataka mageuzi

  • @emmanuelmatogolo5869
    @emmanuelmatogolo5869 Рік тому +1

    Wana ccm ni wanafiki sana, hawapendi kusema ukweli na mwisho wa siku wanaogopa kukosoa uongozi wa juu uliopo madarakani badara yake ni kusifia ili wapewe nafasi za juu. Mungu ana waona ipo siku muda utaishaa tu.

    • @edwinnzigo4670
      @edwinnzigo4670 Рік тому +1

      tena imekuwa yanafiki sana ila dawa yao itaiva

  • @johnmangaga4949
    @johnmangaga4949 Рік тому

    Hapo mzee siyo kabisa!; Ccm ya sasa ni ccm ya matajiri wanyonge hawana Chao;! Wao' waambulie vikanga TU na kuwa daraja la wale waliojimilikisha CHAMA na NCHI!; Nchi hii Kwa mbaali tunaona ni imeshakuwa ni ya KAFALME!;

  • @assakazimoto1009
    @assakazimoto1009 Рік тому

    We si ulikuwa unadai haki za wa masaai loliondo na ngorongoro

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 Рік тому

    Olesendeka ukapumzishe huo mwili,wapishe wengine, unakuwa kama una hati miliki