MTIFUANO MKALI BUNGENI: LAMBERT AMNYOOSHEA KIDOLE OLE SENDEKA - "UNAJITETEA - HUENDA ULIIBA KURA"...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 51

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  10 місяців тому

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @martinsokoi397
    @martinsokoi397 10 місяців тому +1

    Mungu anawaona wabunge wote ziri moyoni mkurugenzi hawezi kutenda haki kwa upinzani ,mama Samia ni mcha mungu hapendi waizi mtu kama ameingia bungeni kwa rushwa lazima aibe Ili arudishe pesa zake,alizompa mkurugenzi,

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 10 місяців тому +2

    Na bado mtageuka kuwa mandonga wenyewe kwa wenyewe....mungu yupo anawaona

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 місяців тому

    Na wengine wabunge ni wakristo wanamuweka Yesu kwenye msalaba. Tuko katika kipindi cha mateso ya Yesu na uko bungeni kwa njia mbaya wala siyo wale 19 bali wengi mliingizwa bungeni kwa njia hizo hamkuchakuliwa na wanainchi bali mlichukuluwa juu kwa juu mwenye uwezo. Kama ambavyo CHADEMA haikuwachaguwa hao 19 na wengine wenu hamkuchaguliwa na wanainchi wa sehemu husika.

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 10 місяців тому +2

    Huu ni upotezaji wa muda hili lina faida gani kwa Watanzania, inaonekana hawa jamaa wanajua Hakika hawakuwa na ushindi ile 2020

  • @salambafrancis6840
    @salambafrancis6840 10 місяців тому +2

    Hili bunge hovyo kabisa

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 10 місяців тому +1

    Olesendeka mmmmmmmh!!!!!!!! Mzee vitu vingine kaa kimyaa.

  • @robertedward1992
    @robertedward1992 10 місяців тому +1

    Nyie wote mnalilia ubunge tuu,sio maendeleo ya wananchi

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 місяців тому

    Bunge la CCM sisi tunapelekwa pelekwa tu. Hata hiyo miswada wengine hawakuridhika na hiyo miswada kwa sababu ya udictator zimeletwa.

  • @RuandaDimoso
    @RuandaDimoso 10 місяців тому

    Hongela spika niwazi unajua anacho maanisha mchangiaji ilamfumo wa misimamo ya chama inakubana asante

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 10 місяців тому +2

    Sendeka wacha hiyo mboyoyo.. kavunje ile laana ya mashamba jimboni kwako... itakurudia

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 10 місяців тому +1

    Hao polisi ni sawa na bendera ....

  • @isayagilson5710
    @isayagilson5710 10 місяців тому

    Siku zote ukweli huwa unabaki palepale.Huwezi ukabadilishwa kwa maneno hata siku moja.

  • @EzekielSitayo
    @EzekielSitayo 10 місяців тому +1

    Tatizo sendeka ni bonge la kilaza nani bonge la mwizi wa kura

  • @Jeremiahlukumay
    @Jeremiahlukumay 10 місяців тому +1

    Wacheni uwongo ninyi wote ni wanafiki,CCM hawana jipya ktk inchi yetu.

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 10 місяців тому +2

    Hakunaga mtu hewa kamasendeka katika dunia hi

  • @petermabula4492
    @petermabula4492 10 місяців тому +1

    Hii inchi hapan

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 10 місяців тому +2

    Nyumbu watibuana mbugani

  • @KadirSamoru
    @KadirSamoru 10 місяців тому

    Mkuu wa tume yauchaguzi nayeye achaguliwe kwakura sio ateuliwe na Rais atamtangaza nani kama sio boss wake mnaona watanzania hawana akili😊😊😊😊😊

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj 10 місяців тому

    10:18 10:18 10:19

  • @shabantelack5716
    @shabantelack5716 10 місяців тому

    Mueshimiwaa spikaaaaah .. 😂😂

  • @EzekielSitayo
    @EzekielSitayo 10 місяців тому

    Nikweli olesendeka hakushida

  • @KadirSamoru
    @KadirSamoru 10 місяців тому

    Wabunge wa ccm acheni fujo mkiwamnachangia nyinyi mnapinga makofi wakichangia chadema mnaleta fujo tarifa tarifa 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JosephMathias-i6z
    @JosephMathias-i6z 10 місяців тому

    WW unaongea nn hapo? Hiyo katiba unayo soma hapo hiyo ndo haitakiwi kuwepo ndo tunaikataa half ww ndo unakomaa nayo na ukobize kukausha mate kana kwamba unaongea point ww bado unaikubali katiba hiyo impe mamlaka Rais ya kufanya chochote anacho weza sio eee?
    Hivi ww una uchungu na nchi yako kweli?
    Hivi unaelewa matatizo ya katb hiyo unayo soma hapo?
    TUMIA ELIM YAKO VIZURI 1:30

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb 10 місяців тому

    Jamani uchanguzi usimamiwe na wachungaji na mashehe tutaondoa sitafahamu

  • @GeradyMathew
    @GeradyMathew 10 місяців тому

    Spika mwenyewe hakushinda sembuse huyo mzee wa kuunga mkono juhudi.

  • @PASCHALNGODILO-h2p
    @PASCHALNGODILO-h2p 10 місяців тому

    Hawali nisaidieni wenye kamusi huko. Neno *hawali*

  • @RuandaDimoso
    @RuandaDimoso 10 місяців тому

    Mzee olesendeka jipya hauna subili kimbunga kinakuja muda wapolojo umeshakwisha zamazake

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 10 місяців тому

    Huyu Bwana Mmbaguzi anafikiri Hiyo Simanjiro itakuwa ya kwake Milele.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 місяців тому

    Kama Inchi hii Inchi ni ya raisi na watawala WA CCM tu sisi ambayo hatuna letu. Hatuna uhalali wa kitu cho chote. Katika Inchi hii. Afadhali wengine wana vyama vyao vya siasa. Lakini sisi wanainchi hatuna letu Katika Inchi ila wakitaka kura zetu tu?

  • @miccashilla791
    @miccashilla791 10 місяців тому

    Chawa

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 10 місяців тому

    Olesendeka matope matpu. Hastahili kuwa Mbunge na kwa sababu hii CCM mnajipendele kichama ni kwa nyinyi tu. Kuna vyama vingi na si CCM tu. Nawe Spika uliambiwa hukupita na mfumo wenu wa CCM ni mbovu. Hamuitakii nchi hii amani hata.

  • @IssaMsalama-k6x
    @IssaMsalama-k6x 10 місяців тому

    Kikubwa hapo mtaongea mwisho wa siku naunga mkono oja

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 10 місяців тому

    Hau mnao wataka kusimamia kura wawe wasio na chama utawatambuaje wawe binafsi ni upuzi tu

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 10 місяців тому

    Inaonekana spika Tulia anadharauliwa na wabunge hususani wabunge wanawake. Hawamheshimu kama Kiongozi wao.

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 10 місяців тому

    watuna mshukuru Ina maana hata Marais wenu hamkuwaamini dada ila kweri mko sahihi

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 10 місяців тому

    Kwani mngesema nini mko mahali penu sisi WANANCHI tunaelewa pia

  • @abdallahabdu8194
    @abdallahabdu8194 10 місяців тому

    Yaani hakuna kitu, hata lugha tu ya kiswahili tabu, wewe unaenda mbali eti mahabusu, eti nilikuwa ktk Kamati kwa uliona sawa mgombea urais ateue mwenyekiti wa uchaguzi yaani timu ya upande iteue refa mkapige mechi. Sawa

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 10 місяців тому

    Debate kama za shule .watu wa Nia Moja mpango mmoja.uingiaji bungeni wa aina Moja watapingana kwa jambo Gani vile.

  • @shamslukumay2627
    @shamslukumay2627 10 місяців тому

    Covid 19😂😂😂

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 10 місяців тому

    Uyu mchangiaj aeleweki

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 10 місяців тому

    Wewe ni mjinga kabisa Lambert...
    Hii si nchi ya udikteta. Katiba inaruhusu. Si rais.
    Eeeh ! Tuna shida nchi hii

  • @PAULOWILLIAMJOSEPH
    @PAULOWILLIAMJOSEPH 10 місяців тому

    Bunge oyeeeee

  • @deven.oauditx7547
    @deven.oauditx7547 10 місяців тому

    Hivi kazi ya wabunge ni kusifia tu rais?

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 10 місяців тому

      Uchaguzi upo karib wanaanza kusifia mapema 😂😂😂

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 10 місяців тому

    Yani mpaka leo huu mwaka wa pili mbunge anapewa nafasi anatumia zaidi ya dakika 3 kumsifia rais.
    Sasa kweli tutaikosa serikali na kuishauri?
    Inaniuzi sana kila mtu anaona kazi za rais...nafikiri sio kazi ya bunge nawaona na wengine hawapendi lakini basi tu.

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 10 місяців тому

    Wabunge wa mchongo bhan kila mmoja akisimama ni sifa za kipumbavu tu ndo maana hata nchi inashindwa kuendelea shauri ya kipumbavu ccm mungu angewauuwa wote wajinga hawa

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 10 місяців тому

    Sasa nyie nyumbu mnatibuana Nini mko wenyewe ila mnachekesha kweri sababu mmepigwa upofu Dunia inakuwa kwahiyo Kaa kimya nyie mko gizani

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 10 місяців тому

    Tanzania haina Wabunge kabisa. Kama wapi, hata 10 hawawezi kufikia.
    Mtu anasimama eti anampongeza Rais kukubali miswada kujadiliwa.
    Yeye kama Mbunge hakupaswa kusubiri Rais akubali miswada, alitakiwa kuwa alishaishauri na kuisimamia Serikali kuhusu kuanzishwa kwa miswada hiyo.
    Hakuna kitu kabisa. Hapa tusubiri tu 2025 tupate Wabunge wanaowawakilisha Wananchi wao kwa moyo thabiti.

  • @AlexKabale
    @AlexKabale 8 місяців тому

    Ujinga tuu umetawala ccm!hivi,chadema walipoandamana kama taifa tuliingia hasara gani?hakuna uharibifu uliotokea