@@margarethpolepole7438 wewe dada, labda una chuki binafsi na chadema. Lkn mimi nakuhakikishia, nimefika jimboni kwa Heche na uchaguzi uliopita nikikuwa maeneo ya Tarime, kabisa Heche akishinda tena kwa kishindo. Weitara watu hawamkubali wala sera zake . Hvi ukiwaweka hawa watu kweli wanafanana?? Dada hebu funguka,. Sikiliza wanasema nini
Ww shoga unaongea nini ww c ulinunuliwa na mwanaume mwenzako unajisifu nini ww mnafki umueze eche acha huo ujinga mwanaume anadanganyika kwa hela ww njaa tu
Heche hoja yake ni Singapore, bila kujua kwamba Ile ni satellite state iliyotengenezwa na nchi za magharibi kuzinyonya nchi zinazoizunguka. Singapore ni duka kubwa sio nchi.
Nini kilikutoa uwaziri hata kiswahili inakushinda au utapeleka viapo wakati wa uchaguzi mkuu la sivyo hupati kitu we waitara ,hakuna mtu bomu Kama waitara Bunge zima
Mtangazaji usijiharibie kutokana na maswali yako...toka nchi hii ianze chaguzi zote ni za huru na haki sasa wewe endelea na maswali ya kijinga na upo kwenye media kubwa.....nipo palee nimekaaa
Waitara ww ni mtu mdogo sana kwa Brother Heche
Waamuzi ni wanatarime Ila Heche Yuko vizuri kuliko wewe vinginevyo mfanye Kama 2020
Heche kaongea mambo ya msingi sana ni kiongozi mahiri sana
Wabunge CCM JPM aliwabeba kwa kazi yake nzuri , Safari hii mtajibeba ña Yale Mambo yetu ya zamani..
Mshukuru marehem
Oooh eti akija anakaa kwa Mama yake,sasa si nikwao!! Kwani huwez kujenga sehemu nyngine tofauti na ulipozaliwa
Umekwisha waitaraaaaaaaa
Waitara mshukuru sanamwenda zake mwaumea ananunuriwa humuwezi heche hatakwasasa kurazikirudiwa ukweri unaujua
Heche noma
Mshukulu sana JPM
Subiri moto mzee
Hiri Jimbo heche anarichukua acha kuangaika waitara hiyo iko wazi kabisa
Wabunge wa ccm 2020 kazi za JPM ziliwashindisha. RIP Dr JPJM
Chapombe ulibebwa na Jiwe kupora jimbo Heche yupo juu humuwezi
We mlevi kwa Heche utoboi
Kusema la haki waitara Hana uwezo wa kushindana na heche kabisa 😂
Hakuna aliebebwa na ccm kwa hapakuwa na uchaguz ila pakiwa na uchaguz la Zima ccm aisome namba
Miaka mia 800 waitara humwezi henche 2020 waitara ulipewa ushindi wa mezani.
Mwenye macho hamiwi tazama sisi ndo tunaona kuwa waitara afanye kampini heche asifanye kampeni wala waitara hawezi kushinda ukiwaangalia tuu utagundua heche anamoyo mkuu kuwatumikia watu
Huwezi shinda boya kbs
Sijui linavuta bage 😁😁
Na hupati heche waitara oyeeeee heche kwa heri
Weitara Mwita...miaka 100000, huwezi kupambana na Heche.
Victor waitara anachukua heche akichukua nakupa laki hao kazi yao kumtukana hayati magufuli mbwa koko kabisa
Anajinadi wakati kapewa ubunge na aliambiwa aende kule akapewe jimbo sio kugombea jimbo
@@margarethpolepole7438 wewe dada, labda una chuki binafsi na chadema. Lkn mimi nakuhakikishia, nimefika jimboni kwa Heche na uchaguzi uliopita nikikuwa maeneo ya Tarime, kabisa Heche akishinda tena kwa kishindo. Weitara watu hawamkubali wala sera zake . Hvi ukiwaweka hawa watu kweli wanafanana?? Dada hebu funguka,. Sikiliza wanasema nini
We mlevi humuezi Heche
Hatuangalii utoto au utuuzima tunaangalia kiongozi mtetezi
Kuna tofauti mkbw Kati ya kiongozi na mchumia tumbo waitara Ni mchumia tumbo
Mama asipombeba heche anachukua
Ila iyo ndio siasa mana unaongea kirafiki kabisaaa safi
Wait ara hamuwezi Heche hata kidogo
Wewe waitara acha uongo hata wewe umejenga ukonga kivure
Hutobojiiiiiiiiiiiiiikk
Wew umefanya nn?na unaishi wapi kenge wew
Ww shoga unaongea nini ww c ulinunuliwa na mwanaume mwenzako unajisifu nini ww mnafki umueze eche acha huo ujinga mwanaume anadanganyika kwa hela ww njaa tu
Kwenda zako, huwezi kumshinda heche nimekaa paleee niitwe mbwa,
Heche hoja yake ni Singapore, bila kujua kwamba Ile ni satellite state iliyotengenezwa na nchi za magharibi kuzinyonya nchi zinazoizunguka. Singapore ni duka kubwa sio nchi.
Wewe chawa ulinunuliwa na mwanaume
Wewe huwezi kumshinda heche mshukuru yule aliyekupaga ubunge
Kazi kubebwabewa na wizi wa kulaa
Nini kilikutoa uwaziri hata kiswahili inakushinda au utapeleka viapo wakati wa uchaguzi mkuu la sivyo hupati kitu we waitara ,hakuna mtu bomu Kama waitara Bunge zima
Wew humuwezi heche labda muibe huna sifa za heche ata kidogo
Kuna watu hua wanadanganya Hadi nafsi zao wakihic wanatudanganya sis, ila yetu macho na huachi akiba ya maneno
Waitara we mshukuru marehemu mwenda zake huna jipya
We boya ww ninakutamani sana ujue ulitaka kuniua mriba kipindi cha campain yaani umshukur jpm muone chapombe
Uchaguzi ulichafuliwa acheni kujikosha jamen
siasa za kupumbafu eti heche hakai kwao anakaa kwa mama yake ndo nini sasa
heche hanakuzid kaka
Huyu hana aibu hukuchaguliwa na wananchi wewe umewekwa na mwenda zake jitu zima linanunuliwa
Kama mdogo una pambana nae kwa nini?
Heche siyo wa kumfananisha na waitara miaka 800.waitara humwezi heche hata ma ccm muhamie wote hapo Tarime
Wewe unayemshangilia mtu anayenunuliwa siatauza watu hana msimamo huyo boya tu heche anafaa
huna lolote waitara malizia mda Wako.upumzike
Wanasiasa wanawaza 2025 tu tatueni shida za watanzania
NDUGU YETU WAITARA HECHE HUMUWEZI NI SAWA NA MBINGU NA ARDHI
Hehe haha mpinzani dhidi ya ccm hata ,Mungu amewachoka ndio maana majanga kibao,mmekithiri dhulma hata wastaafu mnathulimu!
Wewe akuna kitu
Halina akili ilo
Heche wwe humuwezi
Hakuna kiongoz apo n mchumia tumbo kiongoz wa kwel awez kimbia Cham chake tna kwa kununuliwa
Kweli kbs mchumia tumbo haswaaa
Huna rorote waitara uritufanyia nini Jimbo ra ukonga hatuna ham na wewe
WENYE AKILI HAWAWEZI KUMPA KURA MALAYA WA SIASA ISITOSHE YULE MNUNUZI HAYUPO.
Umeshampiga mapema sana huyo heche.
Ndio kampiga mapema maana sembe 2000 sasa🤣🤣🤣🤣🤣sasa sijui nan kampiga mwenzake
Waitara hunaubavu wa kupambana na John heche
kwanza CCM hawakupitishi tena pole waitara kwa mropaganda zako.
Mlevi mkubwa wew Nani akuchague tafuta kazi nyingine watu wa tarime hawakutaki huchaguliko
Moto utauona waitara
Yaan ccm jkura mtapata kwa familia zenu hamna hofu mbele ya haki
Huna point wewe.mimi nakaa kijijini..waitara shukuru magufuri alikubeba tu
Sasa unataka aende kwa mama yako
Tarime atukutakiiiiiiiiiiii
Unarudi kamanda Waitara unahekima
Hana uwezo wa kushinda uchaguzi huru
Waitara usipoteze muda wako, hela utakazopewa za ustaafu wa ubunge kazitumie vzr
usijisumbue heche nikiboko yako
Hehe anakubalika sio wewe usijidanganye .wstu wamrwachoka
We jifariji, mganga wako kafa, ni bora ungepoteza hirizi kuliko kufiwa na mganga
waitara siasa siyo kumiliki watu Wala vita
Waitara nakushauri ushauri wa bure usi
wewe ulibebwa na jpm...utaisoma no
Mlevi weweubuge umepewa tu unachochote
Humwezi hechewewe namlimuibia kulaaaa hunalolote wewe
Wabunge wa ccm wengi warinunuriwa
Waitara ni mbunge wa dora
Kama unahisi unamuweza heche Nenda kagombee kwa ICT au chamba kingine. Sio hcho nibembeleze nibebe
Kagombee na wew kwenye hicho nibembeleze nibebe
@@chenyakwihela1637 Mimi sitaki kubebwa..nataka kitu legit
Mtangazaji usijiharibie kutokana na maswali yako...toka nchi hii ianze chaguzi zote ni za huru na haki sasa wewe endelea na maswali ya kijinga na upo kwenye media kubwa.....nipo palee nimekaaa