GWAJIMA 'AWASHA MOTO' BUNGENI, OLE SENDEKA ASIMAMA NA 'KUMLIPUA'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 232

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 Рік тому +1

    Gwajima Mungu anakuona ujue! Unatetea bila uoga 80 kwa 20 kweli bila kujali maslahi mapana ya taifa! Tena Bora ungeshauri vijengwe viwanda tutengeneze wenyewe vijana wapate ajira! Tunashukuru serikali kwa kusimamia hili! Mali tulizonazo ni za watanzania

  • @sadalaramadhani104
    @sadalaramadhani104 Рік тому +3

    Asante sana osendeka saiz gwajima umekua mwizi kabisa umebadilika sana tulikuamini saiz umekua ovyo sana

  • @JosephBigabwa-wo2bf
    @JosephBigabwa-wo2bf 9 місяців тому

    Aksante sana Mch.Gwajima kwaajili ya inchi yetu🇹🇿🇹🇿

  • @lazarokambaine74
    @lazarokambaine74 Рік тому +1

    Big up sana olesendeka,Mungu aendelee kukutunza.

  • @phylliskaluki1028
    @phylliskaluki1028 Рік тому +6

    Hongera sana mheshimiwa Ole Sendeka

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 Рік тому +5

    Asante ccm Kwa kujidhihirisha jinsi mlivyo wa hovyo na kuipiga nchi hii kwa kina

    • @Godmaletz
      @Godmaletz Рік тому

      😂🤣😂🤣 daaaah you talk fact 💯

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 Рік тому +2

    Hapa Gwajima umechemka. Naweza kusema Mheshimiwa ametumiwa kufikisha hoja na kutoa vitisho. Ukweli unabaki muwekekezaji alikuwa hana uwezo kifedha na hafai kuwa muwekezaji katika mradi huo.

  • @MollelSamuel
    @MollelSamuel 10 місяців тому

    Ole sendeka uko vizuri baba

  • @ahmedmajid1795
    @ahmedmajid1795 Рік тому +1

    Hongera sana Askofu Gwajima kwa kuliona Hilo jambo kwa “jicho la tatu,”, hao wengine wanabisha tu bila kuwa na documents..

  • @victorkisenha7583
    @victorkisenha7583 Рік тому

    Big bishop ,we ni mbarikiwa, and your very bright man,

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Рік тому

    baba askofu baba askofu tuangalie wanao kwa jicho la huruma ili tufurahie hizi neema za mungu alizo tutu nuku tuna kutegemea sana baba askofu pls liangalie hili swala tena na tena baba tanzania kwanza mtu badae.

  • @furahiafdg1602
    @furahiafdg1602 Рік тому

    Kiongozi makini be blessed Jimbo la kawe hatukubahatisha

  • @abubakarimburu9096
    @abubakarimburu9096 Рік тому

    Hakuna Cha uchungaji hapa ujanjaujanja tu na ni vizuri mmeanza kumfahami mungu Huwa hapendelei

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 Рік тому +3

    Eti gwajima awashamoto kumbe kazimws hoja zake zamaslahiyawachina na wazalendo walioona watanzania wanapigwa

  • @manasekijangayamba2023
    @manasekijangayamba2023 Рік тому +3

    Gwajima kapotea Sana Leo

  • @francissgodlove
    @francissgodlove Рік тому

    Hakika Gwajima akiri yake ni kubwa Sana, just Imagine since 2014 upuuzi ulianza. Leo hii anakuja kijana mmoja shupavu mwenye maarifa analeta hoja nzito na takwimu then wakongwe ndio wanatokeza kisema mbaya mradi sijui nilikuwa naibu so what na ulikuwa wapi kusema huko Nyuma " safi gwaji boy ingawa suala hili sio la kukimbilia"

  • @mwanabucheyeki226
    @mwanabucheyeki226 Рік тому +11

    Gwojima umefeli kwa Hoja! Hii hoja kuisimamia itazidi kukuchafua kwa sura na Sifa ..! Sendeka yuko Sahihi.

    • @blockchain1203
      @blockchain1203 Рік тому

      Mbishi na Ana Amini Yuko Sahihi..Yeye kakomalia tu Zile Community responsibility wanazopaswa kutoa ila kiundani ni tunapigwaa tu..Huo Mradi Gwajima Ni mgeni Hapo Nakumbuka Kati ya Miradi ipigiwa Sana Kelele Enzi za Awamu ya Nne Kama mtu hafuatilii Bunge Kuna mambo ni Mabomu yalitegwa Kuja lipuki Wwnginee

    • @shafee9128
      @shafee9128 Рік тому

      Hujamuelewa swali kwann mwanzo serikali ilkubali saini mwanzo

  • @mukasanoordin5966
    @mukasanoordin5966 Рік тому +6

    hongera sana bunge wetu olendeka

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 Рік тому +11

    Askofu Gwajima 🔥🔥👍🏽

  • @Duduqwe234
    @Duduqwe234 Рік тому +2

    Kwani Gwajima Ni Nani Kwenye Huo Mradi anaoutetea? Kwa Mwenye Akili Timamu Hawezi kukubali! Huyu Gwajima Achunguzwe !

  • @izrajoseph1406
    @izrajoseph1406 Рік тому +12

    KATIKA hili Gwajima sikuungi mkono,big up Olesendeka

  • @onesmomlinga804
    @onesmomlinga804 Рік тому +2

    Gwajima nakukubali Kwa hili umechemka sana utakuwa umelambishwa asali

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 Рік тому +1

      Mimi pia huwa namkubali lakini kwenye hili amechemka. Kutetea kampuni za hawa watu kwa namna hali ilivyo, inatia mashaka kama mtetezi hajalambishwa asali.

    • @jonasdaniel6142
      @jonasdaniel6142 Рік тому +1

      Kasha rambishwa mkwanja huyu babu askofu

    • @josephmantago2837
      @josephmantago2837 Рік тому +1

      Serikali haramu wabunge mataperi kwanini ukubari muwekezaji alete mtaji 20% ya mtaji kisha ww mwenye mali umkopeshe 80% alafu yeye amiliki mladi kwa 80% na faida achukue 80% kama ndivyo huo mladi si uendeshe mwenyewe maana ww ndo mwenye mtaji pesa na raslmal? Acha mh Lisu atuongoze yeye anauelewa na maarifa ya kutosha lkn hawa ccm wamezoea wizi wa kura na mikataba ya kufisidi nchi

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 Рік тому +1

      @@josephmantago2837 Lissu naye alikuwa anasema tusizuie makinikia watatushitaki. Kwa maana nyingine wachukeu tu madini yetu. Wanasiasa wanatuchanganya tu hawa

  • @mwesigyeglory215
    @mwesigyeglory215 Рік тому +1

    Haya mambo ya Gwajima ni upuuzi mtupu sa

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 Рік тому +2

    Mh.Gwajima usije tupotezea nchi yetu ww mjanja mjanja sana

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Рік тому +1

      Kiongozi wa mazuzu..eti anafufua waliokufa, na wachawi wanaanguka juu ya paa lake...elimu elimu..

  • @bilumagilu2184
    @bilumagilu2184 Рік тому

    Oooohoo kumbeee

  • @novatidamian7236
    @novatidamian7236 Рік тому +5

    Gwajima achana na hii serikarikari ya wanawake harafu ccm waache wanyukane urudi ukatafakari wapi ukawekee hoja. Serikari mlionauo sasa niyamaelekezo ama yakuelekezwa na mtu furasi tugiye mjua bado. Kwa ile miradi yooooooote ambayo marehemu alituachia kama angelikuwa hai hakuna ambae angikuwa anakusumbua. Waache hii ni ile CCM ya (chukua chako mapema)

  • @kilandagelusengo6394
    @kilandagelusengo6394 Рік тому

    Gwajima anajua anachokiongea big up Sana Mbunge wetu

  • @gracetepilit4585
    @gracetepilit4585 Рік тому +2

    Olesendeka🔥🔥gwaji tulia🤐

  • @fulgencemark7640
    @fulgencemark7640 Рік тому

    Muda ukifika maaskofu wakshudumi makanisani na mashekh wakawshufumia waumimi wao na madaktari wakahudumu mahospitalini na wabunge/wawakilishi wakawa wsmetokana na kuta halali za wapiga kura basis ndio hapo uzuzu na ujinga utakuwa umetoweka kwenye taasisi zetu

  • @kayitesicynthia9023
    @kayitesicynthia9023 Рік тому +2

    Kweli kbs ole sendeka

  • @benmuberwa2092
    @benmuberwa2092 Рік тому +11

    Wote wana-miss a very important point. Huwa serikali haithamanishi raslimali zilizo chini ya ardhi kabla ya kuamua kila muhusika apate share kiasi gani? Tunayo madini yenye thamani zaidi ya 60 billion dollars (tani zaidi ya million 400 za mkaa mbali na thamani ya madini ya chuma) harafu tunampa mwekezaji share 80% na sisi kubakia na 20% kwa sababu mwekezaji anatoa 3 billion dollars za uwekezaji. Huu ni wizi mkubwa kwa nchi yetu. Siku za karibuni sina imani na wachina

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Рік тому +2

    Hawa Wachina sio wakuchekewa, ukiwafungulia mlango tu, unawakuta chumbani. Nchi hii inapigwa kila kona, kwa kukosa maarifa.

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 Рік тому +9

    Gwajima nikichwa cha habari sana,anajuwa sana sana,sema kumuuelewa mpaka uwe umesoma cuba

  • @saadomari7150
    @saadomari7150 Рік тому +3

    Sounds like they are serious, but we don't see major breakthrough in our country's economy.

  • @ministerwilsonduwee
    @ministerwilsonduwee Рік тому

    Olesendeka amekaa jimboni miaka zaidi ya 15, jimbo lake halina maji umeme wenyewe wa bahati mbaya sana baadhi ya vijiji. Nachelea sana kumuamini anayoyasema

  • @manjalemakongoro4014
    @manjalemakongoro4014 Рік тому +6

    Mnatuchanganya Sana, hatutaki upigaji na upigwaji, kwa suala Hilo vyama vya upinzani vinahitjika nchini kwetu , Sana Tena Sana ,

  • @eckhardtsaid6697
    @eckhardtsaid6697 Рік тому +3

    Hapo ndio tumeona nguvu ya Pesa. Gwajima kalambishwa na waChina

  • @athumanhassani805
    @athumanhassani805 Рік тому +1

    Hiii nchi sijui tunampa mtu uongozi kupitia vigezo gani bado sijaona kiongozi mwenye weredi kama magufuri napia sijui hawa wabunge tunachagua kupitia vigezo gani hakuna mbunge mwenye weledi mkubwa katika ccm waliopo hawazidi 10 hii nchi niyaajabu kifupi hatuna wabunge wala mawaziri ambao wanapigania haki ya watanzania

    • @josephmantago2837
      @josephmantago2837 Рік тому

      Na ww uache ujinga mla hyo maguful alikuwa na akili tope ndo alikuwa anateua wabunge wajinga kama yeye sisi tuliochagua aliwapora ushindi akatangaza marofa wenzake

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 Рік тому +1

    baba gwanyima tupe raha...tulikumissi sana 🙌🙌

  • @mykomg3558
    @mykomg3558 Рік тому

    Baba askofu yupo sahihi sana

  • @meshackkulinda1753
    @meshackkulinda1753 Рік тому

    Gwajima anajaribu kushawishi watu kana kwamba anawashawishi waumin, lakin wahusika wanamwambia hataki

  • @isayaSiria-v7e
    @isayaSiria-v7e 13 днів тому

    Kweli

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 Рік тому +2

    Gwajima anataka share kwa mchina. Gwajima kaona cha mtema.kuni. yeye anadhani anajua kila kitu na ndiyo anawadanganya waumini wake na yeye anazidi kuwa tajiri kwa sadaka. Aliwaambia vijana atawapeleka Japani ,kununua both za uvuvi. Kanunua?

    • @stanleyjohn1361
      @stanleyjohn1361 Рік тому

      Peleka udini huko mwanaume mzima unashindwa kutafuta njia ya kutoboa maisha kwa kusubiri safari za nje fanya kazi

    • @husseinkarim6745
      @husseinkarim6745 Рік тому

      @@stanleyjohn1361 Sii ndiyo aliahidi kuwapa ajira kwa kununua maboti ya uvuvi, kwani alitoa ahadi nani? Kuwapa ajira. Omba kura upate KULA.

    • @hadijasimba2665
      @hadijasimba2665 Рік тому

      Uliona wapi mchungaji akawa mbunge? Anatetea ufisadi ! ?

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 Рік тому +4

    Askofu, hii siyo theology. Watu wanazungumza facts za kisayansi. Askofu utajivunjia heshima. Nyamaza.

  • @lazarokambaine74
    @lazarokambaine74 Рік тому

    Big up olesendeka

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 Рік тому

    Nilicho kiona wabunge wengi ni mazuzu kwanini hawampi mtu nafasi yakuweka sawa maswaliyake namajibu wanapingana bila kuelewa nini anataka kukielekeza ili tuelewe hoja yake hii ni hatali bungeni

  • @paulmdiya5941
    @paulmdiya5941 Рік тому +8

    Hapo ndipo tunaminishwa ukweli wa uongo kwa mambo tusiyoyajua

  • @papajosephatjuniorlaizer6016

    Gwajima ni mmoja wa wazalendo wa tanzania

  • @mudhakirswaleh7901
    @mudhakirswaleh7901 Рік тому +1

    Bunge letu bwanaaa😅😅😅

  • @stevenchaya4054
    @stevenchaya4054 Рік тому +3

    Gwajima amenunuliwa na team kikwete na akina zitto kutetea uwekezaji wa kifisad kama huu.

  • @tumsifumartine612
    @tumsifumartine612 Рік тому +3

    Gwajima kashakuwa Fisadi na yeye ivi sasa

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 Рік тому

    Hajui ya mbele kazungumza sana Sio upeo. Hamwajui wachina ni wanjanja miradi Yao ni ya Serikali yao Raia wanapewa kusimamia tu kweli tupewe 20% ?Gwajima anatetea ufisadi tusikubali Gwajima Rudi kanisani

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 Рік тому +21

    Tanzania 20%, Muwekezaji 80% Hata mimi nimekataa, Tanzania kwanza, Alafu Muwekezaji mchina, Viwandani watanzania wanateswa, Na hao Wachina, Mara wawapige, kunyimwa chakula, Kuchomwa moto, Kukatwa mikono, Hata hamjali bado Mnawaleta tu Tanzania wa nini?.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 Рік тому

    Ukiona Wah wanatumia sana lugha tamu kwa Mh Rais ujue kuna jambo. Vyombo vya usalama mnakumbuka waliwahi kusifu sifu hadi wakapitiliza mligundua nini.

  • @godsonmosi8428
    @godsonmosi8428 Рік тому

    Lipuaneni wenyewe 😀😀

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 Рік тому +11

    Ole sendeka kampasua fisadi

  • @rashidlwengo6940
    @rashidlwengo6940 Рік тому +1

    Very good wabunge

  • @angulileelectrical6368
    @angulileelectrical6368 Рік тому +3

    Hakika Gwajima hapo mh akubari kupokea taarifa kwa ajili ya Taifa

  • @alexlaizer
    @alexlaizer Рік тому +2

    Olesendeka bg ssna ✌️

  • @annakassege7134
    @annakassege7134 Рік тому +2

    Askofu,Mbona haueleweki,Wachina wakuwa makini nao

  • @daudwilliam2326
    @daudwilliam2326 Рік тому

    Aendelee kuombea mapepo tuu huyoo watu wote WA daught

  • @djsandi4419
    @djsandi4419 Рік тому +5

    Gwajima kalambishwa asali

  • @crershawmafia1009
    @crershawmafia1009 Рік тому +3

    Gwajima unazingua 😀

  • @godsonmosi8428
    @godsonmosi8428 Рік тому

    Hivi Gwajima alishabadilisha wale watu wa kawe alosema wataenda ulaya sijui Birmingham??,na wa Birmingham waje Kawe??

  • @jamesmolle851
    @jamesmolle851 Рік тому

    Bunge la Tanzania wana nchi wamesawilika kweli

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 Рік тому

    Gwajima .muongo tu.amezoea kudanganya watu anahisi yp .kanisani .anadanganya watu eti anafufua🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @samwelsengati1369
    @samwelsengati1369 Рік тому

    Nmegundua kilichopo gwajima tulia baba ww una miaka mi3 tu.

  • @rashidlwengo6940
    @rashidlwengo6940 Рік тому +1

    Gwajima acha siasa hapo sio kanisani

  • @dandassimon3116
    @dandassimon3116 Рік тому

    Jaman tunasikiliza sana bunge lkn utendaji bado , natoa mfano wa sehemu iitwayo mlandizi barabara ya kwenda bagamoyo ukimaliza kilima cha jeshi la jkt . Mkono wa kulia kuna barabara ya kwenda mihande sekondari na Dossa aziz kekondari hii ba

    • @dandassimon3116
      @dandassimon3116 Рік тому

      Natoa hoja barabara sio nzuri, ukiangalia yamehodiwa maeno makubwa unukuta mapori . Halafu viwanja vinauzwa cjui hata kijiji kinafaidika na mauzo au vp halafu vwanja huku mihande hvijapimwa wtu wnajenga ovyo ovyo tunaomba serikali itusaidie shule za msingi ziko mbali sana hata dispensar hamna, kituo cha polisi hamna( ENEO MIHANDE, KEKURUTI . ) srikali ije iangalie yote niliyoyataja ya huduma ya jamii, maji yenyewe shida.

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Рік тому +16

    Gwajima na lissu wanaona mbali sana hawa watu🙄🙄

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 Рік тому

      wote nimegundua ni wale wale tu chumia tumbo.
      yaani 80% iondoke kweli? na mtaji ni wetu na makaa ni yetu, na vibarua ni sisi, kweli? Akili gani hiyo?
      ufisadi mtupu

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 Рік тому +2

      Mheshimiwa nakukubali sana lakini kwenye hui mradi unachemka baba. Naogopa usipoteze heshima yako mkuu. Kutetea hoja ya kuibiwa 80% kwenye mali zetu wenyewena kwa mtaji wetu na ngivublazi zetu kwa kweli huo ni utapeli na ubeberu wa hali ya juu sana. Naona kama itakuharibia sifa yako askofu. Tumekuzoea ukitetea taifa lako na watu wake kwa nguvu zako bila woga sasa kuanza kushabikia wachina dhidi yetu ni kujikoroga mkuu. Tunaumia.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 Рік тому

      Jamani hawa wachina hawawekezi mahali bila kuhakikisha wanafaidika wao zaidi kijana janja.
      Yaani pesa yetu wenyewe, madini yetu wenyewe, vibarua tuwe sisi wenyewe halafu pesa karibu yooote wachukue wao, kweli? huo ni uzandiki gani? Askofu hata kwa Mungu ni dhambi.
      Mungu hatatuelewa.
      kama ni wataalam bora tuwaajiri tuwalipe lakini tuchimbe wenyewe makaa yetu.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 Рік тому

      mbali wapi?

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 Рік тому

      mkuu uzalendo wako unaishia wapi tena? mbona unashabikia wachina kututapeli? wachona wenyewe wanatunyanyasa sana makazini huko hawatupi thamani ya kutosha. washindwe na walegee

  • @demetriajohn2393
    @demetriajohn2393 Рік тому

    Gwajima rudi kanisani hapa hapakufahi tena unakoelekea si pa zuri,mwishowe utapata dhambi bure. Kama bado akili yako inawaza fedha iliyo andikwa kwenye karatasi tu unaipigia hesabu ya miaka 💯 ❗ kana kwamba hiyo ela iko tayari kwenye account ,❗😏😭

  • @fundimwandambo4506
    @fundimwandambo4506 Рік тому

    Aliehusika hayo tu na mengine atangazwe hadharani na ahukumiwe,wengine wataogopa lakini hii kufichaficha ,wengine wanaendelea Kwa sababu hawatawekwa public,na watakuwa na mbinu za kujinasua,miaka 61 ya uhuru hatuna kipau mbele Kila siku mara hili mara lile , what's wrong,tumesia ya Ghana na Kenya?tuendelee tu

  • @omaryiddimonna4236
    @omaryiddimonna4236 Рік тому

    Mhh!!! mchungaji umelambishwa asali nn? mbona umeshupalia sana

  • @athumanhassani805
    @athumanhassani805 Рік тому

    Haiwezi kuwa wabunge wote ccm ikiwa hakuna hoja yamsingi mnakutana kwenye vikao vyachama

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Рік тому

    Sasa mnabishana wenyewe Kwa wenyewe sisi wananchi je,!

  • @alexanderjustine1523
    @alexanderjustine1523 Рік тому

    Nileteeni Gwajimaaa

  • @yudaseleman8320
    @yudaseleman8320 Рік тому +1

    Gwajima ameshanunuliwa na makuburu kueni nae makini

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 Рік тому +2

    HOJA KWA KWA HOJA IS GOOD

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op Рік тому +1

    Gwaji keshanunuliwa nini?

  • @piniellaizer5753
    @piniellaizer5753 Рік тому +1

    Ole sendekaaa orbungeiii lang tanywaaaa naleng

  • @Nedjadist
    @Nedjadist Рік тому +15

    Ovyooo. Sasa nimeona: Tanzania tunaumizwa na mambo mawili makubwa: okosefu wa elimu, maarifa na uelewa wa kuendesga serikali, mashirika na taasisi, hasa katika kiwango cha kimataifa. Pili: uchu uliokithiri wa watendaji, kiasi mwekezaji akifika tu midomo ya watendaji inapanuka, hata kama hicho anachokitoa ni kidogo na hakina maslahi kwa taifa, ilmuradi mtendaji amekula!
    Kwa kifupi: ujinga na ufisadi.

    • @benmuberwa2092
      @benmuberwa2092 Рік тому

      Wote wana-miss a very important point. Huwa serikali haithamanishi raslimali zilizo chini ya ardhi kabla ya kuamua kila muhusika apate share kiasi gani? Tunayo madini yenye thamani zaidi ya 60 billion dollars (tani zaidi ya million 400 za mkaa mbali na thamani ya madini ya chuma) harafu tunampa mwekezaji share 80% na sisi kubakia na 20% kwa sababu mwekezaji anatoa 3 billion dollars za uwekezaji. Huu ni wizi mkubwa kwa nchi yetu. Siku za karibuni sina imani na wachina

    • @Nedjadist
      @Nedjadist Рік тому

      @@benmuberwa2092 Achana na propaganda za Wazungu. Wizi wa Mchina huwezi kuufananisha hata kidogo na wa Wazungu. Angalau Mchina anakufanyia yanayoonekana. Ni hulka ya binadamu wanapomkuta mtu bwege, mpumbavu mwenye mali nyingi asiyojua thamani yake, kutaka kumwibia. Its normal.
      Serikali zetu hazina watu wenye hekima wala uzoefu.
      Serikali inashindwa nini kutenga watoto 20 wa Kitanzania wende wakasome elimu ya yote yanayohusika na uchimbuaji, uyeyushaji, nk. Warudi baada ya miaka 5, iwatengee pesa na vifaa halafu tufanye wenyewe? Tumwajiri consultant tu mwenye uzoefu, aliyewahi kufanya.
      Serikali isiyokuwa na imani juu ya uwezo wa raia wake ndiyo inakuwa hivyo. Acha igongwe.
      Na hilo ni a tip of an iceberg.
      Umejiuliza: miaka 50 sasa ya Tanzanite, tuna nini cha kuonesha. Hata walidiriki kummilikisha MSouth Africa....sijui hata kama alilipa 2%!
      Wakati huo huo, umaskini unazidi kuliko juzi!

  • @bungesabaya8062
    @bungesabaya8062 Рік тому +4

    Kwaji boy hapo we unatupoteza, we nenda kaubiri umeongea pumba kabisa bola ukaye kimya

  • @pastorstevenmdoe5143
    @pastorstevenmdoe5143 Рік тому +4

    Gwajima haeleweki kabisa nini amachotetea

  • @lubatikoseme9412
    @lubatikoseme9412 Рік тому

    Viongozi wengi wa tanzania hawana elimu bora na hawashahuriki

  • @idrisakassim3533
    @idrisakassim3533 Рік тому

    Yaani mzee olesendeka ananifurahisha sana anaonekana anajua madudu mengi sna kwenye hii nje lkn katulia tu anaangalia nchi inavyofirisika na wanaofirisi anawajua kweny majina katulia tu yey mamb yake yanaenda

  • @mohammedadam8261
    @mohammedadam8261 Рік тому

    Huyu gwajima kuna kitu ndani yake ,ila.mungu atunusur make watu wakobusy kutetea ugali wao

  • @fundimwandambo4506
    @fundimwandambo4506 Рік тому

    Kuondoa haya yote tulete Sheria za china MLA rushwa aliwe shingo yake yataisha haya,tusiumizane vichwa kuwajadili watu ambao wamekaa juu ya viti virefu wanatuangalia Kwa chini tuko shimoni

  • @JohnMusanze
    @JohnMusanze Рік тому

    Gwajima tulia wenye uelewa wakuelimishe

  • @demetriajohn2393
    @demetriajohn2393 Рік тому

    Gwajima umepotea leo

  • @patkrinsliy7389
    @patkrinsliy7389 Рік тому +10

    Katika hili Gwajima amethibitisha kuwa ni fisadi

  • @sionloimooja1886
    @sionloimooja1886 Рік тому +3

    Mnakumbuka shuka asubuhi! Uchaguzi is around the corner

  • @abdallahbashiru7404
    @abdallahbashiru7404 Рік тому

    Juma

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 Рік тому

    Kwnn mikataba mingi ya nishati&madini huwa kuna dalili za kupigwa zaidi?

  • @mashakalonka7767
    @mashakalonka7767 Рік тому

    Ole Sendeka anaongea anachokijua sana,ila askofu unaanza kupoteza mwelekeo!.

  • @patrickngumbi2766
    @patrickngumbi2766 Рік тому

    Mimi nafikiri kwa haya yoooote yanayotokea na kuendelea kias hiki ni dhahiri CCM imekwama kwenye suala hili la uwekezaji zaid tunachokiona ni kuchezewa akili, watanzania tuwawajibishe tu hawa CCM na serikali yake wanatuchezea tu akili

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye Рік тому

    Tunataka madai yetu tulipwe ya waliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya arusha

  • @najimmakongoro8024
    @najimmakongoro8024 Рік тому +2

    Gwajima Too much know

  • @edwarddaniel7459
    @edwarddaniel7459 Рік тому

    Gwajima hukubahatisha kuingia bungenii na mmebakii wachache sanaa ambao mnauwezo mkubwa...

  • @papajosephatjuniorlaizer6016

    Huyu ni mzalendo ayeona mbele sana

  • @deogratiuskweka8488
    @deogratiuskweka8488 Рік тому +8

    Anyway, kwa miaka zaidi ya sitini Tanzania tumeshidwa kusomesha watalaamu wa kuchimba hayo makaa na chuma kweli? Issue inayo onekana hapa sio pesa, ni elimu, mchina anakuja na akili yake anakopa kwa mgongo wetu na anataka 80%. Kwanini tusichimbe wenyewe? Na kuajiri waatalumu kutoka n’nje kuwalipa wanachotaka, na kufanya kazi na watanzania kwa kipindi fulani mpaka tutakavyoweza kundesha wenyewe… Hata huyo mchina atakuja na waataalamu hao hao ambao tungweza kuanza nao taratibu wenyewe… Hilo shirika madini linafanya nini? Kwanini wasiajiri watalaamu kutoka n’nje na kuwalipa. Hata n’chin nyingine zinafanya hivyo, kama uarabuni… wazungu ndio wanaendesha mashirika makubwa kwa muda fulani…