SIRI YA MAUAJI YA KIBITI YAFICHUKA:POLISI NA WANAJESHI WALIVYOHUSIKA/KAZI INATISHA....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 бер 2023
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    MAHOJIANO KAMILI NA YERICKO NYERERE TEMBELEA LINK....
    • KOMANDO ALIYETAKA KUMP...
    #kibiti #polisi #tanzania

КОМЕНТАРІ • 25

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 Рік тому +2

    Safi ndugu yangu huyu mtu unayemuhoji ni vry exceptional yan ni muhimu sana sana

  • @dar24media
    @dar24media  Рік тому +3

    KWA KUTAZAMA MAHOJIANO KAMILI TEMBELEA LINK KWENYE SEHEMU YA DESCRIPTION HAPO JUU

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 5 місяців тому

    Absolutely 💯 💯 💯 😊

  • @shijamarco2662
    @shijamarco2662 Рік тому +4

    Bahati mbaya kipindi cha Magufuli

  • @SafariMsafi-um1pz
    @SafariMsafi-um1pz 4 місяці тому

    Viva mamelody wapige 4-0

  • @abuujihad8411
    @abuujihad8411 Рік тому

    polisi hawajashindwa kibiti ebu fatilia kwanza polisi wamefanya kaz nzr sana

  • @jacobmwalituke8981
    @jacobmwalituke8981 Рік тому +1

    Heading na content tofauti,acheni upumbavu wenu basii

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 2 місяці тому

    Hapo nakuelewa nchi kwanza ss tumbo kwanza

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 Рік тому +3

    Huyu anayehubiri ni nani? Halafu kichwa cha habari na maelezo yake ni tofauti.
    Kichwa cha habari kimewekwa kulipaka matope jeshi.

  • @matukimerchant5170
    @matukimerchant5170 Рік тому +2

    Anyway umetudanganya kwa kichwa Cha habari. Lakini je, ninawezaje kupata hiki kitabu chako Yeriko?

  • @izackngairo7525
    @izackngairo7525 3 місяці тому

    Kichwa cha habari na maelezo tofaiti mwongozo wako

  • @papaj6795
    @papaj6795 5 місяців тому

    Kwenye usalama wa nchi Raisi au waziri mkuu wa nchi unazoongelea anaweza kuingia sehemu yoyote my friend Chunguza kwa makini sana Mimi ni nimefanya na jamaa hawa unawaoongelea zaidi 25 years so jaribu kutafuta kwa makini anything to do with National security they don't joke.

  • @user-uo9tq8cc7q
    @user-uo9tq8cc7q 10 місяців тому

    Kweli kibiti polisi walichemka jwtz ndio waliokwenda kuweka mambo sawa pakatulia

  • @emmanuelywambura2006
    @emmanuelywambura2006 Рік тому

    Pumbavu uwezi kuwandika Historia hiyo mjinga sana

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 Рік тому +2

    Wewe ni nani Kwanza

  • @dototwince5096
    @dototwince5096 Рік тому

    Kichwa Cha habari na story tofauti

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 Рік тому +1

    Kitabu nakipataje

  • @emmabrownmissana6996
    @emmabrownmissana6996 Рік тому +1

    Mdomo utakuponza mdogo wangu!

    • @peterjosephat6685
      @peterjosephat6685 5 місяців тому

      Mdomo utamponza kivipi achakutisha watu kwa ujinga wako

  • @openmindtz
    @openmindtz Рік тому +3

    No audio why?

    • @dar24media
      @dar24media  Рік тому

      Tazama vizuri kifaa unachotumia yawezekana kina tatizo la sauti, karibu na utazame mahojiano haya

  • @christinapaul2957
    @christinapaul2957 Рік тому +1

    😂😂😂😂😂ugoro

  • @raheemmfaume648
    @raheemmfaume648 Рік тому

    Kitabu kinaitwaje ??

  • @ashaseleman
    @ashaseleman 6 місяців тому

    Muongo huyo hajuichochote

  • @emmanuelywambura2006
    @emmanuelywambura2006 Рік тому

    Kwanza ujipendi wewe