KIGOGO POLISI MWANAMKE ADAIWA KUJARIBU KUMUUA MUME WAKE KWA KUMTUMIA MAJAMBAZI AKIINGIA NYUMBANI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 252

  • @jacksonjasson8823
    @jacksonjasson8823 9 місяців тому

    Mungu akulinde

  • @StellaRemi
    @StellaRemi 9 місяців тому +1

    Mbona mmemficha sura wakati ingelikua ni raia wa kawaida mweka hazarani, kwani yeye ni nani? Lakini mjue mungu hafichiwi

  • @thehopetv2930
    @thehopetv2930 9 місяців тому +21

    Kwakua watu wamemkosa MUNGU ndio maana unyama unaendelea kila siku

  • @zawadijuma9681
    @zawadijuma9681 7 місяців тому

    Duuu arusha bwan😢😢

  • @ruthjapheth174
    @ruthjapheth174 9 місяців тому +2

    We mwanamke huna.hata hofu ya Mungu Mungu anakuonaa

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 8 місяців тому +1

    Hiyo ndio shida ya 80 percent ya wanawake tanzania, pakiwa mafanikio hadi pawe mauaji...

  • @lordymawoiya5818
    @lordymawoiya5818 9 місяців тому

    Watu wa kanda ya c huwa wanalindwa ndiyo zababu alikuambia utajuwa ni wa huko no kesi

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 8 місяців тому

    😮WATANGANYIKA WATU WABAYA SANA HAWANA IMANI .SHIIIIIIIIT

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 8 місяців тому

    Very sad, 3 milioni kumtoa mtu roho ???!!!!! Ee mwenyezi mungu dunia imeisha . Pole sana mzee

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 9 місяців тому

    Huyo ndiyo mwanamke. Kiumbe hatari xana

  • @beatricefredilick1646
    @beatricefredilick1646 9 місяців тому +2

    Kama ni kweli amepoteza sifa za kuwa mtumishi was umma

  • @EddahBure-te7ft
    @EddahBure-te7ft 9 місяців тому +2

    hiyo nyumba tu inatisha 😢

  • @issamatola2031
    @issamatola2031 9 місяців тому +20

    Kila siku naawambia police ndio wanafuga wezi na majambaz wanajua walipo

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 9 місяців тому

    Mungu anawaona unyama wenu

  • @DatiusBurchard
    @DatiusBurchard 9 місяців тому

    Eheee Wanawake mmetufikisha hapo kwel? Chukuen hatua Kal.

  • @HuseniMsumba
    @HuseniMsumba 9 місяців тому +7

    DUU!?😭😭😭TUMEKWISHA TENA ETI POLICE?!!!!,

  • @ZawadiMgeni-l6r
    @ZawadiMgeni-l6r 9 місяців тому

    Naomba sheria ifuate mkondo wake

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 9 місяців тому +14

    Inakuwaje huyo police kuendelea kufanya kazi na uchunguzi ni muda gani wakati kuna mtu amekiri ametumwa na messages zimekutwa kwa kaka wa huyo mwanamke . Hapo police wanalindana maana askari wa Tanzania ni waharifu na majambazi

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 9 місяців тому

      Hakuna namna haki ifanyike Dunia ya kimtandao huwezi zuia

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 9 місяців тому +5

    Hongera sana Baba Kwa kumsaidia mwanao

  • @GodwinMaphie
    @GodwinMaphie 9 місяців тому

    Duuuh

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 9 місяців тому +2

    Tamaa mbaya kwer

  • @glorymsopa4221
    @glorymsopa4221 9 місяців тому +1

    Viongozi ndio anasababisha
    Mauji tna haswa viongozi wa serekali

  • @SamoniMwatile
    @SamoniMwatile 9 місяців тому

    Uchunguz Gani mnataka kuufanya nyie kizaz Cha nyoka , kenge wenu huyo mwenye roho mbaya kuliko hata lusifa mwenyewe , xaxa hapo mnataka muipotezee majambazi nyie

  • @AmedeusMbanda-gh4rj
    @AmedeusMbanda-gh4rj 9 місяців тому

    Baziyao wanawake wamekua mashetani,

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 2 місяці тому

    Hili jeshi la polisi 😢😢😢😢

  • @ErickKilipamwambu
    @ErickKilipamwambu 9 місяців тому

    Huyo mwanamke mnyama kweli

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 9 місяців тому +1

    Mungu Ni Mwema Ameyaweka Wazi Mambo Hayo.

  • @AminaRamadhani-gx8yr
    @AminaRamadhani-gx8yr 9 місяців тому

    Amna Cha kigogo Wala asikari apo Sheria ifate mkondo ,

  • @MgoriHc
    @MgoriHc 9 місяців тому

    Kuna kitu hakipo sawa

  • @Salimdid
    @Salimdid 9 місяців тому

    Wafungwe maisha

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 9 місяців тому

    Hiyo Mikoa mmmh

  • @hamadimgaza9351
    @hamadimgaza9351 9 місяців тому

    Jeshi letu limejaa wahuni wengi

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 9 місяців тому +4

    Pole sana baba.mungu aendelee kumlinda na kumnusuru mwanao kwa mengine na mengine.tunaiomba sheria ifate mkondo wake.huyo mama afunguliwe kesi ya mauwaji japo ni police hayuko juu ya sheria.

  • @BeatriceSaid
    @BeatriceSaid 9 місяців тому

    Huyo mwanamke ni kichaa afungwe maisha

  • @rogersdavis3058
    @rogersdavis3058 9 місяців тому

    🤣 kapata kanyota juzi tu tyr ameanza kukodi watu

  • @fatmaabeid9668
    @fatmaabeid9668 9 місяців тому +2

    Maaskari hawaaminiki Tanzania mmm😢

  • @ChristinaMaphie-rj3ns
    @ChristinaMaphie-rj3ns 9 місяців тому

    Hao si wakuachs kabisa

  • @jackbillionaire
    @jackbillionaire 9 місяців тому

    Njaa mbaya sana

  • @bornifacecharles2
    @bornifacecharles2 7 місяців тому

    Hapa hakuna vha uchunguzi akamtwe akae ndani ndo uchunguzi uendelee mambo gani hayo.

  • @juliethmziray
    @juliethmziray 9 місяців тому

    Ndoa ndoano😢

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 9 місяців тому

    😢

  • @LeahMagembe
    @LeahMagembe 9 місяців тому

    Anataka Mali uyo abak nayo mwenyewe nyooo

  • @jamesriwatuvana9561
    @jamesriwatuvana9561 9 місяців тому

    Kwaiyo huyo polisi anawajua majambazi, du!

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 8 місяців тому

    MILIONI TATU SI KITU KWA KUZUDHULUMU NAFSI YA WATU .WATANGANYIKA NJAA SANA 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @twahaissack7887
    @twahaissack7887 9 місяців тому

    Unalalaa n mwanamkeee anakuuuaaa

  • @roseshirima9365
    @roseshirima9365 9 місяців тому

    Haki itendeke

  • @jackbillionaire
    @jackbillionaire 9 місяців тому

    Afutwe kazi na afungwe maisha.. Ni mwuhuwaji

  • @AsiaRajab-c5u
    @AsiaRajab-c5u 9 місяців тому

    Anatakiwa achukuliwe hatua Kali kabsa wasiangalie uwaskali wake kabsa

  • @TedyChiguru-sm1nr
    @TedyChiguru-sm1nr 9 місяців тому

    Kama mwanaume amekushnda SI unaachana name jaman Kwa nn umuue

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 9 місяців тому

    Apo ndo tunashangaa, uchunguzi gani wakati maerezo Yako wazi

  • @aeneaakundaely8691
    @aeneaakundaely8691 9 місяців тому

    ili jambo lifikishwe kwa waziri wa ulinzi uyu polic amekua changamoto pia kwa ata kwa jami

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 9 місяців тому +1

    Duuu ana roho ngumu sn

  • @shamslukumay2627
    @shamslukumay2627 9 місяців тому +1

    Milioni 3 kianzio laki nne+ kuua mtu+polisi=majambazi wakarushwa hela sijui nataka kusemaje ila tutangulize utu na hofu ya mungu

  • @judymarcus6445
    @judymarcus6445 9 місяців тому

    aende jela kwanza malimali zinatafutwa tuu pumbavu zake hutu mama

  • @rukianyakawaga6465
    @rukianyakawaga6465 9 місяців тому

    Kweli ndoa ngumu jamani, unaishi na muuaji ndani

  • @RobertMachenga-tz3re
    @RobertMachenga-tz3re 9 місяців тому +2

    Hawa woote Ni watu àmbao walikuwa Ni waharifu sasa walichookuwa wanakitafuta Ni kuuana tu ila huyu mwanaume bado mungu anampenda hapo Cha muhimu waachane tu na hiyo Askari wa like afukuzwe kazi hafai Tena kwa kazi ya polisi.

    • @godwimmkolomi8988
      @godwimmkolomi8988 9 місяців тому +1

      Haki iliyotumika katika shauli la mzee aliebambikiwa pembe la ndovu na askali waliofungwa miaka 20 ndio itumike ktk kesi hii pia Dada uyu mkaguzi wa police anatuhumiwa kutuma watu wamuue mumewe.ametumia.vibaya taaluma yake na utu wake vibaya kutoa pesa kwa wayu waue mtu nu uuaji pia wa makusudi sheria ifate mkondo wake

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 9 місяців тому

    Jaman unyama umezidi wanawake, kwa nn lkn tumwogope Mungu .

  • @shakirakalumuna6108
    @shakirakalumuna6108 9 місяців тому

    Si bora sngeondoka kuliko kummuua kijana wa watu . Kaozee jera

  • @idrisamakupula7211
    @idrisamakupula7211 9 місяців тому

    Niko paleeeeee,hakuna hatau atayochukuliwa

  • @noelarhobininestide5190
    @noelarhobininestide5190 9 місяців тому

    huyo mkewe kigogo tumuone

  • @kenonpeter3692
    @kenonpeter3692 9 місяців тому

    Nikweli

  • @GamaRacing123
    @GamaRacing123 9 місяців тому

    mamamee yanii mtuu unakaa naee unachekaa naee kumbee mkatilii iviii

  • @OnesmoAndrea-j9u
    @OnesmoAndrea-j9u 9 місяців тому

    Sasa siakamatwe muuaji huyo mbona wanawake mnawabeba Sana hivi ingekua ni mwanaume mngekua mnambembeleza

  • @HawaOmary-bq7uc
    @HawaOmary-bq7uc 9 місяців тому

    Duu kama mmechokana niheri mtengane

  • @josephsanga9317
    @josephsanga9317 9 місяців тому +2

    Mtuhumiwa polisi wachunguzi polisi hii kweli sawa

  • @elizamartin1023
    @elizamartin1023 9 місяців тому

    Afunwe maisha huyo.mke ni muuwaji kwani alivyokubali kuolewa si alikujua kuwa mlevi.

  • @sirielsamweli
    @sirielsamweli 9 місяців тому

    Jamaniiii binamu yangu

  • @yohanaaloniyohana8266
    @yohanaaloniyohana8266 9 місяців тому +1

    Nayeye akatwe napanga kama anaweza kuvumilia maumivu yake😡

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 9 місяців тому

    Wewe mpumbavu unayesema wamachame wanaua ukome mbuzi weww

  • @mariamngoha639
    @mariamngoha639 9 місяців тому

    Uchunguzi uchunguzi serikili yetu hii shida tupu

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 9 місяців тому

    Askari yoyote ni muuaji na jambazi na muuaji,ukimuoa au kuolewa naye una hasara.

  • @TeacherBoda
    @TeacherBoda 9 місяців тому +1

    Hawa wanawake jamani khaaaaa

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 9 місяців тому +1

      Mkuu sio kwa kuowa huko kaskazini hao sio wanawake wao pesa mbele na utajiri , yaani huko kama kuoa ni mmasai na muiraqw hawana tabia ya kuuwa waume zao ili wachukue utajiri

  • @ShafiRashidi-p7e
    @ShafiRashidi-p7e 9 місяців тому

    Kaka hii inaitaji coment ya kistrabu kweri

  • @jamilahsakina1561
    @jamilahsakina1561 9 місяців тому

    Ila jamani mume wako baba wa watoto wako
    Aise Mungu ninusuru siwezi kumuuwa mume wangu mpz Aise kama mmeshindana achaneni tu na ukiachwa achika🙌🙌🙌🙌😝😝😝😝

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 9 місяців тому +1

    Yote tamaaa ya kurisi wanawake hawa

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 9 місяців тому

    Juzi juzi 2 m2 kaingiziwa chupa leo tna police

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 9 місяців тому

    Wachaga mna nini jamani hapo ugomvi nimali tu

  • @mwijagenelsoni357
    @mwijagenelsoni357 9 місяців тому

    Hapa chanzo ni kusalitiana kuna mmoja kashagawa Uchi anaona mwenzie hafai tena anambana

  • @LeopardAmoskomba
    @LeopardAmoskomba 9 місяців тому +6

    Ugawane mali na muuwaji huyo. mwanamke akakae jera maisha yake yote pumbav

  • @SilyvesterElisha
    @SilyvesterElisha 9 місяців тому

    Kwanini umdhuru muache akiwa mzima kama ulivyomkuta

  • @AishaSwalehe-c7d
    @AishaSwalehe-c7d 9 місяців тому

    Mmmh

  • @AllyIbrahimu-q1y
    @AllyIbrahimu-q1y 9 місяців тому

    Kumbe polisi majambaz mnawajua eeh

  • @fatumasukwaju226
    @fatumasukwaju226 9 місяців тому

    Naogopa naogopa.Sisi tutaponaje?

  • @KasimuRamadhani-x7d
    @KasimuRamadhani-x7d 9 місяців тому

    Akipatikana na hatia afungwe

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 9 місяців тому

    Dawa yamoto nimoto wenyewe nae aonje utamu wakukatwakatwa napanga siwanaona raha akatwe yeye nawewe mwanaume ondoka hapo hakufai huyo mungu niwako ndomaana uko hai hataaombe msamha usimsikilize

  • @judiththobias5132
    @judiththobias5132 9 місяців тому

    Dhambiiiiiiiiii mweeeee

  • @josephatemmanuel458
    @josephatemmanuel458 9 місяців тому

    Mzee ulikuwa wapi kabla ya matukio kutoakea?
    Acha uongo we mtu mzima,kwani kunahatua zingine za kisheria mbona hukulipoti?

  • @MeemOman-p2l
    @MeemOman-p2l 9 місяців тому

    HUYO ASIKARI. AKAMATWE. MAMA. SAMIA. RAIS. MAMA. SAMIA INGILIA. KATI.

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 9 місяців тому

    Mm nilikataa siwezi kuoa askari polisi au mwanajeshi ni hatari ukikosea kidogo tu unachezea kichapo

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 9 місяців тому +10

    Police ilitakiwa ivunjwe iundwe upya imejaa wauwaji wengi kwenye jeshi mfano huyo police muuwaji halafu wanalindana kuna watanzania wengi wasio Na hatia wanafia mikononi mwa police au wanaumizwa na kutiwa vilema vya kudumu

  • @furahinimbise7969
    @furahinimbise7969 9 місяців тому

    Kazi ya uaskari ni laana

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 9 місяців тому +1

    Mtihani na ikiwa kweli nifedheha kubwa viogozi mnayaona haya nifedheha kubwa inatakiwa uchunguzi ufanyike tena wa kina

  • @kenonpeter3692
    @kenonpeter3692 9 місяців тому +1

    Mbaya sana serekali hichukuwe mkondo wake kwa mujibu washereria 3:05

  • @benedictntilla6943
    @benedictntilla6943 9 місяців тому

    Kama asipoangalis hakuna kesi hapo Wana tabia ya kulindana wauaji wote hao.

  • @godykambali3412
    @godykambali3412 9 місяців тому

    Unatoa uhai wa mtu kwa milioni 3?

  • @FridaMmari
    @FridaMmari 9 місяців тому +2

    Hee shida ni nyumbaa au nini? Dada police

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 9 місяців тому +1

    Jaman we mwana mke mwezetu Mbona una roho mbay ivo

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 9 місяців тому

      Ingekuwa mwanaume ukiishi Maeneo ya Arusha razima uwe katili

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 9 місяців тому

    Inauma jameni naskiya handi kuliya

  • @ototek8037
    @ototek8037 9 місяців тому +2

    Kawakodi majambazi..kesho utasikia uhalifu umetokea na majambazi wanatafutwa pia awajulikani wanafanya upelelezi.
    Polisi ni majambazi na majambazi ndo polisi, yani amanai na usalama wa mali zetu wao ndo waamuzi.

  • @godfreyobadiah7892
    @godfreyobadiah7892 9 місяців тому

    Kama ni mapenzi busara itawale tusitoane roho tuchepuke kupooza jazba !