MAUAJI YA KUTISHA YALIVYOFANYIKA:MAJASUSI WA KOREA WALIHUSISHWA/ALISHWA SUMU KALI/KIMJONGUN |PART 02

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Mnamo tarehe 13, mwezi wa pili mwaka 2017, mauaji ya kutatanisha yalifanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa, katika taifa la MALAYSIA, Kuala Lumpur International Airport (KLIA),
    mauaji haya yakikatili, yalifanyika katika namna ya kipekee, na yaliyohusisha watu wenye ufundi wa hali ya juu katika kutekeleza, maswali mengi yaliibuka kuwa ni kina nani waliyohusika katika mauaji hayo..?
    Waliagizwa na nani na kwa kusudio lipi?....zipo sababu za moja kwa moja zenye kuhusisha mauaji haya na mkono mrefu wa mtawala wa KOREA KASKAZINI, muheshimiwa Kim Jong Un.
    aliye uwawa ni nani?....na upi ushirika wa mashirika ya kijasusi ya marekani kama CIA, na FBI katika mpangilio huu...
    KARIBU UFUATILIE MAKALA HII YA "MAELEZO" ILIYOKUANDALIA MAJIBU YA MASWALI YOTE KUHUSU MLOLONGO WA MAUAJI HAYA.....ASANTE
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #ujasusi #dupamdupange #maelezo

КОМЕНТАРІ • 13

  • @dar24media
    @dar24media  7 місяців тому +3

    Kwa kutazama makala hizi za "MAELEZO" usiache kufuatilia Dar24Media, kila siku ya jumapili saa tano kamili asubuhi...ASANTE

    • @MuhidiniLebba
      @MuhidiniLebba 7 місяців тому +1

      Yesssss tunasubil
      Mkali wa hizi kazi ni dupa mdupange

  • @Mkemia..Kirigiti
    @Mkemia..Kirigiti 7 місяців тому +4

    VX ni moja ya very active toxin ambayo ni artificially made, na ndani ya muda mfupi sana ina interfere enzymes ambazo zinahusika na kutanuka na kusinyaa kwa muscles ambayo husababisha kifo haraka sana. HAPO NIMEONGEA KITAALAMU KAMA MKEMIA. Nipeni like zangu😂

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 2 місяці тому

    Hii nomaa daaa

  • @mocomoja4229
    @mocomoja4229 7 місяців тому

    Ebwana we ndio top wa story za kijasusi

  • @yusuphrashid7145
    @yusuphrashid7145 7 місяців тому

    Story nzuri sana kaka dupa

  • @WilliamNamende-pc9ku
    @WilliamNamende-pc9ku 7 місяців тому

    Moto sana

  • @budodiun6269
    @budodiun6269 7 місяців тому

    Upo vizuri mzee

  • @amisindondi4549
    @amisindondi4549 7 місяців тому

    Hapo umegusa mtima brother tuandalie stori kalikali

  • @ngadumbishi1405
    @ngadumbishi1405 7 місяців тому

    Kipindi kizuri kazi nzuri 👏

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 7 місяців тому

    Hatari sana

  • @fahadbabuy
    @fahadbabuy 7 місяців тому

    Picha imebanduka nyuma huko 😂😂😂😂😂

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 7 місяців тому

    KIM JONGUN ALISOMA SWESSLAND NA AMEISHI