BAHARIA ALIYEZAMIA MELI "DAR":NILIKOSA PUMZI/NAKATA ROHO/NILIINGIA MELI YA WAUAJI/WAGIRIKI..02

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Yahaya Mohamed, Akiwa mwenyekiti wa zone namba 08, katika soko la samaki la kimataifa la
    feri, jijini Dar es salaam, anatuhadithia mkasa wa maisha yake katika kipindi cha MBANGA, akiwa ni mmoja wa wasafiri wachache waliyowahi kuzamia meli katika bandari ya Dare es salaam,
    Mkasa wake unasisimua, kufundisha na kuelimisha, karibu katika mahojiano haya uweze kujifunza na kuburudika hii ni...MBANGAAA.....
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #mbanga #baharia #dupamdupange

КОМЕНТАРІ • 22