MSWAHILI NI NANI #3 | ABDURAHIM ALI BAKATHIR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 167

  • @mwangigitau286
    @mwangigitau286 4 роки тому +7

    As a historian I am lucky to come across this man, I would want to meet him in person, he is a man of great insights and well informed. Over 90% is information I have done research on and it's amazing just how it is flowing from his mouth. Sijui kama bado anafunza na a nafanya siku ipi na Wapi na kama watu was io waislamu wanakubalishwa.. I would love to attend one of his lectures

    • @zoenjeri4010
      @zoenjeri4010 4 роки тому +3

      me to!!! I'm so shocked. He makes much sense and sheds some light on the elements that were missing

    • @deandrerobert8264
      @deandrerobert8264 3 роки тому

      I guess Im asking randomly but does any of you know of a tool to log back into an instagram account?
      I somehow forgot my password. I love any tricks you can give me!

  • @yaasirhakim501
    @yaasirhakim501 2 роки тому +1

    We mzee ni hatarii, hongera sana

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 3 роки тому +1

    Mashaallah huyu mzee nikiboko Allah amhifadhi

  • @HassanMorowa
    @HassanMorowa 6 років тому +5

    Mashallah! Habari zilizo na uhakika ingawa kuna mawili matatu hayaafiki. Kuna mito kadha wa kadha inayo anza kusini kuelekea kaskazi, Kwa mfano mto nile, Niagara na Tenessee

  • @mohamedhorsed1135
    @mohamedhorsed1135 3 роки тому +1

    Mimi ni msomali na amini waswahili ni our brothers sa siyo wa arabu na wa bantu . So our brothers protect you land ya bwani ,na mjue bweni si kenya na NFD si kenya .

    • @الحقيقهمره-ج2ث
      @الحقيقهمره-ج2ث 3 роки тому +1

      are u stoubed

    • @QOOQ8808
      @QOOQ8808 2 роки тому +5

      Fitina! Kawaida yenu hiyo.

    • @rabbithare381
      @rabbithare381 2 роки тому +2

      Hey sasa hiyo story yako imetoka wapi??? Na Hiyo "bweni " unataja hapo ni sehemu gani ndani ya Kenya... Get your facts right before writing nonsense.. By the way I'm somali too.

    • @umojapress2857
      @umojapress2857 2 роки тому

      @Yusuf Abdallah Leteni vita

    • @emmanuelgathara696
      @emmanuelgathara696 2 роки тому +2

      @@QOOQ8808 Hawa watu wanataka Swahili coast yote okie yao na kunyakua port zenu walivyofanya Mji wa Mogadishu na Kisimayo. Former Swahili cities under Somali rule.

  • @kiswahili_mangat
    @kiswahili_mangat 2 роки тому

    Huyu atafutiwe mwalimu. Jamani anaongea mambo ya upuzi mtupu! God have Mercy! Hebu tuambie Nile inaanzia wapi na inaishia wapi?

  • @isackndashuka622
    @isackndashuka622 5 років тому +12

    River Nile inatoka kusini kwenda kaskazini

  • @suub9122
    @suub9122 3 роки тому +3

    Naomba kujua Asili ya Wajomvu

    • @maryamsaid1307
      @maryamsaid1307 3 роки тому +1

      N wagiriama n wakamba

    • @anwarsaid9579
      @anwarsaid9579 2 роки тому

      @@maryamsaid1307 kwl kabixa pia nina rafiki yng yuwasema yeye ni mjomvu lkn last name yke ni jina kikamba

  • @lysao5896
    @lysao5896 Рік тому +1

    Lamu comes from the word muyamu (muamu) meaning shemeji.

  • @lysao5896
    @lysao5896 Рік тому

    Swahili is an evolving language, you can associate yourselves with kiswahili terming yourselves waswahili or Bajun in order to coin an identity.

  • @arqamhassan6302
    @arqamhassan6302 6 років тому +1

    وقل رب زدني علما

  • @fatemamudathir6931
    @fatemamudathir6931 6 років тому +2

    mashaa Allah, mimi natafuta asili ya wa bajuni,( watiikuu)

  • @anwarsaid9579
    @anwarsaid9579 2 роки тому +4

    Wako waswahili wengi wenye pua pana na pia wako mijikenda wenye pua ndefu na pia weupe na nyele za singa na hajachanganyiwa

    • @eastzooadmin6416
      @eastzooadmin6416 2 роки тому +2

      Ndo athari za kuchanganya damu hizo, ila ukichunguza kwa ndani utapata mzee yuko sahihi katika hilo, japo kua suala la mito kuanzia kaskazini kushuka kusini sio kweli, hapo kafeli 😁

    • @anwarsaid9579
      @anwarsaid9579 2 роки тому +1

      @@eastzooadmin6416 kwaiyo hivyo anavyo sema mzee ati kabila la mtu mthizame pua yake sio kweli kuna kama hawa wajaluo na sio bantu na pua zao ni pana

    • @eastzooadmin6416
      @eastzooadmin6416 2 роки тому

      @@anwarsaid9579 Wajaluo asili hawana pua pana, na ni sio weupe, wala si wafupi ila baada ya kuchanganyikana na wabantu sana ndo wakapata hizo features, siku hizi unampata mjaluo mfupi, mwenye pua nene, rangi yake maji ya kunde na wengine ni weupe kabisa . Miaka mingi imeenda mzee wangu , tumechanganya damu sana, na ndo ukakuta kuna waarabu weupe/abiat, weusi/adam ama aswad na kuna wale wa asili haswa, wekundu/ahmar. Miaka imesogea watu wanatangamana na huku tunakoenda, haya makabila pia yatapotea mengi, itabaki kua story tu

    • @SWABRASWALEH-nc2lf
      @SWABRASWALEH-nc2lf 7 місяців тому

      Huyo mijikenda alio na pua ndefu ni mrabai ame mix na mzungu dr living craft

  • @mombasa7
    @mombasa7 Рік тому +2

    Nile goes North

    • @kitimwachiru7276
      @kitimwachiru7276 Рік тому

      Misri iko chini ya the great shungwaya ... walipotolewa utumwani walipanda juu kuelekea kanaani

  • @kitimwachiru7276
    @kitimwachiru7276 Рік тому +1

    Kaya zina zaidi ya miaka 600... historia inatukanganya... thibitisha bila wingi wa maneno

  • @Al-cb4hf
    @Al-cb4hf 3 роки тому +5

    River Nile which is one of the longest rivers in the world , flows from South to North and not from North to South.
    With all do respect this man doesn’t know the history of Arab or Africa or Swahili right.

    • @mkuki2000
      @mkuki2000 3 роки тому +1

      😂😂Clearly this old man is ignorant and very confused, he also says Maasai people are from Iraq 😂😂

    • @Al-cb4hf
      @Al-cb4hf 3 роки тому +1

      @@mkuki2000 Masai are from Iraq 😂 .. all I can say to him is الله يهديه

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 роки тому

      @@mkuki2000 not ignorent but he creaming before research

    • @mkuki2000
      @mkuki2000 3 роки тому

      @@hilalkhalfan1452 Yes! He is ignorant➡uneducated➡illiterate and foolish.

    • @JohnLac913
      @JohnLac913 2 роки тому

      He lost me right there. And he clearly doesn’t know anything about Bantu people.

  • @guleed7150
    @guleed7150 5 років тому +5

    Mahadi or( Mahadsanid/Thanks) Waad mahadsan tahay thank you and( Aad ayaa u mahadsan tahay:Thank you very much )
    (Waan mahaad qabaa:I am fine)

  • @aminaahmed9353
    @aminaahmed9353 3 роки тому +1

    This information is very useful. My question is has Bakadir written any book to propagate this information for future generations.

  • @abdinassirbullshit7897
    @abdinassirbullshit7897 4 роки тому

    I love this sheikh

  • @tahiraabdul1701
    @tahiraabdul1701 Рік тому +1

    Shungwaya ni Somalia....ndio wametoka mijikenda

  • @obedi84
    @obedi84 2 роки тому +2

    Babu river Nile inazia kusini kwenda kasikazini

  • @alimcheni6372
    @alimcheni6372 4 роки тому +1

    Assalamu aleikum sheikh nimekupenda sana na alhamdulilah nimepata fursa ya kujua kuhusu orign ya mswahili

  • @ayubuamani7332
    @ayubuamani7332 2 роки тому

    Sio vizuri kusema mtu mzima ni muongo lakini huyu mzee no muongo sana

  • @nassirsadi3525
    @nassirsadi3525 2 роки тому

    Sina lakusema

  • @_Ali001_
    @_Ali001_ 3 роки тому +3

    Sidhani kama huyu mzee alisoma na kama alisoma ywasoma alafu ywaamini kila kitu ywasoma. Wa-Iraqw ni kabila ya wa Cushite na kwao ni Tanzania hawana usiano na Iraq na inchi za Arabuni jina tu dio zafanana.

  • @francismuiruri9064
    @francismuiruri9064 3 роки тому

    Mhhh nice one

  • @fakiiahmedahmed8128
    @fakiiahmedahmed8128 2 роки тому

    MABWANA PANA TATIZO HAMULIONI HAPA HUYU MZEE MUSIMTUPIE MANENO,SABABU HAKUNA UKWELI WA HAKIKA KUWAHUSU WASWAHILI,WAGENI WAMEANDIKA HISTORIA ZAO UONGO ZAIDI YA HUYU MZEE.NA UZUSHI NA KEJELI.KILA MMOJA AJUA KIVYAKE.

  • @moisesall6712
    @moisesall6712 2 роки тому +1

    River nile yenda kaskazini ikianzia humu east africa ikenda masri

  • @anwarsaid9579
    @anwarsaid9579 2 роки тому

    Haya maneno ni ya kwl ati mgiriama yuwaita muhogo ngazija

    • @cepha30
      @cepha30 2 роки тому

      Ni kwel

    • @anwarsaid9579
      @anwarsaid9579 2 роки тому

      @@cepha30 bro ww ni mgiriama sio

    • @cepha30
      @cepha30 2 роки тому

      Yeaa

    • @anwarsaid9579
      @anwarsaid9579 2 роки тому

      @@cepha30 Oooh ok

    • @anwarsaid9579
      @anwarsaid9579 2 роки тому

      @@cepha30 mdigo yuwaita muhogo manga nae mbegu alipata kwa wamanga hahaha

  • @sharonnyiva
    @sharonnyiva Рік тому

    Kanaga ni nini

  • @hashkaaxmey1410
    @hashkaaxmey1410 3 роки тому +1

    Mufti

  • @Falasha28
    @Falasha28 6 років тому

    Mashaallah.

  • @HassanMohamed-vs4re
    @HassanMohamed-vs4re 3 роки тому

    Ok mwalimu itafute na history ya kilwa bagamoyo na sofaraa at

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 2 роки тому

    Mze wasema jina mahadhi ni mahadhi, naona sio kweli! Jina mahadhi asli yake ni mahdi na sio mahadhi ya nyimbo

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 3 роки тому +1

    Hapo kwa wa maasai ndipo ume teleza kidogo.... ingawaje naskia raha kuona mkenya anaye ki enzi kiswahili kwa moyo moja

  • @danbiyaka341
    @danbiyaka341 2 роки тому +1

    Yakupasa uludi darasan ukasome shekh, kuna vtu unazungumza ambavyo hata hujui na pia unakuja na uthibitisho wa madharia na sio ukweli.

  • @amirithabit5802
    @amirithabit5802 5 років тому +1

    Yani mpaka leo haijulikani asili ya kiswahili

  • @omarkhamisamour9357
    @omarkhamisamour9357 2 роки тому +1

    Shekh samahani limekutoka neno kinywani mwako limesikika ukisema.kuwa mungu anaishi makka neono hili nilakufru linamtoamtu kenywe uislam ,kwani mwnye enzi mungu yupo bila ya mahala wala upande kabla yakumba mahala alikuwepo pasi na mahala na baada yakumba mahala yupo vilevile alivokuwa yani bila ya mahala kama alivo sema immam abuu jafar atwahawiy katika akidatu twahawiyah mungu muumba hakusanywi na pandesita hii nisasambamba na hadithi ya mtumi .maelezo ni mengi ila tamka shahada kwa nia ya kurudi ndani ya uislam ahsante

    • @mawalimedia
      @mawalimedia  2 роки тому +1

      Sikiza Kwa makini alikua anamaanosha nini hakumaanisha ivo unavo fikiria wewe

    • @saifarafa8728
      @saifarafa8728 2 роки тому

      Wee ndio hujamuelewa msikilize uzuru

    • @mohamedabubakar1138
      @mohamedabubakar1138 2 роки тому

      Fahamu maneno, fahamu mada kabla kukufurisha mtu... kuwa mwenye sifa ya kuelewa na kufahamu elimu sio kutafuta makosa.

    • @omarkhamisamour9357
      @omarkhamisamour9357 2 роки тому

      @@mohamedabubakar1138
      Kiongozi na elimu sio kunyamazia makosa

  • @hudaaalhussein3841
    @hudaaalhussein3841 3 роки тому +1

    Ati msuudi ni mwafrica ?hpo sivo,

    • @deepsea2141
      @deepsea2141 3 роки тому +2

      DNA ancestry results inadhibitisha kweli kuwa asilimia kubwa ya wasaudi wana DNA ya kiafrika especially Ethiopia na Eritrea

  • @saadakhatibu8793
    @saadakhatibu8793 2 роки тому

    Kimakunduchi kinatoka wapi?

    • @viva0015
      @viva0015 2 роки тому

      dialects lakini lugha ni kiswahili tu

  • @73chengosaro4
    @73chengosaro4 Рік тому +1

    MIMI HUSIKITIKA SANA NIONAPO wat wazima wetu wakipwani wakifanya hiana ya --kihistoria -------. Huyu shehe anavyosema eti mito hushuka kusini ikaterema kusini ---- HUU NI UNYONGE WA ELIMU YA JIOGRAFIA ------------ @@ MTO WA NILE watoka kusini waelekea kazkazini --- LAKE VICTORIA HADI MEDITERENEAN .----------- PILI Historia yote ya waswahili huzunguka kumfanya Mgiriama [Mijikenda] kuwa hapa sio kwao wenyeji ni Wangozi .na lengo ni kuondoa historia ya utumwa waliofanya watawala wa kiarabu. @ HISTORIA yataka ukweli na ukweli ni mchungu sana

  • @ahmedelhabshy5544
    @ahmedelhabshy5544 Рік тому

    😂mmhhh ziroo

  • @Tr.Abdussamiy
    @Tr.Abdussamiy 2 роки тому +1

    Huyu mzee naye hajui Jiografia kabisa, eti mito yote yaelekea kusini, je mto Nili.

    • @73chengosaro4
      @73chengosaro4 Рік тому

      huyu haelewi

    • @73chengosaro4
      @73chengosaro4 Рік тому

      @@abdallahalwardi588 KUSINI HASA KUELEKEA KAZKAZINI --- huyu Shehe hamna kitu

  • @mfungwahuru
    @mfungwahuru 6 років тому

    Miguu Au moo

  • @ahmedelhabshy5544
    @ahmedelhabshy5544 Рік тому

    😂mmhhh airport

  • @tamimidar
    @tamimidar 6 років тому

    FATHI MAKAH BAADHI YA WALIOKIMBIA WAKIKHOFIA KUWA MTUME SAW ATAWADHURU WALIKIMBILIA JEDDAH WAKASAMEHEWA VIPI WASEMA HAKUNA MJI WAITWA JEDDAH WALIO WAKIJA HIJJA WALITOKA WAPI WAKATI WA JAHILIA KULIKUWA NA MIJI BAADA YA MAKKAH NA YATHRIB

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 3 роки тому

    Wwe hunakitu nimdanganyifutu nywele pia siohoja bibiyangu alikua na nywele refusana singa mweupeee ila wengiwetu hakuna alompatia kwa nywele pia kunawaarabuwengi tunawajua wanawake na waume wengine hawakupata nywele za wazeewao

  • @kfastak
    @kfastak 6 років тому +2

    Kuhusu swala la waarabu wao wali tuchea akili kupia dini...

  • @abdallahshee1085
    @abdallahshee1085 4 роки тому +1

    Nataka kujuwa asili ya watu wa Wasini

  • @makavelli.6876
    @makavelli.6876 Рік тому +1

    Mzee watu danganya waarabu ndio mafundi wazuri kiu seremala na ufundi wa kuchonga vyombo vya usafiri wa majini kama majahazi na ngarawa

  • @73chengosaro4
    @73chengosaro4 Рік тому +1

    aliye piga marufunku utumwa ni waingereza sio Sultani wa Zanzibar

    • @fatmaali2050
      @fatmaali2050 Рік тому

      Hapana Aliyepiga marufuku utumwa ni sayyid said bin sultan sio muingereza

    • @73chengosaro4
      @73chengosaro4 Рік тому

      @@fatmaali2050 Tangu lini paka akawa na huruma na panya ///// NINI KIMZUIE SULTANI KUTOPENDA UTUMWA \?? jahil mkuwa yeye

    • @fatmaali2050
      @fatmaali2050 Рік тому

      Ww umeshakaririshwa ujinga makanisani lkn watumwa walikuwa wakinunuliwa na wareno na kuuzwa na mfanya biashara mkubwa wa biashara hiyo ya utumwa ni mreno sayyid said bin sultan ndiye Aliyepiga marufuku biashara utumwa kwa sababu watumwa wakisafirisha hadi zanzibar soko kuu mkunazini na Jengo ilikuwa ni kanisa la mkunazini la wareno ndio iliokuwa kituo kikuu

    • @73chengosaro4
      @73chengosaro4 Рік тому

      @@fatmaali2050 HAMNA LOLOTE ---- kuuteteya UDHALIMU sio werevu ni upimbi --- kwani huy Sayyd sayyd alikuwa nani mbali na kuwa dhalimu Zuzu --- ambaye aliiwaacha baba zetu katika giza za ujahiliya wala haKujali kujenga madrassa na misikiti au kuwalingania wasilimu --- ALIPORA MALI ZOTE AKAPEEKA KWAO OMAN ----- na utawala wake aliwaganya watu mapote mawili -- WANGWANA NA WATWANA --- NA ALIWADHALILISHWA WEUSI WENYEJI --------- muuuzaji watumwa yeye --- HISTORIA NI SHAHIDI ------ alhamdulillahi MUNGU ALISAMBARATISHIA UTAWALA WAKE WA UDHWALIMU

    • @111dudi
      @111dudi 9 місяців тому

      Muingereza ndivo anavopoteza watu, alikuwa mfanya biashara ya utumwa namba moja,na alikuwa anakiuka amri za sultani za kukataza biashara ya utumwa. Mchonganishi huyu Muingereza, adui

  • @ayubuamani7332
    @ayubuamani7332 2 роки тому

    Mito ipo inayotoka kusini kwenda kazini mfano Nile na Kongo

  • @Quilant749
    @Quilant749 5 років тому

    Mungu anaishi makkah, na huko makkah Kuna majini, mm nauliza Hawa majini si mashetani? Mungu anafanya nn na mashetani wakati sisi wanadamu tunangoja hukumu yke ndio tumkaribie... Kuna vile nakuamini na tena sikuamini eti mahindi ilitoka mekka kupitia mhindi? Mahindi inahitaji mvua Saudia hakunaga mvua ni janga2

    • @gamezsolution2566
      @gamezsolution2566 5 років тому

      you sound more of a layman but as per the videos you uploaded you are not what can only be said about you is that ignorance plays a big role in your judgement esp when it comes to muslims look for old wise religious men in the holy cities ask about islam? maybe you might be surprised 😮

  • @lysao5896
    @lysao5896 Рік тому

    Hamuna nasaba, ya kwako ya kutafuta na kanda ukipoteza wenzio.

  • @hudaaalhussein3841
    @hudaaalhussein3841 3 роки тому

    Wamasai ni warabu na warabu ni wafrica ???

    • @bestfitpro874
      @bestfitpro874 3 роки тому

      Wamasai wametoka mesapotamia (Iraq) Enzo hizo 3000 years ago

  • @gabrielmzomkunda4881
    @gabrielmzomkunda4881 5 років тому +1

    Mzee mjuzi huyu

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 3 роки тому

    Mmh

  • @lysao5896
    @lysao5896 Рік тому +1

    The areas you mentioned do not speak the same swahili dialects.

  • @amourrajab6061
    @amourrajab6061 3 роки тому

    mi naitaji tu kujua iv wagunya ni kabila ama ?

  • @111dudi
    @111dudi 6 років тому +4

    Huyu Abdulrahim hajui kama mto Nile unachirizika kutoka kusini kwenda kaskazini? Ana dalili gani kama North pole ndio kichwa cha dunia? Hajui kama waliochora dunia ndio walioamua kuifanya North kuwa juu.ilimu yake ndogo sana .

    • @tamimidar
      @tamimidar 6 років тому

      MSWAHILI JURA NA EUPRATES YATOKA WAPI AJESEMEA BILA ILMU

    • @kfastak
      @kfastak 6 років тому +1

      Kunabaadh ya mambo kweli natumshukuru Kwa elimu aliyo tupa. Mengne tutapata Kwa Wengne

    • @muhammadomar1308
      @muhammadomar1308 6 років тому

      Yako yenye kuikubali akili na mengine akili haikubali twashukuru kw juhudi yko mzee wetu lakini wahitaji kutembea na kutoa mda zaidi kwa ajili ya kiswahili

    • @nasseralhajry6214
      @nasseralhajry6214 5 років тому

      Sawa mjombaaa

  • @omarikassim9315
    @omarikassim9315 4 роки тому

    Eti nani anaishi macca

  • @geoffreysoloshija1909
    @geoffreysoloshija1909 3 роки тому +2

    Uongo sasa mto Nile unaanzia lake victory ambayo ni kusini na maji yake hana flow kuelekea red sea ambayo ipo kaskazini u know nothing

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 3 роки тому +1

    Pua sio kielelezo Allah huumba anavyotaka mmi nimewaona waarabu kule Oman wanapua pana na masai sio iraq niuongo eti manenoyao marefukama waarabu nasisi tukuulize muiraqgani anavaa mashuka yakimasai muarabugani anatembea na majitiyakimasai usidanganyewatu wwe hunahistoria majinapia siohoja unaweza kumpa mttowakojina kwa kupendatu jina halina asili

    • @nasibudarbi2600
      @nasibudarbi2600 3 роки тому

      Historia warabu walikiwa wanavaa hugo hizo

    • @jumahamis227
      @jumahamis227 3 роки тому +2

      Tafuta elimu usibishe mzee, hilo kabila la wairaki lipo kweli Tanzania wana ongea kama kiarabu kabisa na wana facial features, rangi na sura za kiarabu kabisa.

    • @jumahamis227
      @jumahamis227 3 роки тому +1

      Kuna vitu vingi tunadanganywa sana kwenye historia even the word Indian ocean nackia originally maana yake ni the black ocean, kwahyo watu weusi tunafichwa sana historia yote tuonekane wa hovyo kama hatukuwa na maendeleo wala historia yoyote kitu ambacho sio sahihi.

  • @anwarsaid9579
    @anwarsaid9579 2 роки тому +1

    Sasa mbajuni ni mbantu ama ni cushites na ww wasema bantu ndio wenye pua pana na tena wasema bajuni ni bantu

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 роки тому +1

    WEE BAKAATHIR VIPI?
    ETI MUNGU AISHI MAKKA!!HIYO KUFRU,,
    ALLAH ALAL ARSHI STAWAA

  • @assayyidaydaruus181
    @assayyidaydaruus181 3 роки тому +3

    Muongo ww

  • @haarithomar755
    @haarithomar755 3 роки тому +1

    Wee mzee kenya hakuna wabajuni wabajuni wako somalia kenya ni wagunya

  • @binwaelle1138
    @binwaelle1138 3 роки тому

    Iraq the are shot and wight people I think is rong masie the are toll

  • @tamimidar
    @tamimidar 6 років тому

    BAKATHIRI JINA LAKO LA KIYEMENI

  • @tamimidar
    @tamimidar 6 років тому

    AJISEMEA MENGI KWA KUVURUMIZA TU MASAI WAIRAQI DOOOOH

    • @ramseyhusseinkhamis8258
      @ramseyhusseinkhamis8258 5 років тому +1

      We ndio wajisenea hauna ulijualo

    • @deepsea2141
      @deepsea2141 5 років тому

      middle east kulikuwa Kunakaa watu weusi kitambo. Kisha wote wakaanza kuteremka

    • @ramadhanmusa2878
      @ramadhanmusa2878 5 років тому +1

      Mzee yuko sawa uyu.. Swadakta mzee

  • @omarjumaan3061
    @omarjumaan3061 2 роки тому

    MTUU mweusi sio suud ni aswaad au askar mambo mengine unapoteza watu

    • @Tr.Abdussamiy
      @Tr.Abdussamiy Рік тому

      Suud na Aswad zote zina mzizi momja wa neno "sawaad'

  • @abdussalamabdallah571
    @abdussalamabdallah571 4 роки тому +2

    Too much talk...no sense !!! Doesnt even Meet Logic..even by thinking .

    • @mwangigitau286
      @mwangigitau286 4 роки тому

      @ShutterDe DON ndiyo Maradhi hayo.

    • @deepsea2141
      @deepsea2141 4 роки тому +4

      wewe akili zako sio timamu. Mwarabu ni mgeni na waswahili asili Yao ni Wangozi ambao walitoka Shungwaya. Wewe unaugua uarabu na unalazimisha uarabu. Kiswahili na kiarabu ni tofauti ila inaingiliana kibiashara, dini na kutangamana

    • @UMMAHWASATIYYAH
      @UMMAHWASATIYYAH 3 роки тому

      @@deepsea2141 hhhh

  • @kasicorneli7645
    @kasicorneli7645 5 років тому

    Mm ni muiraqw WA manyara, mbn mm pua sivyo ulivyosema ww

    • @hassamfariis5151
      @hassamfariis5151 4 роки тому +1

      Nyie wairaqw ni wa Ethiopia

    • @nasibudarbi2600
      @nasibudarbi2600 3 роки тому

      @@hassamfariis5151 na Ethiopia ni warabu

    • @nasibudarbi2600
      @nasibudarbi2600 3 роки тому

      @ShutterDe DON alie kuambia nani Ethiopia Sudan Eritrea Somalia wote ni waarabu

    • @nasibudarbi2600
      @nasibudarbi2600 3 роки тому

      @ShutterDe DON wali mix si wachache wote wana DNA ya middle east hate hugo cushites sio mwafrika asili yake nu mwarabu wanubi wamechangayika sana mimi ni mbarawa kwahiyo nawajua naishi nao

    • @nasibudarbi2600
      @nasibudarbi2600 3 роки тому

      @ShutterDe DON uongo huo wanaiuchkia sana wabantu mimi bia mwarabu tunaelewana wasomali asiliyao wametika mekka

  • @sanaamedia8177
    @sanaamedia8177 2 роки тому

    Very ignorant Mzee, DNA shows all mankind originated from Africa and not the north, swahilis are mix of Bantu and Asians

    • @Tr.Abdussamiy
      @Tr.Abdussamiy Рік тому +3

      Swahili is not a mixture, That's another lie we are taught in school, Swahilis existed even before the Arabs came, and Arabs only changed their name from Wangozi to Swahili. Swahili only borrowed heavily from Arabic vocabulary, remember It also borrowed from other languages too, Note that: borrowing does not make a language to be another language, Urdu, Malay, Hausa and Bahasa also borrowed heavily from Arabic vocabulary. English itself has borrowed a lot of Latin

    • @sanaamedia8177
      @sanaamedia8177 Рік тому

      @@Tr.Abdussamiy I didn't mean the language but the lightskins who call themselves Waswahili and discrimates the dark skin bantus

    • @Tr.Abdussamiy
      @Tr.Abdussamiy Рік тому

      @@sanaamedia8177 I understand you now, Some of them even call themselves Arabs.

    • @sanaamedia8177
      @sanaamedia8177 Рік тому

      @@Tr.Abdussamiy in Lamu, they call as Africans, yet some are even darker than the average mt Kenya bantu

  • @realitytube6290
    @realitytube6290 2 роки тому

    Abdurahim Ali Bakadhir is a controversial historian as he fails to show you any physical evidences or referneces in his speeches.
    The contradictions here show how much he does not know the fabric which women wear in East African called Kanga with floral prints amd sayings as some parts it is called Leso which is a word of Portuguese origin.