Kisiwa cha Wasini eneo la pwani ni chenye historia kongwea
Вставка
- Опубліковано 1 гру 2024
- Kisiwa cha Wasini kusini mwa pwani ya Kenya kina historia ndefu mbali na kuwa kivutio cha utalii. Hii hapa simulizi ya historia ya Wasini japo kwa muhstasari kutoka kwa miongoni mwa wengine Mzee Shehe Fumo ambaye kwa sasa ana miaka 97.
Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush
Taarifa nzuri, na ingezidi kuwa nzuri kama ingemalizika vizuri. Asante
Taarifa nzuri lkn jee ya ukweli??
"Serikali haijawasaidia tangu uhuru!! Na hata wakija watumishi wao hutaka kuiba/ kunyakua mashamba!! Hiyo ndio laana na dhulma ya serikali zote zilizotawawla.Hawataki kusaidia watu wa pwani, wanataka wafaidike hao mwanzo, Aibu,. shame on them. Mwenyezi Mungu azidi kuwapa"Subra, hekma, maarifa ya kujikimu weyewe kimaisha.
nijicho linaloona sio camera!
Sema unachokijua usiseme yote unayoyajua
Wanazugumza kiswahili lahaja ya kiunguja
Peace full Island Mashallah.
Wanazungumza lahaja ya kiunguja kiswahili fasaha
Karibuni Pemba
wasini a very peacefull island and aplace to be
Nani amekuambia ushenzi wote Uko wasini sema it’s isolated island
❤❤❤
wamenda na walio yakuta wametuacha natuloyaona elimu bahari...taarifa ni athari. Allaah awarahemu
History yenu inajirudia tu
Wajabunherii mvuaa kushushwa njemaa itakuwa kahizii iitafanyika kwamiyakhhfd muhisawalishamiooangoo muhimuu
SIO utalii uchafu na Ndio MAANA neeema na heri ZA Allah zkapotea na hilo ndio wazungu wanalo taka basi
Nyie vijana mnao thalilisha wanati wa wasini acheni uthwalimu Ardhi baba yenu mnahakika gani kama ardhi alipata kihalali nyie vijana Tafuteni chenu achaneni na Urithi msio Ujuwa mwazo wake.Acheni kubukhudhi wanati wa wasini. Mtafute Mali zenu wenyewe Acheni kungangania ardhi za UMA WA KISLAMU WA WASINI..!
Hicho kikundi cha wasini au cha family ya Huyo Saggaf maana kisiwa chote mnadai ni chake
Mumeifisidi wasini sasa hata sura za watu wa wasini huwezi kuzitofautisha na za shimoni. Mkwiro au chwaka
Huyu mzee hapo hana history yoyote mzandiki ndie alie angamiza haki za watu nyengine akawagawanyia watoto wake wote na nyengine akawapa county council
Yeye ndie aluongoza kamati ya ufisadi hata ukimsikiliza utajua hajui hata anachikisema. Muulize hio falak ni sheikh gani aliisoma
Waache kupitosha umaa mutakua masuul mbele ya mungu
We wajuaje mambo ya wasini?
Pengine Kama unavyojua wewe kwa mtandao. UA-cam na pia naona kwa magazeti
Wajua kwanini huyu mzee aliwakatia watoto wake wote mashamba wakiwa bado wadogo wakiwa shule ila yule wa mwisho kwa jina sijui tochi au choti?alikua na wsws Kama Sio damu yake maana kulikua na mzee anamfanyia faulu
Sightseeing
Huyo ni Hadija zubeda Abdalah sio Hadija bakari
Mzee fisadi sana
Fisadi ww ngombe
Very wrong information
Wapotoshaji tu wazee wasiojifahamu waliofanya ufisadi na dhulma kubwa
Heshimu wazee wanaoengea ukweli mtupu. Endelea kupotoka
Unaona panaongewa ukweli hapi au panatafunwa maneno?
Muongeaji ukweli haombi msaada wa kuongelewa na mtu mwengine. Jua kupambanua usiwe Kama wale summu bukummu umyuu fahum la yarjiuun
Waongea kma ww n shariff
R.I.p