Ken walau unachochea sana makuzi ya lugha ashirafu ya Kiswahili. Weledi na wapenzi wa lugha kamwe hawatokusahau. Ingawa wenye husda walifuta makala mengi kama haya, bado uling'aa. Mweza Yote akufufue paradiso. RIP (Ressurect In Paradise) bingwa🎉
Ama kwa kweli,mtaka Cha mvunguni,sharti ainame... Mmepitia mengi ima mfikie kileleni! MNA weredi si haba wa kusanifisha kiswahili. Ahsante Jack Oyoo Sylvester.. Rabana akurehemu mwenda zake Ken walibora waliaura!
An interview that makes Swahili sound like a language of Royals and scholars. Rest easy Daktari.
Ken walau unachochea sana makuzi ya lugha ashirafu ya Kiswahili. Weledi na wapenzi wa lugha kamwe hawatokusahau.
Ingawa wenye husda walifuta makala mengi kama haya, bado uling'aa. Mweza Yote akufufue paradiso.
RIP (Ressurect In Paradise) bingwa🎉
They Make Kiswahili such a Special Language!🇰🇪🇰🇪
kiswahili si lile la mama lazima ujitolee mhanga', still in disbelief though Rip Legend Ken waliwaula.
Ama kwa kweli,mtaka Cha mvunguni,sharti ainame...
Mmepitia mengi ima mfikie kileleni! MNA weredi si haba wa kusanifisha kiswahili. Ahsante Jack Oyoo Sylvester..
Rabana akurehemu mwenda zake Ken walibora waliaura!
Rip kwa wale wanaoelewa Kidagaa kimemwozea 2017-2018
Hongera Kaka Jos, kusoma kamusi mara saba kutoka mwanzo hadi mwisho si kazi rahisi.
Pumzika mahali pema peponi Prof Ken. Tutakukumba kwa kazi yako na sauti nyororo
Kama kifo kingekuwa na huruma hakingemchukua ken. Mungu amulaze mahali pema pemoni.
Du hapo wamepambana magwiji wa lugha Ma Sha Allahu.
RIP. Wanaofahamu SIKU NJEMA 1999!
magwiji hawa. naenzi ukwasi wao wa lugha. Kiswahili kinajivunia kuweko wazungumzaji ja hawa.
YANA SINYA.WAAU.HOPE A BUKUSU CAN ELABORATE IT WELL.
Magwiji wawili RIP Ken Walibora
Ken $Jack love u pple
Lugha wanayoitumia na uuimilizi wa matamshi yananifanya kuithamini lugha yetu Kiswahili kipenzi
Legend🔥🔥🔥🔥
Kiswahili kitamu wazito.
Ndugu yangu ataishi tena Paradiso wakati ambapo kifo hakitakuwepo... Biblia takatifu kitabu cha ufunuo 21:3,4
Lala salama kaka 🥺
Best full commentator ever lived. The greatest of all time.
Bora zaidi
Na kama huwezi kukutana na Ken? Acha mafsamala Kaka Jos.
RIP legend.
We Will miss you ken rip
😲😲😳😳 Ken.... Rip
Rip legend.
Rest in peace Ken
RIP Ken Walibora
Rip ken
Rip Ken Walibora
RIP ken
Lala salama Ken Walibora
Waliaula emakombe chingila chifungukhe
RIP
Those who killed walibora mungu awaone
magwiji wamepatana
Did oyoo just say mikono zake?
Naam, akielezea jinsi watu husinya kwa kukiboronga Kiswahili.
R I p
This is Walibora that l know.I don't trust rumours about his death.
Unfortunately it's true confirmed found at Kenyatta Maoseleum
RIP prof we are saddened .
RIP KEN
Indeed you loved him
Sawa tai uko kombo
Rip Ken
Rip ken