EBITOKE ATHIBITISHA MIMBA YA MLELA USO KWA USO NA BEYONCE ALIE MVUA WIGI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @mapenzikatana9990
    @mapenzikatana9990 5 років тому +30

    Kama piya wewe unamukubali jamaa wa ebitoke anajitambua kushinda huyo mulela gonga like yako twende sawa big up broo

  • @louiskalenga5745
    @louiskalenga5745 5 років тому +58

    Daaaaaaah nipeni like zangu jamen kwakua the first one kuangalia kitu ichiiiiiiii😜😜😜😜😜😜

  • @danielkiroka6331
    @danielkiroka6331 5 років тому +21

    Harmonize kushotokulia one million UA-cam sitill on trending Tanzania Kenya namba 1🤣🤣🤣

  • @sarahmse9357
    @sarahmse9357 5 років тому +18

    Huu ujana mnaouchezea mtaulilia siku moja.

  • @aishaomary7384
    @aishaomary7384 5 років тому +16

    Ebitoke utatumiwa Sana shaulilako jifanye bandika bandua kushindana na wanaume

  • @sofiaahmed8880
    @sofiaahmed8880 5 років тому

    Ebitoke mashallah uko beautiful ukijipamba.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 5 років тому +4

    Jomuni ebitoke mzuri utafikili black America kabisa hapo anaonekana kama yule mdada ALIYEIMBA nelia love you

  • @ashuuyusuf3978
    @ashuuyusuf3978 5 років тому +14

    haipendezi kwakweli ebi anajishusha thaman...ataachwa pia

  • @rahmahigilo1698
    @rahmahigilo1698 5 років тому +1

    Mhhh huyoo ebi ajielewiiii kabisaaa

  • @olivermtei7782
    @olivermtei7782 5 років тому

    Mungu akubariki sana ebi kwa kufanya watu wahulikane a

  • @munirahmfaume2235
    @munirahmfaume2235 5 років тому +6

    Aliyesikia cover ya misuli ya imani🙎🙋

  • @yvetteyvette202
    @yvetteyvette202 5 років тому

    Mungu akulaisishiye ebitoke mpaka uzale salama kisha mulela ataishia kubeba mikoshi tu na wara hawezi fanyikiwa ka upumbafu wake

  • @queensanga7827
    @queensanga7827 5 років тому +1

    Ebitoke Nakupenda sanaaa

  • @beautybeauty7220
    @beautybeauty7220 5 років тому

    Kibenteni wa ebi umeongea vizuri sana 😍😙😙

  • @jovithfelix3003
    @jovithfelix3003 5 років тому +1

    Jaman mnachekesha yaan unadent nae huku akiwa mjamzito huhuhuhuhu mbn niujafuuu😁😁😁😁😁😁

  • @arnoldntikarahava3764
    @arnoldntikarahava3764 5 років тому +1

    Kama umeona kitambi cha Mwanamke wa mlela gonga like😂😂😂

  • @zaynabaly4868
    @zaynabaly4868 5 років тому +9

    Jmn ebitoke unaniangushaaa utkua lini muige Vanessa mdee ah

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 років тому +5

    Dunia imebadilika wanaume wamekuwa mademu na mademu kuwa madume!!!

  • @jano254jayc4
    @jano254jayc4 5 років тому

    Ebitoke bona wanajiangusha hivo jameni,kubadilisha wanaume Kama nguo akii,ungetuliza kwanza uzae ulee mtoi nn huna my dear siz pesa uko nazo,how I wish I av wat u av singesumbuana na men

  • @husnabiltonsanga1402
    @husnabiltonsanga1402 5 років тому +1

    Unahangaika mwenzio Ndio kakuzidi,huna jipya Hana uzuri wowote Huyo njiti, Beyonce Uko vizuri Sana ,mwonekano wakike mvuto.

  • @careenpaul2328
    @careenpaul2328 4 роки тому

    Mpaka achukuwe mke wa m2 una kasoro gan ebitoke

  • @mariamukingazi3668
    @mariamukingazi3668 5 років тому +8

    Ebitoke sjui umelogwa na nan ww akili zako hazipo Sawa!!!

  • @cutevannilla2484
    @cutevannilla2484 5 років тому

    Mway Lea mwanaooo

  • @mukeragabilodiana9391
    @mukeragabilodiana9391 5 років тому +6

    Nimecheka mara 50 😹😹😹😹😹😹😹

  • @fraziabenard66
    @fraziabenard66 5 років тому

    Nimependa huyu kaka anavyojibu maswali anajitambua sana

  • @annakatowo6484
    @annakatowo6484 5 років тому +1

    Amekosea sana Ebitoke kuwa na mwanaume mwngine yy angekua na subira alee mimba yke ila hata kama mwanaume wake mlela alikua na makosa kwa sasa itaonekana ebitoke anakosa ushauri wng ungetulia huwezi shindana na mwanaume hata siku moja

  • @khneesajumaa2052
    @khneesajumaa2052 5 років тому

    Nakupenda Ebitoke na mpenzi wako

  • @beautybeauty7220
    @beautybeauty7220 5 років тому +1

    Waaa ulo zoom hapo kwa mlela MUNGU akubariki😂😂😂😂😂

  • @sashaaishajamani1979
    @sashaaishajamani1979 5 років тому

    Mapenzi noma sana usiombe ukaachwa ukawa unampenda bado kwahiyo mnatambiana tz bwana shida tupu

  • @fatimamohammed2332
    @fatimamohammed2332 5 років тому

    ebitoke acha ujinga mlela mlela fanya mambo yk utaumizwa sana na mlela acha kumuwaza

  • @hellenmasasi3850
    @hellenmasasi3850 5 років тому

    Hahaaaaaaaaa ebitoke jamani na huyu kibenten wake inachesha sana kwa mtindo huu ataumizwa sana na wanaume

  • @njmanjma8626
    @njmanjma8626 5 років тому +3

    we Ebitoke .. kwani huyo mlela ndio mumeo wakwanza,,au Mara yako ya kwanza. ..loh kila siku mlela tu

  • @saidasaid5855
    @saidasaid5855 5 років тому +11

    Jmni wanawake jamni mbona mnajizalilisha ivooo oh maisha haya

    • @johariathumani1761
      @johariathumani1761 5 років тому

      saida said anajidharilisha yy ebitoke sio wote

    • @rosegodfreymtuy970
      @rosegodfreymtuy970 5 років тому

      Hakunaga mchaga kahaba linavyo ongea sasa utazani kalambishwa ugoro wewe stela ni feki kuanzia rangi yako adi huyo awara pusi nyau

  • @lilianjoseph5455
    @lilianjoseph5455 5 років тому

    Jmn tusimlaumu sana ebitoke maana huwezi jua mlela alikuwa anapigaje chumbani mpaka kamchanganya 😊😁😀😉

    • @dcop9582
      @dcop9582 5 років тому

      Lilian Joseph aache usenge bhana hawez kuongea ivo mbele ya uyo boy wake dah

    • @lilianjoseph5455
      @lilianjoseph5455 5 років тому

      Dc op huwenda huyo boy kamtengeneza2 ili amuumizie mlela kumpima ata fanya je? maana haya mambo so mchezo aty 😀😋

  • @selemanijeanpierre7931
    @selemanijeanpierre7931 5 років тому +8

    JAMANI msilaumu ebitoke kwanza anamawazo sana muacheni tu

  • @sholarfabian775
    @sholarfabian775 5 років тому +3

    Haipendezi jamani ebitoke unajishusha thamani acha hizo mdogo wangu

  • @sarahmohamed337
    @sarahmohamed337 5 років тому

    Mbona wamuita kiben 10 Tena? Mara ooh siwezi msahau Mlela anakiumbechake tumbon😒😒husomeki mama vpi alafu mpenzi wako yuko hapo....mm naona Ebitoke wachezewa mdogo wangu utupwe jalalan tuu.

  • @azizakarim442
    @azizakarim442 5 років тому

    Khaaà jaman

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 5 років тому +4

    Yaani mnajisifia. Kwa zinaaa

  • @carrenkapia7841
    @carrenkapia7841 5 років тому

    Huyu nae chz

  • @ashleyforget7129
    @ashleyforget7129 5 років тому +4

    Ovyooooo Eb Taila Kweli namchukia sasaivi Sura mbovu na Hana Ata Mimba mnafiki kiki tu

  • @mtigafans9430
    @mtigafans9430 5 років тому

    Tazama alichokisem diamond kwa harmonize baada ya kukopi video yake link hiyo ua-cam.com/video/FpP3GH9zdMw/v-deo.html

  • @fatmakhamis7876
    @fatmakhamis7876 5 років тому +1

    Huyu dada atapandwa sana mana hana akili akili zote zipo kwenye wanaume tuu

  • @ismaillegolas2632
    @ismaillegolas2632 5 років тому +4

    We dada unajishauwa kama mzuri suru mbovuuuu ilo domo unavo liweka na lilivo baya unajikuta unazarauuu zarauu zenyewe uziwezi boya weeeeee

  • @myadanasoro4193
    @myadanasoro4193 5 років тому

    Jama uyo anavo angalia sijui ajiamini

  • @angelalphonce2962
    @angelalphonce2962 5 років тому

    Duh Beyonce wa buza Hilo gauni la elfu 25 kaliakoo analipenda kweli na hayo manywele hajaya ngo'o tuuu!!? Na hiyo sura alivoiweka leo ndo Bora ya Jana

  • @ashuramashakanigo8321
    @ashuramashakanigo8321 5 років тому +3

    Sasa ebitoke nakuona mjinga nilikuwaga nakpenda sasa upndo wangu unaaanza kuisha kwko kwa mambo ya kubadli wanaume

  • @mamymdogomamy3670
    @mamymdogomamy3670 5 років тому +1

    Ebitoke waitaji maombi 🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @saidpara7494
    @saidpara7494 5 років тому +4

    Kuna siku huyu dada atakuja kudharaulika mpka mwenyewe akae chini

  • @Moses-Kuria
    @Moses-Kuria 5 років тому

    Ushambaa umezidi sanaa, kweli masomo inasaidia

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 5 років тому

    ebitok achana naizo habar bhana

  • @aduriz1030
    @aduriz1030 5 років тому +4

    Uko vzur sema upnguze ukorofi

  • @desderiaricherd6211
    @desderiaricherd6211 5 років тому

    Jamani muacheni Ebitoke maana hamjui uchungu na maumivu ya kulea mtoto bila baba yake!

  • @stelahkileo2541
    @stelahkileo2541 5 років тому +3

    Sasa hili lijamaa mwanamke anavosema awezi kumsahau mtu wakati ana mimba yake na lenyewe limeinamisha tu mbichwa hapo

  • @mariamaloyc8275
    @mariamaloyc8275 5 років тому

    Ata uyo atamlia vipesa vyake then atambwaga

  • @azizamuhammed6358
    @azizamuhammed6358 5 років тому

    Achana na mlela mshamba huyooo

  • @masturkhami2439
    @masturkhami2439 5 років тому +3

    Eb ndugu yangu achana na hao wanaume wanakuchezea tu

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 5 років тому +3

    Kiki zinanyanyua na kiki zinaua kuwa makini ebitoke

  • @getrudacharles5797
    @getrudacharles5797 5 років тому

    Sasa huyo kibenten wako hukumshauri hayo mabutu na wewe unaona umepata bwana mtavaliana mpaka vyupi Sasa maana amekaa kike na hayo mabutu ndo basi tena

  • @sintikemtalemwa1915
    @sintikemtalemwa1915 5 років тому +1

    Subirini Sasa mtaambiwa mimba imetoka

  • @ismaillegolas2632
    @ismaillegolas2632 5 років тому

    Ebi unanikera sana achana nae mlale boya usipende kumzungumzia sana

  • @aminamsangi8343
    @aminamsangi8343 5 років тому

    huyu mwanamke ni mpumbavu Sana anaona ufahari kubadilisha wanaum

  • @hadijaabdallah5477
    @hadijaabdallah5477 5 років тому

    😂😂😂Uyu mtt mwehu kishenzi dah

  • @Moses-Kuria
    @Moses-Kuria 5 років тому

    Duuuh

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 5 років тому +4

    Dah huyu mtoto kamzimia sana mlela ndio mana anasema wazi mbele ya kibenten chake ,kama atailea sawa akisema alei basi nitalea mwenyewe

  • @annastaziavenance1735
    @annastaziavenance1735 5 років тому

    Mapenz kizungumkut acha nitulie ninapopendwa mie kuliko ninapopapenda

  • @Hancyking1702
    @Hancyking1702 5 років тому +1

    Sipendi epitoki anavo ongeya utasema ana viyazi vya moto mdomoni

  • @batuliwarioba3101
    @batuliwarioba3101 5 років тому

    Eb hapo unataka kujichanganya best,kwa ushauri wangu ungekaa peke yako utulie kwanza,sio kukurupuka tu hapo unatuangusha dada

  • @cuteme4870
    @cuteme4870 5 років тому +5

    Jiheshimu dada ww

  • @helenjonsob5718
    @helenjonsob5718 5 років тому

    Mlela kamuumiza ebibondia jaman

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 5 років тому

    Mungu wangu Ebitoke simutu munzuri nasheka paka bavu inauma kweli uko kisha

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 5 років тому +1

    sasa ebitoke ume anza kuruka mipaka ebu jieshimu uweshimiwe kama sio ivio uta tumika kama dasita ya kupanguza miguu. wana ume wajulikana.kwa kubadili marinda ila ina uma .but wana wake sio picha nzuri una onyesha picha mbaya.🙄🙄🙄🙄.

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 5 років тому

    2020 atakua mama

  • @zainabumtubwi263
    @zainabumtubwi263 5 років тому +2

    Kwani alipigwa gum ya jicho uyu wa buza jamani mbona kama jicho alifumbuki

  • @Moses-Kuria
    @Moses-Kuria 5 років тому

    Mshamba kweli kupitiliza

  • @allyjally5196
    @allyjally5196 5 років тому

    Mlela alikosaa mwanmkee ebitoke kiazz

  • @siamuchunguzi
    @siamuchunguzi 5 років тому

    Nilikuwa nakuona UNA AKILI kumbe wewe ni mpbavu tu, badala ukae na kujipanga kimaisha kumbe una-jump from bed to bed, sheet!

  • @hildajohn8814
    @hildajohn8814 5 років тому +1

    Mmmh! Ebitoke mwanaume mwenzio doh!

  • @asiakheir6406
    @asiakheir6406 5 років тому

    Mkiwa wote wasanii hamuwezi kutulia mana ushindani

  • @sultanmganzira4388
    @sultanmganzira4388 5 років тому +4

    Mumshukuru ebitoke nani aliwajua nyie nyau

  • @devothamyamba7755
    @devothamyamba7755 4 роки тому

    kak gudi sana

  • @masudmuhidini600
    @masudmuhidini600 5 років тому +3

    Ebi wewe hujielewi, hujui Kila kukicha thamani yako inashuka ustaa wako utakuponza utatumika hadi utachoka

  • @zabibukivyele7407
    @zabibukivyele7407 5 років тому

    Mlela kambia mimba hahahaaa...

  • @marrybalack9491
    @marrybalack9491 5 років тому

    New kibenten

  • @ilovuguyssandimu6508
    @ilovuguyssandimu6508 5 років тому

    Unakosa wanaume kwani wamekua kazi

  • @helenjonsob5718
    @helenjonsob5718 5 років тому

    Beyonce wa chanika vijijini anamwogopa ebibondia hahaaaa utavutwa nywele

  • @faizaomary2036
    @faizaomary2036 5 років тому

    Huyu ampenda mlela sana

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 5 років тому +2

    Ila ebitoke usifanye mwili wako fimbo kwa kero za wanaume fanya kazi ww bado mdogo make life

  • @najmasaidi1412
    @najmasaidi1412 5 років тому

    Watu wengine bwana wanaboa kweli yani nilikua sitaki kukomment lakini inamenibidi mtu anacha kukomenti cha maana eti naombeni like nyooooooo kwani ulimpa nani acheni usnichi mfuuuuuuuuuuuuuuuuuu😡😡😡😡😡😡😡😡

    • @ashura7832
      @ashura7832 5 років тому +1

      Waambie Hao kwani walilazimishwa wakoment mfuuuuuuuuuu😏😏😏😏😏😏

  • @minahmmassy7858
    @minahmmassy7858 5 років тому

    mjinga huyu

  • @beautybeauty7220
    @beautybeauty7220 5 років тому

    Kibenteni😂😂😂😂😂

  • @naomijonas6090
    @naomijonas6090 5 років тому +2

    Huyo wamlela na manguo yanjano Kama bendera Hadi aibu libaya

  • @procurementstudent8090
    @procurementstudent8090 5 років тому +2

    Huy mme wa ebitoke kila siku suti moja tu daaaaah

  • @nashtwanasma7252
    @nashtwanasma7252 5 років тому

    jamani huyu msichana ni mbaya hata ebitoke mzuri

  • @lilybarongo8119
    @lilybarongo8119 5 років тому +5

    Mhaya huyu yaan kuongea hajui halafu mnamuita star mamae mm siwezi kukufanyia interview ht bure

  • @bakaribecks1744
    @bakaribecks1744 5 років тому

    mmmh. Ebitok umekuwa spataa San wandishi wa habar wengi

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 5 років тому +1

    Huyu kaka ana vitunguu kichwani hahahaha

  • @leocadiajambele7634
    @leocadiajambele7634 5 років тому

    Yanii kanajibwatukia hovyooio

  • @rebeccaedward6795
    @rebeccaedward6795 5 років тому +1

    Ebibondia huhuhuhu...

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 років тому +4

    yaaani wewe ebitoke ujielewi