Hongera Mkiti kwa majibu mazuri kwa kila swali uliloulizwa. Tunaamini kwa kauli yetu ya Katiba kwanza na marekebisho ya sheria za uchaguzi. No reform no election.
hawa watangazaji njaa,hawana professionalism ilo jamaa liliovaa kanzu nimesoma nalo shule moja ya msingi mbeya nililiacha nyuma madarasa kadhaa Si wamuige sammy awamy wa BBC.
Mtangazaji jifunze kutulia unamkatisha katisha sana mwenyekiti mwache mwenyekiti atoe maelezo ya kutosha. Wewe Kila saa asante sana asante sana ya nini
M/kit uko powa Sana/tumia busalazako zote wale wabunge19 walud tujenge chama chenyenguvu zaid,tuliwazaa wenyewe chadema tutakuwa waovyo Sana tukizid kuwaddmiza,slaaa alud,ikiwezekana na zito,msigwa ingekuwa pw
baba shikamoo Mimi ni baraka kinana ninakuomba baba tundu lissu Hawa wakina alima mdee na wezake woto kumi na tiza 19 wazamehe tu baba ninaomba tu baba lissu mwenyekiti wetu ila wape waonye kivikali sana ili tuweze kujenga shama shetu baba wazamehe tu baba
Chama hakikuwa na fedha, watu wa Mungu walijitowa ili kufanikisha mkutano. Lakini wewe Lissu pia ulikuwa sehemu ya waratibu wa hizo nauli, hivi basi unamlaumu nani. Mapungufu mliyokuwanayo tatua kwa vitendo si maneno
Waandishi wa habari ningewashauri walao kwa sasa uchaguzi umekwisha salama niwaombe mumwache Lissu afanye kazi za kiti chacke kwa vile naona atakosa muda . Maswali ni mengi mno jamani !
Ndio mara ya kwanza kukutana na hii channel ila sijapenda uulizaji wenu wa maswali. Mnamkatisha sana akiwa anajibu swali ili muulize maswali mengi zaidi remember is not about the quantity but the quality. Mjirekebishe kwa hilo...it is really annoying...
Katika watu si waamini ni Samia rais wa sasa ila huyu ni kibaraka mkubwa sana wote sina shinda nao ila lisu hapana heche msigwa is okay huyu alikubali magufuli afe na lema pia il kama wameweza kumuua magufuli anaefuata ni wewe trust me I don’t trust you at all
Lambati acha ujinga upinzani wakiingia kwenye uchaguzi kwa hali hii ccm inatumia majeshi na vyombo vyote vya dola kuhakikisha wapinzani hawapati viti bungeni
Bogus Journalism..Mmezoea kuhoji watu wajingawajinga, ndio sababu.Mwandishi hayupo focused, hana malengo,mbaya zaidi hajui anamuhoji mtu wa aina na hadhi gani.
Mhe Lissu, wananchi wanangojea tu neno lako kuhusu uchaguzi. Hongera sana kwa msimamo mara.
Ila Tundulisu kichwa sana mungu akupe afya njema mwenyekiti wetu Lisu
Point point🔥🔥
Asante sana Mwekiti wetu.
Man of the match currently...
Congratulations Hon.Tundu Lissu.
Lissu ni next level Mungu akutunze sana
Jamaa namuelewa sana
Hongera sana Tundu Lisu.
Lissu number 1 on trending Tanzania
Mwenyekiti
Chadema kitakua chama bora sana kwa utaratibu na mtazamo huu
Hongera Mkiti kwa majibu mazuri kwa kila swali uliloulizwa. Tunaamini kwa kauli yetu ya Katiba kwanza na marekebisho ya sheria za uchaguzi. No reform no election.
Iliyopo unaijuwa?
Angekuwa haijui asingeiandika, tulia@@asinahussein2176
Nakukubali sana lisu
Uyo mtangazaji Kila muda anamkatisha lissu kuongea mara Asante sana yanii aise mwache aongee utengeneze maswali zaid
Na wewe umeliona hilo. Wanatakiwa kubadilika...kwa sababu nilikuwa nataka kusikilizaLissu anaongea nini . ngekuwa sio yeye nisingemaliza kusikiliza.
hawa watangazaji njaa,hawana professionalism
ilo jamaa liliovaa kanzu nimesoma nalo shule moja ya msingi mbeya nililiacha nyuma madarasa kadhaa
Si wamuige sammy awamy wa BBC.
Kweli kabisa. Kila mara ana jaribu kumkatisha Tundu Lisu.
Bogus journalism, mwandishi hana malengo. Waandishi wachache sana wanaweza ku-match rhym ya watu walio "ambitious and focused" kama Lissu!
Africa Lion 🦁
Hongera sana mwenyekiti wetu mpya
Lissu ni Mmoja Africa
Huyu jamaa ni hatari sana 😂
Lissu utabakia tu kuwa kiongozi imara na mwerevu, utaendelea kuwa role model wa wengi,nikiwemo
BRAVO KOMREDI LISSU.
Hongera Mh mwenye kiti Kura zote za ubunge 2025 chadema
mimi, tuko pamoja sana,
Safi sana ndio tulimtaka awe mwenyekiti
Huitaji nguvu nyingi kumuelea Lissu
Nakukubari sana ira punguza maneno mengi watanzania utatukomboa kama Rais wa yure kijana arie Jenga ichi yake Kwa Mari za nchi yake taer
Maneno yake ndio tunayataka, hauwataki usimfuatilie kokroch wewe
Lisu juuu
Stan hatulii kabisa yaaan, sijui hyo skills ya ku hoji kajifunzia wap
No reform, no election ❤
inawezekana tuna rasimu ya katiba ya Mzee Waliorba
Wewe ndiyo mwenyekiti tulie kuwa tunakutaka chadema
Mwenyekiti Muongo kiasi hiki nihatari sana
Tueleze huo uongo wake.
Watu wa mbowe mnahangaika sn uchaguzi umeisha
Na qlimdanganya Mama yako mpaka akamsati baba yako!
Mpaka muombe poo!
@@natupe123 hata wewe huna tofauti na huyo hashimmandari
Nani aliyemfuata gerezani kumpa habari njema😂😂😂
yaani tumechelewa sana kimpata kiongozi jasiri kama lisu
Lisu hongela
Lissu ana akili nzuri mno,hivi viti maalumu ni lazima kuwe na ukomo
Sio lazima uchaguzi mwaka huu
LISU we ni mashine KUBWA
Wale wabunge hewa hawatakiwi tena kupokelewa ni wasaliliti na wenye uchu wa madaraka wakikaribishwa watakuwa vibaraka.
Kweli ubaya ubwela
Kongole kwako mh. Lisu naiona CHADEMA mpya yenye nguvu ya hoja na chama ambacho kitakua mfano sio tuu Tanzania Bali Africa kwa ujumla.
Mtangazaji jifunze kutulia unamkatisha katisha sana mwenyekiti mwache mwenyekiti atoe maelezo ya kutosha. Wewe Kila saa asante sana asante sana ya nini
LISSU UKO SAHIHI WATANZANIA TUMEKUWA WAJINGA SANA! ETI WAKURUGENZI WANASIMAMIA UCHAGUZI HAPO HAKUNA HAKI
Kichwa cha Tundu lissu 1 ni Sawa na wakuu wa CCM 700 , wengi vilaza wamepitishwa tu serekalini, Majambazi ndani y Suit. Vibaka 😂😂
Yeye mwenyewe kashakula advance ya wajeda .
M/kit uko powa Sana/tumia busalazako zote wale wabunge19 walud tujenge chama chenyenguvu zaid,tuliwazaa wenyewe chadema tutakuwa waovyo Sana tukizid kuwaddmiza,slaaa alud,ikiwezekana na zito,msigwa ingekuwa pw
❤
baba shikamoo Mimi ni baraka kinana ninakuomba baba tundu lissu Hawa wakina alima mdee na wezake woto kumi na tiza 19 wazamehe tu baba ninaomba tu baba lissu mwenyekiti wetu ila wape waonye kivikali sana ili tuweze kujenga shama shetu baba wazamehe tu baba
HAKIKISHENI MNALINDA KULA ZISIIBIWE SWALA LA KUPIGA KURA TUACHIENI SISI
Ktk upande wawaandishi wa habari hapa hamna kitu kabisa.
This fellow-journalist needs to relax and let TAL speak. In journalism, sometimes you relax and let the newsmaker roast himself.
Anaingilia sana anakera
kwa Miezi 7 inawekana tuna Katiba ya Mzee wetu Waliorba
Huyo jamaa kushoto kwa Lissu anakera kumsikiliza, Hawapi wenzie nafasi, hatoi nafasi kwa mlengwa kujibu maswali
Halima fisadi
Hao civid 19 wasirudishwe dhambi waliyoitenda na iwahukume wenyewe
Ubaya Ubwelaa.. Mbombo Ngafuu..😂😂😂
huyu mtangazaji hafai anakatishakatisha saana
NI UKWELI NA USAHIHI WA MAMBO YOTE KATIBA MPYA NA TUMEHURU YA UCHAGUZI SAWA KABISA MKUU
Hili limtangazaji hata halina busara ya kuhoji, Arudi darasani
Chama hakikuwa na fedha, watu wa Mungu walijitowa ili kufanikisha mkutano. Lakini wewe Lissu pia ulikuwa sehemu ya waratibu wa hizo nauli, hivi basi unamlaumu nani.
Mapungufu mliyokuwanayo tatua kwa vitendo si maneno
Mgombea uraisi simama wewe mwenyewe una tosha na Mungu wa mbinguni akushindie
Waandishi wa habari ningewashauri walao kwa sasa uchaguzi umekwisha salama niwaombe mumwache Lissu afanye kazi za kiti chacke kwa vile naona atakosa muda . Maswali ni mengi mno jamani !
Covid 19 hata wakirudishwa wanatakiwa wakae benchi mhula mzima na tuwaone wakipambania chama kwa vitendo.
Wale ni wasaliti wasirudi kabisa
CCM wanajua sana kua chadema wanaitaji tume huru na katiba mazungumzo kupoteza muda
Samehe na sahau, Bado mnahitaji watu zaidi covid 19++++
Ndio mara ya kwanza kukutana na hii channel ila sijapenda uulizaji wenu wa maswali. Mnamkatisha sana akiwa anajibu swali ili muulize maswali mengi zaidi remember is not about the quantity but the quality. Mjirekebishe kwa hilo...it is really annoying...
Mbona basi hamkumuondoa John Mnyika idealism na Realism ni mbingu na anga tuwape muda
Naukimpa asije😂
COVID 19 wa nini wa mufuate musigwa wawe chawa wa ccm vibaraka wa nakufa kifo kibaya
Uso unaonesha rushwa kwa wajumbe.
Mtangazaj unaogopa nini sasa unauliza maswal.mtu anajibu unakatisha.sasa unataka wewee majibu au wananchi.
Katika watu si waamini ni Samia rais wa sasa ila huyu ni kibaraka mkubwa sana wote sina shinda nao ila lisu hapana heche msigwa is okay huyu alikubali magufuli afe na lema pia il kama wameweza kumuua magufuli anaefuata ni wewe trust me I don’t trust you at all
Msimamo imara
Lambati acha ujinga upinzani wakiingia kwenye uchaguzi kwa hali hii ccm inatumia majeshi na vyombo vyote vya dola kuhakikisha wapinzani hawapati viti bungeni
Halima mdee wachaneni na hiyu jamaa mtata jiungeni na ACT mkapiganieni
Chama kifua mikononi mwako kawa Hali hii
😂❤
Mh lisu point tupu
Hakika
Tunaanza hapa tutauzuia
Je ukimrumia na kumbe kinachomleta nihela huoni kama mnaweza kupoteza wajumbe
Katiba ndo kikwazo cha uchanguzi wa wizi.na mbovu.
Hik chuma kweli
LISU LENGO LAKO TUUWANE ILI TUWE WAKIMBIZI WEWE UMESHATANGULIZA WANAO KWA MABWANA ZAKO,,,HUFAI HUFAI KUWA RAIS HATA KIDOGO
Acha matusi
Sheria bila uchumi ni ukichaa
Utapataje uchumi bila kuwa na sheria bora?
Sisi wafuasi wa mbowe lazima tukate rufaa,maanake huyu lisu daah,,chuma zitakaza sana
Lakini siku zote si mlikuwa mnawagawia wakifika kwenye eneo la MKUTANO ?
Nina shida nao sana!!!😂
Kile nilichokifikiria ndio kinaenda kutokea ila wacha tuone
Mi naisi awawezi kurudia watahamia kwenye chama kingine
Jamaa anaongea kama JPM
Huyu tundu ni muongo sana muda utamuunbua
Pumbav ww uongo upi ?
Kapimwe ubongo
Wewe ndiye unatakiwa kupimwa akili.@@richardnganya2311
@@Massy-g9cYan nimejikuta nachek et uogo 😅😅
kaa kamya
Achelewi kukimbia huyu hapo alipo ana uraia pacha wa Tanzania na ubelgiji nyie kajamba nani mfate tu akuingizeni chaka
Umeamua kuwa comedian, HADHARANI! 😂😂😂😂
Hao wabunge 19 wasikubaliwe kabisa
Uchanguzi umeisha tujenge chama kulubana
Mpambeni sana humu ukweli hamna kiongozi humu
Mbogamboga hamjapenda eti
Ni sawa maana kiongoz wako ni wasira
@@ProsperReuben-fg6uhhuyu tindu lisu Hana tofauti na walioko milembe maana anasema atakataa uchaguzi kufanyika Yeye kama nani
Bogus Journalism..Mmezoea kuhoji watu wajingawajinga, ndio sababu.Mwandishi hayupo focused, hana malengo,mbaya zaidi hajui anamuhoji mtu wa aina na hadhi gani.
Ndugu mtangazaji, umetumwa?
Atatupotezea muda tu
Chawa wa mbogamboga ndio anakupotezea muda
Muda labda wa kuiba uchaguz
Kwani hiyo cash ilikuwepo?? Mbona naskia mlitembeza bakuli??
Nchi yenyewe inatembeza bakuli seuze ....
Mh. Acha kufukua makaburi Anza yako tuko nyuma yako