😂🤣🤣🤣Hongera dada Esha nyaa huyo vundo pesa zenyewe hana Ebitoke usijal dada yana mwisho pambana tu dada ake ila umemuwe vundo huyo🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅
Dada asanteni kumuchamba aka baba mwanaume bila haya mlela mchenzi kabisa kwanini kumutesa ka ebitoke kamuchezaa kisha kamuacha kachukua Pia pesa lake ilibidi Ebitoke hamupige ata jiwe mlela wala chupa usoni imukate
mlela wapenda kuzin watoto wawatu ila tambua malipo ya zinaa ni zinaa... Sasa naww jiandae kma siwanao bas Dada zako watakua wanafanywa kma unavowafanya watoto wa wenzio 🙄...Maskin Ebitoke wawatu alipenda kusikopendeka... Nauyo hawara anaejiona anajua kuvamia magar kwa mbele asubir nae atakuja kuonyeshewa mwanamke mwingne mchana kweupeeeee... Mlela muogope Allah acha zinaa 😏😏😎
Tatizo na nyie dada zetu mnaingia kwa miguu yote kuweni watu wakuchunguza kwa broo mlela yy itakuwa ali kaa naye kidogo akaona hatomfaa katika msixha unafikiri alivyo muacha kuna xababu na xivinginevyo hata wanawake hamtambui nafaxi yenu#kuweni wapole😎
Mtangazaji upo juuu
Yaan mlela kanichefua sana pole sana bitoke mungu akupe wepes urudi katika hali yako mama
Kwakweli namimi nachukizwa na tabia ya wanaume wenzangu kuchezea hisia za wadada,sio vizuri
Sure maisha yenyewe mafupi afu kutiana stress
Josiah Kamugisha una akil sana wew
namshukuru mungu kwa kunipa mume mwema nakaniepusha na wanaume vivuruge kama mlela
Mlale ni malaya tu hana lolot mkundule wew chevu kubwazima ovyoo eb mwanya pole usijali utapat mwingin achan nauyo shog 💋💞💞
esha asante dada wataifa now doz apate kuona mwanaharam mtoka pabaya
Nakukubali sana Esha Buhet mwambie hajielewi Mlela
Duh pole sana mdogo wangu ebtoke hii mijianaume siyo kabisa jifunze sana mwanau.sio ndugu in rafiki tu
Congratulations aunty esha big up kwako mlela sikupendi ata robo utaumiza wanaweka atauyo unamchezeatu
Asantea dada bue umeongea kiutu anafanya mambo ya kitoto hayafanani na umri wake
Mlela mjinga sana so tabia nzur kaka angu
😂😂😂🤣🤣🤣 Bongo kuna mambo, I miss home, I miss Tanzania. Akajambe mbele 😂😂😂
Hata Mimi napatamani
Hapo sasa mambo n🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥unajipya we mwanaume 😊😊😊😊😊
Duuuuh master mubadilike bwana
Mlela umezeeka sana 😂😂😂😂
Hapo sawa Esha Buheri,umefanya poa sana kumueka sawa huyu mjinga wa mapenzi
Mlela atolewe swahili flix kabiiiissssaaaaaa!
Mambwe mbwe tuhayo mlela nime kuchukia Sana unadhalilisha wana wake mungu akulani mlela ovyo
Nilikuwa nakuona unabusara sana mlela sahizi nakuona bwegetu pole ebi
Ahsante Esha Buheti.kungekua kuna maneno zaidi ya mituc bac ningemwambia huyu malaya kichefchef mlela mamaaeeee!
Ahahaha safi dada hafai sana kamuumiza ebitoke wetu
Esha hongera sana yaani bora uendelea kumchamba hicho kimalaya kama kiumbwa
Dah esha kaongea cha maana sanaaaaaaa
Nyele zake sasa nyekundu utafikili amelamba paka
@@officialchuchutv6096 😂😂😂😂😂✌
Safi sana dada
mlela ni nyumbu tuu hana lolote mpuuzi mkubwa ana jipya kwanza 😂😂😂
mlela ajileta ujinga ata,,,,, yaan wanaume nawachukia sana tena zaid mwenye tabia kama mlela
Ningeama mji sio kwa kichambo hicho😀😀😀😀😀😀
😂🤣🤣🤣Hongera dada Esha nyaa huyo vundo pesa zenyewe hana Ebitoke usijal dada yana mwisho pambana tu dada ake ila umemuwe vundo huyo🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅
Tena akome kuchezea watoto wa watu mlela ajielewi amukeni amkeni popopohoo
Mlela aibu kwako loooooooo,Mungu atalipa kupitia mtt wake
uyo mlela matus hayamtosh alikuwa atolewe swahili flix
Asante Dada eshaa
nilikuwa sikufahamu Esha Buheti ila nimekufahamu kupitia ishu ya ebi Master na mariooooo...... nimekupenda bureeee esha
Bitoke nimekukubali mlela msenge tuu sasa ukitaka kuamini mlela ajierew mpk huyo mdada kamkana bitoke ww ni mwamba usijali utapata mme
🤣🤣🤣
Mbona daimond hamumsemi hayo ndio maisha ya mastaa dada Aisha.
Asante kwa kumpa dozi kuntuuu!!
asante my dada umenikosha sana mtt wa buherii
Mlela ni fisi kweli, hadi anamkana Beyonce wake 😕😕kenyewe kanajishauwa na kalibebwa na Ebitoke kama karatasi 😂😂😂😂😂😂
kwakweli we mlela we msenge shezi kweli ningekua mchawi walai ningekuloga nitowe KBS ume wako
Mnapenda sana wambea
Asante 100%
Ongela Sana Ebitok na polesana kwayalio kukuta Dada ang
Mlela ni fala2 hawez akamdhalilisha Dada yetu ivo
Good
Esha hongera sana umempa ukweli
Kweli kabisa
Sikuwahi kuipenda hiyo couple kwa sababu nilikuwa mlela alikuwa anamchezea ebitoke
Asante esha love 😘😘😘😘😘😘
Safi sana
Mlela ni mpumbavu na hicho kidada ajue kwamba kilichomkuta ungo na kibeku kitamkuta asijione kafika
Mlela unazingua maana haiwezekani umzinguwe dada wa watu maana kam mtu huna haja nae mkatae mapema mshenzi sana ata ilo sura lako halifanani tena
Wanaume vyakuchezea vipo vingi sio moyo wa mwanamke wewe mlela mbwa kweri umejua kunikera sana
Dada asanteni kumuchamba aka baba mwanaume bila haya mlela mchenzi kabisa kwanini kumutesa ka ebitoke kamuchezaa kisha kamuacha kachukua Pia pesa lake ilibidi Ebitoke hamupige ata jiwe mlela wala chupa usoni imukate
alafu style zake za kitapeli ndo izoizo mlela
Wann mme kulelewa ganda la ndiz
Simpendi mlela simamwanaume Tamimi simpendi
Huyo ata haina aja atwe mlela mvalisheni sket atwe lela
Sawa sawa kabisa
Kiukwel Mlela jmn uyu mungu amwazibu
Saizi yupo uchi mlela hata nguo usivae
Mlela nimemkubali coz siwezi kumsaliti mwanaume mwenzangu,,,,,,wanawake wa mjini hawa manyumbu sana
Kweli uyu mlela nimchafu Sana na afazirki tapeli unmemtapeli ebitoke
Yan nalichukia limlela haki ngekuwa mwanga ngelitoa roho lake mbafuuuuu
Asanteeee
Huu mlela anajitafutia moto wa milele bila mungu kukusudia. kwani anafikiri mabinti wote ni wake?
Mlela msenge cn kwanza umri umeenda unafanya mambo yaki jinga mpuuz www
Na huyo stelaa alivokua anapigwaa hta mlela alikua tu anamwangalia hebuu fahamuu huyo mwanaume hakupendi
Wow....
Inabidi kazi zake tusizisuport kurudisha heshima ya Dada zetu
Kwerii
Mlela malaya sawa
mm nasema eb kamkosea angebeba nyembe angemhalibu sula malaya huyo alaf kama kuna mwanaume angemtaman 😂😂 minyembe ya uso tu
Mlela faraviana sana
Duuuh aingie na upupu
Na uyo mwanamke hana akili anapigwa mbele ya mlela hata kumsemeya kama iko na akili achane nayr
pubafu sana mulela kikoropo camwanahume kipubafu sana
mlela wapenda kuzin watoto wawatu ila tambua malipo ya zinaa ni zinaa... Sasa naww jiandae kma siwanao bas Dada zako watakua wanafanywa kma unavowafanya watoto wa wenzio 🙄...Maskin Ebitoke wawatu alipenda kusikopendeka...
Nauyo hawara anaejiona anajua kuvamia magar kwa mbele asubir nae atakuja kuonyeshewa mwanamke mwingne mchana kweupeeeee...
Mlela muogope Allah acha zinaa 😏😏😎
Yan kama zari angekuwa naroho yabitoke tanasha angekuwa nangeo
Hahaha mlela kapatikana
mlela umejiharibia ,umejipunguzia mashabiki
Asant dd
ebitoke yupo right mapenz yanaumiza pale mpenz wako anapokusaliti
Yaan mlela nshakuchukia mazimaaa ovyoooo
Umempa ukweli msenge huyu aon kama mashavu yameshuka atulie pole ebitoke hata ni Maputo tu
Kabinti kazuri jamaani Pole Ebitoke,!! Nimekupenda buheti
Mlela serengeti boy 😂😂
Naona wadada povu linawatoka inauma kumbe..du..
Eti upupu sangelikufa chezea upupu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mlela mwanaume wa Dar, kwanza hata nywele zako ulilipiwa saluni na Ebitoke
.mlela shog
Kabisaa angeingia na upupu 😂😂😂
Cyo kw kichambo hiko dadeki kama ajaelewa Basi haelewi Hadi dunia inasimama
Sema esha buheti cyo esha buherii
Safi esha 😆😆
Unakwama wapi?
Kibabu hicho mlela
Tatizo na nyie dada zetu mnaingia kwa miguu yote kuweni watu wakuchunguza kwa broo mlela yy itakuwa ali kaa naye kidogo akaona hatomfaa katika msixha unafikiri alivyo muacha kuna xababu na xivinginevyo hata wanawake hamtambui nafaxi yenu#kuweni wapole😎
Na mambo unayo fanya hayafai kabisa shabiki mm napotea kaka
Esha nmependa na umemalizaaaaaaaa
Kwani mlale hana mishe hapa mjini
Ebitoke vumilia dd ang yataisha nahuyo mlela atainshia uhuni tuu mwoshoni ataupa ukimwi
Zaina Kwemai Tuna uhakika gani hana huyu jamaa c kwa uchafu huo
Inawezekana kwanza akawanao ety alingia bodi yake nzr hajui akifa yaoza yote yabaki tuuu mifupa hana akili huyu kaka
Esha dada uyo mlela nimpiuzi sana ilakitamtokea puan mpumbavu sana mlela
naomba mumtafute Nay wa mitego tumskie nae atasemaje ama atamshauri nn mlela mana ndio ivo kashaharibikiwa hana pakuangalia sa i
Mlela hata hafanani anayoyafanya kwakweli