Sikukujua hadi leo ktk mitandao wanakuongelea ndiyo nikaona niingie UA-cam huyu Martha ktk Cheka tuu ndiyo nani? Ulikuwa upo vizuri Innalilahyi wahinllilay rajoun kwake tunatoka na kwake tutarejea. Mwenyezi Mungu akusamehe na akupe pepo. Amin
Duuhh jmn kifo hana adabu jamani,kwa kweli ndo leo nakuona baada ya kuona trending ya kifo chako social madia,kumbe uliomba kura 2020 uwakilishe jimbo la uswahilini,R I P martha Mungu akupe pumziko la milele.
Jaman martha hii video mm huwa naingalia kila siku naipendaga, ghafra naona watu wameandika R.I.P Jamani jamani😭😭 Pumzika kwa amani nilikuwa nakupendaga
😭😭😭😭R.I.P martha,hakika cc tu mavumbi na mavumbini tutarejea 😭😭inauma bint mdogo sana .Allah wape moyo wa ustaamirivu wazazi wake na familia kwa ujumla🤲😭😭.
Jamani tuliokuja kumuangalia Martha baada ya kupata taarifa za kifo chake tujuane. Hila nimeumia sana mdogo wangu R.IP Mama
Inauma
Bado siamini kwakweli kumbe nani naweza kuzima muda wowote kifo kwanini lkn pumzka kwa aman tunakupenda na tunakuombea .
Hata siamini juzi na Jana ndo nlikua bize kumuangakia duh
Tupo
Uyu dada nilianza kumfatilia tu juzy wallah yaani nimeingia baridi
Sikukujua hadi leo ktk mitandao wanakuongelea ndiyo nikaona niingie UA-cam huyu Martha ktk Cheka tuu ndiyo nani? Ulikuwa upo vizuri Innalilahyi wahinllilay rajoun kwake tunatoka na kwake tutarejea. Mwenyezi Mungu akusamehe na akupe pepo. Amin
Duuhh jmn kifo hana adabu jamani,kwa kweli ndo leo nakuona baada ya kuona trending ya kifo chako social madia,kumbe uliomba kura 2020 uwakilishe jimbo la uswahilini,R I P martha Mungu akupe pumziko la milele.
pole sana mama Martha kwa kuondokewa na huyu mtoto!!jamani inaumaaaaa!!nikimwangalia nasikia huzuni kubwa kwa mamake!! Mungu akufariji tuu!
Jaman wanaoangalia video baada yakuckia msiba wa boss Martha like zenu hapa
Hiv mnakula like
jaman? unauma sana Dada yetu kutoeka kazi ya mungu aina makosa
Jaman martha hii video mm huwa naingalia kila siku naipendaga, ghafra naona watu wameandika R.I.P Jamani jamani😭😭
Pumzika kwa amani nilikuwa nakupendaga
Maskin😭😭😭nimeumia hpo ktk 2020 mungu mkubwa😭nenda salama Martha mbele yko nyuma yetu hakuna aijuae kesho🙏
Kabisaa mumy kifo nifumbo
😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪...may she R.I.P...she was so beautiful, more love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
May your soul continues to rest in peace Boss Martha,we miss you so much 😭
Kweli dunia tunapita 😭😭😭🙏
Bwana ametoa nae ametwaajina lake na lihimidiwe sijaamin Matha kweli😭😭
😭😭😭😭R.I.P martha,hakika cc tu mavumbi na mavumbini tutarejea 😭😭inauma bint mdogo sana .Allah wape moyo wa ustaamirivu wazazi wake na familia kwa ujumla🤲😭😭.
Ehh uko vizuri, karibu churchchill show Kenya unao uwezo
She's dead on this day of 11th September 2019.
We will miss her 😭😭😭 Rest In Peace sis we love you but God loves you more ❤️😭😭😭😭😭😭😭
I feel to cry and you continue to make know dunian tunapita tusijosahau sana jaman
Yaan hii ndo video nilokua naiangalia sanaaa n nilikuw na wish one day nikutane n ww live. Hivi kweli umekufa Martha😢😢😢R.I.P
Atamm nimeumia apumzike kwaamani
naombeni kura 2020 niingie zangu bungeni mie nakijora .duh inasikitisha kweli yan rip dadaa njia ni moja
Sikujua kama Tanzania tuna wanaake wa stand up comedy ❤️
Leo ndo nimegundua
😭😭😭ndio kaishakufa jamn
Duuuu hapo ndo tutajua kua hmna mwenye kuijua kesho yake kama umeskia aliomba kura elfu 2020 ,,,,mpe like yake apumzke kwa amanii,,,,,,
JAMAN 2020 ALOSEMA ANATAKA AINGIE BUNGENI HAYUPO 😭😭😭😭😭
R.I.P DEAR
Dunia mapito sote tunapita Rest in peace Boosmartha we will miss.
Aahaaaaahahaha nacheka huku machozi yananitokaa jamanii eeee Mungu tufundishe kuhesabu siku zetu
Dunia tunapita kweli...kila mtu na siku yake....safiri salama Martha
Kura za 2020 zimekupata ushapumzika RIP queen
😘😘😘😘😘😘😘Nakukubali viby mno
😥😥😫poleni jmn Tanzania Na wana family
rest in peace poleni kwa familia am sorry watching yu when yu have gone ndo nmekujua from kenya.
Duh R I P my so sad😭😭
Martha on the stage 😘😘😘😘
Pumnzika kwa amani mama ungekuwepo ningekupa kura yangu uingie bungeni🙏
Dah ndoto zake nikupigiwa kura 2020.
Inauma Sana'a,
Innah lillah wainnah illah rajiuna , mpnz ulikuwa very smart pia ulikuwa wajitahid kweli kuchekesha ulikuwa konk fire
I miss you today martha, Continue RIP
Martha tulikupenda mom lakini mungu kakupenda zaidi mamaaa.
Really I miss her😭
R.l.P dah kwer duniani tunapita
Mungu akuweke mahali pema Dada angu mbele yako nyuma yetu
Ndo namuona Leo.baada ya kusikia kafa
Kumbe tuko wengi ndio mara ya kwanza mm pia kumuona na hilo jina pia
Mie pia
R,I,p,pumzka,kwa,aman
Daah continue to Rest In Peace😭😭
R. I. P Dada yetu 😭😭😭dunia mapito twajipigia maesabu ya 2020 Na hatujui kama tutafika.. Ewe mungu mwanadam silolote
Likes zake plz... She's one in a million
huyu binti alikuwa mrembo tena sana......na talanta yake ya kuchekesha watu ilikuwa juu sana
it is such a loss
Till 2024🙌
Tutakumis sana upumuzike kwamani
Mm pia bungee huwa siangalii 😢😢😢😢😢RIP boss martha
Pumzika kwa Amani Martha, ila Nmekujua leo na Yote uliongea ni ya kweli,
May your soul continues to us😭 kumbe kale kq msemo ka mlokomaa mpo🤣🤣🤣😭
Jaman jaman Martha daaahh!!! ndo kwanza ulikuwa unatoboa yan daahh!!! RIP mdogo Wang Martha mbele yako nyuma yetu
Nakupenda sana dada masa ~♥~♥
😂😂😂😂😂😂Matha umeuaaaaa ndg yang
R I P Martha
Oooh boss Martha I will love you forever
Such a beautiful soul
Ndonaangalia Leo baada ya kusikia kafa pumzika kwa amani mama
mekupenda bure😘
Daah! hii comment niliiandika kipindi yupo hai😭
Beautiful beautiful soul continue resting in peace
rest in peace Martha 😔 too sad
jamn amakwel kifo kiboko yaan naangalia akiwa ashakufa duuh rip😔😔
Nilipenda lakini mungu alipenda zaidi mungu aendelee kumuweka mahali pema
Rest easy sis......nimekufahamu vizur Leo tu
Matha wee 😂😂😂😂🙌
Daah!! pumzika Kwa amani mpnz mi nimekujua baada ya kusikia kifo chako R I P
Mage Andrew
R.i.p mathaa dah!!!!!!kwl binadamu ss Ni mavumi tu
Rip matha jaman hiv kwann sikukujua mapema kazi zako zilikuwa nzuri sana pumzika kwa amani mamy
😢was my favorite
😃😃😃😃😃😃😃umenishita tabia matha😃😃😃😃😃😃😃😃eti hamna vijola bungeni 😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Hakika sote ni Allah na kwake tutarejea. RIP Boss Martha.
Dah 2020 jmn unachaguliwa wap jmn marthar mbel yt nyuma yet rest in peace nimekumb Leo hii clip ad roh inauma
Love you girl
Almost 4 years now
Mungu akulaze pema peponi
Jaman Mungu muweke matha mahali panapomstahil kama kunabunge huko mpe choleo atimize lengo
Martha nakupenda shost
Daaah jamani hii haiwezi sahaulika kila nikiangalia hii video roho inaniuma sana
We still remember you.. martha may your soul continue to rest in peace
R.I.P Boss Martha..mungu yu pa1 nawe
rip Martha jamn sijui nilie mim poleni familia ya martha
Miss you dear boss Martha
RIP, missing you big time.
EMANUEL MGOGO
Dada acha utan 😅😅😅😅😅
Kama hajafa masikini 😭😭😭tufanye mema ndugu zangu
Kweli dunia mapito 😭😭😭😭
May she continue resting in peace
Kazi safi
continue to rest in peace boss matha
Ur soul R I P martha
jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiii R.I.P marthaaaaaaaaa.........ulikuwaaa mzuriiiiiiiiiiii kweliiiiii marthaaaaa....R.I P.😭😭😭
😭😭😭😭naumia jmnir pumzik kwaaamani 😭
Who is here 2021
Rest in peace girls
Khadija kopa brought me here😂😂😂😂😂
R.I.p Martha pumzikaa kwa aman daa inaumaaa
Pumzika kwa Amani Boss Martha
Anaombeni kura zenu 2020 m/mungu ilaze pema roho ya boss Martha kama unajua hujui kesho yako gonga like apumzike Pema Martha
I miss her😭
Mi namfahamu Ebitoke tu kumbe kuna msanii Boss Martha.
Ulitaka kura 2020..aki rip martha
Dah, umenichekexha mpk co poa
Dunia mapito sikukujua kabla ulikuwa vzr San kwenye kazi yako dada rest in peace mumy😥😥😥😥
Duu inasikitisha sana
Jamani naomba mnipe tarifa kafa lini huyu mdada
😭😭😭😭😭😭 2021 bado comedian yako ipo machon kwetu
Sichoki kukuangalia Martha pumzika kwa amani dadaangu