Mungu wetu shuka uwazaidie hawa watoto na mamao kama familia. I can’t believe that ndugu Marco hayumo tena . Am in tears 😭😭😭😭right here in USA 🇺🇸 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸whenever this children sing any of their songs. Kifo weweeeeeee jameni 😭😭😭😭😭😭🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Ooooh Glory be to God for this young man❤❤❤More grace in Jesus Name...like father like son im so happy to hear marco junior voice ❤❤❤❤much love from Dubai
More love from Kenya 🇰🇪 as you grow little angel may you stand in the gap of your Dad, may God grant you wisdom, protect you and above all know him more.
God bless you. This is very powerful and the message in this song is very powerful Yani hatujui ya kesho when Kila kitu hufika mwisho am so blessed. Keep it up.
Job 14:7 Kuna matumaini kwa mti uliyokatwa, chochote kinacho tokea kwa mtumish wa mungu kunayo sababu kubwa mtu wa macho ya kawaida hawezi ona bali ni mungu pekea na wanao enenda na roho ❤😢😢😢a hadi ya mungu juu ya Familia yeye hutimiza alichokiazisha yeye kwa Marco atakikamilisha kwa mwanae yeye ni mwingi wa rehema😢😢😢😢😢😢
Daaah Corus nasikia SAUTI ya Marco Kabisa .. kama unasikia pia Gonga like hapa twende sawa
Kabisaaa yaan
Wow, melodic song,like his father,I love it may God bless them
Kenyans in the house❤️❤️for the love we had for Marco🙏🙏
God is genuine to His people...ataenda mbali mtoto ❤❤
❤❤❤
Vinzuri ❤
❤❤❤❤❤❤❤
Wale tunawaombea wafiki mbali kama baba yao weka likes 🙏🙏
Jy
Zaidi ya baba yaooo❤
@@NaomiBwilinde amen 🙏
@@RamadhanRashidi-pr7jt 🙏🙏
Mob love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪my fellow kenyans we do it with unity and love.....lets support the kid kwa kutazama wimbo huu na ku*share❤❤❤
❤❤❤
Tunawapenda sana Mungu awalinde ❤❤❤❤
Offering Kenyan support. I will share this hadi nitosheke. Tunawapenda
Thank you please share widely
@@Marcojoseph❤❤❤❤
What a masterpiece, fellow Kenyans let's subscribe for the love of Marco Joseph.May God uplift this young boy🙏🙏🥰🥰
Wawoo!! Asante Mungu Kwa ajili ya familia hii, Wabariki watunze na kukuza zaidi vipaji vyao, I'm happy for them ❤
Mung wa mbinguni Shuka kw ajili ya hii family na uipe furah amani na upendo kutoka kwako ❤
AMEEN 🙏
Jamani nimesikia Sauti ya Marco nimemkumbuka na kulia😢😢kifo hakizoeleki lkn hongera nyimbo nzuri sana imenigusa sana❤
Waoooooh much love from land of opportunity Embu county kenya❤❤❤❤
Hongera sana, na Mungu akuinue zaidi uizibe nafasi baba alioiacha kwetu,, neema ikuzidi
Hakika amechukua talent ya baba yake ❤❤gonga like if you like it ♥️♥️
Mungu awalinde na awafikishe mbali zaidi..shalom🤲
Much love from kenya mungu azidi kuwabariki na kuwalida kama baba yenu❤❤
Vizuri sana mtoto mzuri! Mungu akuinue zaidi
Mungu wetu shuka uwazaidie hawa watoto na mamao kama familia. I can’t believe that ndugu Marco hayumo tena . Am in tears 😭😭😭😭right here in USA 🇺🇸 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸whenever this children sing any of their songs. Kifo weweeeeeee jameni 😭😭😭😭😭😭🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Mapema Sana ak kifo 😢😢😢 mungu atawalinda awez waacha
Dear lord protect these kids..... please protect Marco's family at large❤️❤️❤️❤️
Ameen🙏
Ooooh Glory be to God for this young man❤❤❤More grace in Jesus Name...like father like son im so happy to hear marco junior voice ❤❤❤❤much love from Dubai
Mtoto umenikumbusha Marco Mungu wa Mbinguni akutunze kipaji hicho Mungu akipalilie kiinuke zaidi Ameen
Tunawapenda, upcoming UA-camrs, tupitianeni hapa pia sisi tugrow pamoja ❤❤❤❤❤
Ooh wonderful and Powerful song. May God bless this young one🙏🙏🙏
Da mungu awafikishe mbali ❤❤
More grace young boy
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Auuuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉nice daddy Mungu niongoze mm ni mtenda dhambi nisamehe😢direct like my skizaa tune calling wow nimependaa❤❤barikiwaa toto😊😊😊😊😊
Amen, from 🇰🇪mungu azidi kuwaongoza
❤❤❤❤ mungu mungu mwema hujiinulia watumishi kwa kusudi lake .
Watoto mungu awainue viwango hadi viwango
😢may God protect you for the sake of marco and your mother,,much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
I love this song brethren, very nice and gives hope to the hopeless. This brother soloist, FIRE
Mungu awalinde mob love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🎉🎉🎉mungu akuzidishie kipaji mwanangu Omni langu. Kwa jafet. Msimamie huy mtt atimize doto zake zautumishi ukiwemo elim🎉🎉🎉🎉🎉🎉
kazi ya mungu lazima iendelee mungu ana watu
Ubarikiwe ulibaki na kipaji cha babako mungu akulinde akupe maisha marefu🎉🎉🎉🎉🎉
Mashaallah Watoto wazuri mungu awalinde ujumbe mzuri ❤❤❤❤🎉🎉🎉😊😊😊😊😊🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰
Mungu wabariki wtoto Hawa uwe pamoja nao siku zote za maisha yao
More love from Kenya 🇰🇪 as you grow little angel may you stand in the gap of your Dad, may God grant you wisdom, protect you and above all know him more.
Very nice!
Watching from Rwanda.
N bn nyimbo za huyu mtoi zinakatizwa haziishi vizuri anakatwa some words ad the message is strong 😢
Pokeeni upendo mwingi kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪....Mulindwe na kutunzwa na Bwana siku zote za maisha yenu...Yesu nenea mema hii familia 🙏
❤❤🎉🎉 kweli mtoto wa mungu ni mfano kamili wa mungu ... Anaimba kama yeye tuu.....
Amen 🎉🎉🎉🎉 watching from Kenya
Amazing young boys may God grant you with wisdom and knowledge , Keep on working for the lord.
😢😢😢😢Ameen nimebarikiwa kweli Mungu endelea kulinda hawa watoto wafunike nadamu ya mwanao Yesu christo 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Wow wow.. Am blessed ❤️🤲... God bless you.. Tushililieni hili Neno la bwana
Good Job Marcos Junior keep going be blessed May God protect you
❤❤❤❤ooooh noo keep going bby mungu akuonekanie
❤❤❤❤love from Kenya 🇰🇪. Naskie tu sauti ya Marehemu Marco
Beautiful voices blessings from Kanamkemer, Turkana County in Kenya
🎉🎉🎉mungu awainue nabaraka iwe juu yenu toto❤❤❤
Kumbe tulipaki na Marco barikiwa sana watoto wa Marco.
Awwwwww this is amazing. Sauti ya baba kabisaaaa
Daah nimejikuta natoa machozi ya furaha Jamanii mbarikiwe Sana kipaji Chao kiinuliwe zaidi na zaidi...
Hallelujah,,,,🇹🇿 tuna vipaji vya kumtumuza sana Mungu
Much love jnr .....God's blessings🙏🙏
Nice one ❤much love from kenya 🇰🇪
Wahu nice song mungu awabariki sana mfike mbali kama baba yenu
Amina mbalikiwe mungu awatie nguvu mxidi kusonga mbele nawapenda
As father as son actually keep up the good work 🎉
Mungu awabariki na kuwatunza jamani 🥰
Good.Keep up good boy.Lets the father's assignment keep on blazing fire 🔥
Mungu akufikishe mbal ❤
Waoooooh kazi mzuri❤❤❤
Mungu abariki huyu mtoto kbsaa🙏
Mwanangu asante sana wimbo ni mzurii mwanangu nimebarikiwaa
God bless you. This is very powerful and the message in this song is very powerful Yani hatujui ya kesho when Kila kitu hufika mwisho am so blessed. Keep it up.
Mungu walinde watoto hawa vipaji vyao viendelee❤❤❤❤
Mungu pekee ndo kilakitu juu yetu pia mungu akutie nguvu kijana🙏🙏
Love you baby's😘 na skiza nikiw Qatar 👏👏❤❤❤❤❤❤❤❤❤
More grace totoo ❤❤may God favour be upon you
Nice, May God bless this family.
Mungu awabariki sana..mkue ktk hekima na kimo daima
Amina aendeleza misheni vilivyo, Mungu mkuu milele
Im extremely happy for you 🥰😜🔥.
Mungu awabariki muendeleze kazi ya baba yenu 🤪🙏🙏
Waah kijana una sauti zuri sana unanipa imani sana namekupenda sana unapendeza
Tumebarikiwa...mbarikiwe nanyi pia❤ 🇰🇪
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ kazi nzuri mungu amulide
Sante kwakuerekeza watotonjia njema yakumufuata mungu❤️❤️❤️❤️
Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu Zaid nawapenda❤❤
Haleluyaaaaa ❤ Mwenyezi Mungu akuwezeshe Joseph
Marco bado a live kupitia kwa huyu mtoi
Wooow woooow amazing from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu bariki Hawa watoto,endelea kukuza kibaji Cha huyu mtoto azidi kuwa maarufu amridi babake,nakukupali,pia ❤ kutoka 🇰🇪
Amen and Amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙌🏽 barikiwa sana. 🇰🇪🇰🇪
Dah!! Dogo anafanana na baba ake jaman...Mungu awatunze
Lions give birth to lions Amen,much love from Kenya ❤
Massive love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
much love from kenya ❤❤❤❤
Mubarikiwe sana kwa hiy Nyimbo nzuri
Much love from Kenya❤❤ Nimekuwa emotional 😭😭 Continue resting in peace Marco
Nawapenda sana wana wetu mubaarikiwe zaidi na zaidi mwaaaah
Amen 🙏 🙏 🙏 be blessed watoto wazuri sana🎉🎉
Anafanana babake....may his fatherz legacy and spirit work on excess in them
Job 14:7 Kuna matumaini kwa mti uliyokatwa, chochote kinacho tokea kwa mtumish wa mungu kunayo sababu kubwa mtu wa macho ya kawaida hawezi ona bali ni mungu pekea na wanao enenda na roho ❤😢😢😢a hadi ya mungu juu ya Familia yeye hutimiza alichokiazisha yeye kwa Marco atakikamilisha kwa mwanae yeye ni mwingi wa rehema😢😢😢😢😢😢
Mungu akulinde,na akuinue akuweke katila kiwango cha juu….
Mungu awabariki sana na awainue Hadi viwango vya juu sana
This is very encouraging. Nice song 🎵
Wooow 🥹🥹, Mungu awabariki sana watoto wazuri 🙏🙏🙏❤️❤️
May God continue you lifting up the little angel
May your future be bright! Sorry for your loss
Mubarikiwe sana❤❤❤ tunawapenda tena sana