I love them, mavazi Iko decent, nyimbo very nice, Yani zabron singers nawapenda mbure nkitoka jela I will teach my children this way of singing,. ❤❤❤U big zabrons
@ztvonline2523 kunawakati niliona Japhet akifanya interview na midia mfaran hivi kuhusiana na wimbo wa Akida.akatowa taarifa yakuwa wimbo huu ndo wimbo Kati ya nyimbo ambazo ametunga marehemu Marco bukuru.kati ya nyimbo nne alizo itungia zabron singas.nahuo ndo wimbo wa mwisho. Kabura hajafariki,natayari ulikuwa umeshafanyiwa audio.
I love them, mavazi Iko decent, nyimbo very nice, Yani zabron singers nawapenda mbure nkitoka jela I will teach my children this way of singing,. ❤❤❤U big zabrons
Hongereni sana mnaimba vzr.MUNGU AWABARIKI NA WAZAZI WENU WABARIKIWE SANA
Nawa penda sana Zabrons Singers , nili li mlilia Marko kama vile ndugu yangu.
Mungu ni mkubwa mbarikiwe nawapenda Sana bila kumsahau Marko, daaaa mmenikumbusha mbali Sana kuhusu uimbaji wa marko
Hongereni kwa wimbo mzuri.
mbarikwe san wan zablon
Hmm dear I don't know if my pain will go 😭😭😭 Marco 😭😭😭 marco
Ongereni kwa nyimbo zuri
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri
Mungu awabariki sana na awatie nguvu
Mbarikiwe zabron
Marko wetu uko wapi
Stay blessed zabron God took over 😢
Mbarikiwe Sana
Amina
Polen😢
😢😢😢
Good 👍 job,, I also have new trending song 🔥, hitting on,, NAONA MBALI by STELLAH NDUKU,, get it and God bless you all, ✅🙏
Naomba kujuwa mtunzi wa huu wimbo et ninani?
ni Japhet Zabron uyo mwalimu wa hiyo kwaya
@ztvonline2523 kunawakati niliona Japhet akifanya interview na midia mfaran hivi kuhusiana na wimbo wa Akida.akatowa taarifa yakuwa wimbo huu ndo wimbo Kati ya nyimbo ambazo ametunga marehemu Marco bukuru.kati ya nyimbo nne alizo itungia zabron singas.nahuo ndo wimbo wa mwisho. Kabura hajafariki,natayari ulikuwa umeshafanyiwa audio.
Yea kbsa inawezekana ila pale kwenye Video wameandima kwamba Japhet ndio katunga yeye
ulilozungumza naliamiani 100% mkuu