Nondo za Jaji Makaramba Dhidi ya Matukio ya Kupotea Raia Nchini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024
  • #ijuesheria #section4wakilitv #tls

КОМЕНТАРІ • 17

  • @davidandrew3481
    @davidandrew3481 3 дні тому

    Nimependa sana huu mjadala, very intellectual Prof.Makaramba

  • @kesphaanyitike7751
    @kesphaanyitike7751 5 днів тому +1

    Asante Jaji kwa Maelezo mazuri.

    • @daviddsouza735
      @daviddsouza735 5 днів тому

      Kuna majaji hawapewi kazi wanazistahili kwasababu huwa hawapindishi sheria.

  • @henrymjema1685
    @henrymjema1685 5 днів тому +2

    Vile tu njia ya kuingia bungeni ni ngumu, watu 50 kama Hawa wangekuwa bungeni nchi ingekuwa mbali.

  • @hanskalou1852
    @hanskalou1852 3 дні тому

    Waongeaji wote kwenye huu mjadala nondo tupu hadi kamanda mulilo. Wakitoka hapo sasa ndio majanga yanapoanzia

  • @josephmtui3461
    @josephmtui3461 5 днів тому

    Huyu ni mwalimu mzuri sana wa sheria anajua sana kufundisha ila inaonekana masikitiko yake wanafunzi wake wameacha mafunzo yake na kutumia mafunzo siasa na hapo ndipo tatizo lilipi

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 6 днів тому

    big up mzee wang

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 6 днів тому +2

    Mzee. Uko sahihi tatizo viongoz wanawakingia kifua watu wasiojulikana ndo hofuetu hapo ndomana tunaihusisha mojakwamoja serikali inahusika

  • @FlavianoMgizi
    @FlavianoMgizi 2 дні тому

    Hapo kuna watu wanachukua notes kama wako class

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 3 дні тому

    Hiii hotuba nitairudia mara kwa mara it means ni shule tosha.

  • @StevenSanga-n3n
    @StevenSanga-n3n 6 днів тому +1

    Sema apo penye english umeniweza umbeya wote umeniisha baada yakusikia izo infyuuzi sampialensi😅😅😅

  • @mattermusic-fy5md
    @mattermusic-fy5md 5 днів тому

    Mulilo na tulia wote umewafundisha lakin wamesahau mafunzo

  • @JustineWangi-j2t
    @JustineWangi-j2t 6 днів тому

    😂dah!mh unaakili nyingi sana najua kamanda amekuelewa😂

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 6 днів тому

    Shule nzuri

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 6 днів тому

    Tanzania wapo 44:48 wasomi wanaojua na kujitambua

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 6 днів тому

    Makamanda ndicho walichosomea kujua mazingira yanayoweza kuwa hataeishi.

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 6 днів тому

    Summary: Shida yetu ni umahiri wa kutekeleza ma jukumu yetu.