Wapendwa matendo haya yamekuwa ni dhahili kwenye taifa letu, hivyo mungu ameyaona na ameiona Damu ya watt wake,sasa basi mungu atatenganisha magugu na ngano muda umewadi.
Sheria zitungwe kwa ajili kupoteza mtu (siyo kupotea) Sijui mnaelewa nachomaanisha? Nashauri kufungwe CCTV cameras kwenye mahabusu, katika mapokezi ya polisi, vyumba vya mahojiano polisi na magereza zote ili kuona na kuzuia ukatili katika maeneo hayo. Enforced Disappearance na Human Mistreatment kwa pamoja ni tatizo kubwa
Lakini kwa hakili ndogo sana kwanini wanaotekwa hata kwa viongozi wa kubwa sijawahi kuona kiongozi wa ccm amepotea ni vyama pinzani hapo kuna kitu na kitatuliwe haraka na muongelee kuzuia mandamano kwann 🙌🙌
WANAWEZA ISRAEL KUPIGANIA RAIA WAO HATA MMOJA WATATUMIA GHARAMA YA KUBWA ILI TU WAMWOKOE MYAHUDI WAO, TZ LABDA MTOTO WA MKUBWA HUYO MPAKA VYOO VITAVUNJWA APATIKANE..KATIBA IKIWA NA MAKALI NDO KITABU KITAKACHOTUSAIDIA, NA IPITISHWE MASHULENI RAIA WAIJUE ILI WATETEE HAKI ZAO...
Jeshi la polisi linaleta siasa kwenye maisha ya watu, wakati wao wanatakiwa kuwajibika, kamanda kumwangalia tu ana wcwc kwa cheo chake, polisi wanahusika.
Usichanganye watu akili watu wengine wana madeni walikataa kulipa madeni hivyo wa ate kWa na maadui, wengine wansfanya biashara pamoja wamedhurumiana, hivyo wanatekana, wengine wanagombania wanawake wanatekana, wengine wanagombana ktk Siasa, wanagombania vyeo, wanatekana, ukora wenu una anza kujulikana
@@idiphoncekiimbi2021 una ujinga mwingi kichwani mwako, ndiyo maana kuna yako iko kwenye uso na mono yako iko kwenye kidogo, una India mbili ambayo hazina chini zimeksakwenye kichwa chako lakini huziona. Mwehu wewe

Hongera mawakili wetu
Kambole Mungu akujalie wewe na kizazi chako, watanzania tunakuombea sana
Hii hii tunawasomi wengi sana sema hawapazi sauti 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Hongera wakili msomi
Wapendwa matendo haya yamekuwa ni dhahili kwenye taifa letu, hivyo mungu ameyaona na ameiona Damu ya watt wake,sasa basi mungu atatenganisha magugu na ngano muda umewadi.
Kambole 🎉🎉🎉
Viongozi wa nchi,ujimbe umewafikia toka tls
Da shida sana nchi hii kwakwer Hatuna uongozi
Mungu awabariki
Tena awabariki mno nakuwaongezea maisha marefu yakutetea damu za watu wake
Sheria zitungwe kwa ajili kupoteza mtu (siyo kupotea) Sijui mnaelewa nachomaanisha? Nashauri kufungwe CCTV cameras kwenye mahabusu, katika mapokezi ya polisi, vyumba vya mahojiano polisi na magereza zote ili kuona na kuzuia ukatili katika maeneo hayo. Enforced Disappearance na Human Mistreatment kwa pamoja ni tatizo kubwa
1
Kamanda anaujua ukweli kbs, ivi oneni kesi kama serekali aiusiki mala 1 WATU wanakamatwa walio hua ama, kuchomwa moto au kuuwawa
Kweli kabisa
Lakini kwa hakili ndogo sana kwanini wanaotekwa hata kwa viongozi wa kubwa sijawahi kuona kiongozi wa ccm amepotea ni vyama pinzani hapo kuna kitu na kitatuliwe haraka na muongelee kuzuia mandamano kwann 🙌🙌
Inauma saaana n waTz tumeumia mno kwa hii hali na km sikosei haijawai kutokea kimfululizo hivi
Tuna waamin makamanda nikweli kabisa majanga ya utekaji yamezid
75% au 85 inatokea upande mmoja tu jaman,
Hazina Nyingine kwa Taifa
Samia anasema kwamba ameupiga mwingi
Jitahidini kusema Kiswahili ili watu wawaelewe vizuri!
Sheria zimeandikwa kwa kiingereza tumecopy kwenye sheria za kikoloni
@@GodfreyMwamasonahapo ndio tumefeli
Ni ngumu sheria nyingi kuzisema kwa Kiswahili...zimeandikwa kwa kiingereza
Iko wazi wanaoteka nakuuwa watu ni asikari watanzania kwakuwa wanasema ukweli
WANAWEZA ISRAEL KUPIGANIA RAIA WAO HATA MMOJA WATATUMIA GHARAMA YA KUBWA ILI TU WAMWOKOE MYAHUDI WAO, TZ LABDA MTOTO WA MKUBWA HUYO MPAKA VYOO VITAVUNJWA APATIKANE..KATIBA IKIWA NA MAKALI NDO KITABU KITAKACHOTUSAIDIA, NA IPITISHWE MASHULENI RAIA WAIJUE ILI WATETEE HAKI ZAO...
Sio huko tu Marekani hata Ulaya wanajali Haki za binaadamu
Jeshi la polisi linaleta siasa kwenye maisha ya watu, wakati wao wanatakiwa kuwajibika, kamanda kumwangalia tu ana wcwc kwa cheo chake, polisi wanahusika.
Usichanganye watu akili watu wengine wana madeni walikataa kulipa madeni hivyo wa ate kWa na maadui, wengine wansfanya biashara pamoja wamedhurumiana, hivyo wanatekana, wengine wanagombania wanawake wanatekana, wengine wanagombana ktk Siasa, wanagombania vyeo, wanatekana, ukora wenu una anza kujulikana
Hauna akili kuma weeee
@@idiphoncekiimbi2021 una ujinga mwingi kichwani mwako, ndiyo maana kuna yako iko kwenye uso na mono yako iko kwenye kidogo, una India mbili ambayo hazina chini zimeksakwenye kichwa chako lakini huziona. Mwehu wewe
Jeshi la polisi linaleta siasa kwenye maisha ya watu, wakati wao wanatakiwa kuwajibika, kamanda kumwangalia tu ana wcwc kwa cheo chake, polisi wanahusika.
Jibu ni katiba mpya tu.watu wanalindana mno,isitoshe Vyombo vya ulinzi na usalama havitakiwi kuingilia Siasa