WAKTI BONGO MOVIE PART 1 ( JACOB STEVEN)
Вставка
- Опубліковано 5 лип 2020
- Cast
Steven sandhu, Regina joseph, Jacob steven
has its appropriate time. Vanesa falls in love with a young man Samuel while at the time her father doesn't agree to such relationship and seeing her mixing love and education at the sametime.
🤣🤣🤣Am so proud with my tribe.........Mama vekuosha kirundu........vana vakaa kindu ani🤣🤣
Nakubarigi kazi zako nikiwa mocambiq
Katika ma actors wate wa bongo movie kwa kiume, Huyu number I, I really like his movies.
Mbona wengine wanasema eti num 1 ni Madebe ? Lakini mimi napenda sana jb na Ray
M..
.
Nakubali Jacob Stephen kazi mzuri ya u con man mpaka ukawa professional ukaona wacha tu sai nideal na white people Safi Sana
iko vizur sanaaaa
❤❤ Nice 👍 job
Hizi ni aina ya movie ambazo zilikuwa zina nyanyua SOKO LA BONGO movie ktk nchi yetu, Kwa sababu ya vitu 2 (Script imebeba uhalisia na pia language mix approach ni nzuri)
Ni nzuri kweli au
JB jmn anaweza uwa mtu💪💪💪🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
Big up unajitahida sana jaman mnarudi ezi ya kanumba
we uko dunia gani
Movie nzuri Mashaallah
Mchezo mzuti sana hengere Jakubu
Jaman movie ina enda na uhalisia familia zenye pesa bongo wanaongea sana kingeleza so waachen bwana wavunje yaiii😂 ao awaja toka buzaa kuleee
kweri kabisa
Wabongo bhan kingereza kintoka wapi au mnafikiri wote tumesoma au mjitambue bas
Shinda ata sio kusoma twajua wote sio wasomi ila kingereza yenye mbaya kingereza kiswahili lugha ya mama kwa movies za kibongo. Uwa mwauthi sana
Inaonekana ya kitambo sanaa maana hp jb kijana na hy bibi kijana kiufup yakitambo sanaaa haya wacha niendelee kuangalia mpk mwisho
Amazing love mzuuri safi.
Very good movie America I'm from Burundi
This movie has alot of eating 😋
Sio mbay wala sio nzur,manake ni ya kawaida
Kwel yan nisi itizam🙄🙄
Jakobo napenda sana kazizako❤❤
Nakuona Rani wa devi hapa ulikua Mtoto😍
Huyo ni ruki.my
Kijana amezubahaa kwa office kuona msichana wa mwenzake mkubwa eeee
Waooo ruki
Nameza tu mate hapa peke yangu na hizo samaki na ugali it looks nice
Tumieni lugha yenu wabongo 2nafeli hapo kumbukeni kuwa mkataa chake mtumwa"
Tulia ww kama kingeleza ujui tukutafsilie bana w2 wa buza mna tabu sanaaa ninyii
Vathu jamani haya tonga mboha yeto.
Nice one! Mko vizuri sana wahusika wote hasaa the father, doughter and the boss😁Jacob 🤣🤣🤣🤣kazi ipo utaangalia ya mwanao ama kazi? Na ujue umepiga your boss🤭🤭
😂😂😂😂😂
I like bongo movie
Duh movie nzur but hii stage ya kuvuliwa cheo alf unakuta aliyeshika cheo ni mtot wako kbs inauma san jmn duh
Super
Nmesoma comment naona kuvunjwa moyo ngoja nione kwanza mwenyew
Movie Kali san
Waooh!!Ruki uyooo
Ni Rani huyo
@@bbykiss6365 ni ruki huyo
good Vanessa
Pole Mr Jacob ndo shuhuri ya wababa ama Wazaz uwezi zuia Wakati but good job
Ongelen san move nzul
Majina ni mengi.kama move
Msiwe mnatuchanganyia rugha wengine atujasoma jamani
Nice
😂😂😂😂eti vekuosha kirundu
Ina maana gani bro
Jaman majini ndio kama movie aiiisee
Move nzuri
kujifunza English sio dhambi inasaidia sana hasa ukitoka nje yanchi so upaswi kuichukia
Wamezingua kwenye luga asee tunatakiwa turinge na luga yetu bwana
Kiingereza chenyewe
Mi napenda suruali pana kiasi ila ya huyu rasta ni kiboko!. Hii inaitwa two in one!.
😂😂😂😂😂😂😂
Na mwona Rani apo😋😋
Nyie kweli wazembe majina tu dakika kumi kazi zenu kumalizia mb zawatu nyie cjuwi mutajirekebisha lini
Jb umeniuwa nacheko eee ati actually sikutaka kuja naye eeeee
😂😂😂😂😂😂
Yani wabongo bhn majina yanachukua dk 6 nzima duhu hizi move zenu ndio mana azina mvuto mtu anasoma majina mpaka anakata tamaa anaona bora aachane na move yenyewe,
😂😂😂😂ume on heee at mm kbs
Rasta wa kitambo sn
Punguzeni utambulisho tyu unakala dk 7 jaribuni kufupisha jaman badilikeni
Duuuh apo inapoita cm patamu
Duh Dakika 10 mzima mijina tuu
Kumbe na wew umeona
Jb 😅😅😅😅
Matangazo yanachosha
English ni kulenga soka la nje tliyoishia kayumba tuwe wavumilivu kidogo
Watayarishaji bana,,,dakika nane movie haijaanza
Muvi mzr
Tukitaka movie za kingereza zimejaa kibao tu,muvi zetu za kiswahili kingereza cha nn alafu hii muvie ya mapishi au dakika tano nzima scene ya kupika,dada anasomea law hesabu wapi na wapi muwe mnafanya research Kabla ya kuigiza
Kawaida ya wabongo lugha km zote kwann hamtumii lugha 1 tyuu
Limbukeni tyu hawana lolote
wajinga kwer hawaa wanajifany machno sanaa
No problem sisi wengine huku tunafurahia muchanganyo wa Lugha Kama hivyo
Hamjiulizagi mbona wazungu hawajawahi changanya kiswahili kwenye move zao washamba nyie mnajivunia vya watu mfyuuuuu....!!
Pili ni lugha ya biashara (imetuteka hakuna namna)
English ni lugha nzuri sana inasaidia hasa ukitoka nje ya nchi ndio utajua umuhimu wake pia mfanya biashara mkubwa inafaa ujue english
@@salumnassor9425 sawa jamani atukatai lkn hi flam muda wote adi nyumbani mie ata cjawaelewa tujivunie vyakwetu muda mwingine jamani tuachane na wazungu
@@salumnassor9425 nje ya nchi tunapambana uko uko bongo kiswahili Kama kawa Kama hajui nayeye ajifunze kiswahili.. tufanye kazi ctaki utani mie tunafanywa matoi na wazungu dadek
@@albeleenalberto158 inawezekana sema bas tu bongo movie wanamadhaifu.. Makubwa bhana..
Nimefrahh
Be nson omwenga
Nc
Kabla sijaangalia ina sauti ??
Hahahah kweli lakini mana wanazinguaga
@Zuheor Salim true kabisa
😂😂😂😂
Wengine tulikimbia umande ongeeni kiswahili
Kuchanganya lugha inakubalika bt hii imekua too much ad imeharbu ubora kwa kias fulan
Kuchanganya lugha
❤❤❤❤❤❤❤❤🇧🇮
Ok
Are serious 22 years mtu anaweza kua na masters Tanzania 🥺🥺🥺
Mnazinguw kwenye rugha bwan wengine hatujaenda shule
Part 2 ipo wapi jamani mbona imeishia kati
Hii ni movie?au mwatangaza majina?mnatumalizia m,b kwa matangazo
Ruki ❤❤❤
Sasa mnasema bong mov afumnaongea kingeleza mnazingua
Iko njema blood pia wanafanya kuuza na nje
Huyo mshikaji anaboa kw nn asiongee kiswahili..
Uyo ni ruki au rani
Raster ongea to kiswahili iyo kingereza yako mbovu
😂😂😂😂😂😂
Ongeheeni kiswahili
Are you serious 22 years mtu anaweza kua na masters Tanzania 🥺🥺🥺
Mijina lundo mnazngua bhn
Et my goddess hv kuna mungu wa kike?
😂😂😂 AFU LINAMTOKA TU
Wanasemaga Eti mkono wa Mungu ukushike sasa mie uwa nashangaa Mungu Ni mwanadam mpaka awe na mikono
❤❤❤🤣💪
Ona hizo samaki mikeke masikia urohoo
Ila hii movies washiriki wanakula
Asante sana washiriki
Huyo mtu mwenye miaka 22 afu ana masters hayupo Tanzania, pengine hata duniani kote!.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Yawezekana wapo kwa sababu Kuna watu wana maliza form four na miaka 15
Xx m
pya
Suti nyeusi haibadilishwi tu
Hivi kirefu cha JB n nn?
Jacob
Mm nlidhan JACOB BONGE
@@mubussnestv5057 😂😂😂
@@mubussnestv5057 hapan mkuu
@@mubussnestv5057 😂😂😂
Munazinguwa bhana nyie ungeeni kiswahili sisi wengine hatujuwa English