Mm niliboeka n part 1 hakukua n sauti,,,pia ww kama uliboeka ka ebu like
Jb unajua unajua na unajua tena..!! Till 2024 such a nice movie
I am watching this in 2024 and still enjoying the massage and how they actor's are on actions love you.
Wale wa 2024 like kwa wing
Aisee,nimeitafuta muda mrefu sana hii movie, GOOD JOB..... Fanya mpango na ile ya Danija,sister marry na ile ya DJ BEN.
Yani hii move iko na mafunzo kweli kweli😂😂😂❤
Nzuri ila kwa sauti munafeli sana, wolper i luv your voice very sweet and Jacobe i love the way you lough🤣🤣🤣🤣
Enyewe Kila jambo likitokea katika maisha ya binadamu unatakiwa kumshukutu mungu nimejifunza kitu moja NEVER GIVE UP IN LIFE GREAT THINGS TAKE TIME 💪
Vraiment vous les Tanzanie vous êtes les meilleurs indicateurs théâtral, que nous les congolais 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mmmh kwa kweli movie za zamani nzuri alaf ndefe had raha yani
Uwa Danny namuelewaga saana😂😂😂 namwitaka Cocha😂😊
Kwa kweli filamu hiii naipenda sana,walimaliza mbiyo wange endelesha hata mpaka part 10
Napenda sana bongo movies,, mnakipawa chakuact,, Ila hii mbona kwingine haina sauti
Woooooooh I'm very happy to watch this bongo movie congratulations to those participants @bongo movie now is on fire @jacklin
Film kali, yani usiwai kuzarau mtu, binaadam sote tuko capable of compassion, love and most importantly hard work when properly motivated.
Sema JB mkali....wakubwa akikaza kidogo tu Utafikia Thoughts za Stev R.I.P
Hahahahaaa 😁😁😁😁jb bhana hyo gar imenivunja mbavu et ipo cku itapata nyenzake
Wapi like za jb
Jamani tamu sana tupe nyingin3 basi
Tuekeeni na BEST WIFE itapendeza zaidi🙏🙏🙏
From the late Kanumba Steve to Kigosi Vincent & Sepetu Wema & now a new fun of Jacky wolper & her co_star I'm pleased with the great work of the producer but got annoyed with the sound issue next time please do the best I love the ending of the story.
Salutes frm UAE.
254 if ur here give a👍 & let's continue to support Bongo movies💓💓
Jackine wolper 😂😂😂😂sio kwa mbio zile jaman 🏃♀️🤸♀️nimependa hicho kipande°°
Hii Ilikuwa Kali Sema Duuh!!! Jackline Huyu
Bango kubwa mzeee wangu
Eti nazunguka kama sio gali yangu😂😂
Part ikua nzuri juya sauti lkn hapa safi sana
JB nakkubali sanaaaaaaaaaa 🤗🤗🤗🤓🤓🤓🤓
Mzee si tunachukua unga? Niekee mgongoni hio kilo50😂😂
Nzuri saaaana
Kaka hongera kwa umahiri wakoko wakuigiza sana jacobo
Tamu sana wolper na Jacob I surely bet can make a perfect match
Jb jamani anachekesha😂😂😂eti kwani zipu inausiana nini nakuongea😂😂
Dah.. me nimependa sana broo
Naipendaaaaaaa, hongera
Movie nzuri saana tunaifata from Burundi tusaidiyeni part 3 tu enjoy
Mzee chilo handsome
Hongera shRoon na jb mungu awabAriki kwa mafunzo mazuri
mchaga wakwetu shimboni n ww Jacob turewedi n wapenda sana❤️♥️
Asnt sana kwa mwendelezo , kama vip 2ndondosheeni
Chausiku , tom boy, best wife ,miss bongo, big dady na nyingn nyingi
Eeeeb bwana jacob burundi tunakupenda sana
Nawafata nikipatikana Drc Congo uvira ville Innocent Mayero
Filamu nzuri sana jamani, ila twaomba mrekebishe mfumo wake wa sauti , kwakuwa sehemu zake mbili za kwanza zina mapungufu ayo kwa ukubwa kabisa.
💃💃tumekuwa tumeyisubir
Watta wagwan🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I can't believe she is changed
Daah hii muvi ni kali vibaya mnooo , sijui kwann sikuona mapema
heeee sikuzinapita leo umekiwa maman P mama2.pogezi dada ulijuwa ukajuwa tena
Inafunza poa
Filam nzuri sana
Gooood idear goood moviiiie bt soound inasumbua baadhi ya maeneo bt Captain Danny kibokooo
Aiseee umeuwa sana move kasoro moja tu imeboa sauty
Movie Kali from Kenya...twawakilisha
Wewe napenda cinema zako Saaana
Kama sauti ikipotea mnaweza kusoma maandishi yaliyo kwenye screen vitu vingine tusipende kulaumu tujiongeze
Nikweli kusoma maandishi lakn wakati huo utambue kusoma maandishi na wakati huo unaangalia move haviendani kabxa
Nawapenda bure jacklin wolper na mchumba bandia Jacob 🤣🤣🤣
nimekubali sharon😇🤪
Very nce actingjackline wIper na kizito wako
😂😂😂kwani ww hukojoi www hahahaaaa jb funga zipu kwanza
Sauti inapotea,,,natazama kutoka kenya
Move ninzur sana
Guud❤❤
Tujuane 2024
Dar bro JB hii kitu kali ni balaaaaa
Nakupenda sana Jacob Stephen
filamu nzuri xana
14 days na Regina kutoka kwa JB ukituekea Utakuwa umefanya jambo kubwa mno
So sweet jerki na jb amuboeshi kabsa hongern sending love from Dubai
Kweli kabisa part one haikuwa na sauti
Kweli uvumilivu unamavuna yake nimejifunza kitu asanten nimeipenda
Movie tamu saana imecezwa na wahanga wa Movie from USA
Tatizo sauti lkn kazi zury ongera waucka
Nice movie 👍👏😍😍
Tulia filam ya 24 hrs ya zamani Sana
Sauti iko vizur
Funga zipu yako.Hahaha
🔥🔥🔥🔥
Niliboeka na part 1hakukua na sauti
𝘋𝘢𝘯𝘺 𝘵𝘦𝘯𝘢🙆🏿♂️
𝘌𝘦𝘩! 𝘉𝘢𝘣𝘢
😂😂😂
Fundi mitando vepeee
Mashallah msani
Last scene moyo umeuma kwa kwl😭
Mzee wa suit !!!💔💔💔💔
Hii kazi mzur Sana
Nzuri sana 🤣🤣🤣👏❤
2021 bdo tunaiangalia
😂😂😂😂baba mkwe feki kaachwa kwenye mataa kisa abilia
Pt1 mbona haina sauti
Safi sana 😘😘😘😘😘😘😍😍😍💑👩❤️💋👩👩❤️💋👩
daa!nimecheka hatariii jb noumaaaaa
Ni flam izuri sana, lakini sauti inapoteaga. Alafu tunataka kuona kimekuwaje baada ya kumaliza hii mitihani kwamba umepewa tu hiyo Taxi kama zawadi au kimekuwaje? Kwasababu kwangu nakiona movie akiendelea. Asante sana. Isaya.
JB yupo vzr
Kila ulipitialo katika maisha yako lina sababu tunatakiwa kushukuru
Cinema poa hili
Tatizo sauti sasa daah🙉
Nice movie
Kama unaangalia hii hadi leo 2024 gonga like 😅
Mm ap nipo mayo sambamba😮😮😮😮😮😊😊😊
Bien sana
Nigongee wapi
Tuko wengi😂