2023 gonga like hapa kama tumefurahi uhuni wa jb😂😂😂❤❤❤
This film is in international level keep up the good work guys
asanteh kwa kutuletea part 2 na hongera sana bongo cinema kwa movie nzuri tuletee dereva tax basi
Na kwa Ubishi Wangu kwa Movie za Kibongo ila inapokuja JB natulia na ninaangalia na Mb zangu haziniumi! Hongera Mkubwa😀👏
Kama unapenda Congo tiya like Yako apana🇨🇩🇨🇩🇨🇩
The Best Movie ever....with all proffesionalization and smart braind Actor and Actresses.Congratulation for showing us how much u care for the womens who struggle and hustle to get what they want in their lives.Wallahi hii hata sio bongo movie bali ni Part of Holly wood.
Oyaaaa Nani kaona JB kawa International from bongo to wazungu Gonga like mazeee
Poa sana JB your the best....
Nipo Congo kinshasa na tangu kanumba atanguliye mbele ya haki kweli uyu JB ana nikumbusha kabisa mifumo za kanumba na kunifanya nimuite kanumba mpya
Movies zuri jamani Dj tunakupenda Sana from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 je suis bien
I'm impressed with the storyline, very different compare to regular Tanzania films.
Waliiga movie ya India, "ladies Vs Ricky bahl" ndio maana unashangaa iko na different storyline 😂
Daaaaahhhhh niache uongo JB unajua yaan hujawahi kosea unanikumbusha mbali sana kipibdi kile 2naangalia bongo dar es salam dude mwanangu unatisha malaka umenivutia sana bila kumsahau dadaangu kipenzi wastaraaaaa nakupenda sana sana
“kwani nimetapeli wanawake? Si nimetapeli wazungu.??? Nmekuwa international” my best line of the movie
Good job JB remember I came to your office past two years but went back to my country Kenya Nairobi so I'm coming back with a big project
Waaaaw wt was a good movie ever gr8t Mr.eric ford
J B is a king of bongo movies for now..... l'm really bigger up you 🤗🤗
Matilda ww umenenepa mmmmh mashaaallah
This big man rocked,,, Kenya 🇰🇪 watching
Wouw wouw this is wonderful movie thank you so much JB you such an amazing job
This a situation happen Nowdays Thnx alot nmejifunza mengi sana big up guy's ❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
Shukran kwa funzo nzuri san 💪💃
JB toka nimekufam haujawah kukosea hongera sana kwa kaz nzur M/mungu akutangulie ktk kaz zako
Dah HUYU JB NDIO MSANII WANGU BORA TOKEA NIKO MDGO MPKA NAKUA HUYU JAMAAA ANAJUA KUNISHIKA SANA HAJAWAH KOSEA KABSAAAA
Eeeeh bwana eeeh unamjua yule bata mzinga anayejinyonganyonga pale 😂😂😂😂
Waoooooooooooooo.
Aseee mr masawe ni nomaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Safi sana kazi nzuri inavutiaa sana
let me appreciate the greatfull work you guys have done am much happy big up much love for all of you ❤️ may God continue blessing 🙏 all of you cute movie
Movie kali atali sku zote ulikua wap mzee wangu JB 🔥🔥🔥
Ally Swaleh atari sio atali..tunaaribu kiswahili daaah sisi watanzania kila neno lililo na neno L tunalisoma kama R duuh
Hii moveie jamaa jb alitumia akili kubwa sana
Nice one tuwekeeni chizi mapenzi tafadhali
You three have been stolen with the same man 😂😂😂😂😂kizungu kizungumkuti..kingereza tatizo kubwa sana kwetu wa tanzania..wakenya tusaidieni 😂😂😂
Nc move jb well my brothers 💯🥰🥰🥰
Perfect in every sense of the word.
jaman we mdada matlida nakupendaga wewee💕💕
Mwanamke mwenye akili anaangalia biashara yako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 thank bro
Wauuu beauty with Brain kweli ...hongera wanadada
Hongeren wote washirki nmewapenda bure 💕💕
The film is very interesting
Jb banaaaa ndo mana nachek muvi zako JERUSALEM FILMS oyeee
Kwanza haina ubunifu lengo lilikua kumkamata sasa kila cku yupo na malaika kwann mcmkamate
Mapenzi nayo ni noma hii ni movie lakin iko kwenye uhalisia wa maisha daaah wastara na ww hujaachwa uko vzr na wengine wote
ktk filamu ya bongo iliyowah kuisha vzur na ni tamu balaa bas hii..i love jebby
Alie mtambua amandina weka like yako hapa.
Shukrani za dhati,hulka hizi tunapatana Nazo katika maisha yetu ya kila siku.
JB Nazi nzuri big up watching from kenya
From Capetown I enjoyed it
Who's still waiting in 2024😂😂😂😂🎉
Imekua poa sana, I like wen Derick knocked the door haha those ladies ran out
Kwakweli nimeipenda sana hii kazi yenu hongera kaka mkubwa na washiriki wote
Wellu sengo,Malkia kweli,,csemi kitu mm......bonge LA movie
Kumbe munaweza igiza bila kukiss na kushikanashikana kazi nzuri director naona sikuhizi mumeendelea
Kosa la defence n goal 😂😂😂 nice movie bigup
Nakubali Sana
Malaika
Eti Mm Niache Bata Mzinga izunguke zunguke kila mahali wahuni waparamie 😂😂😂
JB Anaweza uwezo mkubwa saana❤
I'm so very happy about this movie because is dangerous games.ok bro good luck for good ideas.
Watching from London..... Good movie
Bg up 👍 nilisubilia part 2 kwaham Sana . nice movie 👍
Mashaallah hii movie imekuwa zury sauti imeckika mwanzo mwisho cyo kuweka movie hazina sauti
I like bongo movies more acted by JB, frm Nairobi kenya
It's only people with their own money who can afford her... Eric ford acheka ...enyewe Mzee wa swaga
Kusema kweli mmenifurahisha asanteni kwa movi mzur🙏😄
Waoooooh my sister unaweza kuingiza movie iko poa
Woow... movie.ontop of movie's..I like it
Move mzr sana hongeren nyote muliyoshiriki nawapenda sana ❤️❤️❤️❤️❤️
Kosa la defence...goli🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwanaume moja yuko na akili kushinda wanawake wanne usicheze na wanaume nyinyi ma binti.
😁😁😁Kiswainglishi kiko humu aisee bongo bado sana ngoja niludi kwenye siliz za kikorea tu humu amna kitu
the ending killed it international con mambo mbaya
Hi movie ni nzur hatari umeanza saa 6 ucku meimaliza saa saa 10 ucku huu Respect mr KB for the gd job God bless you kamanda
Movi nzuri sana Matilda umekua bonge sana adi na miguu duhuu mtiani
Bonge moja ya move ipo safi
Bongola movie mjomba hongera sana
Hongereni.nyote kwa kutuelimisha kupitia hii movie
🙏🙏
dah kumamake Tz hatutopata tena msanii mwenye kipaji, uwezo na akili ya kuigiza km JB huyu jamaa ni fundi na kilo 5
Nimemkubari sana hapo saw
Kwanini kipande cha pili haki danolodiwi wakati ni filame yenye content nzuri kwa jamii hasa kwa sasa
Nina vitu vitatu vya ku-comment.
1.Walio-dislike hii movie nahisi ni Ma-ROBOT..."Kufurahi na kujifunza si kitu muhimu kwao".
2. My funny parts are..."Zipo sawa hizo, Sio za makaratasi kama zile..AND..."Nimekua International, natapeli wazungu...😀😀😀"
3. JB unajua kumfanya mtazamaji ajifeel kama part ya movie, kila la kheri mkuu keep that happen again and again.
NB. SHOUT OUT TO OTHER CHARACTERS TOO, GREAT WORK...Baba mkwe anakwambia "Kama katupiga, katupiga kibingwa...😁😁😁".
AM OUT.
Ila wanawake wana makeleeeeeeele
Daa JB Kaz nzur atar 👍👍 kam umerudia kam mim like bc.
Sasa nyie mlitaka amteke kivipi, si mtu mpaka aingizwe box kiaina hiyo kumbe ovyo, mnalaumu tu malaika bure mlitaka amfanyeje uyo mwizi kwamfano, amkabe au😁😁
Mov nzur san sema sijapenda kila Mahali hawa wote kuwepo kama ni hivyo mtuhumiwa si alipatikana kwann kukamatwa ss
Hapo ilikuwa Wameibiwa Kiutapeli Na Wao Walitaka Kurudisha pesa Zao Kiutapeli kupitia Huyo Bidada..
Aisee JG ametisha sana namkubali sana huyu jamaa 💪💪
Jb ni msanii mkali sana alafu hanaga majigambo kazi ndo inaongea unabadilika kulingana na mazingira ndo maana halisi ya msanii kuwa mbunifu nakupenda sana jb
Safi sana kbs 👌 🌹
😂😂😂😂 nmecheka walivosambalatika baada ya Erick kwenda kwa malaika
Jb unajua kaka
Jb muvi za wizi huwa zinamfaa sana😅
Afu inaishatu ghafla nimefurahi mzee wa swag unamambo 😄😄😄😄😄
JB anajua simchezo..sasa JB unataka kumuweka level za Madebe!madebe bado akasome
Kaz.nzur san big up kwa wote
Nilichojifunza nimeona kua mapenz kumbe yana nguvu na nitofauti na unavozani moyoni licha ya wastara kutapeliwa ila akili yake yote ilikua kwa Eric ford ambae alikuja akavutiwa na mtu ambae hakuwa moyoni mwake yaani Matilda ambae alicheza karata km malaika ambae hawezi kupenda alisimamia kazi aliopewa na mwisho na yy alingia kwenye akili ya Eric ford hongereni sana watanzania wenzangu najivunia kua mzawa wa tz
Wengine wanakurupuka kwenye makabati kama paka😂😂😂😂😂😂😂 na mi ndo biashara yako🙌
Me ndio biashara yako....waliopenda kauli ya nimekuwa international xax. Gonga like.
Imeweza