Hii.part 2 nimeipenda sana mumucheza scene nyingi zenye mafunzo mengi tofauti within a short tym, but part 1 mulitupotezea muda sana scene moja ilikua inachukua mda mrefu just talking i thing, expl( tym vincent aliamshwa wakeshe wote na mkewe) ortherwise Vincent movie zako nzuri zinaenenda na kizazi cha sasa🙏🙏
Ray haujawahi kukoseya kabisa filme zako nzuri zina funza na zina utulivu furani nawapenda sana team nzima 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤💪💪🥀🥀🥀🥀
safi sana wa kongomani wiko apa wa nipe like🇨🇩
Kama unakubali ma neno ya Gabriel gonga like
Sema Kweli Achaa Uongo Alice Umemtesa Sana Goodluck
Good and best movie of Ray Kigosi and Angelina,l,like the way they are acting. Thank you
Good and best movie of Ray Kigosi and Angelina,l,like the way they are acting. Thank you , help to search another good movie like this one
Wow kigosi nice one ila the woman has cost waaah congratulations bhana God fulfil your tunnels
Hii imeweza kweli bongo hoyee big up kigoz and Ali yakuti👌
Alice umecheza vizuri zaidi....kuwa mwenye character ya ukali z rahisi...hongera dadangu ulijaribu Sana
Part 2 is very very nice , well done bongo movie
Goodluck i new it,Gabriel was right,and sometimes people talks the truth,the movie was so good congrats
Waaah jina unalo zuri goodluck but ila unapo jaribu kuwa na ndoa nzuri inakungeuka na kuwa badluck...
bonge la move mwendelezo please🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦.
Part 1 iko sawa hakuna tatizo la sauti pia part 2 naona ni nzuri well done wana bongo movie
"Kula karanga Alice...."😂😂🙌
Good and best movie for Ray Kigosi and Angelina,l,like the way they are acting.
Doct uwanamuamini sn kwenye sekta iyo uwayuko vizur km kasomea vile🤝🤝🤝au umesomea nini kaka ang ✌🏻🤝
Goodluck I like so much this movie 🎦
Ahaaaa,movie safi sana
Nilijua tuuuu.
Mshikaki Ray yupogo resiii sanaaaa
Mwaaaahh nice Sana😍😍😍
good movie, God bless you my friends
Wanawake tujifunze kitu hapa ugomvi wa baba na mama tusiwaingize na watt jmn hapa mama ndo mwenye makosa
Muko vizuri sana Rey leta vitu vitamu
Safi sana Ally yakuti mtoto wa tabora
Ray kigos aksante sana kwa movie hii imenijenga kihakilini Ongera kwa hiyo movie tunakupenda sana from Congo
Kwa kweli apo Alice, atakama umeachwa achika tabia imezidi dada. Mimba hazibebwi hivyo pole,huwezi kumtesa mumeo stairi hiyo.
skyner ally ujawai kuniangusha binafsi nakupendaga sana upo vizuli dadaa
Move tamu xn. ..inamafunzo...Ila nampenda uyo doctor jmn ..Ally yakuti akiwaga kipande cha udoctor anapendeza
Movie tamu kbsa
Movie nzuuuuurii Sana ❣️
Kama umemuona shishi gonga like hap..
Hahahaha utajiju mwenyewe Ray bwana 😆😆😆😆😆😆
Ila wanawake tunapenda kujiendekeza na huyu binti anaonekana kwao alidekezwa xan wazazi baada ya kutafuta suluhu ndio kwanza wakawa wanamlaumu
Goodluck amepata rafiki wa kweli cox uwezi pata mwanamke mtaani ama kijijini umjui mwenendo wake ujakaa naye ama kujua kupitia watu wanaye mjua pale mitaani unabebe tu! juu ya figa yake but mara nyingi wanaume wakipenda hawataki kuambiwa ukweli mpaka majuto yatokee baadae.tangu lini ulize mwanamke na akubali yuko na mtu mwengine.
Doctor nimemkubaliii sanaaaa🎉🎉🎉
Utajiju 👌lazima ujiju👌😂😂😂
Wazazi wengi ndio wanachangia kuaribika kwa ndoa
Nzuri sana nimeipenda sana
Ray kazi unayo,,,utajiju 🤣🤣🤣🤣🤣
Daaah napenda vile vincet akichukua mahamuzi
good lucky we noma kweli hata mimi siwezi vumilia. hata ata hawa wazazi wana laumu pasipo kujua kipi kina Endelea. hata ivio alipo kuja nyumbani hamuku msikiliza
Ndo nmecheka utajiju!!!
Uwa nafurahi sn nikiona bihend the scene 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Rey anaigiza vizur sana uko vizur kaka
Jamanii
safi xna
Aka katoto nimekapenda sana kanastahili
Best move ever 😍😍😍😍😍😍 inachekesha ina mafuzo Nice 👌👌👌👌👌👌👌👌❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯💯💯💯💯💯💯👍👍👍👍👍👍👍
Movie nzuli sana hongela
Nzuli Sanaa nimeelewa
Hiii ni filamu nzuri muno kutoka kwenu nimeipenda hope kutakua na ingine kama hii
Good for her, hio nayo n 👏 your too much Alice
Angeline ni Demu mzuri sana ila ajitahidi kurekebisha mwili wake ili awe perfect.
Ooooh good doctor nimempenda buree
Mutto agisikiya mwimbo wa bongo forve anaceza mutumbo😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁mungu wangu🇧🇮🇧🇮
Ray mmeendana san na angelina na mmeigiza movie nyingi kama mke na mume
mzee binti wako ni mbaya sana sana na tena na matenzo ya kinchinini chini kimaicha yake na Vincent kigosi movie bongo nina mafundisho fulani fulani kimaicha kivivote vile a really Vincent kigosi by the way a honest in good 👍 after story of movie 🎥 bongo but i na mafundisho fulani fulani tu kimaicha kivivote vile kibinandamu kivivote vile and mie nina watching 👀 from here home 🏡 swirtzenland conutiry international world 🌎 by the vincent kigosi to the line bongo movie 🎥 a in the line channel youtube ( by the name a goodluck a really a actually a lovely story of life life-style story
Uongo iko kidogo sababu moto awezi sema ety ata sitaki kukuona
Doctor unaushaur mzr .. nimekupenda bure
Kalii the best of vicent kigosi💪💪💪
Napenda inchi Tanzania maana ukipata mwanaume Mtz akipenda anapenda kweli, yaani Toka bottom of his heart, hata askie nini mapenzi yanampa faraja kila wakati, na hawakosi expressions kwa wake zao, kuwa sifu, kuwajali jamani pongezi kwa wanaume wa Tanzania.
Hao wanaume ni wako kwa movie tuu. Vitu kwa ground ni tofauti😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Kigosi my favourite actor ever
Nmempenda calo alivoigiza
Ray hapa ulitucheza hiyo fimbo yako ha I ku suits na hi movie yako kwanza uliiwacha hukufikisha mwisho
Good for you evil wpman
Uyo jamaa ni true friend
Nzuri sana
Alice amechekwa na best wake eeee
🤣🤣🤣napotea brother. Ray🤣🤣
Hehe good luck nenda kibarua gani unapata,what a woman?
"Hafai huyu..."😂😂🙌
Nani amemuona shilole??
Hongereni sana
Nimeipend
M naona huyu doctor ndo alishikilia script vizur
jamaa kaluka mavi mwisho kakanyaga mkojo.
Move imejaa mafunzo, ni darasa tosha
Kali,eti.action 🤣🤣🤣🤣🤣.
Very nice story nimeipenda sana imeninguza sana
Watching from Saudi
Movie nzur san nimepend part 3 from kenya
Wanawake mnazidi tabia mbaya mnazo ndo Dawa
Mume wake amechoka akaenda zake
Muvi Iko vzr
Nice
Shukuran
Ah! Jamani umetisha
Best movies 👍💋🇰🇪🇯🇲🍎🎶
Nc moviee
Waswahili vipi mniabie hayawani ni myamagani 🤭
Nice more
Over acting japo kuwa wamekutana majembe tupu pengine wametumia uzoefu but fact ni kwamba practice make perfect
Doctor. Miamia
Punguza hzo jamaniiiii zako
Waaaaah
Dahh nzuri sana kama na wewe umeikubali like hapa
P
Sana tu