NTEMI EPI 69||Swahili Movie ll Bongo Movies Latest II African Latest Movies

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 бер 2024
  • Huu ni mwendelezo wa filamu ya NTEMI na hii ni Season 3. Ni moto!. Endelea kuifuatilia hautajuta!
    NTEMI ni moja kati ya filamu bora za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie nchini Tanzania.
    NTEMI ni kijana wa Kisukuma mwenye juhudi katika ufugaji wa Ng'ombe. Tatizo lake anathamini sana Ng'ombe kuliko hata mwanae kumsomesha.
    Kupitia series hii Swahili Movie /Bongo Movies utajifunza zaidi kuhusiana na kabila la Kisukuma pamoja na makabila mengine yanayowazunguka Wasukuma.
    Hakika utajifunza kitu kikubwa.
    Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia kila Alhamisi saa Tisa na Nusu Alasiri.
    Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
    Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL. ...........................................................................................................................................................................................
    KAPAYA THE GREAT FILM
    Contact:
    0655 218 331/0753 318 331
    email. kapayamic75@gmail.com
    Instargram
    Kapayathegreat
    TANZANIA.
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 36

  • @user-fe4jf1wl1k
    @user-fe4jf1wl1k 3 місяці тому +7

    Jaman was kumi na mbili nipeni moyo na like please

  • @marynasyieki3783
    @marynasyieki3783 3 місяці тому +9

    Wakwanza leo nyinyi from 🇰🇪Wakenya wenzangu from beginning drop like👍

  • @paschallugwisha8639
    @paschallugwisha8639 3 місяці тому +3

    Safi Sana 2naenjoy wa2 wa Kanda ya ziwa

  • @salmahoperi9783
    @salmahoperi9783 3 місяці тому +4

    From Pakistan Selina Leo umejua kunifulhisha

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 3 місяці тому +2

    Nakukubali mtemi

  • @JustineAloyce-lu8ux
    @JustineAloyce-lu8ux 3 місяці тому +2

    Leo nimewahi like zenu jamani

  • @user-wk5yv4um4m
    @user-wk5yv4um4m 3 місяці тому +2

    Niwahi na mimi

  • @user-hj3ud1ys5r
    @user-hj3ud1ys5r 3 місяці тому +2

    Nimewahi leo

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 3 місяці тому +1

    Hatimae Jeremiah kapona Mzee small huyo mashamba atakuletea shida kwenye kijiji😢 mama nyanjige buna ulichokipanda

  • @user-qm2kb1ln7p
    @user-qm2kb1ln7p 3 місяці тому +3

    Hivi mashimba. Jeremiya arikukoseya.nini unaroho mbaya

  • @noelmasere1400
    @noelmasere1400 3 місяці тому +2

    napenda sana anavyoongea rafk yke na nyamiji yupo wapi nimfuate nimpe maua yake

  • @janeombati2290
    @janeombati2290 3 місяці тому

    😂😂from Jordan Selina reo umenifungia mchenzo nimpe raiki 👍

  • @user-vy4dx3no4z
    @user-vy4dx3no4z 3 місяці тому +1

    Nimeisubir sana jilan

  • @user-ry9uq4ke3j
    @user-ry9uq4ke3j 3 місяці тому +1

    Kwasasa mnajitaidi Sana tunawapenda sn

  • @user-kd5fy5ln5t
    @user-kd5fy5ln5t 3 місяці тому +1

    ❤❤ Asante 🙏 kwakaz zuri

  • @JeremiahRobert-ju3fi
    @JeremiahRobert-ju3fi 3 місяці тому +1

    Njoon mshut ijinga itakuwaj vizur mno

  • @simbagerard-zx2st
    @simbagerard-zx2st 3 місяці тому +1

    Nawakubali sana

  • @user-zn4wp9lp2m
    @user-zn4wp9lp2m 3 місяці тому +1

    Unyama sana kapaya

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 3 місяці тому +1

    Moyo unaniumaga mzee simon anavosema alivomuua baba Jeremia 😢😢

  • @prettyney3812
    @prettyney3812 3 місяці тому

    ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😊 Asante sana Ntemi

  • @MercelyneHare
    @MercelyneHare 3 місяці тому +1

    Twaisubiri❤❤❤

  • @user-pl1qr3xr2z
    @user-pl1qr3xr2z 3 місяці тому

    Wa 24 like zenu timu mganga kutoka kwtu Kigoma

  • @shinjengasa3574
    @shinjengasa3574 3 місяці тому +1

    Mama nyanjige akiwa kaumia kisa ntemi itakuwa vita sas kat ya ntemi na nyanjige

  • @user-yg8uj2vs7o
    @user-yg8uj2vs7o 3 місяці тому

    Ntemi Ntemi shoshaga familiy

  • @maltamateo3051
    @maltamateo3051 3 місяці тому +1

    nimewahi onyesho
    la kwanza

  • @lucybudeba6561
    @lucybudeba6561 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂mashimba na selina

  • @leonardyohana268
    @leonardyohana268 3 місяці тому

    Maembe ya wazurulaji ni matamu😂😂

  • @hassnakhamis3489
    @hassnakhamis3489 3 місяці тому

    Aaa bana malizeni hii jmn 😢

  • @user-yg9gs4vh4k
    @user-yg9gs4vh4k 3 місяці тому +1

    Mashiba unacho kipanda utakipata

  • @AglipinaMartine
    @AglipinaMartine 3 місяці тому

    Jaman mbona hatujaona. Mwisho wake baada yakwenda kwa mgang 21:48

  • @neemaseko4988
    @neemaseko4988 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 3 місяці тому +1

    Ila mashimba Una roho mbaya mbwa wewe

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤