NTEMI EPI 70||Swahili Movie ll Bongo Movies Latest II African Latest Movies

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Huu ni mwendelezo wa filamu ya NTEMI na hii ni Season 3. Ni moto!. Endelea kuifuatilia hautajuta!
    NTEMI ni moja kati ya filamu bora za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie nchini Tanzania.
    NTEMI ni kijana wa Kisukuma mwenye juhudi katika ufugaji wa Ng'ombe. Tatizo lake anathamini sana Ng'ombe kuliko hata mwanae kumsomesha.
    Kupitia series hii Swahili Movie /Bongo Movies utajifunza zaidi kuhusiana na kabila la Kisukuma pamoja na makabila mengine yanayowazunguka Wasukuma.
    Hakika utajifunza kitu kikubwa.
    Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia kila Alhamisi saa Tisa na Nusu Alasiri.
    Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
    Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL. ...........................................................................................................................................................................................
    KAPAYA THE GREAT FILM
    Contact:
    0655 218 331/0753 318 331
    email. kapayamic75@gmail.com
    Instargram
    Kapayathegreat
    TANZANIA.

КОМЕНТАРІ • 56

  • @emanherman9658
    @emanherman9658 6 місяців тому +4

    Jamani na mm leo nimewahi ila siombi like ,,
    🎉🎉🎉🎉

  • @Witness-p5s
    @Witness-p5s 6 місяців тому +4

    Njoen polepole msinikanyage

  • @JosephineYotamu
    @JosephineYotamu 6 місяців тому +7

    Wa kwanza jmn

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 6 місяців тому +5

    Mzee simon ataki watoto wake wapigwe😂😂

    • @janeombati2290
      @janeombati2290 6 місяців тому +1

      Damu zito uchungu wa mwana aunjuae ni mzazi 💃💃

    • @rizikisam6481
      @rizikisam6481 6 місяців тому

      @@janeombati2290 kweli na ukali wote huo ila kwa watoto wake

  • @serengetiboy526
    @serengetiboy526 5 місяців тому +1

    kweli jaman name naicheki hapa yan nizulisana ndoinayomaliza bando. jaman kwakwli mnajitaindi jaman Allah amwalie ilat2 malia nimempenda sana jaman naomba ushilikiano ntemi jaman

  • @marynasyieki3783
    @marynasyieki3783 6 місяців тому +3

    Kazi mzuri nyote nmecheka sana😂😂😂🎉

  • @salmasalam3268
    @salmasalam3268 6 місяців тому +2

    Thank you ntemi❤🎉

  • @alphoncelaurent4680
    @alphoncelaurent4680 6 місяців тому +1

    Yaani Tuko sambamba Mpaka Episode ya Million Moja

  • @paschallugwisha8639
    @paschallugwisha8639 6 місяців тому +2

    Kaz yenu Iko very good

  • @JustineAloyce-lu8ux
    @JustineAloyce-lu8ux 6 місяців тому +2

    Wanawahisha lakni maneno mengi

  • @ZuhuraRamadhan-l4e
    @ZuhuraRamadhan-l4e 6 місяців тому +3

    Wakwanza jaman lik ❤🎉😂

  • @USHUHUDADANIEL-ti2zo
    @USHUHUDADANIEL-ti2zo 6 місяців тому +3

    kisukuma kingiii

  • @kentechmediacentre6858
    @kentechmediacentre6858 6 місяців тому +2

    Ken from embu Kenya like zangu jameni

  • @MayengDulu
    @MayengDulu 6 місяців тому +2

    Washa kazi nzuli kamili ❤❤ntemi

  • @adijaamur962
    @adijaamur962 6 місяців тому +2

    Waine kusabonne

  • @MbokoKaluta
    @MbokoKaluta 5 місяців тому

    Mashamba acha roho mubaya ❤❤❤❤na baba yako

  • @masanjagachelshuga8232
    @masanjagachelshuga8232 6 місяців тому +1

    Tunawashukuru kwa kuwahixha episode zenu

  • @StephenPaul-dv6ei
    @StephenPaul-dv6ei 6 місяців тому

    Kutoka Malawi nawapata vzuri sana

  • @EnoceMakenza
    @EnoceMakenza 6 місяців тому

    Tuwape mauwa yao jman❤❤❤❤❤❤

  • @TusaMwasa
    @TusaMwasa 6 місяців тому +1

    Jaman ntemi

  • @SalmaSuleiman-ir7zt
    @SalmaSuleiman-ir7zt 6 місяців тому +2

    Good job 😂😂😂😂😂

  • @JazakaJumanne
    @JazakaJumanne 6 місяців тому +1

    Kaz nzuri mashallah

  • @MwanapiliSidi
    @MwanapiliSidi 6 місяців тому +1

    Ntemi,shujaa ndio ilipotelea hivyo ama simu yangu ndio mbovu😂😂😂❤

    • @JaneJane-h2i
      @JaneJane-h2i 6 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂 haisi ilipotea

    • @geofreymgosi-ie9fy
      @geofreymgosi-ie9fy 6 місяців тому

      nikajua yangu t kumbe na ww shujaa jaman

  • @FrankKemas
    @FrankKemas 6 місяців тому

    🎉🎉🎉❤ jaman nimewez

  • @ديالاالبيشي-ش7خ
    @ديالاالبيشي-ش7خ 6 місяців тому

    Watching from Saudi kazi nzuri ntemi ila waluhya wa kenya kisukuna tunaendana angalieni dani 😂😂😂😂😂

  • @lucybudeba6561
    @lucybudeba6561 5 місяців тому

    Mzee simon sasa anataka nn kuwaozesha hataki wabebe mimba hataki mashimba nae jingatu yy hana hata mwanamke anaogea ujingatu😂😂😂😂😂😂

  • @EstherPaul-f7c
    @EstherPaul-f7c 6 місяців тому

    Tuwahishieni mwendelezo jamani

  • @esterkasuluzu8826
    @esterkasuluzu8826 6 місяців тому +1

    Wa 7

  • @vanessachriss5910
    @vanessachriss5910 6 місяців тому

    🔥🔥🔥

  • @ReginaMartin-o3s
    @ReginaMartin-o3s 6 місяців тому +1

    Mashimba kama li taila vile,,,,😅😅😅

    • @EdithaMwanitu
      @EdithaMwanitu 5 місяців тому

      😅😅Bora umesema hata kama movie nahis kama ndo ana roho iyoyo

  • @salumunassoro3701
    @salumunassoro3701 6 місяців тому

    Jmn tunasubili kupona kwa jeremia jmni toeni harak harak mnatukata stimuuuuuuuuuuuuj

  • @zeyadazeyada8050
    @zeyadazeyada8050 6 місяців тому +1

    Mmh

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 6 місяців тому

    ❤❤❤🎉

  • @MaryamMoosa-g5s
    @MaryamMoosa-g5s 6 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DavidBugado-vj6mj
    @DavidBugado-vj6mj 5 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @danielmenza9263
    @danielmenza9263 6 місяців тому +1

    Nko twendeni ntemi 😂

  • @juliusrandich9726
    @juliusrandich9726 6 місяців тому

    Nimekuwa nikiwafuatilia kutoka Australalia kwa muda mrefu. Mie ni Mkenya. Nataka tu niseme, awa nzi wanawasumbua kwa set. Najua nzi wako na haki yao pia ya kuishi, lakini ingekuwa jambo la busara mungethibiti jambo hili katika filamu zenu. Otherwise, nawaenzi, nawafurahia, na kuwapenda kutokana na ueledi wenu wa kisanii. Pendekezo langu: wakati nzi yuko usoni mwako, fukuza tu kama unavyofanya katika mazingira nadharia. Nawatakia mema ndugu zangu!

  • @Kavulajuma5
    @Kavulajuma5 6 місяців тому

    Shigela bwana, ananivunja mbavu😅😅😅😅

  • @janeombati2290
    @janeombati2290 6 місяців тому

    😂😂😂😂mwafilika wetu

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 6 місяців тому

    Mashimba na roho mbaya😂😂

  • @janeombati2290
    @janeombati2290 6 місяців тому

    😂😂👏👏👏

  • @salmahoperi9783
    @salmahoperi9783 6 місяців тому

    From Pakistan Ntemi mpeleke jeremia Kwa mganga apone tumemmis

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 6 місяців тому

    Ntemi 😅😅😅😅