Dah baba Joan kweli na kubali Sana kazi zako nawa fwata 5/5 kutoka drc Congo 🇨🇩🇨🇩, alafu yule binti mwanafunzi kwakweli ni mrembo Sana angekuwa karibu na mimi ninge mtongoza❤❤ nawa takiya kila la heri kwenu.
Kipenzi ata yeye kakosea maana uwezi angalia season ya kwanza mpak hyo afu full mv si inakuwa ni Ile Ile ko bando linaenda mara 2 ila nimeenda kumtazama mwisho kabisa ila ilipaswa hii story aitoe kwenye season ya 4
Baba joan hakika mimi ni sijawai kukosa tazama kazi yako na kila kazi huwa ni nzuri hivyo basi kwa binafsi mimi naomba utoe mwendelezo wa mali za marehemu kwani nijifunza kitu kwa series hiyo naipenda kweli kutoka MUSOMA -MARA .
Cinema hii nimeipenda sana,,, zidi kugrow na kutupa content nzuri zaidi kila siku. I love your great work from here at university of eldoret, Kenya ❤️ Mungu awabariki siku zote
Ushaanz kufelii make unaanzisha ki2 hukimalziii eleweka mm nikajua naftilia mali za urithii tena umetoka umeinhia kwingine angalia mashabiki tunaftiaga sanaa
Asante sana Comred Emmanuel Nchimbi, umeonyesha ukomavu wa kisiasa. Hao vijana limbukeni wanaodhani siasa ni tiketi ya kufanya uharifu wachukuliwe hatua. Hayo ni majambazi yamejipenyeza NDANI ya vyama kuficha uhalisia wao. Hata hivyo tabia zao halisi hatimaye tunaziona kupitia matendo na kauli zao.
Mke wa baba joan jamani❤❤🎉🎉
Auna baya baba Joan aki mwlm mgn🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hiyo nokal🎉🎉🎉
Yes ni nzuri sana
Dah baba Joan kweli na kubali Sana kazi zako nawa fwata 5/5 kutoka drc Congo 🇨🇩🇨🇩, alafu yule binti mwanafunzi kwakweli ni mrembo Sana angekuwa karibu na mimi ninge mtongoza❤❤ nawa takiya kila la heri kwenu.
Inssa,manssaly
❤❤ nakuoenda
Akuna.mambubebe.mitakupendasana
Gffg
Ni moto sana hii
Baba Joani unajuwa papa
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kazi poa sana kaka tuna penda kz zako
Kazi nzuri sana story safi
Xxvdeo
Xxx
Xxxxx
Xxxxx
Abihudishonza
Kazi njema
Ogera baba Joan tuna kukubari sana
Sas wew baba joan unafel hujamaliza mali za marehem unatuletea mpya tutakuwa atutizami
Kipenzi ata yeye kakosea maana uwezi angalia season ya kwanza mpak hyo afu full mv si inakuwa ni Ile Ile ko bando linaenda mara 2 ila nimeenda kumtazama mwisho kabisa ila ilipaswa hii story aitoe kwenye season ya 4
mmh enaleta utam
Mwanafuzi nampenda sana naomba zasimo yake
Kazi nzuri sana baba Joan
Baba joan hakika mimi ni sijawai kukosa tazama kazi yako na kila kazi huwa ni nzuri hivyo basi kwa binafsi mimi naomba utoe mwendelezo wa mali za marehemu kwani nijifunza kitu kwa series hiyo naipenda kweli kutoka MUSOMA -MARA .
Baba John mbona sasa humalizii kazi sasa ata hii atuna imani ka itaisha ak ila mali za marehemu ilikua tamu sana🎉🎉🎉
Movie nzuri xna kiuqweli inavutia much love ❤️❤
Hongera sana kakangu filamu nzuri
❤ injoii move Iko vizur
maliza mobie baba hii mambo ya kuruka itakufanya ukose ubunifu kwa kazi zako
Safi sana mwanangu Nice comment
Hongera Sana Baba joan
Napenda Sana move zako
For sure karibu kumalizia movie zako am here waiting for Mali ya marehemu naomba umalizie
Congratulations 🎈👏
Nakukubali baba joan🎉🎉🎉
Uwe unamaliza movie baba Joan, finishing Yako hàtuielewi, Mali za marehemu hujamaliza bado
Baba joani naombeni likes zangu from 🇰🇪 idd mubaraka nyote baba joani family
Sijakuelewa
Minacitumiyaayo
Xxxxx 12:28
Xxxx
Ni nzr saan nimeipenda kaz njema baba joan
Huyo bint mzur sana🎉
Kaz nzur sana Yan
hii nimeipenda inafundisha sana bba Joan ila shida hujui mtu niwa aina gan kibinadam ni haki kumsaidia mtu akiwa hajiwez
vraiment musée Joan kazi nzurisana
Malizia kazi Baba Joani kua mbunifu maan muv unaruka hatukuelewi
Poleni sana jamani mkuu 😢
Ninzulihii nimeipenda
Wa Kwanza Leo naomben lake zangu😅😅
Nashangaa wengne cjui mnaonaga nin Kwan hamuon kama Mali za marehem haijaishaa mbon mnasifia Kaz ingne wakt ingne bado
Uyu baba ana move MZr ila amalizii hata mama mkwe pia mwalimu mgeni
Baba jon unatuchanganya movie zako huzimaliz unaleta nyengine malizia kwaza
Movie nzuri kiukweli inavutia hongera kwake baba joani
Like zangu jaman wapendwa maana sijawahi kupata like leo na mimi iwe siku yangu ya kupata like
Patronaiz.
❤... Nakukubali kakaa... Na muona...
Baba Joan.. Anampenda patro Sana... Ila uyu dogo mkali❤
Nilikuwa nimepoeka na nyinyi juu amumalizi movie
Ala nomaha sana
Baba joan Ss Mashabk zako ase Nisaidie namba ya huyo jini😂😂
Ba Joan jikaze mwanaume kwanza nazikubal saana kazi zako utafika tu uendako
Asee mkuu vipi 😅
Na imani hii kazi utaimaliza tena kwa uzuri kabisa
Hii itaisha nimeongea nae
Baba joan ww nakukubali san ❤
Well done 👍
This is awesome this movie is nice
Anafanya poa sana❤❤
Cinema hii nimeipenda sana,,, zidi kugrow na kutupa content nzuri zaidi kila siku. I love your great work from here at university of eldoret, Kenya ❤️ Mungu awabariki siku zote
Tatizo lenu series zenu mnaishia njian hatuon mwafaka
Nakukubali san bab joani
Saf kbs😢😢❤❤
Huluma mda mwingne zinatuponza jamani 🎉🎉🎉
Uwe unamalizia movie baba Joan unatuacha pazuri kisha tunajua mwendelezo unakuja kumbe hakuna 😂😂mali ya marehemu niliipenda basi tu😢😢
Baba Joan kazi zako ni nzuri sanaa Ila uwe unamaliza kazi maana hata Mari za malehemu hujamaliza
Vizuri umsaidie🎉🎉🎉😢😮😅
Na wapenda sana❤🎉
Wakwanza Leo naombeni like zangu much love from Kenya 🥰
ok mamboz
Chukua
Saf kbs 😂😂😂❤❤❤❤
Biti kama zakwenye movie zakanumba yani nimoto 😊😊😊
Kitakuraba😊😊😊😊😊😊
Zujiat kwani ni jini ooo sorry 😂😂😂😢😢😅😅
Ushaanz kufelii make unaanzisha ki2 hukimalziii eleweka mm nikajua naftilia mali za urithii tena umetoka umeinhia kwingine angalia mashabiki tunaftiaga sanaa
Naomba like na mm sijawahi pewa like, kitu cha idd mubarak 2024 hii kwa babajoan
Like hunaenda kuziuza ama
@@graffinamisi ndiyo nauza
Bila music movie zinapendeza .sass kwa nn muweke muziku.munakelaa
Sasa upewe like wewe za nini wewe ndo umpe Baba Joan like 😂
@@numpefikimwaipopo baba Joan lazma nimpe like mapema sana yani haipingwi kwasababu kazi zake najitahidi kuzifuatilia sana pia nazikubali sana
Huyo msichana ni karembooo waah😂😂😂❤
Si ukampose
@@FatimaAli-of4gh Talk English please🥺
@@PeterTheSeer1
Kwa nini nizungumze English na mimi mswazi 😀😀😀
@@FatimaAli-of4gh because I already like you💪😂
@@PeterTheSeer1
Mimi sijui kingereza umemanisha nini
Kazi safii
Ba Joan angalia kuna kitu anataka kutoka kwako
Yan atali xn huy dad yupo vizul ❤
Hii ni nzuri sana nimeipenda
❤❤❤❤❤❤ napenda
Very nice
Story safi hiyo 🎉🎉🎉🎉
yes iko mwwwwaaa
❤❤❤❤
NEW EPISODE WAAAU❤❤❤
Jaman huy dad 😂😂😂🤣
Hapa chini ya juwa shukrani haiko
Ni nzuri kweli
kipindi hiki moto sanaàaaaaaaasss
weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
rada nzuri kweli
Movie nitamu sana ❤️
Good job god blessed
Kali sana
kusaidia ni vizuri lakini inawezakuwa bala
Maliza kwanza ndio uanze nyingine ❤
Ba Joan jikaze mwanaume kwanza nazikubal saana kazi zako utafika tu uendako 😅
Asante sana Comred Emmanuel Nchimbi, umeonyesha ukomavu wa kisiasa.
Hao vijana limbukeni wanaodhani siasa ni tiketi ya kufanya uharifu wachukuliwe hatua. Hayo ni majambazi yamejipenyeza NDANI ya vyama kuficha uhalisia wao. Hata hivyo tabia zao halisi hatimaye tunaziona kupitia matendo na kauli zao.
Waiting for episode 2
Kaziyako nzuri sana
wa kwanza Leo aki naomba like hata kumi 🙏🙌🙌
😂😂 Mungu shuka
❤ good job ❤❤❤❤❤
move kali sana hii
So lovely ❤
Movie ninzur kweli
Wabongo shida hapo tu hawanaga mwishoo
Wow mashallah❤❤❤❤
Nakukubali sana patronize
Poleni sana jamani 😭
Ni nzuri
Wigwa nigwa nahene lolo
Baba joan unaweza na team yako❤
Another boomer 💥💥 we love you from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮