Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Jmn et watu wanaomb like baada ya kutowa maoni au ushal sijuwi tupoje t wanadamu ebae ntemi me nakukumbusha t shujaaa siku nyingi
Sijui likes zinawapa nn 😂😂
Au wanalipwa hatujui
Vp
@@RosebellahNambiro-gf5ot vp
Kazi nzuri Comrade Michael mungu akubariki sana na azidi kukupa afya njema ufanye vizuri zaidi ya hapa
Shikalile wetu super star wa mwanza unajua kuigiza
Upo vzr mwamba ntemi ,, ila vp kuhusu SHUJAA
Waooo Leo tumeamini mumewahi tunawapenda
Mi niseme hongera sana ntemi moves nzuri na ya mafunzo mazuri sana ukweli mi nitafwatilia hadi mwisho. Lakini naombeni mjitahidi kutoa epsd tatu mbili itapendeza sana❤
Napenda ilivyokuwa Hali ya anga ya maeneo haya! Mashamba mazuri mazuri ya mahindi. Naitazamaga hii movie nikiwa Migori, kenia
More blessed from Jesus.
Mwenye namba za maria afanye kweli make dah nimekufa nimeoza funza tu bado😂😂❤❤
Jamani mbn jeni hajifungui
Apepe eee apepelekwe😂😂😂😂😂😂
Mashimba ni jinga jinga kwel
Uyo nae mwema panga kam chizi na panga rake mbon ajawahi kata mtu tukaon ukali wake ulipo😅😅shachoka kelel za chura mm
Jeremiah apone make Zena apitia magumu mpka naumia n vnye n mja mzigo Mungu akutie nguvu Zena hongera kupata rafiki wa dhati maria
Hongera Yako ntemi unakiwasha so poa up vzri ❤❤
Jmn maria mashallah
Hogera ntemi🎉🎉🎉
Wewe mbona hukutengenezwa kitoweo
From Pakistan isabera wewe jeremia ni wa Zena tu
Maria kumbe huko nyuma si haba 😂
Ntemi kazi nzr vp kuhusu shujaa
Mimi ninalimabo limoja😂😂😂😂jamani huyu mzee ananiuwa na kiswahili chake wee 😅😅😅
Cheko ya temi jmn dahh😂😂
Zena ni mfano Bora wa kuigwa na jamii
Ntemi umezidisha kuongea kiruga
Kananowa panga😅😅😅😅😅
Eti kananoa panga😂😂😂😂
Ntemi nilkua nasubilia sana ep73. Atimae umeileta
Ahsante kwa kazi nzur ntemi
Mashiba, mashiba roho mbaya jameni a chaa
Very Nice Ntemi
Love that,morgan from kenya
Mzee mkatili
Malia hayo ni matador au
Hongereni
Kametukojolea macho
Aaaaah jmn....mwatuboa na hyo lugha yenu baba
Isabella anataka nn tena kwa Jeremiah hebu muachieni zena Jeremiah wake nasubli mwendelezo jamani wahisheni natamani nikuone Jeremiah amepona kbc
Good job
Wakwanza mm🎉😂
Naombe like jaman
Mali sio matako ati kila mtu anayo 😂😂
❤❤
Mnairefusha sana yaan scene nyingine hazina hata umuhimu mpaka inachosha
Mtoto mdogo una roho ya korosho
XD XD s
Jmn et watu wanaomb like baada ya kutowa maoni au ushal sijuwi tupoje t wanadamu ebae ntemi me nakukumbusha t shujaaa siku nyingi
Sijui likes zinawapa nn 😂😂
Au wanalipwa hatujui
Vp
@@RosebellahNambiro-gf5ot vp
Kazi nzuri Comrade Michael mungu akubariki sana na azidi kukupa afya njema ufanye vizuri zaidi ya hapa
Shikalile wetu super star wa mwanza unajua kuigiza
Upo vzr mwamba ntemi ,, ila vp kuhusu SHUJAA
Waooo Leo tumeamini mumewahi tunawapenda
Mi niseme hongera sana ntemi moves nzuri na ya mafunzo mazuri sana ukweli mi nitafwatilia hadi mwisho.
Lakini naombeni mjitahidi kutoa epsd tatu mbili itapendeza sana❤