watching from Nairobi ..i have never missed any of Jamal's post ..this guy has talent combined with PhD on how he gives these stories .. kuna watu wamebarikiwa na talanta
Ni kwel ila asifanye hivo mana asije akawa kama yule kinyozi wa diamond kaimba nyimbo moja akajiona anajua akaacha majukumu yke ya kumnyoa bos wake nae akataka awe muimbaji akatoka wasaf sasa hayupo tena kwenye game
Unasema unaona fahari kuwa na mtu fulani kwenye taifa yako angali wewe unaikimbia tamaduni yako na kutumia lugha za watu tumia kituchako kuonesha jinsi unavyojivunia vitu vilivyopo kwako
Hilo ndio tatizo la viongozi wetu wa kiafrika mtu amekulia kwenye maisha magumu badala kuleta maendeleo katika nchi zao, lakn mwisho wa siku ni kujiangalia wenyewe na matumbo yao ili kujinufaisha kwa malengo yao ili hali wananchi wanalia kwenye nyanja mbalimbali ukosefu wa huduma bora za kijamii n.k hii inaleta sana ukakasi ndio maana maendeleo katika nchi zetu za kiafrika yamechelewa sana.
The story book imekua fire na nusu ata mimi ni msanii lkn kwa. Uwezo wa professor jamal amenizid ktk uimbaj brother una uwezo mkubwa sana salute kwako💪
Daah yaani wew nikichwa baba nimekukubali maana ata mimi kwetu congo lakini nilikuwa naitaji kujuwa maistoria za nyumbani nakweli umenizogezea nazo mungu akubariki sana❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Dah sema mobutu aisee🙌😅 Jamaa ishu ya kuoa mapacha imenishangaza sana,,pia kuwapeleka nchi nyingine watoto wake kunyoa tu🤔 mmh jamaa alishindikana But,wakongo wamepia mengi sana ya kuhuzunisha .ALLAH WANUSURU CONGO
We Congolese are very happy with the story but the way you were pronouncing some words in that song, it sometimes didn't make sense but overall we are satisfied 😂
Jamal April , ndugu rafiki wa kuiga aliyeifa na ni wa kupigwa mfano sana , mola ashinde akutie nguvu kaka, endelea kutuelimisha , kutukumbusha na kuburudisha . 👌
🎉🎉 congratulations kwa hiyo song baba Asante imagine nime fata hiyo story at the same moment Kuna hiyo music professionnel vitæ imana ina piga huko na kweli ume imba Poa kama ferre Gola
Napenda Historia sana lakini umenifanya niipende zaidi 🤩 let me go and pursue my dream course. Masters in international relations. 🙌 ❤ love from Kenya 🇰🇪 ❤
from Kenya🇰🇪🇰🇪 tunakupenda Sana bro..Kila siku nikiangalia story book yako natamani kufanya kazi ya uchambuzi wa hadithi tofauti tofauti za ulimwengu..@ Jamal April the genius
Mimi kama mkongomani Nina uzuni kubwa kwa hali ya inji yangu kwa sasa n'a maoni yangu ni kwamba mobutu angelitawala milele kama congo yetu sio kama sasa naomba Mungu amulinde mahali pema peponi Shujaa Mobutu
@@faridikondo3669 huo wimbo uliimbwa na Ferre Gola akiwa kwenye Bend ya Werrason Noel Ngiama Makanda. Akaja pia akuludia akiwa pekeake. Kama umeupenda utafute kwa Jina la Vita Imana Remix.
Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯💯
watching from Nairobi ..i have never missed any of Jamal's post ..this guy has talent combined with PhD on how he gives these stories .. kuna watu wamebarikiwa na talanta
Huyu jamaa hatari,🇹🇿👍
Am a Kenyan too and I love this mans job
🔥🔥🔥🔥
Kenyans following this 🖐️
@@frankmutembei7513 tuko wengi... love his voice
Hujamaaa nimsomi mzuri sana duh kam vitabu vyadini wavisoma nakuvitendea haki unavyo fanya kaziyako basi pepo niyako bro hee moja umenikosha wallahi
Hii story imenikumbusha nyimbo ya mwanafa ft nyosh El ssadat 🔥🔥🔥 nakuchuliaga Kama mobotu seseko .......
Nyimbo nzuri Sana ile aseee ndani Kuna sauti ya mwanadada Maua
😭😭😭aliumiza sana watu wa Congo huyu mtu.Alijipenda sana hakuwa na utu kabisa🙌
Kweli kaka angu
True
Hakuna kitu kizuri kusikiliza hadithi unayoijua ikisimuliwa kwa umahiri mkubwa mpaka unajukuta unatamani kuiskiza tena tena💪🏽🙏🏼🇹🇿
Nimuongo uyoo hajuwe hasta kusema seseko mpumbavu ana danganya watuuu uyoo
ndio kaka nashukuru watanzania kuichambua historia ya congo mobutu alishindwa kuijenga congo alikuwa na oportunite ya kujenga zile inchi lakini basi
@@Ndiyooo simuliaa ww utuambie ukwell
@@Ndiyooo Acha roho mbaya wewe!!!
@@Ndiyooo sema stori yako
Bro mbali na story book uko na talent ya kuimba pia fanya mpngo hapo WCB utupe kitu na ww 🔥🔥❤
Ni kwel ila asifanye hivo mana asije akawa kama yule kinyozi wa diamond kaimba nyimbo moja akajiona anajua akaacha majukumu yke ya kumnyoa bos wake nae akataka awe muimbaji akatoka wasaf sasa hayupo tena kwenye game
😂
@@jutta-tv2468😂😂True
Nakubali uwezo wako bro Yani nakukubali saana from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 congo
i didnt know that this dude can also sing! ....some people are just favoured by God!
Daaaaaah Africa tumenyonywa sana na chanzo ni uzaifu wetu wenyewe
Kweli!
We Tanzanian we are proud to have you ........ We are proud that you were brought to life...... Big up bro💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Unasema unaona fahari kuwa na mtu fulani kwenye taifa yako angali wewe unaikimbia tamaduni yako na kutumia lugha za watu tumia kituchako kuonesha jinsi unavyojivunia vitu vilivyopo kwako
East Africa at large
*😁 The story book ya leo ni 🔥 Burudani juu ya Burudani.!!! 💎 Umeuwa sana mwanangu 💥🔐*
Hatar sana 🤣🤣🤣
Hilo ndio tatizo la viongozi wetu wa kiafrika mtu amekulia kwenye maisha magumu badala kuleta maendeleo katika nchi zao, lakn mwisho wa siku ni kujiangalia wenyewe na matumbo yao ili kujinufaisha kwa malengo yao ili hali wananchi wanalia kwenye nyanja mbalimbali ukosefu wa huduma bora za kijamii n.k hii inaleta sana ukakasi ndio maana maendeleo katika nchi zetu za kiafrika yamechelewa sana.
Gadaffi tu ndo aliweza
Kuna hili wazo kwamba unapowafanyia watu vizuri hazwa afrika, unapata pingamizi
The story book imekua fire na nusu ata mimi ni msanii lkn kwa. Uwezo wa professor jamal amenizid ktk uimbaj brother una uwezo mkubwa sana salute kwako💪
Haijawahi tokea dictator aliyewatesa na kuwanyanyasa waafrika kama mobutu.hongera professa jamal kwa hii story book🔥🇰🇪🙌
Vizazi vijazo vitasimulia maisha ya VIONGOZI wetu wa TANZANIA pia.
Only Magu
Kwa nchi yetu bado hajazaliwa
Está de parabéns Professor Jamal pela profundidade da história de Mubuto.. um dos líderes controverso da epopeia do Congo.
Noma sana
Professor Jamal pril merece prêmio 🇲🇿🥰🥰
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Bien
@@orestemanenomaneno7726😂😂❤ am
Daah yaani wew nikichwa baba nimekukubali maana ata mimi kwetu congo lakini nilikuwa naitaji kujuwa maistoria za nyumbani nakweli umenizogezea nazo mungu akubariki sana❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
It's late sema kuimba unajua professor 🔥
Subhanaallah yaarabi tunusuru na mali za wizi mwenyezi mungu atusitiri tutosheke na tulichokuwa nacho, 🙏🙏
William Ruto should watch this
Hoooo nakubali San mpaka wimbo ivita imana ya fere gola kweny álbum ya kipuisa pimpa yake werrason
Waouh napenda sana The story book unazo tusimilia ambazo tulikua hatuzijui unajua kuimba lingala vizuri
Ufalsafa wa jamal April uko juu sana, napenda kuskiza historia akisimulia
From Kenya we are experiencing our Own Mobutu ssseko in the name of Ruto.... He is doing the script very well
I salute you 👏. From kenya 🇰🇪 enjoying your story book
Sijwahi kucomnent sehem yoyote il leo kaka nimeshindwa kujizuia kaka unajua sana duuh🙌
Uko vizuri kaka lakini nyimbo yako kkkkkk😃😄 lakini unaimba vizuri maneno ya ndani njo haieleweki
MashaAllah you can even sing? What a talent guy Mungu azidi kukubarikiii
Uzao wake saizi wanajisikiaje kwa tabia za Babu yao wanaishi hapo congo
You really do your best professor, your number 1 fan from Kenya
Proffessor I like your song ,you fit everywhere.
Dah sema mobutu aisee🙌😅
Jamaa ishu ya kuoa mapacha imenishangaza sana,,pia kuwapeleka nchi nyingine watoto wake kunyoa tu🤔 mmh jamaa alishindikana
But,wakongo wamepia mengi sana ya kuhuzunisha .ALLAH WANUSURU CONGO
Noma sana Jamaaaaaaaal April
Nakukubali kwa history Ndugu yangu.
Mwenyezi Mungu akuongezee ufaamu na kumbukumbu bara.
Nimependa wimbo brother umemuza sana ndani yahii the story book
Nakukubali sana kaka uko so creative
Asante sana kwa simulizi nzuri allah akuzidishie umaarufu wako
We Congolese are very happy with the story but the way you were pronouncing some words in that song, it sometimes didn't make sense but overall we are satisfied 😂
I see😂😂😂 I speak Lingala and I find no meaning in some words he is pronouncing
But he tried the best😃😃
He isn't his native language, but he tried well 👏👏 congrats bro🥰
Mabutu duh Alikuwa hatari sasa hayo majumba na mahotel yamebaki km magofu
Atleast he gave a try!
Ni wakati wa Wakongo waji-organize na kuchukua nchi yao kutoka kwa watu wa nje. Congo imebarikiwa ilhali wananchi wake ni wakimbizi duniani kote.
Shida waafrika hatupendani
Uyu mzee kweli aliwatesa wakongo daaaa inaumiza,,yn hakutaka upinzani
Duh! Huyu jamaa nampenda Sana❤️ I'm in love with his voice 🥰
Jamal April , ndugu rafiki wa kuiga aliyeifa na ni wa kupigwa mfano sana , mola ashinde akutie nguvu kaka, endelea kutuelimisha , kutukumbusha na kuburudisha . 👌
Daaa jamaa unasaut mzur sana ya kuimba kipaj sana daaa
Ona Sasa zambi zilivyomtafuna, alizani Mwenyezi Mungu alikuwa haoni uchafu wake
Jamal apo umechambua kweli kweli. Stori safi zaidi
Watching from Kenya 🇰🇪. Nice work Jamal.... Napenda kazi yako zaidi, vile wajituma pia. Have never missed your show.
Nimependa wimbo unaoiba
We Congolese love the story book. Big up Jamal. Love from congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 how did you are singing rumba very good in lingala?🤣🤣🤣
är jag verkligen nöjd med den här historien. tack så mycket Jamal 🙏🏿😊
Am a kenyan but...respect for this G✌️✌️🤝🤝💪👊👊Big up
Kipaji by nature respect bro from mbeya (eng mheziwa)
Jamani mungu ailaze roho ya marehemu Patrick Lumumba, maana alikua mtu wa maana sanaa
🎉🎉 congratulations kwa hiyo song baba Asante imagine nime fata hiyo story at the same moment Kuna hiyo music professionnel vitæ imana ina piga huko na kweli ume imba Poa kama ferre Gola
Professor 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🙌🙌🙌🙌🙌
Waah, mama afrika kumekuwa na tatizo kubwa sana ,kulia tunalia kwa mabeberu waliotufanya wanyama,
Napenda Historia sana lakini umenifanya niipende zaidi 🤩 let me go and pursue my dream course.
Masters in international relations. 🙌
❤ love from Kenya 🇰🇪
❤
The music though am a big fan of this guy... professor.big love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
One of the depth of the story of Mobutu and one of the controversial leader of the Congo
Nakufatilia Sana mzee hakika wew ni mtu pekee unayestahili kuwa HISTORIAN
Napenda kufuatilia story book sana
Jamani sikujuwa kama unajuwa kuimba kwakweli nimeipenda iyo.
VITA IMANA mziki pendwa wangu❤
Hapo kwenye kubadilisha majina ya miji nampa big up
Bro this one’s 🔥😍😁😁👌🏾
And I liked that Rumba music in Background.
Merci pour cette vidéo 🇨🇩🥰🇹🇿
Yeah find it on youtube its called Imana Na Vita by ferre golla
Merci beaucoup
I like it bro💪💪💪 you are talented in singing
Love your story prof Jamal ......much love for🇰🇪🇰🇪
Kigereza chanini mzee
Tunae angalia the story book 2024 acha Lake
254🇰🇪 tushaikubali the storybook.. thumbs up Professor Jamal
jamal uko juu juu kama dolla broo
Acha wee nilikua sija sikia iy bet u are the best Jamal🎉
Ukiona komenti hii like nirud kumuangalia professa🤟🤟
Habari... Jamal Mustafa... napenda sana the story book naomba utuletee the story book ya Mh. Rais hayati MAGUFURI itakua poa sana aisee
Thanks for this 🎉story bro I am Congolese people
🔥🔥🔥🔥🔥my second Goat After abel Mutua(mkurungezi) in story telling
Bro unafahamu mpka kikongo kweli we ni mtu hatarii xana salutii🤝
Brother unajuaaa Mungu aibariki kazi ya mikono yako
Profesa nakubal sana story zako.
Kazi nzuri kaka Jamal pia uweza ukahandaa makala kuhusu Laurent Kabila
🇨🇩🇹🇿 nazifuraia sana Stori hii
Safi sana kaka nakufuatilia sana from South Africa
from Kenya🇰🇪🇰🇪 tunakupenda Sana bro..Kila siku nikiangalia story book yako natamani kufanya kazi ya uchambuzi wa hadithi tofauti tofauti za ulimwengu..@ Jamal April the genius
Io ndio iko Kenya saaii
Très super asante kwa story
Great one 👊🏾 tulete ya Gadaffi King of Africa
Matondo mingi ndeko Professor
You are the king of documentaries
Umenifurahisha kwa wimbo wako wa lingala😂🇨🇩🇨🇩💪
Unafanya kazi nzuri na kubwa sana Prof. Jamal April, Mungu akubariki uzidi kutupa simulizi za Africa na Dunia katika nyanja zote.
Hakika @Jamal April wewe ni Mass Communication original haswaa hongera sana professor
💪💪💪💪💪💪nakubar sana jamar
From my heart hii story haichosh kuisikiliza
You have yourself a follower....love from Nairobi
Mimi kama mkongomani Nina uzuni kubwa kwa hali ya inji yangu kwa sasa n'a maoni yangu ni kwamba mobutu angelitawala milele kama congo yetu sio kama sasa naomba Mungu amulinde mahali pema peponi Shujaa Mobutu
Wee jamaa ni genius 💪🇹🇿 salute
Adui wa Africa mwafrika mwenyewe inasikitisha adi leo utawala kama wa Mabuntu unaendelea na wananchi wanawaunga mkono mfano Tanganyika na Zanzibar Ccm
Nsubuji
Moçambique
Huo wimbo wa Vita Imana umeutendea haki sana Kaka, dah Mungu akuzidishie uwezo tuzidi kukufuatilia kwa story nzuri.
Huu wimbo ameimba nani?
@@faridikondo3669 huo wimbo uliimbwa na Ferre Gola akiwa kwenye Bend ya Werrason Noel Ngiama Makanda. Akaja pia akuludia akiwa pekeake. Kama umeupenda utafute kwa Jina la Vita Imana Remix.
You will never die poor bro ✌️✌️
Jamal huko vizur history ni nzur mabutu alikuwa noma
Bro it's true that,through your work of the story book,I personally I really learn alot and benefit more.
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga,Rais boya wa muda wote wa Zaire.
😆😆😆
Hilo jina khaaaaaaa! Hatari sana 🙌😅
Oh thank you brother Jamal ! The intro song for me !!!!💙💛❤️ 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kindly give me the title of the song
Yani hii dunia mobutu akazikwa na watu wasiozidi sita na trilioni zote alizobeba .
Huyu Mungu hakika ana mathematics
Wewe n mwamba zaidi natamani ata kwa wiki iwe Mara mbili nakukubali sana
Kaka nakukubari Sana mungu akupe maisha malefu