KITIMTIM BUNGENI! Wapinzani Waitwa Mbwa, SUGU Aliamsha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 74

  • @edisonmathias3510
    @edisonmathias3510 6 років тому +10

    Hatari jamani huyu sugu natamani angekuwa raisi

  • @justooluoch2468
    @justooluoch2468 5 років тому +6

    Tunakula naye kitimoto,😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @amirmotors9735
    @amirmotors9735 6 років тому +24

    Hii clip nimeipenda naitazama kila wakat

  • @mbishitrump5621
    @mbishitrump5621 6 років тому +11

    Tunakula nae kitimoto... 😂😂

  • @daudichrchristopher8564
    @daudichrchristopher8564 6 років тому +5

    WW NDIE Rais ndio maana ulipata kura

  • @kyalagwamaka1550
    @kyalagwamaka1550 4 роки тому +2

    Daah aisee kuna watu wanasema huyu chizi ndo Rais wa Mbeya

  • @paulmalula4667
    @paulmalula4667 6 років тому +4

    huyo ni kweli

  • @immanuelimunisi476
    @immanuelimunisi476 4 роки тому +2

    Safi iyoo

  • @micolCornel-iy2gd
    @micolCornel-iy2gd Місяць тому

    Etiee niliakia sauti uuuuuuhh uhhhh😅

  • @charlesbarongo6922
    @charlesbarongo6922 6 років тому +8

    Big up Sugu.

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому

      Nashangaa sana, umoja wa Afrika kukaa kimya nakuiacha ecowas iungane na Ufaransa kuzihujum nchi za Afrika kama Niger ziendelee kutawaliwa, kukaliwa kimabavu na kunyonywa na mataifa ya kigeni kama Ufaransa. Nauliza hivi, Ecowas na umoja Wa afrika ni nani mkubwa??. Viongozi wa umoja Wa afrika wamelala sana . Naomba umoja wa Afrika waamke wapambane na Rais wa Nigeria Tinubu anaisaliti Afrika na Waafrika.

  • @adamclassictz
    @adamclassictz 4 роки тому +2

    Tutayamiss haya mambo bungeni

  • @edwardkanijo9704
    @edwardkanijo9704 Рік тому

    Sawa

  • @kennethmahenge7719
    @kennethmahenge7719 4 роки тому +3

    anakula kitimoto.....🤣🤣🤣🤣🤣

  • @amedeusleonce-hg7qf
    @amedeusleonce-hg7qf Рік тому +2

    Hapendi ya mafuta kama mm

  • @IssaEfron
    @IssaEfron 5 місяців тому

    Kwanza uyo nani mnazingua mnaacha kuongerea ya msingi mnaongelea upumbavu

  • @RedSun-ms2zq
    @RedSun-ms2zq Місяць тому

    Come back my brother

  • @zaijack4719
    @zaijack4719 4 роки тому +2

    😂😂 tunakula naye kitimoto.

  • @winstonrwegalulila4683
    @winstonrwegalulila4683 5 років тому +3

    Suguuu🙌🙌😺

  • @danielmatya373
    @danielmatya373 Рік тому

    Sheikheeee bungeni bna

  • @saidhamis5956
    @saidhamis5956 4 роки тому +1

    Kumbe ni walevi kweli

  • @neemamwasomola8663
    @neemamwasomola8663 2 роки тому +1

    Dawa ya moto ni moto nguruwe unakula

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 9 місяців тому

    Sugu ulikuwa unachangamusha bunge,utani kiasi safi,tunakula naye kitimoto.

  • @chakechake6903
    @chakechake6903 3 роки тому +2

    Hamna kazi ni makelele tu na umbea

  • @clintonmwaisaka-zd7dh
    @clintonmwaisaka-zd7dh Рік тому +1

    tumekumic bungeni sugu

  • @RedSun-ms2zq
    @RedSun-ms2zq 4 місяці тому

    Kuna mtu hana akili anamtukana sugu

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 роки тому

    Dahhh

  • @hassanowaziri1587
    @hassanowaziri1587 4 роки тому +1

    Tunakulanaye kitimoto na pombe shee ali king.

  • @guttareuben7844
    @guttareuben7844 4 роки тому +3

    Anakula ya mafuta tena anapenda kichwa na ulimi hahahahahha

  • @AbelMwakimbwala
    @AbelMwakimbwala 10 місяців тому

    Sugu tunamtaka tena arudi kuwa mbunge wa Mbeya maana dah ni shida kwakweli.

  • @RedSun-ms2zq
    @RedSun-ms2zq 4 місяці тому

    Arudi bungeni huyu mwanba anaongea point tupu

  • @mwamwajaonline1881
    @mwamwajaonline1881 6 років тому +7

    Umetoa ya moyoni Sheikh kula kitimoto

  • @julianpeter7165
    @julianpeter7165 6 років тому +11

    MWESHIMIWA SUGU NAKUOMBA UTOWE T-SHIRT ZAKO ZA NAMBA YA JELA ILI ZIIZWE UPATE PESA ZA KUCHANGIA HUDUMA ZA JELA JIMBONI KWAKO UWAOKOWE MASELA PIA kwa njia hiyo kumbukumbu yako ya jela itadumu kisiasa na historia

  • @rosesalukan4207
    @rosesalukan4207 6 років тому +5

    Et apendi ya mafuta 😂😂😂

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 9 місяців тому

    👍👊✌️.

  • @mohammedmhina3973
    @mohammedmhina3973 10 місяців тому

    Daaah😂😂😂

  • @kushahalabani7069
    @kushahalabani7069 6 років тому +2

    Kitimoto

  • @frankzominister1473
    @frankzominister1473 6 років тому +3

    Hii clip yaukwel bala sugu ana jeuri uyu

  • @oyay2821
    @oyay2821 6 років тому

    Ali king anakula ngurue?

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 4 роки тому +1

    shekhe hapendi ya mafuta🤣

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 2 місяці тому

    😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @rinovarthiliwi1314
    @rinovarthiliwi1314 4 роки тому

    Mimi nawashauri vijana wachukue form wawatoe wabunge wazee ndani ya CCM na upinzani. Tunataka wabunge makini kama Sugu. Msitegemee elimu bure kwa watoto bila kulipa Waalimu. Hawa walimu hawalipwi hivyo wanadanganya watoto. Badala ya 5 + 5 = 10 wanadanganya watoto kuwa 5 + 5 = 11. Walipeni walimu wafanye kazi kwa umakini CCM acheni kujilipa mishahara na bahasha za pembeni bila kufanya kazi.

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому

      Rais wa marekani ni dikteta wa kwanza duniani, lakini ndie anaebatiza viongozi wengine jina la dikteta hasa wale ambao hawakubaliani na ujinga wao. yeyote ambae anapinga upumbavu wao wanamwita dikteta. kimsingi marais wote wa marekani ni dikteta. wanalazimisha nchi nyingine kufuata wanachotaka hata kama ni kitu ambacho kinayo masrahi upande wao tuu. ukisema hapana wanakuwekea vikwazo au hata kukuua.wameua viongozi wengi sana hasa viongozi Wa afrika. halafu midomoni mwao wanatamka demokrasia lakini hawaishi ndani ya demokrasia. washenzi sana.tumewachoka.

  • @mwambojoke3526
    @mwambojoke3526 3 роки тому +2

    😂

  • @fransicsamson106
    @fransicsamson106 6 років тому +3

    Hivi wewe tulikuchagua uende kutuwakilisha bungeni kwamatusi? Unatufundisha nini? Ndiomaana huna hoja zamaana bungeni au wewe ndie umbwa?wenzako wana tetea wana nch wewe unawakilisha matus hatuja kutuma matusi hufai

  • @edwardkanijo9704
    @edwardkanijo9704 Рік тому

    Sawa