Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu unanibariki sana na unakuza imani yangu kiroho nakupenda sana mkenya nafanya kazi saudia nko vizuri s na mungu n mwema kwangu
barikiwa sana mchungaji neno lako limenibariki sana na kunibadilisha kua kiumbe kipya.na sasa funguo zangu nitazitumia ipasavyo.jina la mwenyezi mungu na lishukuriwe milele🙏🙏🙏barikiwa sana pastor🙏🙏🙏.big love,more blessings from KENYA🙏🙏🙏💞💞💞💞
Mungu akubariki nashukuru sana mungu akubariki nina majukumu mazito nakini nnapokusikiliza nazidi kupambana na kunipa moyo wa imani na matumaini nmeweza kupinga kosa la wazee wetu eti tukaombe mizimu ili tusamehehe na mizimu nimegoma nmesema tuombe na kufunga ili mungu atutoe kwenye huu utumwa wa mazimu
Tuombe misuli zaidi ya kubeba changamoto tulizonazo katika maisha yetu. Tuombe Neema zaidi ili Mungu atupatie suhuhisho. Tunapoanza siku 10 za maombi Mungu akupe roho mtakatifu uendelee kuwa baraka kwetu Pastor.
Ndugu muchungaji David nakufuatilia sana kutoka hapa Marecani, lakini natamani tuongee sijui nitapata number ya simu yako namna gani?? Or email address yako tuu, ninayo mengi kimaisha yangu ya ndoa yawezekana unisaidiye, jina yangu mama Lilian, na number yangu ya simu. 0117197448378, tena email address yangu ni lilianwanito@gmail.com, tafathali uniite .ubarikiwe sana
Amen asante mchungaji wau umenifungua akili vilivyo maana huwa nalalamika nikipatwa na changamoto bali kwa sasa neema ya Yesu yanitosha kutumia changamoto ili nipate suluhu
Ni miezi minne imepita kila nikisikilizaa bado inalipa sana. Yaani kila nikichagua video naona ni ujumbe wangu kabisa kwa siku au saa hiyo. Mungu atukuzwe sana. Pastor Ubarikiwe. Mungu aendelee kukufunulia na uendelee kupata msuli wa kurusha kwenye Mahubiri Tv.
Asante sana Muchungaji kwa somo zuli Mbalikiwe sana. Naomba kuuliza: Swali langu ni hili : Ina maana wale watu bado wanapeleka maombi yao kwenye ule Ukuta Inchini Islaeli wako sahihi? Asante sana naamini Mtanipa mwanga kwa hili.
ILE NI IMANI YAO,HAWANA MAANA KUWA MUNGU YUKO KWENYE UKUTA,HAPANA,ILA ZILE KARATASI NI ISHARA TU YA KILE AMBACHO KIPO MOYONI!! ILA KAMA MTU NAPELEKA KWA IMANI KWAMBA MUNGU YUKO HAPO NA KUWA HAPO NDO MAOMBI YANAJIBIWA SIO SAHIHI MAANA MUNGU YUKO POTE WAKATI WOTE
Asante sana Pastor kwa masomo mazuri kabisaaa ubarikiwe. Lakini ninahitaji msaada sana nahitaji kuonana kama ni ofisini au popote unapopatikana. Mm nko Dar nasina ata idea unapatikana wapi please ni urgent matter
Hivi hawa watu wanao- dislike videos na hawatoi kipi kirekebishwe au hawaoneshi sababu ya ku- dislike .... Siwaelewagi kabisa....!!! Muwe mnatoa na maoni nini kirekebishwe
Barikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai,nimepata kitu, from Sweden.
Barikiwa sana mchungaji kwa mafundisho mazuri. Hakika Mungu anazidi kukutumia ipasavyo.
Hakika unafundisha kwa huakika ubarikiwe sanaaaaaa Mungu akupe hekima zaidi
Powerful message pastor be blessed🙏
pastor ur the best and God is using you in his own way🙏
Somo zuri sana nimebarikia mno, nimejifunza kitu kipya, thanks pastor from qatar
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu unanibariki sana na unakuza imani yangu kiroho nakupenda sana mkenya nafanya kazi saudia nko vizuri s na mungu n mwema kwangu
Wonderful lesson,,, barikiwa Pr kila siku yako mpya!
Mchungaji Mungu akubariki,nmebarikiwa mno mnoo! Mungu akufikishe mbali
barikiwa sana mchungaji neno lako limenibariki sana na kunibadilisha kua kiumbe kipya.na sasa funguo zangu nitazitumia ipasavyo.jina la mwenyezi mungu na lishukuriwe milele🙏🙏🙏barikiwa sana pastor🙏🙏🙏.big love,more blessings from KENYA🙏🙏🙏💞💞💞💞
Asantee maana leo nimefurahi kweli masomo yananivusha haya siyo mchezo
Mchungaji ila Kibwa ubarikiwe sana. Mungu aendelee kukutumia km chombo tu maneno yatoke Kwake 🙏
You have a wonderful massage my God bless you,from saudi arabia
Amen amen Mungu akubariki sana kwa somo zuri sana
Powerful message be blessed Pastor 💯🙏
Mungu akubariki nashukuru sana mungu akubariki nina majukumu mazito nakini nnapokusikiliza nazidi kupambana na kunipa moyo wa imani na matumaini nmeweza kupinga kosa la wazee wetu eti tukaombe mizimu ili tusamehehe na mizimu nimegoma nmesema tuombe na kufunga ili mungu atutoe kwenye huu utumwa wa mazimu
,😂😂😂😂 past unanibariki sana baba Mungu akubariki Sana
I'm still learning day to day...) God bless you pastor 🙏..........🇹🇿
Thank you pastor for your teachings may God bless you and protect you in jesus nam🙏🙏🙏🙏🙏
Nabarikiwa sana na nimefurahi na haya mahubiri
Unanivusha Sana ,,najifunzaga kufundisha neno la Mungu kupitia wewe mtumishi
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Amen ubarikiwe saana pst
Nimebarikiwa sana na somo,,samahan mchungaji naomba mwendelezo wa somo hili tena
MUENDELEZO UNAKUJA
@@MahubiriPrMmbaga ntashukuru sana
Ameen haki mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
Tuombe misuli zaidi ya kubeba changamoto tulizonazo katika maisha yetu. Tuombe Neema zaidi ili Mungu atupatie suhuhisho.
Tunapoanza siku 10 za maombi Mungu akupe roho mtakatifu uendelee kuwa baraka kwetu Pastor.
Barikiwa mchungaji kwa mahubiri mazuri..nimekuelewa Mungu atusaidie kwakweli
Be blessed Man of GOD
Powerful message pastor be blessed
Ndugu muchungaji David nakufuatilia sana kutoka hapa Marecani, lakini natamani tuongee sijui nitapata number ya simu yako namna gani?? Or email address yako tuu, ninayo mengi kimaisha yangu ya ndoa yawezekana unisaidiye, jina yangu mama Lilian, na number yangu ya simu. 0117197448378, tena email address yangu ni lilianwanito@gmail.com, tafathali uniite .ubarikiwe sana
Asante pr!Nakukubali sana matatizo ni fursa kubwa sana.Ufupi wa Zakayo ulimwezesha kukaa na Yesu meza moja baada ya kupanda kwenye mkuyu
Naamini hili somo limetupamwanga watu wengi ahimidiwe mungu kutufunulia kupitia wew barikiwa Sana mchungaji
Nmebarikiwa sn mpaka usingiz umekata...God bless u dad
Asante Kwa neno mtumishi wa mungu
Asante sana mch.Nazidi kubarikiwa na mafundisho haya mazuri.
amen, powerful indeed, God bless you man of God
Amen asante mchungaji wau umenifungua akili vilivyo maana huwa nalalamika nikipatwa na changamoto bali kwa sasa neema ya Yesu yanitosha kutumia changamoto ili nipate suluhu
Ubarikiwe pastor!
Ni miezi minne imepita kila nikisikilizaa bado inalipa sana. Yaani kila nikichagua video naona ni ujumbe wangu kabisa kwa siku au saa hiyo. Mungu atukuzwe sana. Pastor Ubarikiwe. Mungu aendelee kukufunulia na uendelee kupata msuli wa kurusha kwenye Mahubiri Tv.
Asante baba maana mwenyewe napitia ayo kila nikitaka kufanikiwa naludi nyuma lkn Mungu wa mbinguni naamini atasimama na mimi sitokata tamaa
Hapo pa funguo za Daudi na Yesu nimeelewa Leo sikuwahi jua. Kila somo natoa kitu kipya.. Barikiwa sana 🙏🙏
Wonderful massage Amen❤❤
Wonderful!be blessed pastor
Amina ubarikiwe sana maubiri ya leo yamenifariji pia ninazidi kujifuza
AMEN MUNGU akubarik
Amina mch, amenipa matumaini, ubarikiwe sana
Amen 🙏🙏
Amen Amen Amen...asante kwa mafunzo na pia hukutukatia maombi
Mungu akulinde sana mchungaji
Amina mtumishi ninakuelew sana
Asante kwa some zuru PR. Mungu akubariki
Barikiwa xaana mchungaji
Aminaaaa
7juu😀😀 napenda sana mahubiri yako
God bless you
Asante pastor
Baba Mungu umeniona
Amem
Asante kwa somo la Leo.
MUNGU atusaidie sana AMEN
be blessed a hundred times paster
Ubariliwe Mtumishi
Amen
AMEN
Amina nimebarikiwa sana
Tunakupenda baba
AMINA 🙏😎.
Nakwelewa sana pastor
Paster .mmbaga nakuelewa sana jumbe zako najfnza mengi kutoka kwako
Asante mungu
SAWA mchungaji wangu.
We we ni mtumishi uliyebarikiwa sana !!
Ubarikiwe sana pst
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Nimebarikiwa sana
Be blessed
Amina!
nice mungu akubariki
Mungu akubariki pastor mbaga kwa ujumbe mzito
Amina
Asante sana Muchungaji kwa somo zuli Mbalikiwe sana. Naomba kuuliza: Swali langu ni hili : Ina maana wale watu bado wanapeleka maombi yao kwenye ule Ukuta Inchini Islaeli wako sahihi? Asante sana naamini Mtanipa mwanga kwa hili.
ILE NI IMANI YAO,HAWANA MAANA KUWA MUNGU YUKO KWENYE UKUTA,HAPANA,ILA ZILE KARATASI NI ISHARA TU YA KILE AMBACHO KIPO MOYONI!! ILA KAMA MTU NAPELEKA KWA IMANI KWAMBA MUNGU YUKO HAPO NA KUWA HAPO NDO MAOMBI YANAJIBIWA SIO SAHIHI MAANA MUNGU YUKO POTE WAKATI WOTE
Asntee kwa jibu zuri
Thanks
Kwa kweli muchungaji una tufariji sana kwenye matatizo yetu.
AMEN nime pokea
anina
Sifa nashukulani igwe kwako mtumishi wamungu mbarikiwa sana Amina amina
sifa na shukulani ziwe za nani? lekebisha hapo mpendwa
NADHANI ULIMAANISHA SIFA NA SHUKRANI VIWE KWA MUNGU WETU AMINA! Maana Pr. Mmbaga ni chombo tu mikononi mwa Mungu
Naomba ROHO WA BWANA awe mwalimu wangu MILELE nikisoma bibilia niwe napata ufunuo wake, SIO tu kusoma bibilia kama story book
Asante sana Pastor kwa masomo mazuri kabisaaa ubarikiwe. Lakini ninahitaji msaada sana nahitaji kuonana kama ni ofisini au popote unapopatikana. Mm nko Dar nasina ata idea unapatikana wapi please ni urgent matter
Anapatikana dodoma ni mchungaji wa mtaa pale dododma mjini
I mean Dodoma mjini
@@zilpahamza8489 asante sana ubarikiwe.
Barikiwa pr
Mchugaji naomba uniombee nimekua nachagamoto nimekua kira wakati wakitakakuomba kanisani nimekua nikipiga miyayo sana nahiri tatizo rinamyaka sasa
Hivi hawa watu wanao- dislike videos na hawatoi kipi kirekebishwe au hawaoneshi sababu ya ku- dislike .... Siwaelewagi kabisa....!!! Muwe mnatoa na maoni nini kirekebishwe
Mimi huwa nina sema biblia ni zaidi ya saclopidia
Mchungaji hemu nisaidie kuitambua biology na chemistry kwenye Bible
Ameen
Be blessed Man of GOD
Amen
Amina
Amen