Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

KWANINI WAKATI MWINGINE INAKULAZIM KUFANYA MAOMBI YA KUFUNGA? SEH. 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 146

  • @violetjoseph8649
    @violetjoseph8649 4 роки тому +7

    Aiseee nimeota Pr ukiniambia nifunge na kuomba nashangaa kuona somo hilihil hapa nmejfunza kitu nafikiri Mungu anasema nam kwa njia ya ajabu na ya pekee🙏barikiwa Pr

  • @BeatriceSosipeterWagara
    @BeatriceSosipeterWagara 4 роки тому +6

    Nimeona Mungu akifungua milango ya kiuchumi baada ya kusikiliza na kufuatilia Mahubiri TV.
    Kipindi hiki cha Corona kazi ningumu kupara, ila nimeshangaa sijawahi kuishiwa pesa. Mara nyingi ktk maisha yangu, huwa siwezi kukaa na mshahara mpaka mwisho wa mwezi, nikaanza kusikiliza mahubiri yaliyo rushwa humu kuhusu UCHUMI, nikaomba Mungu aondoe chuma ulete ktk financial yangu, ilichukuwa mda, ila kuanzia 2020 kipindi cha Corona, nimeuona mkono wa Mungu. Mungu awabariki Mahubiri TV.

    • @namsifumaduhumwita2495
      @namsifumaduhumwita2495 Рік тому +1

      Mungu ana makusudi sana nisikie somo hili. Basi Mungu anisikie.Asante Pr David

  • @fatumachagudadui7369
    @fatumachagudadui7369 4 роки тому +9

    Hakika nimeamini mwanangu ana vidonda vya tumbo alipimwa nikaambiwa hivyo ninaimani nikienda hospital Leo hakika nikimpima kwa imani niloamini kupitia somo hili atakuwa salama ahsante Mungu sifa kwa yesu

    • @odettemaman
      @odettemaman Рік тому

      Naomba musaanda wa maombi kwaajili ya magogwa ya tumbo zima.

    • @adamkisapi9381
      @adamkisapi9381 4 місяці тому

      🎉

  • @mn9484
    @mn9484 4 роки тому +2

    Kila siku najifunza. Kumbe ninapofunga niwaombee watu wengine zaidi. Mungu anatupenda sana, tumuendee kwa ujasiri. Tuwe na Imani. Naamini nimepona kwa jina la Yesu.

  • @angel-y
    @angel-y 4 роки тому +4

    Amen, nimebarikiwa sana na hili somo. Nimeelewa kufunga sahihi na mambo ya kufunga na sala. Mungu akubariki Pastor.

  • @warningvoiceoflastdays5823
    @warningvoiceoflastdays5823 4 роки тому +3

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu,injili hiyede bele,Kenya tu nakupata loud and clear.

  • @sophyjones7190
    @sophyjones7190 4 роки тому +4

    Mungu akubariki sana PR kwa mahubiri mzuri yanayonibariki

  • @maxlove2668
    @maxlove2668 4 роки тому +4

    Amen,I have known the way for fasting,be blessed pastor Mmbaga

  • @mariamuatukuzwe7504
    @mariamuatukuzwe7504 4 роки тому +1

    Barikiwa saana mtumishi hapa nimefunguka ki akili na kiroho kuhusu kufunga

  • @violetauma1001
    @violetauma1001 Рік тому

    Asante kwa neno la mungu barikiwa sana mtumishi wa mungu nimebarikiwa

  • @HealthyLifeBasics
    @HealthyLifeBasics 4 роки тому +2

    WAOOH NAPENDA HIZI SHUHUDA HAKIKA NEEMA YA MUNGU YATOSHA, JINA LA BWANA LIBARIKIWE

  • @fatumachagudadui7369
    @fatumachagudadui7369 4 роки тому +2

    Amina hakika maombi yangu yatajimbiwa family yangu itakuwa sawa Mungu nitie nguvu

  • @maureenjovial6083
    @maureenjovial6083 4 роки тому

    Amina asante ubarikiwe zaidi nimejifunza sana mchungaji acha Roho Wa BWANA aniongoze katika kufunga inayostahili mbele za Mungu

  • @linetymmboga7271
    @linetymmboga7271 Рік тому

    Wow mafudisho muzuri mungu akupariki sana Amen

  • @queenjohn4692
    @queenjohn4692 4 роки тому +1

    Mungu naomba uniponye naomba kwa Imani kwa jina LA Yesu Amina

  • @sirgwemalach9323
    @sirgwemalach9323 2 роки тому

    What a sermon! God grant you more power to preach to His people

  • @everinekabakilwa9875
    @everinekabakilwa9875 4 роки тому

    Nimebarikiwa na Ile somo ya utofahuti wa mwanamke na mwanamme Amen hinanifariji Sana mtumishi wa Bwana wetu yusu Kristo ubarikiwe Zaidi Amen

  • @sophynyabosh4386
    @sophynyabosh4386 Рік тому

    Amina b blessed pastor

  • @shimwekagwiza3731
    @shimwekagwiza3731 4 роки тому +1

    Asante Yesu kwa kumtumia pr Mmbaga, mpe umri mrefu ili tuzidi kupona

    • @habaritv6364
      @habaritv6364 4 роки тому +1

      Shimwe Kagwiza Amen

    • @Gratefulheart3188
      @Gratefulheart3188 4 роки тому

      Na tumepona wengi yani namshukuru Mungu maombi yangu yanajibiwa mpaka natetemekaa kwa kuogopa

    • @habaritv6364
      @habaritv6364 4 роки тому

      mary nyaki Tuambie tafadhali zaidi

    • @Gratefulheart3188
      @Gratefulheart3188 4 роки тому

      @@habaritv6364 Nina ushuhuda mrefu sana wa mahubiri tv tokea nimeanza kuyasikiliza yamenibadilishaa mtazamo na miujiza mingi ndani yake

    • @shimwekagwiza3731
      @shimwekagwiza3731 4 роки тому

      @@Gratefulheart3188 Amina Mungu ni mwema sana

  • @jeremiahoumaonditi8285
    @jeremiahoumaonditi8285 4 роки тому +2

    Nimebarikiwa na somo be blessed mchungaji

  • @joshuaemmanuel59
    @joshuaemmanuel59 4 роки тому

    Nimebarikiwa na mahubiri haya na nimeelewa namna ya kufunga Pastor. MUNGU akubariki sana.

  • @janethmichael3885
    @janethmichael3885 2 роки тому

    Mungu akutunze mchungaji, maana nilikuwa siku y a kwanza ya maombi ya toba , lakin baada ya mafundisho haya, nmeskia ndani yangu kuanza maombi y a shukrani.

  • @lightnessshayo1783
    @lightnessshayo1783 3 роки тому

    Amen mtumishi wa mungu M MUNGU akuinue kwa viwango vingne

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 4 роки тому +1

    Amina kwa mafundisho pastor

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 4 роки тому

    Kweli Mungu wetu ni wamaajabu sana. Mchungaji Barikiwa sana na huduma yako izindi kuinuliwa ili iokoe wengi kwa jina la Yesu kristo

  • @janethhenrick1778
    @janethhenrick1778 4 роки тому

    Amen pastor ubarikiwe na BWANA naamin kupitia somo hili nimejifunza mengi na nnaamini maombi yangu yatajibu 🙏

  • @ndalomasalu2661
    @ndalomasalu2661 2 роки тому

    Hakika mwenyezi Mungu akubari unaendelea kutufafanulia neno la Mungu

  • @justinedaudiachieng416
    @justinedaudiachieng416 2 роки тому

    Pr. Mungu akubariki Sana kwa mafundisho yako mazuri yanatujenga kiroho

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 4 роки тому +1

    ii Clip nimerudia almost 3times ili nipate Kwelewa ,nimekupata Poa pastor God bless you long live upate kuokoa mioyo ilifunjika nikiwemo Ndani❤❤

  • @maryaoko5027
    @maryaoko5027 Рік тому

    Amen and Amen

  • @neemajulius8790
    @neemajulius8790 4 роки тому +1

    Santee sana kwa Mahuri mazur ya kutufundisha

  • @dinahisaboke9671
    @dinahisaboke9671 4 роки тому

    Ubarikiwe Sana mchungaji. I have learned alot

  • @angelkimaro5388
    @angelkimaro5388 3 роки тому

    Nabarikiwa Sana na mafundisho yako mch mbaga,nasikiliza toka moshi

  • @harrisonmutembei6280
    @harrisonmutembei6280 5 місяців тому

    Amen

  • @eliabamayi4344
    @eliabamayi4344 4 роки тому +1

    Yaani mtumishi ubarikiwe sana unafundisha vizuri Sana hadi unachoma ngome za wafugaji majini,, waganga na wachawi,,, hadi wanagonga dislike apo juu 😂😂😂😂😂😂

    • @habaritv6364
      @habaritv6364 4 роки тому

      eliab amayi Nilikuwa najiuliza anaeweka dislike ana maaana gani????

    • @atinaminzani1372
      @atinaminzani1372 4 роки тому

      AFYA Tv Hata mimi nilikuwa najiuliza ila kipitia ujumbe wa Eliab nimeelewa, tufunge na kuwaombea

  • @saramss7262
    @saramss7262 2 роки тому

    Daaaa Barikiwaa sanaaa mtumishi WA BWANA

  • @adklose
    @adklose 4 роки тому +4

    Habari! Niliishi Iringa miaka 2007-2009, nilipata malaria Malawi 2009 nafikiri ilisababishwa kansa ya bongo nilipata 2017. Sasa madaktari wanafikiri ilirudi tena - naomba mniombeeni! Mungu ni mwema!

  • @aronmsyangi9202
    @aronmsyangi9202 4 роки тому +1

    God bless your ministry

  • @watwegopnina6480
    @watwegopnina6480 4 роки тому

    Ameeen Mchungaji wangu, Mungu tuokoe.

  • @esternaftari4553
    @esternaftari4553 4 роки тому

    Amina mtumishi ninakuelew sana ubarikiwe

  • @gombanirombalejames8958
    @gombanirombalejames8958 Рік тому

    MUNGU akupe mwisho mzuri

  • @BeatriceSosipeterWagara
    @BeatriceSosipeterWagara 4 роки тому +1

    Asante kwa somo hili zuri,

  • @ruthmwangi3785
    @ruthmwangi3785 2 роки тому

    Amen nimebarikiwa na mafunzo yako

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 4 роки тому

    Ubarikiwe sana Kwa neno zuri 👏

  • @user-kn3lh1co6u
    @user-kn3lh1co6u 2 роки тому

    Mimi nmejifunza kitu hapo ubarikiwe mtu wa mungu naamin nkiyafuata haya ntafunguka

  • @susannganganganga4729
    @susannganganganga4729 3 роки тому

    Kwa kweli, pastor huwa unanibariki sana kwa mahubiri yako,Mungu aendelee kukutumia ili utufikishie habari njema ya Yesu

  • @gombanirombalejames8958
    @gombanirombalejames8958 Рік тому

    Kwakweli Mungu alijifanyiya zabihu

  • @nikizaviolette2723
    @nikizaviolette2723 3 місяці тому

    Asanthe sana

  • @RoseRose-vf5km
    @RoseRose-vf5km 4 роки тому

    Àmen Àmen Àmen nime jifunza barikiwa sana

  • @alfapinieli2160
    @alfapinieli2160 4 роки тому

    Amina kwa mafundisho

  • @wewehehe6405
    @wewehehe6405 4 роки тому

    Ubarikiwe mchungaji

  • @izzylyrics2240
    @izzylyrics2240 4 роки тому +2

    Nafuu umeweka someone jipya leo! kwakweli namiss ubarikiwe mtumishi

  • @fatumachagudadui7369
    @fatumachagudadui7369 4 роки тому +1

    Hakika Mungu naomba anisaidie maombi yangu ayaskie na kuyajibu siihitaji mambo ya 2019_ yaingie had 2020

  • @sdawalokole9489
    @sdawalokole9489 4 роки тому

    Amen,ubarikiwe

  • @user-hd8zy3eg2v
    @user-hd8zy3eg2v 4 роки тому

    Mungu akubariki sana pastor

  • @mbukesimuli4646
    @mbukesimuli4646 4 роки тому

    Barikiwa sana pastor

  • @christinasenga4412
    @christinasenga4412 4 роки тому

    Barikiwa mtumishi

  • @josephndunguru3163
    @josephndunguru3163 3 роки тому

    Barikiwa Sana

  • @angeloelia8224
    @angeloelia8224 2 роки тому

    Aminaaaaa 🙏🙏🙏🙏

  • @zachariamwihechi7884
    @zachariamwihechi7884 4 роки тому

    Namshukuru Mungu kwa maana video za siku hizi ni ckear hazi kwami kwami kama zamani, lakini pia napataje hicho kitabu cha maombi yaliyojibiwa

    • @habaritv6364
      @habaritv6364 4 роки тому

      ZACHARIA MWIHECHI Piga +255 759 612 430

  • @tinclassic421
    @tinclassic421 3 роки тому

    Mungu akubaliki

  • @barakajoseph1816
    @barakajoseph1816 4 роки тому

    Nnabarikiwa sanaa

  • @HealthyLifeBasics
    @HealthyLifeBasics 4 роки тому

    NZURI SANA HII

  • @isaschtv8577
    @isaschtv8577 4 роки тому

    Nimekuekewa PR Mungu akubariki

  • @jaredmayaka2993
    @jaredmayaka2993 2 роки тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @davidginono625
    @davidginono625 4 роки тому

    Asante maana umenigusa mchungaji maana nilikua nimepotoka .

  • @sophiadenis2730
    @sophiadenis2730 4 роки тому

    Mungu azid kukupa mafunuo tuzid kukua kiroho zaidi

  • @jacquesmwangu1541
    @jacquesmwangu1541 2 роки тому

    napenda hubiri hii

  • @gwiterrichard7352
    @gwiterrichard7352 4 роки тому

    asante pastor

  • @jacksonongera9169
    @jacksonongera9169 2 роки тому

    AMEN

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 4 роки тому +2

    kuna aina nyingi ya wahubiri mimi kwangu ww ni no 1 no 2 wakasege nafatilia sana mafundisho yenu sana

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 роки тому

    Amen amen, nashukuru kwa mafunzo mazuri. Ubarikiwa. Sehemu ya pili?

  • @user-gu2ji9ps1s
    @user-gu2ji9ps1s 4 роки тому

    Hakika umenifungua macho

  • @florabenard8542
    @florabenard8542 4 роки тому

    Amina mtumishi tunabarikiwa na mahuhiri yako, naomba msaada pia wa kukutana na wew ili unifanyie maombi binafsi naamin kupitia wew MUNGU atatenda,nna iman hata Sasa MUNGU anafanya Kaz kwa ajili yangu,maombi ya mtu mwenye iman yanamtoa mtu gzan so ntakuonaje?

  • @maxmillianmturi1370
    @maxmillianmturi1370 4 роки тому +3

    Lord bless your ministry

  • @eddasamwely820
    @eddasamwely820 3 роки тому

    Nimebarikiwa kutoka Dar es Salaam

  • @gracekisunge8358
    @gracekisunge8358 2 роки тому

    Mchungaji naitaji kufunga ila nanyonyesha nawezaje ??

  • @nginamugwe8093
    @nginamugwe8093 4 роки тому

    😭😭😭😭😭😭bona ukatukatisha maombi jameni

  • @joharijohn7005
    @joharijohn7005 3 роки тому +1

    🤣🤣 mchungaji tafadhari naomba mawasiliano

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍

  • @PrincessSally777
    @PrincessSally777 3 роки тому

    Amen! It's always a blessing listening to your sermon. Kindly how can I get the three books, Mambo yaliyojibiwa,Jinsi ya kusikia sauti ya Mungu na kitabu juu ya maombi?.Niko Nairobi

    • @epicnamekingsmanmwnorge6200
      @epicnamekingsmanmwnorge6200 2 роки тому

      Amen pasta Mungu akubariki pamoja nasi EBU naomba namba kwaajili ya mahusiyano ya maombi tafazali

  • @sisterdivvana8770
    @sisterdivvana8770 2 роки тому

    Maombi ya kufunga yanasaidia sana jamani

  • @thomasbishar7807
    @thomasbishar7807 4 роки тому +1

    Kwaakika wewe nimwarimu Wangu nabarikiwa sana

  • @anetivicent6176
    @anetivicent6176 4 роки тому

    Bwana akutie nguvu,,,,maana unatutia nguvu pia,,,naomba msaada kitabu hiki kipya namna ya kuisikia sauti ya Mungu,,,tafadhali,,,nakipataje??

  • @davidginono625
    @davidginono625 3 роки тому

    Lakini .....mbona inasema kuomba sio kusali kwenye biblia ya kingereza..yani "proseuchē"in greek means prayer .maybe iam a bit confused sometimes it means the same thing or..?

  • @rhodakemunto210
    @rhodakemunto210 4 роки тому

    Amen but naomba unikumbushe Yale mahubiri ya kuwa kijana apata pesa atoa kanisa but wazazi hawapi plz?

  • @damianlugendo9161
    @damianlugendo9161 4 роки тому +1

    Jina la Mungu litukuzwe

    • @felysytersonduso8064
      @felysytersonduso8064 4 роки тому

      Amina Mungu atukuzwe

    • @pastorsdcgom6634
      @pastorsdcgom6634 4 роки тому

      Kuna maswali ambayo hayeeleweki, kwani nimesikia kiini cha Muchungaji huu anamasilahi ya kupiga marufuku waombaji,
      1 Mwanzo amesema kama yeye Gahungu, pia Kwa kulala haombi,,
      Nimaajabu anayo yafanya anashituka mwenyewe.
      Ila habari y'a pili kuhusu Somo la historia hii yaki mutu Kifafa, Yesu anasema kitaondolewa, kwanjia y'a mafungo, sasa hili, swali Muchungaj huo kwanini haliwezi kumupa, final ? Asante jibu.

    • @pastorsdcgom6634
      @pastorsdcgom6634 4 роки тому

      Kwani yeye Hafungi na halali tongo macho akiomba, sasa kwanini akubari tena kufunga ?

    • @damianlugendo9161
      @damianlugendo9161 4 роки тому

      @@pastorsdcgom6634 kwan hayupo sawa au

    • @annasteven376
      @annasteven376 3 роки тому

      Ubarikiwe mtumishi upo vizuri kwa mafundindo ya kiroho nafunguliwa

  • @melissateddybearcossan9506
    @melissateddybearcossan9506 4 роки тому

    Hii ni sabato kweli?

  • @henryoppi2506
    @henryoppi2506 4 роки тому

    Nahitaji hicho kitabu cha mambo yaliyojibiwa

  • @davidmgabo3783
    @davidmgabo3783 4 роки тому

    Baba shikamoo nimetafuta namba yako kwa muda sasa naomba unitumie kwa namba hii0759437236 nashida baba nipo sirari /tarime nahitaji msaanda wa kiroho

  • @violetjoseph8649
    @violetjoseph8649 4 роки тому +3

    Aiseee nimeota Pr ukiniambia nifunge na kuomba nashangaa kuona somo hilihil hapa nmejfunza kitu nafikiri Mungu anasema nam kwa njia ya ajabu na ya pekee🙏barikiwa Pr

  • @roselineombati670
    @roselineombati670 2 роки тому

    Amen

  • @claradamas8710
    @claradamas8710 3 роки тому

    Amen

  • @catherinekihengu354
    @catherinekihengu354 4 роки тому

    Amen