Mungu awabariki na awaongezee uchaji... Muimbieni kweli MUNGU wimbo mpya imbeni kwa kitanda cha nyuzi kumi.... Kuimba ni kusali mara mbili lkn kuimba vizuri ni kusali zaidi...
Hongereni sana KORONGONI sasa mmerudi kama zamani kulikuwa na babu mpiga kinanda na ndio moja ya kwaya zinazo imba sana Moshi ....mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri wa zaburi
Mnabore na hilo nembo lenu kila Mwanzo wa nyimbo nyi ni ma professional hilo nembo linawatolea ueledi wenu utafikiri movies kumbe nyimbo tena Choir catholic
@@HOLYTRINITYSTUDIOS sina maana ya kutoa icon wekeni but sio kwa. Mtindo ka huu mbona wtu wanweka n inpendeza but ni ushauri tu ktu kuboresha huduma zenu na zipendwe na watu
@Martin Mabala, Holy trinity inafanyakazi sio kwa kufuata mapenzi ya mtu eti unaitwa ushauri bali inazingatia utaratibu iliojiwekea. ukiitaka utaufuata kama hutaki hutalazimishwa. unawezaje kuanza ku attack kitu ambacho huelewi kwanini kiliamuliwa hivyo, kabla hujaandika fikiria unachotaka kuandika tena kwa umakini mkubwa. mtazamo wako usiulazimishe Kua wa wengine, huwezi jificha nyuma ya pazia la ushauri ukaandika kitu cha hivyo, atahivyo ushauri wako HT inaupuuza
UPUMBAVU MKUBWA SANA KUHUKUMU KITU KISA WW HUKIPENDI KWANZA UKIWA NA MAWAZO MAFUPI UTAJIONA UKO SAWA KWA KILA KITU, HIYO NI LOGO NA USILAZIMISHE IWE KAMA LOGO ULIZOZOEA WEWE, HEBU HESHIMU KAZI YA MTU NA UKIWEZA KATOE USHAURI INBOX
Kwanza mie niseme HTS mko vizuri kuliko.... Keep it up, kwa sisi watu wa mziki na tunafanya kazi media to be honest you guys are professional. Nataka kusema tu kila gari huwa na Muungurumo wake so melody ID + Logo ziko poa saaana! Kwanza mie huwa nikisikiliza hiyo intro yenu najua kitu kipya kimeingia!!! Ushauri wangu kwenu Ongezeni ubunifu sasa maana kama ni matarumbeta ya mekua kila kona though kiuhalisia hata haya tumiki pia wapeni ushauri wanakwaya kile ambacho mtaona kitawafanya watoe wimbo bora na sio bora wimbo.Aksante ni sana Mungu awabariki.
Amina sana 🙏🙏
Hakika huwa mnanibariki Sanaa mungu awabariki na adumishe umoja wenu
❤
Wimbo mzuri sana.
Barikiwen sana wimbo mzuri mno unanibariki
Ahimidiwe Bwana wangu na mwamba wangu, Anayenifundisha uhodari.
Anayenifundisha mikono yangu vita,
Pia vidole vyangu kupigana.
Hongereni wanakwaya , pia mpiga kinanda yuko vizuri
Mungu awabariki mutoe ganda zingine mingi
Wimbo mzuri sana Sana, napenda kuusikiliza mda wote, nabarikiwa Sana aisee
Hongereni sana wanakwaya wa Parokia ya Korongoni kwa kazi nzuri
Naupenda sana huu wimbo, wameuimba kwa utulivu sana!! Daaaah! Nina Furaha sana.
God bless you all my fellow Christians in Kenya and behold allover the world
Hongereni sana wapendwa wana kwaya ya Korongoni ujumbe umefika Asante sana mbarikiwe na Bwana.
May God strengthen you all my Kenyan fellow Christians
Mungu awabariki na awaongezee uchaji...
Muimbieni kweli MUNGU wimbo mpya imbeni kwa kitanda cha nyuzi kumi....
Kuimba ni kusali mara mbili lkn kuimba vizuri ni kusali zaidi...
Hivyo hivo mpaka mbinnguni,mungu awabariki sana
Mwimbo mzuri sana naupenda
Wimbo mtamu jamani
Mwarabu Mungu akupe nguvu uzidi kutuweka hazina ya kumsifu Mungu
Amina hongereen kwa kaz nzur kuimba raha sana pongez kwake mwl p mwarabu sifa na utukufu n kwako ee MUNGU
Nice music
Hongereni watumishi wa bwana
Hongereni sana KORONGONI sasa mmerudi kama zamani kulikuwa na babu mpiga kinanda na ndio moja ya kwaya zinazo imba sana Moshi ....mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri wa zaburi
Huyo babu mpiga kinanda ni Mzee Melchior Basil Syote
Atareeeeeeeeeeee🎉🎉🎉🎉
Jamani Hongereni Sana ujumbe umefika heri watu walio na bwana wenye Bwana kua Mungu wao. Barikiwa sana.😋😋
Mnanipa hamasa sana wanakwaya wakwaya zote kwanamna ya pekee wakatoliki mnanipa raha sana mbarikhwe
Gobless u ihave been blessed by this song
Kazi nzirii, nmebarikiwa sana
Mnasauti nzuri,bongezi sana mungu hawabariki
Mwarabu safi sana unatungo nzuri sana
Kazi nzuri
Msikate tamaa
Mnaibeba Moshi
Mungu awabariki wanakwaya Korongon kwa wimbo mzur
Hongera sana wimbo mzuri sana
Huyu mtunzi anatisha sana; na Wanakwaya wako vizuri. Kweli Mungu ahimidiwe
God bless those who sing this nice song.
Mbarikiwe sana❤❤❤❤❤❤😊😊
Kazi bora kabisa
Saf sana mmbarikiwe
hongereni mnanifurahisha sana
Mungu Awabariki sana Amen.
Though am not hearing what the music is saying but I love to play it and the other one tittled Kristo Atawele
Mungu awabariki kwa kazi njema
Asanteee
Ahimidiwe BWANA wangu....
🙏🙏 mungu awalinde
God bless you all my fellow Christians
Hongereni kwa kazi nzuri kwenu wanakwaya na Holy Trinity ku maintain ubora wa kazi zenu
Credius Kyando mko vzr
Credius Kyando So nice. Ahimidiwe milele na milele. Nawaombea myashi haya mtangazayo. Amina
Wow hongerennnn jimbo lang la moshiii
Best song☝️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏
Ilike it keep it up
Amina Mungu awabariki
God bless you my dear people kenya
Teach me how to download it to my device
Jamani kwa Mungu kuna raha
Hongereni sana
Sauti mwaaaahhh
neno LA mungu itangaswe kote
May God bless you forever
Asanteeni
Wimbo mzuri
The work of God is endless
Mbarikiwe sana
Imependeza san
Safi sana.
Good
nyimbo nzuri sana jamani, naombeni muweke na nyimbo za zamani za korongoni nazipenda sana jamani chondechonde
Nazi nzuri
Ok
💓💓💓💓💓💓❤❤❤❤❤❤❤❤
Nice song.. God bless the singers
Mnabore na hilo nembo lenu kila Mwanzo wa nyimbo nyi ni ma professional hilo nembo linawatolea ueledi wenu utafikiri movies kumbe nyimbo tena Choir catholic
@@HOLYTRINITYSTUDIOS sina maana ya kutoa icon wekeni but sio kwa. Mtindo ka huu mbona wtu wanweka n inpendeza but ni ushauri tu ktu kuboresha huduma zenu na zipendwe na watu
Hongeleni sana na hongela yake mtunzi na tena anahaki ya kuitwa mocha mungu ambaliki sana
@Martin Mabala, Holy trinity inafanyakazi sio kwa kufuata mapenzi ya mtu eti unaitwa ushauri bali inazingatia utaratibu iliojiwekea. ukiitaka utaufuata kama hutaki hutalazimishwa. unawezaje kuanza ku attack kitu ambacho huelewi kwanini kiliamuliwa hivyo, kabla hujaandika fikiria unachotaka kuandika tena kwa umakini mkubwa. mtazamo wako usiulazimishe Kua wa wengine, huwezi jificha nyuma ya pazia la ushauri ukaandika kitu cha hivyo, atahivyo ushauri wako HT inaupuuza
UPUMBAVU MKUBWA SANA KUHUKUMU KITU KISA WW HUKIPENDI KWANZA UKIWA NA MAWAZO MAFUPI UTAJIONA UKO SAWA KWA KILA KITU, HIYO NI LOGO NA USILAZIMISHE IWE KAMA LOGO ULIZOZOEA WEWE, HEBU HESHIMU KAZI YA MTU NA UKIWEZA KATOE USHAURI INBOX
Kwanza mie niseme HTS mko vizuri kuliko.... Keep it up, kwa sisi watu wa mziki na tunafanya kazi media to be honest you guys are professional.
Nataka kusema tu kila gari huwa na Muungurumo wake so melody ID + Logo ziko poa saaana! Kwanza mie huwa nikisikiliza hiyo intro yenu najua kitu kipya kimeingia!!! Ushauri wangu kwenu Ongezeni ubunifu sasa maana kama ni matarumbeta ya mekua kila kona though kiuhalisia hata haya tumiki pia wapeni ushauri wanakwaya kile ambacho mtaona kitawafanya watoe wimbo bora na sio bora wimbo.Aksante ni sana
Mungu awabariki.
kaniki kengeee Kinanda nimekisikiaa
👏👏💖💗
Mama shedrack nimewaona mko poa endeleeni kumwimbia mungu
Inabamba
HAKIKA MUNGU AHIMIDIWE SIFA NI ZAKE MILELE
❤