MAAMUZI YANGU FULL MOVIE HEMEDY CHANDE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 893

  • @AshuraAmisi-ey4mj
    @AshuraAmisi-ey4mj 10 місяців тому +26

    Hemedy nakupendaga bure Kaka yangu mwenyezi mungu awe pamoja na ww kwenye kazi zako ❤

  • @UmukunziRamura-ur9zc
    @UmukunziRamura-ur9zc 10 місяців тому +46

    Hemed napenda sana movies zako sana tena nae nakupenda Sana kipenzi Mungu akurinde 🙏

  • @JuxOmari
    @JuxOmari 10 місяців тому +15

    Bro wewe ni zaidi ya wajuzi kk kwa kweli unajuwa maanisha brother
    Congo 🇨🇩 tuko pamoja nawe sana my brother 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏

  • @RizikiRiziki-c2x
    @RizikiRiziki-c2x 10 місяців тому +22

    Ooooh ni kweli unajuwa so mm nikuombe kitu unisaidiye unitumiye jina za Cinema zako nzuri

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 10 місяців тому +22

    Congratulations my brother chande nzuri mno💓💓💓💓💓💟💞💞💖💖💖

  • @princessphena8863
    @princessphena8863 10 місяців тому +20

    Hemedy kwa kweli napenda movies zako pamoja na wewe mwenyewe ❤much love from kenya🇰🇪

  • @EsterRobert-s1b
    @EsterRobert-s1b 10 місяців тому +13

    Waooo! Mm huwa sio shabiki wa movies za kibongo ila nimeipenda sana🎉

  • @NanaNiyo257
    @NanaNiyo257 10 місяців тому +49

    Watu waburundi naomba tujuwane basi haki chande unapendwa sana kwetu

  • @ibrahimally-xn3br
    @ibrahimally-xn3br 10 місяців тому +9

    Dah stor ninzuli sana imetulia af pia mmevaa usika sana ata gres pia Kai wa huwa namfatilia toka uhulu dah nizuli sana imeniliza mie ilaa chandee mwanang unajua allah azidi kukujalie

  • @NdikumanaIdda
    @NdikumanaIdda 10 місяців тому +41

    Kaka angu movies zako zinamafuzo mazuri sana Allah akuzidishie alimu uendelee kutoa movies nzuri zaidi inshallah

    • @Zahra-i5h6k
      @Zahra-i5h6k 9 місяців тому

      ❤❤

    • @CarmwelChao
      @CarmwelChao 9 місяців тому

      Hemedy we kiboko ,umenifunza mengi kakq

    • @festinaPaul-u2d
      @festinaPaul-u2d 9 місяців тому +1

      ♥️♥️

    • @ElijahWere-zb8ix
      @ElijahWere-zb8ix 9 місяців тому

      Videos zako zinanifundisha sana hongera sana sijui kama tunaweza toast ingine pamoja

    • @ReginaMagaigwa
      @ReginaMagaigwa 7 місяців тому

      Movie zk bro zinamafunzo Mazur

  • @SundayNdelwa-b6l
    @SundayNdelwa-b6l 10 місяців тому +31

    Mwamba unajua sana so poa ujawai kufel labisa❤❤❤

  • @RebeccaMuhimba-be1pj
    @RebeccaMuhimba-be1pj 10 місяців тому +10

    Ila uyu kaka nampenda mpaka basi tu da hemed your so handsome boy

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 9 місяців тому

      Ana mwanamke wake uyo na wanapendana❤

    • @RebeccaMuhimba-be1pj
      @RebeccaMuhimba-be1pj 7 місяців тому

      @@nahlahassan-fd6le my dear umenielewa vibaya kuwa na mwanamke mi yanihusu nini ko kumsifia ndo kwamba nataka awe mme wangu dada nakupa pole nampenda kama navoweza kumpenda mtu yeyote yule so uwe unasema comment unaelewa mtu ana manisha nini oky

  • @Chebet254
    @Chebet254 10 місяців тому +14

    Naipenda sana movie zako Mr nakufatilia kutoka Kenya 🇰🇪🇸🇦❤

  • @tima5679
    @tima5679 10 місяців тому +43

    Nimeipenda adi nimeshare kwa ddngu❤😂😂😂

  • @AtuSamoto
    @AtuSamoto Місяць тому +1

    Tujifunze kitu hapo jaman daah hemedy uko vzr sana move zina mafundisho mazuri sana

  • @humphreywanjala6699
    @humphreywanjala6699 7 місяців тому +4

    Kaka Chande hongera kwa kazi nzuri..unaiguza jamii kwa kiasi kikubwa sana

  • @SyliviahMosomi-er2oh
    @SyliviahMosomi-er2oh 10 місяців тому +4

    Movie nzuri sana.kwa wale wanaume wanaowafanya wake zao kama wachakazi ni virahisi sana kuwapoteza na kuishi maisha ya aibu

  • @IslamPeto-fd6wr
    @IslamPeto-fd6wr 10 місяців тому +9

    Bro chande uwaga utuangushi, mob love from Kenya,, ur ma best actor nakupendaga sanaa

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 10 місяців тому +11

    Hemed huwa napenda movies zake zikona mafunzo Sana ❤

  • @AzizaMshana-b4j
    @AzizaMshana-b4j 10 місяців тому +12

    kaka honger mim napenda kuigiza ila sijapata watu wakunishika mkono nafatilia xan kaz zako kaka

  • @hajrabablysh8892
    @hajrabablysh8892 10 місяців тому +12

    I need more romantic movie from you, thanks alot for this

  • @ayshanani
    @ayshanani 10 місяців тому +12

    Chande nenda ukalewe mpaka ulewe Tena mwache hemed achukue jiko mapenzi hayajaribiwi Chande uliyataka mwenyewe

  • @فاطمه-ج6ن7س
    @فاطمه-ج6ن7س 10 місяців тому +12

    Yani steve nakukubali kwa kazi yko nakupenda🎉🎉🎉🎉

    • @AnsaB-j2m
      @AnsaB-j2m 7 місяців тому

      Sana❤❤❤🎉

  • @nadhifagabriel
    @nadhifagabriel 9 місяців тому +2

    Hemedi chande nakupenda sna kwanz movie zangu zinanifunza mambo mengii igwa badoo sjaingia kwa ndoa goodies ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 10 місяців тому +5

    Kaka nime Anza kufatilia muv zako hakika upo kwe lialint og mungu azidishe ufanixi ndani ya utunzi wako amin🎉

  • @BeatriceWillison
    @BeatriceWillison 10 місяців тому +5

    Jaman jaman wee mtoto wa mama chande au Steve unanimalizaga Hataz hasta kipengele Cha kutoa hisia zako kwa umpendae unajuaga sana ❤🎉

  • @RizikiShee-j2w
    @RizikiShee-j2w 10 місяців тому +10

    Movie nzur Masha'Allah Tabbaraqa Allah 🥰😍 ongera bro

  • @happybosha
    @happybosha 10 місяців тому +6

    Hemedy muendelezo movie nzur sana tunaomb part 2❤

  • @clausmangula8077
    @clausmangula8077 10 місяців тому +9

    Nimejifunza kitu hapo😂🎉

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 10 місяців тому +25

    Hemedy nakupenda sana naomba mungu akufikishe mbali zaidi ❤❤❤❤❤❤

  • @justinendayisenga7180
    @justinendayisenga7180 10 місяців тому +5

    Unaceza vizuliiii sana filamu zako Zina mafunzo mengiii kabisaaa❤❤ from Bdi

  • @mosesgodfreysembe8570
    @mosesgodfreysembe8570 10 місяців тому +9

    Mwanangu unajua sana sema nini jina la stivu ndo sijaelewa kabisa

  • @Gracerehema-t4b
    @Gracerehema-t4b 10 місяців тому +13

    Finally nilikua naona unachelewa tu😂😂

  • @Big.time.05
    @Big.time.05 10 місяців тому +8

    Mchezo mwengine lini kaka ❤

  • @onesmongulo3770
    @onesmongulo3770 10 місяців тому +20

    Hii story inafanana na ya @chesco aka mr . Bigi inaitwa ex wangu but umeifany international sana daaad keep it up my g.❤❤❤❤❤

  • @faridaali2820
    @faridaali2820 10 місяців тому +3

    Mapenzi niupufu ama kwelu ❤❤🎉🎉 Mashallah umeweza❤

  • @EsterRobert-s1b
    @EsterRobert-s1b 10 місяців тому +12

    Napenda sana movie za hemed😊

  • @mariamkassimu5040
    @mariamkassimu5040 10 місяців тому +22

    More love form kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ZenaiZena
    @ZenaiZena 10 місяців тому +6

    Mimi nakupenda hemedy n movie zako nazipenda sana yani

  • @WisdomSteven-c2m
    @WisdomSteven-c2m Місяць тому +1

    uko vizur bro wangu tunakupenda xana kwa movie zako na hukoxei kwakwel dah!.. ❤❤❤

  • @alexnswila7900
    @alexnswila7900 10 місяців тому +6

    Umekandamiza Sanaa mwanangu unanifanya niludi kufatilia bongo muvis

  • @MariamRubea
    @MariamRubea 10 місяців тому +12

    guys jmn mapenz hayajaribiwi ❤❤❤ but it so sad😢😢

  • @AlfaMdolo
    @AlfaMdolo 10 місяців тому +8

    ❤❤from Zambia inatoa machoz mapenzi ayajaribiw😢😢

  • @yoonaaccygreegory
    @yoonaaccygreegory 10 місяців тому +6

    bro h.chande respect sana unajua bro 🙏

  • @KudraKazimoto
    @KudraKazimoto Місяць тому

    Yaan ww mkaka Nakupenda Bure hongera kwa kupambana ALLAH akuhifadhi na shari zote za ulimwengu na walimwengu na akuzidishie na kheri na baraka zote InshaAllah

  • @SyliviahMosomi-er2oh
    @SyliviahMosomi-er2oh 10 місяців тому +6

    Pongezi sana kwa wahusika wote wa filamu hii kali sana yenye mafunzo katika jamii nzima

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j 2 місяці тому

    Umeamua vizuri mnoo mary cz Chande alikua anakutimia tuu 🎉🎉🎉🎉❤❤❤🇰🇪

  • @Kinungatv
    @Kinungatv 10 місяців тому +6

    This movie is master piece god bless you hemedy🎉🎉🎉🎉🎉🎉💐💐💐

  • @wardatyhemed
    @wardatyhemed 2 місяці тому

    kw kweli mm kila move chande ninay kuangalia bs ivo vzur yaaa. huna mbaya kw kwel chande kila l heri mungu akucmamie

  • @faridaomary5361
    @faridaomary5361 8 місяців тому +1

    Nipo vzr bro so amazing japo kidg tunaomba ubadilishe maana move la maamuzi yangu na first love unasehem Moja na mzik wa move change kidg 💪🤝

  • @AngelDonald-ok5yh
    @AngelDonald-ok5yh 7 місяців тому +1

    Hemed nmeikubli San hii movie nmwomba Mungu akupe maish maref n ufanisi mkubwa katik Kaz yakooo🎉❤❤

  • @BarakaOdeni-l1g
    @BarakaOdeni-l1g 10 місяців тому +16

    Jaman wewe mwamba unajua aisee daaa mungu akutie nguvu

  • @shamsaaaaa3963
    @shamsaaaaa3963 10 місяців тому +10

    Nakupendaga kka upo vzri🎉🎉🎉

  • @FatmaJay-j6l
    @FatmaJay-j6l 10 місяців тому +10

    I love the movie😘❤️🥰 but it's too short no wedding parts like seriously! At least you could have shown us that you two got married like daah!🙄😔😞☹️

  • @rodahkahuyah6169
    @rodahkahuyah6169 10 місяців тому +1

    Daah...Steve kikojozi big up bro!!!!tamu kweli

  • @aishanyoha7591
    @aishanyoha7591 10 місяців тому +10

    Pole san chande ulikuwa unaweka maji kwenye tenga ona sasa

  • @SolangeOvera
    @SolangeOvera 10 місяців тому +4

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 movie nzuri sana nimeipenda Sana

  • @yusterarody-ck5zy
    @yusterarody-ck5zy 10 місяців тому +5

    Nimependa sana❤hii move but keep it

  • @TinaBenedictor-l8w
    @TinaBenedictor-l8w Місяць тому

    Asante medy kwa movie nzuri sana, nimejifunza mambo makubwa na muhimu sana.

  • @danichacomedians5805
    @danichacomedians5805 10 місяців тому +6

    Napenda kazi zako chande unaongezea ujuz kwan pia mm nimuigizaji kutoka kenya baran pwani

  • @FelicianNyaulingo-lx5sm
    @FelicianNyaulingo-lx5sm 5 місяців тому +1

    wanawake wavumilivu sana emagine huyu Mary anavyo mtreat mmewe wakati anayofanyiwa duuuuh salute sana

  • @MidnessMinga
    @MidnessMinga 4 місяці тому

    Waoooooooo 😅😅 mary nmekpenda bure kwa uamuz wako big up sana love you 🎉

  • @AlisaEbongelwa
    @AlisaEbongelwa 10 місяців тому +4

    Hongera napendanga movie zako nikupe 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 10 місяців тому +4

    Hemed nilikuonea huruma ila hongera❤❤

  • @Jali-et8py
    @Jali-et8py 10 місяців тому +8

    Wow ,nice Movie ❤❤much love from Uganda 🇺🇬

  • @Riziki-y7x
    @Riziki-y7x 10 місяців тому +5

    Safi napenda sn movie zko hemed hongera sn❤❤❤❤

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 10 місяців тому +6

    Nimesema mfunge ndoa haraka sana steve

  • @AdmiringCaptainHat-gh3tf
    @AdmiringCaptainHat-gh3tf 10 місяців тому +4

    Chande hujawah kukosea broo what a movie🔥🔥🔥

  • @Alicia-pl8zh
    @Alicia-pl8zh 8 місяців тому +2

    Hemedy Chande chukua mauwa yako🎉

  • @StellahOngachi
    @StellahOngachi 3 місяці тому

    Napenda sana vida zako,,,,znanifanya nabambika,,na tena zinanifunza mengi,,,.manake kuishi kwingi ndo kuona mengi❤❤❤❤

  • @zamaliabdulkarim5598
    @zamaliabdulkarim5598 10 місяців тому +5

    Sija wai kulizwa na movie yeyote lakini hii ime nitoa machozi kweli Asant kijana

  • @OtamarPatrick
    @OtamarPatrick 10 місяців тому +5

    Hujawah kosea chande keep it up

  • @LaurentKasereka
    @LaurentKasereka 9 місяців тому

    Mapenzi haya jaribiwi kweli asnte saka mwamba hemed pokea maua yako ❤❤❤❤

  • @ridhiwankalissa
    @ridhiwankalissa 7 місяців тому +2

    WOOOW WHAT A AMAZING TALENT YOU HAVE BRO YOU ARE THE MOST TALENTED BONGO ARTIST IN TOP 5 IN MY LIST

  • @ireneedigar
    @ireneedigar 27 днів тому

    Good nimependa sana move nzuri hakika mnaweza❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MajaNeem
    @MajaNeem 2 місяці тому

    Nakukubali sana kabisa tunawatakia safari ya movie zenu ❤❤

  • @saimmoymohd7313
    @saimmoymohd7313 10 місяців тому +4

    Kali sana chande anajuwa 😊

  • @DevothaTyson
    @DevothaTyson Місяць тому +1

    Kwa kweli unatisha chukua maua.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Saleh-on3ot
    @Saleh-on3ot 10 місяців тому +4

    Dagh brodah uko vzr san ktk kuigiza mungu azid kukusimamia ila ukifany kaz na steve mweusi utatisha san

  • @evalyinesalama2535
    @evalyinesalama2535 10 місяців тому +2

    Hongeren sana broo kwa kazi nzuri sana ❤❤❤

  • @saudianew2045
    @saudianew2045 5 місяців тому

    Wow napenda movie zenu mungu abariki na kuinua kipaji chenu❤❤❤❤❤more lv from 🇰🇪

  • @MamaMueleza
    @MamaMueleza 3 місяці тому

    We kaka muve zako nzurii Sanaa na zinafundisha Sanaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @كوثرالكوثر-ز4ش
    @كوثرالكوثر-ز4ش 10 місяців тому +6

    Kaz mzur mashallah hemed chand upo romantick😂😂😂❤❤❤ mnanisisimuwa

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 10 місяців тому +6

    You are one of the best actor Mr chande Hemed

  • @FatmaBalahmar
    @FatmaBalahmar 7 місяців тому

    Jamani Hemedy tunajifnza meng kupitia movie zak aiseee mungu akueke na akupe nguvu uzidi kuendelea na atuendleze na ss inshallah.

  • @omaromarmwandege-kv5uk
    @omaromarmwandege-kv5uk 10 місяців тому +5

    Kiukwel napenda sana move zako ❤

  • @NoeliaSimtengu-e4d
    @NoeliaSimtengu-e4d 10 місяців тому +4

    Daah mmetisha sana napendaa san muvi zako

  • @kibibiabdalla1451
    @kibibiabdalla1451 10 місяців тому +13

    Mapenzi hayajaribiwi jaman mwisho unapenda kweli❤❤

  • @NeemaGift-fp8im
    @NeemaGift-fp8im 21 день тому

    😢😢Sa mbona imeishaa aaa ckua natamani kabsa iishe isee big up bro ❤ sana

  • @MsindaNgowa
    @MsindaNgowa 3 місяці тому

    😅😅😅 hongera Kaka blaza kwa talent ulionayo

  • @nassorbabu5552
    @nassorbabu5552 10 місяців тому +9

    Dhaaaaah kaka unabalaaa hujawahi niboa since day one nakubalia unachokifanya natamn some day niwe kama weye

  • @Gabbyandbobo-p4j
    @Gabbyandbobo-p4j 9 місяців тому +3

    Great one watched it twice❤❤..love it from kenya🇰🇪🇰🇪

  • @batuli8665
    @batuli8665 9 місяців тому

    Good job my brother wote mcheza kwenye nafasi zenu🥰🥰🥰🥰🥰

  • @IssaKigwanya
    @IssaKigwanya 10 місяців тому +16

    Uyu jamaa hajawai kufeli kabisaaa kwene movi

  • @26sixnumber-ke3wc
    @26sixnumber-ke3wc 10 місяців тому +2

    Chande for everybody💣💣 unajua sana

  • @cellcelll2151
    @cellcelll2151 10 місяців тому +5

    Nakupenda chande from Kenya

  • @aishaaisha1485
    @aishaaisha1485 7 місяців тому

    Waaauh very nice ❤❤❤mwanadamu mume mlev aelewek mwadamu atoamua mm pia nampapez hemed potelea mbal😂😂😂

  • @Fbmovie254
    @Fbmovie254 10 місяців тому +2

    Kazi nzuri sana asante Kwa mafunzo yenu ila tujaona ndoa 😂

  • @DorcasMuomba-gd3sw
    @DorcasMuomba-gd3sw 5 місяців тому

    Tunakupenda zaidi 🌹 🌹 you are so cute and adorable movie zako zinamafunzo mazuri

  • @fatumajuma1811
    @fatumajuma1811 7 місяців тому

    Hemed Yani nafatiliaga movies zako uko Bomba kinoma kaka Na kubali Sana mashallah congratulation kaka🎉