Kaka mie nishabiki wako wanguvu sana nafatilia sana Kaz zako lakini kaka shida ipo sehemu Moja . Ipo kwenye "Ending " nihapo tu kaka ending Bado inachangamoto kaka
@@tinnyboy8105we vipi alo sema twaongelea kuhusu mziki apa ni nan😏kma auna cha kucomment pita kma aujui cha kuandika we vipi kma ujui tunajikuta nani basi endelea kutuongea vibaya kma autaki tuangalie move za tanzania tafuteni mahali mzikeke kwa block wakenya wasiangalie mpka izo nyimbo zenu😏😏
Ucjial mungu ana sababu naww na yupo pmj naww nakuombea Sana Kama unatoa song na message Kama hii kwji yetu eeee mwenyezi mungu akulinde kwaji yetu na family yako🤲🤲🤲😭😭😭😭😭😭😭
Hemedi chande nakupenda sana vile ambavyo unaiigiza kaka safi sana🎉❤❤❤ love you upo romantiki love na jamii inajifunza mengi kupitia nyie mfike mbali sana. ❤❤❤
Huyu demu aliemsaliti Chande performance yke n mbovu sn yan bado anahitaji waalimu wamfunze namna ya kuigiza, muangalie Chande na uyo Haji Adam wanaigiza ila unaona km n uhalisia na c maigizo ila uyu demu bado sn na hata huyo mwanawe Haji Adam pia performance yke sio nzuri sn by the way good job just pull up ya socks🧦 🎉🎉🎉
Heshima ni pesa tu hakuna kingine nisingependa kuwa.mnyonge hata siku 1 hata kam sina. Ela mm najiamin kuzitafuta najua ila apo kweny dharau hapan punguzeni dharau nyie wanawake wenye pesa
thank you guys for all the love&support y'all are the best!please remember to subscribe,like,share&live a coment.love always🙏🙏
Kaka mie nishabiki wako wanguvu sana nafatilia sana Kaz zako lakini kaka shida ipo sehemu Moja . Ipo kwenye "Ending " nihapo tu kaka ending Bado inachangamoto kaka
I love this chande💞💞💞
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤🎉
Big up more brother unajua
Napenda movie za huyu kaka kwakweli more love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪 hata mm naomba like
Wewe sihaki
Siyo kwel
Me,sijaipenda hiyo kwakwel
Jamaa anajua
fmedia.tenor.com/wOLM0RtlerMAAAAM/how-are.gif𓃰
Napenda movie zako kaka,,,,wakenya tujuane kwa likes🇰🇪🇰🇪
Jamani kweli
Wanao mkubali hemed Chande piga like❤
❤
❤
❤
wao hemedy nakukbal kwa kuigiza movie
Iike
Kazi nzuri adam❤❤❤❤❤wakenya tujuwane kwa like basi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nyie wakenya mjitahid kubalance shobo kwenye vitu vya wabongo mnajikuta akina nani siuui mjue tumewazid kimzik movie ball na vingine Ving kwhyjitafute achen shobo
Kama unamkuba hemedy chande Gonga like
@@tinnyboy8105we vipi alo sema twaongelea kuhusu mziki apa ni nan😏kma auna cha kucomment pita kma aujui cha kuandika we vipi kma ujui tunajikuta nani basi endelea kutuongea vibaya kma autaki tuangalie move za tanzania tafuteni mahali mzikeke kwa block wakenya wasiangalie mpka izo nyimbo zenu😏😏
Sasa wewe shida Yako Nini,heal bana,hatuko mashindano Kenya tuko busy na maendeleo@@tinnyboy8105
wee dinywa bro@@tinnyboy8105
Kazi nzuri kaka Fanya KAZI wewe ni mtoto WA kiumu🎉🎉🎉🇰🇪🔥🇰🇪🇰🇪kenya like naombeni
❤❤❤❤❤much love to you Adam ak nilikumiss xan kw movie ya Jamila ak unafanya mmbo mazur kaka Mungu azid kkuinua zaid
Wow,I just like hemed chande movies,🎉🎉🎉,big up team all the way mpaka saud
Napenda sana Kaz yako endelea kutoa movies mm nakufatilia sana yaaan unaweza sana
MASHAALAH nzuri sana CONGRATULATIONS MY BROTHER. Hemedy
Mmmh namm naomben like😢❤ nawapenda wote tua ongalia movie za HEMED🎉
🇹🇿 Taifa Letuu.Hemedy ni moto wa kuotea mbalii
Unamkubali hemed gonga like
Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kazi zuri sn❤❤❤❤❤
You ate dowwnnnn with this movie 😭🙏🏾 felt like i was back in Dar watching this on Maisha Magic Bongo
Jaman naomba kuuliza aliyeimba huu wimbo ni msanii gan daaaaah nimeupenda sna
Pongezi kwenu, mmeigiza vizuri sana na story ni nzuri mnoo. Hakika ni ujumbe mzuri kwenye jamii
Hongera sana bradha
Ucjial mungu ana sababu naww na yupo pmj naww nakuombea Sana Kama unatoa song na message Kama hii kwji yetu eeee mwenyezi mungu akulinde kwaji yetu na family yako🤲🤲🤲😭😭😭😭😭😭😭
Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Duh aiseee chande hujawahi kufeli, nafatilia movie zako sanaaa, ningependa kupata muendelewa wa TAHARUKI
Boooooongeeeeee moja moooooveee yenye maaaan pia.mafunzo bigup mtunga stori chujua❤❤❤❤❤❤❤ ..
Unaempenda ana mwingine na mwingine nae ana mwingine like hapa😊😊
Apo sasa mapenzi nyie😢😢😢😅
sindio hivo sasa
😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅
Yaani Mungu akuinue kaka naona nikama umenijuwa hio ni history ya ngu kabisaaaa
So sweet 💕 waiting for part 2plz
Wah baba wa mchongo 😂😂😂 kazi nzur sana next part 2 tuone Nadia life ya usingle ilkuaje master plz❤from kenya
Ahmed Suleiman Kazi Yako nzuri siku zote tangu Mimi nianze kujua bongo movie Mwenyezi Mungu ☝️ akubari brother
huyu ni hemedy chande, hemedy Suleiman ni mwingine yye mnne kdgo ila white kam hyu pia
From America just drop a ♥️ for me
Chande for everybody 🔥🔥✌
Aisee Hemedy hili ni bonge moja la series Mungu akusimamie katika kazi zako big up my broo...👍👍👍👍.
Movie nzur saan nawapenda ote mlioshirik mungu awatie nguvu❤❤❤❤❤
Hongera san kaka movie zako zote Bomba san❤❤😅😅
Mashaallaah movie nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
Napenda movie zako from Kenya
Jamon hemedy chande Unajua sana KABISA congrats 👏👏 for you Yani we mwamba kabisa
Kazi nzuli sana 😊😊😊❤
😢😢
kazi mzur,nimeipenda
honger Hemed❤
Napenda sana kazi yako kaka❤ na napenda kuigiza kam nyie jman
Kazi nzuri nakkubali sana Yani unajuwa mpaka unajuwa tena
Huwa napenda sana movie zako hemed congrats 👏 💖 bro kazi nzuri sana 🙏
Sisi wapwani tuko la talent sana, sema tunafata Dini inavyo tuambiya. Dunia tumewaachiya nyinyi.
mombasa au
Kazi nzuri kabisa. Much Love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
You did a Good job guys.
Much love from 🇰🇪 🇰🇪 kenya
Need part two bro 😂 nice movies
I really love watching your movie's they are so lovely❤❤❤❤❤❤❤
This movie teaches me never allow a lady to pay for your bills 😢much love, let's gather hear people 🥰
Very true
😂😂but we are not same
@@Chebet254 Uko sure
Nipitieni guys
😂😂😂
Nakubali brother kazi zako jumaa cheru from Kenya 🇰🇪 tuko mbele pamoja brother
I loved it ❤part 2 please tuone huoo ex 😂maisha after betrayal
Movie za Hemmed Chande ninzuri hua lkn hazina part 2..apo n mwisho
Kwel
@@ancillarneema zinakuwa nayo but itadelay
Hemmed anakuwaga na movie nzur sana tu ila hazinaga ending,,,huishia juu kwa juu movie kama jesca na nyingine
Nakukubali sanaaaa umewezaa🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana kaka Mungu akubaliki sana
Nzuri sanaaa dah....rafki msaliti dunia ya ss tunajifunza mengi...❤
Adam nakukubali sana mzee
Hemedi chande nakupenda sana vile ambavyo unaiigiza kaka safi sana🎉❤❤❤ love you upo romantiki love na jamii inajifunza mengi kupitia nyie mfike mbali sana. ❤❤❤
Good job love from🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kazi zuri ninawafwata tangu apa Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
❤❤❤❤❤more love from 254
Aisee hata kabla sijaangalia mpaka mwisho hii movie tam sana much love hemedy chande❤❤❤
Big up ninoh wangu 😊❤
Kazi zuri❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪
Broo unajua sana na kazi yako ya udeleva muvi nzuli sana ❤❤
Kali movie❤❤ Warundi tujuane
Chande umetishaa sana pongezi kwako pt2 muhimu
Inafundisha Sana yani kazi nzur chande❤❤❤❤
Much love from Kenya 🎉🎉
🎉Wow Kazi nzuri sana 👏👏
Kazii ya moto🔥🙌🏻Mmeua sana wana
Courage bro, que Dieu te bénisse abondamment mon frère.tres touchant vraiment 🙏.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Bora uende tony mpende rahma jmn anakupendaa😢😢
Sikupingi ata kidogo kaka nakubali saana kazi zako yes you can
Much love from Kenya
Kwa kweli napenda sana movie zake love from kenya❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hemedy chande you made again❤❤❤....
Hapa wakenya tupo ❤wengi
Kazi njema Sana hemmed,
Kwakweli nime nikubalie hihi ni kali bro hendelea na kazi
Namkubar sana hemed chand
Huyu demu aliemsaliti Chande performance yke n mbovu sn yan bado anahitaji waalimu wamfunze namna ya kuigiza, muangalie Chande na uyo Haji Adam wanaigiza ila unaona km n uhalisia na c maigizo ila uyu demu bado sn na hata huyo mwanawe Haji Adam pia performance yke sio nzuri sn by the way good job just pull up ya socks🧦 🎉🎉🎉
nice movie
Daaaa kaka unajua sana nakukubali sana apload zaid kama hizi mungu akuongezeee
Congratulations chande❤
Yan kaka unajua adi unaboa an keep it up unakitu ndan🌹
Tony you're the best
Nakukubali bro Hemedy. Kazi yako iko kimataifa kaka, nakutazamia nikiwa 🇶🇦 🇶🇦
Yani mwanamke akiwa nahela atakutesa sana nikweli heshima ya mwanaume ni pesa ira kwangu mm upendo wakweli ndo kira kitu kwangu ❤❤❤❤❤
Ila kuna sisi hapa hatuna hela ila mdada akishatuangukia nikupeleka moto hadi akili yake inani waza mie siku yote😂😂
Heshima ni pesa tu hakuna kingine nisingependa kuwa.mnyonge hata siku 1 hata kam sina. Ela mm najiamin kuzitafuta najua ila apo kweny dharau hapan punguzeni dharau nyie wanawake wenye pesa
Mtajioa na pesa zenu 😅
Bro Hamed uko sawa napenda sana movie zako ❤
Nice Movie❤
Naitajii kumjua uyo msaniii ambae nymbo yake inaimbwa🎉
Inaibwa😁😁
Woow maashallah but usiwe unakaa muda sana bila kutoa movie mashabik wako we want even kla mwez utoee we lavyuu 😊😊
Heshima ya mwanaume ni maokoto..... 💯💯
Dah?big up sana hii movie nzuri Sana halafu inafundisha mnoo..
I love it❤❤❤
Thanks so much for uproudng ❤️❤️🎉❤️❤️
Ilove it❤ part two plz
Kaka hemedy unatisha sana kaz nzuri unatuletea
Good job 🎉🎉🎉❤
Awesome ❤
Kazi nzur sana🎉 ila naomba anae jua ako kawimbo hello hello anisaidie
ua-cam.com/video/vXmz4pglzV4/v-deo.htmlsi=Z88tKlHBWWKdnoth
ua-cam.com/video/vXmz4pglzV4/v-deo.htmlsi=Z88tKlHBWWKdnoth
I love nice movie ❤❤❤❤
Aky napenda sana movie zko Hamed ❤❤❤❤❤❤❤❤
Mm nazipenda sana filamu zako ilah ww unatupeza mpk basi
Kenya Watching
Keep it up my son Adam