Nilikua nishaanza kumkataa mkojani kwa movie zake ila kwa hii tahariki amepandisha soksi juu Iko sawa bingwa Wacha watu wataharukike mi nasema aiiiiiiiiiiiiiiiiyyyyy
Kazi iko powa sana kwann haipo kwenye tv? Mbona kule kuna. Kazi mbovu kabisa ukiangalia azam wanachambana tu hakuna la maana dstv ndio mashoga kibaoooo
hakuna kitu ambacho napenda katika maixha yangu kama kuigiza endapo mungu akijaalia nikapata nafax nitaxhkul na nitafanya kilicho bola mungu awajaalie nyie wote ad hapo mlipo fkia na nitazid kuwaombea 😭😭😭
Dah nimekipenda hiko kiarabu Cha hakim😂😂😂😂
Kama na ww umekikubali gonga like👍
Nimekikubali kwa asilimia 💯%
Utadhani muarabu kutoka oman wallahi
So perfect ❤❤❤
@@assiakhadijz4167😅
Nakubali kaz sema mnachelewa kuendeleza
kazi nzuri mnayo fanya Mungu awatie nguvu
bonge moja la kazi hongera kwa team nzima sio wale zilipendwa bongo movie
Nilikua nishaanza kumkataa mkojani kwa movie zake ila kwa hii tahariki amepandisha soksi juu Iko sawa bingwa Wacha watu wataharukike mi nasema aiiiiiiiiiiiiiiiiyyyyy
Maybe you were sick na ndo umepata nafuu wapa hapa duniani Mkojani kakataliwa???
@@nelsonandanyiImagine😂😂😂
Mwanzo tu inaonesha balaa kinalofata really appreciate.......kaz nzur
Asante sana
Kazi iko powa sana kwann haipo kwenye tv? Mbona kule kuna. Kazi mbovu kabisa ukiangalia azam wanachambana tu hakuna la maana dstv ndio mashoga kibaoooo
Naona hii ndio imekuja kama mbadala wa pazia jamani ni epsod yakwanza ila naona ipo vizuri sana hongera sana❤❤
hakuna kitu ambacho napenda katika maixha yangu kama kuigiza endapo mungu akijaalia nikapata nafax nitaxhkul na nitafanya kilicho bola mungu awajaalie nyie wote ad hapo mlipo fkia na nitazid kuwaombea 😭😭😭
Naomba nifanye kazi naww
Kwel namahanisha kwel ujue
Upo mkoa ganii
Nikupamban so kukata tamaa na mm napenda SNA Sena sapot sinaaaa
Mpia ak napenda sana kuigiza mungu sikumoja anifungulie njia
Maa Shaa Allah...nzuri sana. Allah Awafanyie wepesi
Wapi epsd 2 weuweee, wakali wao wote, tumekumiss sanaa bro hemed, said...alafu umemuweka mkojani ndani tamu sanaa
Umu ndan mumecheza
Kitajir sanaaaa
Wow femy wa mu jua kali uyo mu dada namupenda sana❤
Woow amazing 😢😢😢😢😢😢😢😢😢 imenikubusha mbali sana
Aseee 😢😢😢😢 pia nakumbuka vingi sana watu wenye hela kuwa na majigambo juu ta masikiniii
Khanifa nmekuona mamangu... Big up Mkojani from Misri strong love toka Kenya
Yaan ndio kwanza na mambo yamechemka 😂😂😂next please nimependa❤❤❤❤❤❤
Nyimbo na movie 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tafadhalini hebu iendelezi hii sinema ipeni hata jina lengine hemedy na chudi lishughulikieni mkojani awepo 😢😢😢
Nice maa Sha Allah ❤
Waaa...hiii..iko vzur xna❤❤❤
Nzuri sanaaa
Classic swahili image wachemsha guys mbona zii tupe vitu Taharuki nice movie 🎉
Mmeanza vzr halafu mje tu acha njiani😮😮😮ndo fly za kibongo
Kuwa mtulivu
Kazi zuri sana ❤❤
mpo vizuri sana director kasimama sana waigizaji mko poa sana
Yaani, kazi unaijua kaka hemmed, sema tu mnatuchelewesha na mwendelezo😂❤
Mnakuja vizuri ❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉hio nyimbo jaman nzur naipenda❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉taaharuukii taaharuukii taaharuukiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Moto ulele mzee napenda kinacho endelea
Wow nimeipenda ❤❤🥰movie tamu kwell, next please
Mansh Allah nzuri sn femi wa jua kali kaonekana kwenye hiyi lazma niwepo💃💃
Wagizaji wengi wanakosea kitu kidogo sanaa yaan siku wakiki lekebisha na amini watafika mbali sanaa kimataifa sio ndani tuu❤
oya weeeee hii ni noma sara hatariii mtoto mkaaliii
Mm move akiwa mkojani tu naianglia namkubali Sana mkojani ii move naifuatilia kwakuwa mkojan yupo
Nimeipenda sana hii movie, sehemu ya pili please 🙏🏻
Hemed napenda movie zako love from Kenya ❤❤❤
nimependa msimamo wa munky kama unakubaliana na mm like hapa
😂😂😂😂mkojan chiz kwel kwel nimeipenda hii🎈🎈🎈❤️❤️
Very interesting namkubar xana huyu edu John daah nikiangalia movie hii nakumbuka pazia daah wanajua xanaa ❤❤💯
Kazi nzuri asilimia mia 100% .
Duuh kazi nzur hunaga mbaya
Mwamba anatowa mpaka roho inapenda nazani wote mnaona kazi za huyu mwamba naomba like zunuuu
😅😅😅😅😅Mkojani bwana😂😂
Yammiy yupo sawa kwenye song ameimba vizuri kwwnye hii movie🎉🎉🎉
Jina ka nyimb pls
Assalam aleykum
Tukumbuke na ibada ndugu zangu 🕌
safi sana vijana munashawishi
Daah kaz nzur kbs
From Oman naburudika😍😍
Tupo p1 team strong ❤
😅😅
HELLOW
Huko kinaongeleka kiswahili kama kwetu?
@@bakariluhala7332 kiarab na english
Kaz nzury hemed chande na mkojan❤
bomba kabisa, ongeza ben white awe
Bonge la move nimeipenda Sana naomba tuone muendelezo
Soon
😂😂😂kweli mapenzi uchiz, sa ndio nin kujilizaliza kila mara mkaka mzima😅😅
😅😅😅😅 nakubali hemedy umetisha sanaaaaa!!!!!!!!
Safi kabisaa. Mchezo unasisimua kabisaa
So amazing❤❤MashaAllah
Nzuri sana
Napenda sana move za hemed chande sitak kupitwa hata kidogo ❤❤❤
Mwendelezo vp
Nice bro
Jaman ya pili 🙏🙏🙏🙏
Semu ya pili tafazali❤❤
Daaah kunawatu ninao wakubali tupelo namba mbili ❤❤
Kanywa alkasusu mchana imemzidia😀😀😀
Uwiiiii 🔥🔥🔥 muendelezo 🙏
Nimeipenda jmn nzur
Mkojani eti tusiwe mashoga🤣😂😂😂😂😂
Nzuri kwel 🔥🔥🔥jaman episode 2 tupe
Mimi huw nampendaa saana hemed chande man kila akifany mov unataman ikue na muendlez❤❤❤❤❤❤
Ma sha Allah
Very nice from Zanzibar penzi sio pesa
Move mzuri sana lakn mbona hakuna mwendelezo
Duh safi san vp ep 2 na zinginezo man so poa
I like this movie watching from kenya much love hemedy❤❤❤🎉🎉🎉🎉 part 2 please
Itakujia hivi karibuni
Wow mkojani na chande mumenikosha kwel😂😂💯💯
Nzuri sana next please
Move ya moto na uuserious wakutosha😊😊😊
Ipo sw mashallah
Imeipenda sana
Napenda Sana kazi zako kiufupi unajua
Kipindi kizuri kweli hongera 🎉
nmeipenda jamani toeni episod nyengne
Mwenderezo uko wap
Nakukbali hemed
Nimependa hii movie sehemu ya pili 🙏🙏
Okay
Iyo nyimb inaitwaj
Mkojani hemedy chama langu nawakubali sana 🥰🥰🥰 Wacha watu wataharuki tyu 😂😂😂
Jamani leteni mwendelezo basi wa movie ya jesca tafadhali 🙏🙏
Wao femiiii
Sema hi nimeikubali sema mnachelewesha sana
Mashaallah imeenda
hii kazi ina wtoto wazur kinoma
Mkojani episode nyingine vip hiyo yakwanza imeweza kinoma❤❤❤
Hemedy chande kazi nzur broo👋👋👋💯
Mbn haienreleyi mbee nimeypenda sana ❤plz fanyeni
Safi sana ❤❤❤ na worch from 254
❤❤❤❤
Hongera kak ang 2nasubili mwendelezo
nimeipenda iyo
For sure km kuna muendelezo iwekeni namba mbili yake maana ñi ya moto saana plz
pmoja sana mwarabu keep it up
Marshall movei nzuri sana
Mwenderezoooo pls
Nzurii❤❤❤ kaimba nani hiyo nyimbo jmn
Huyo si yammi kipenzi nyimb kaimba yammi