Historia ya Mzee Mwinyi, asili yake, familia yake, siasa na urais mara mbili Bara na Zanzibar

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 272

  • @ZanzibarKamiliTV
    @ZanzibarKamiliTV  10 місяців тому +5

    Kipindi hiki KIMERUDIWA kuchapishwa kwa faida ya wale wanaopenda kujua wasifu ama historia ya mzee Mwinyi. Kilirekodiwa mwaka uliopita baada ya Mzee Mwinyi kuzindua kitabu cha historia ya maisha yake. Kwa nakala halisi tembelea link hii ua-cam.com/video/mrek5HNXoXA/v-deo.html

    • @israelmkaka2807
      @israelmkaka2807 10 місяців тому +1

      Usipotisheee na HII CHANNEL YAKO.....ACHA UPOTOSHAJI.....

    • @FeisalDoctor-tn9vd
      @FeisalDoctor-tn9vd 10 місяців тому

      ​@@israelmkaka2807anpotosh nini

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 10 місяців тому

      Kama apo jamani kimopotoshwa nini mbona tunapenda chuki choyo fitnaa roho mbaya kwa nn jamanii

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 10 місяців тому +1

    Mzee Mwinyi ndoo alosababisha,wa Tanganyika tukaona TV na Biashara zikaingia Bandarin na wa Tanganyika hawakunyag'anywa,Mali zao, ishaalah Mzee Mwinyi,mzee Rukusa, Mashaaalah, Allah akuhifadhi,

  • @mkazilakwamchilloh8158
    @mkazilakwamchilloh8158 10 місяців тому +2

    3:05 Masikini narudia masikini sikupata nafasi kwenda kumuona mzee Ali hassan mwinyi kabla hajafariki ilikuwa nia yangu nikamuone nikirudi nyumbani Tanzania baada ya kuwa nje takriban miaka 28 japo yeye hanifahamu lakini nia yangu haikukamilika mwenyezi mungu aikubali dua yangu amlaze mzee mwinyi mahali pema peponi

  • @saidisaidimohd4034
    @saidisaidimohd4034 10 місяців тому +5

    Big up Ismail ladu

  • @maulidnkumilwa5171
    @maulidnkumilwa5171 10 місяців тому +5

    Long live the Legend Alhaaj Ally Hassan mwinyi,

    • @omarmohammed5157
      @omarmohammed5157 10 місяців тому +2

      Kweli huko tunakooenda kuna maisha marefu

  • @chumaramadhani.7581
    @chumaramadhani.7581 10 місяців тому +3

    Allah Amrahamu Mzee wetu Ally Hassan Mwinyi. Namkumbuka Sana pale alipokataa kutumika kwa Jina la Alhaji kwenye picha yake ya URAIS, Badala yake atambulike kwa la:- RAIS ALLY HASSANI

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 10 місяців тому +1

    Jussa Ismail Jussa hongera kwa hayo

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 10 місяців тому

    😮😮😮 VIPI ALIKWENDA KUSOMA NJE YA NCHI NANI ALIYEMPELEKA 😊

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 10 місяців тому

    😮 Vipi alijiunga na vyama alianza vipi 😊😊😊

  • @attunelson8828
    @attunelson8828 10 місяців тому +12

    Mzee Mwinyi atabaki kuwa ni rais wangu mpendwa sana kuliko rais yoyote aliye wahi kutokea Tz

    • @AllyKapaya
      @AllyKapaya 10 місяців тому

      Ni kweli kbsa..! Alifungua fursa kweli

  • @nicholausmakundi2663
    @nicholausmakundi2663 10 місяців тому +1

    Mbona waliyaficha haya...Mwinyi alifanya makubwa sana

  • @twahirmjeda4580
    @twahirmjeda4580 10 місяців тому

    😊😊😊😊😊ati tuwe wakweli😊😊😊

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 10 місяців тому +8

    ubaguzi hauna jumuisho,wala kabila fulani,mtu naweza kuwa mwaarabu akawa mabaya au mzuri anaweza kuwa mwafrika akawa mabaya au mzuri,biashara ya utumwa ilifanyika tusikwepe ukweli wa historia,lakini si waarabu wote wana hatia katika hili,wapo waarabu wema sana na waungwana sana,pia hajajichanganya ameelezea halisi.Wapo wengi waliomfanyia mema ila hii haina maana hapakuwa na wabaya na wenye kukosea.Hata biashara ya utumwa afrika machifu wa kiafrika ndio wakulaumiwa sana kuliko watu weupe waliyoifanya.Nawapongeza kwa uchambuzi mzuri!kazi nzuri ila tusikwepe ukweli,mfano leo mayahudi wanaua wapalestina,mimi mkristo ila siwezi kubali dhuruma na umyama wa mayahudi,je miaka 100 ijayo watu wakatae mayahudi hawakuuwa wapalestina itakuwa haki?Biashara ya utumwa ilifanyika,

    • @badrudindaud1087
      @badrudindaud1087 10 місяців тому

      Ume Nena kweli

    • @ahmedelalawy639
      @ahmedelalawy639 10 місяців тому +1

      utumwa ulianzwa kufanywa na mjerumani mreno mfaransa na muengereza. mwarabu aliambiwa atoe kituo cha utumwa znz .

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 10 місяців тому

      ​@@ahmedelalawy639wote walifanya utumwa wala si kuambiwa wazungu kwa waarabu wote walifanya utumwa wala si siri hivyo msitake kupindisha historia waliambiwa wasingeambiwa smwasingefanya au kabla ya kuambiwa hawakuwahi fanya? Tunaona mpaka kina Bilal walikua watumwa toka habasha

    • @mohamediomari1614
      @mohamediomari1614 10 місяців тому

      @@ahmedelalawy639muarab alifanya biashara ya utumwa hilo sio uongo, hata kipindi cha mtume kulikiwa na watumwa, hata Swahaba Bilali alikuwa mtumwa katika jamii ya Waarabu, utumwa ulikuwepo na Muarabu alishiriki.
      Ukweli unauma ila ndo hvyoo hatuwez pingana nao, msiowaone waarabu kama malaika ni watu kama watu wengine, wanakosea ndo mana walitumia mitume mbalimbali.

    • @mhandomhina5503
      @mhandomhina5503 10 місяців тому

      Biashara ya watumwa iliratibiwa na watu wa magharibi na hao waliondoa au kukomesha biashara hii sababu walipovumbua viwanda hizo nyingine ni chumvi. Pia hata hao watumwa kutoka bara zenji(Kutoka Mogadishu Hadi Sofala) historia haioneshi misafara ya majahazi yanayoelekea bara Arab kwa nini? Jibu lake Bara Arab kulikuwa limegubikwa na Uislam na si uarabu hivyo sheria za kiislam zilitokomeza utumwa na bara Arabu ilikuwa maarufuku biashara hiyo ndio maana Hawa akina Sultan wa Oman waliokuja huku Bara Zenji walitafuta sehemu huru ya kufanya biashara ya watu kwa mikataba na mafezuli wa kizungi ambao wao ndiyo walioshikilia biashara hiyo hata mahekalu yao yalikuwa na maandaki ya kubariki watu kabla kusafirishwa ( Padri Luando huko Angola) . Hivyo Hawa akina Sultan Said Sayid Ni Waarab tu au watu tu lakini si waislam hivyo tusisingizie Uislam kwa sura ya Waarabu wa kidunia. Pia Kuna miaka 200 na iliyopita Kuna kundi kubwa la Wazigua lilikimbia hizi kamata kamata za utumwa likafika sehemu ya Somalia na kukita makazi ambapo sababu kuu ya kukita makazi imeelezwa sheria za ukanda ule haziruhusu utumwa

  • @AllySully
    @AllySully 10 місяців тому +2

    Nyerere alikuwa anajua kuwa Ali hassain mwinyi alikuwa sio mzanzibar ndio maana akawa anampa madaraka kila mda.

  • @neronapoleon6054
    @neronapoleon6054 10 місяців тому +5

    Ww Jussa ni msomi unashindwaje kuchambua hicho kitabu, Mwinyi aliposema Waafrika walibaguliwa anamaanisha ni mfumo sio mtu mmoja mmoja. Anamaanisha waafrika wengi weusi hawakuwa watawala . Ili uwe mtawala ilibidi uchanganye rangi au uwe Mwaarabu.

    • @abdallahdullah8642
      @abdallahdullah8642 10 місяців тому

      Kila wkt na mambo yke km wa Afrika hatukuwai na mwamko wa elimu tutawezaje kuwa viongozi labda viongozi wa jadi. Kusema waarabu au wahindi au wangazija walipewa kipaumbele sio kweli yy na wenzake km Jumbe, idrisa abduwakil walisomaje

    • @neronapoleon6054
      @neronapoleon6054 10 місяців тому +1

      Si kweli elimu iliyolewa kwa rangi, kulikuwa na Shule za wahindi, waarabu na waafrika. Na waafrika walifundishwa elimu ya kusoma na kuandika tu ili wawe makarani. Miaka ya kina mwinyi ni miaka ambayo watawala walianza kutoa elimu kwa waafrika. Kumbuka wakati tunapata uhuru hatukuwa na chuo kikuu hata kimoja. Baada ya kupata uhuru wanafunzi wa kwanza wa UDSM walikuwa wa nne tu. Kiufupi waarabu wala wazungu hawakuwa na nia ya kutupatia Elimu.

    • @aishaalamry5856
      @aishaalamry5856 10 місяців тому +1

      Sijui kwa bara, ila kwa Zanzibar sio kweli kama elimu ilikiwa kwasababu ya rangi. Zipo picha zinaonyesha mtoto wa mfalme akiwa amekaa darasani anasoma pembeno yake amekaa mtoto wa kiafrika anasoma nae, ushahidi tosha kuwa elimu ilikuwa ya kila mtu. Ila kama alivyosrma Mzee Mwinyi wazee wengi walikuwa wanathamini elimu ya qurani kuliko ya skuli, wakiamini ni elimu ya kikoloni na haina manufaa kwa watoto hivyo wenyewe walikuwa hawapeleki watoto skuli. Ni hii sio wazee wa kiafrika ata baadhi ya wazee wa kairabu walikuwa na nadharia hiyo hassa kwa watoto wao wa kike. Baada ya Mapinduzi ndo ikawekwa hassa percentage za kupasi, waafrika kupewa asilimia kubwa zaidi ya 50% na iliyobaki ikagawiwa kwa wote na kupelekea watoto wa kihidi, kiarabu na wangazija waliokuwa hawajapasishwa kwenda skuli za private ya bohoraz ambaye ni Hamamni kwa sasa na Hindu. Sasa ukweli ni kwamba ubaguzi ulikuja baadae. Na kwasababu wahindi wanajua thamani ya elimu na wanafahamu biashara ndipo walipofungua private school.

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 10 місяців тому

    DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI

  • @godfreymwaimu9637
    @godfreymwaimu9637 10 місяців тому +2

    Hata Africa Kusini waafrika walisoma na kupewa fursa ndogo ndogo lakini mfumo ulikua wa kibaguzi na kinyonyaji ambao haukupaswa kuachwa uendelee

  • @salimamani6672
    @salimamani6672 10 місяців тому

    Mjadala kama huu engelikuwa yuko hai mngeyaongea ingelikuwa vizuri sana angeweza kuyajibu kuliko mtu alishatangulia

  • @maulidnkumilwa5171
    @maulidnkumilwa5171 10 місяців тому +3

    Wewe Jusa hakuna mtu yeyote anayeweza kuandika kila kitu

  • @NaimHaji-z8g
    @NaimHaji-z8g 10 місяців тому +2

    Acheni ujinga wabara jussa anatuelimisha

  • @MuhammadRashid-jq7eq
    @MuhammadRashid-jq7eq 10 місяців тому

    Kwa miaka ya kiislamu ni 102 mashallah

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 10 місяців тому +11

    Mbona wazanzibari wanazikwa Tanzania bara kwaio marehemu Mzee mwinyi kuzikwa Zanzibar sio tatizo

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 10 місяців тому +3

      Kwa maelezo wanayotoa kwamba Hayati rais Mwinyi alizaliwa Bara lakini maisha yake ya utotoni na masomo aliyafanyia Zanzibar,kwa maana hiyo Zanzibar ni nyumbani zaidi kuliko Bara.
      Kwa hiyo ni chaguo la busara na mfano wa kuigwa

    • @soudia9084
      @soudia9084 10 місяців тому

      Sio matatizo. Lakini aliacha wasia kuufata au kutoufata ...... keshazikwa.

    • @AbdulHakimu-ee1td
      @AbdulHakimu-ee1td 10 місяців тому +1

      ishu huja kwenye uzulumu wa kisiasa kutoka kwa serekali ya kibeberu ya TANGANYIKA

    • @philbertcelestin7057
      @philbertcelestin7057 10 місяців тому

      Yeye hakuwa mbara

  • @soamShs-cp4dl
    @soamShs-cp4dl 10 місяців тому +3

    Allah amswamehe makosa yake ndio muhimu SiSi sote ni wa Allah na kwake ndio marejeo unaweza kumuona mtu ana fanya ya sio mema lakini Kumbe ni Siri Baina yake na Mola wake pengine katubia na Allah kamridhia yake yameisha kazi kwetu SiSi tulobakia

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 місяців тому +3

    Wewe just wacha ubaguzi hiyo znz siyo ya kwenu piya acha kujifanya ubaumwa nhi ni ya mola acha ubaguzi acha usiyasa tunajuwa yote ndo kashazikwa hatuna pingamizi yeye binaadam kama wengine acha ujinga

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa 10 місяців тому +3

    Kwanini mzee karume asizikwe malawi

  • @hashimrashid6380
    @hashimrashid6380 10 місяців тому

  • @jumannejuma7432
    @jumannejuma7432 10 місяців тому +4

    acheni usengenyaji kwani hichokitatabu kilizinduliwa lini na kwanini msingemuhoji alipokua hai

    • @saidmohamed4619
      @saidmohamed4619 10 місяців тому +1

      Bab juma tumia akili fanya tafitu kabla ya kuandika utaaibika, hicho kipindi kimefanyika miaka miwili ilopita

  • @idrisaallysalum9447
    @idrisaallysalum9447 10 місяців тому

    Mtu kaandika kitabu chake Kwa namna alivyopenda yeye lakini Bado Jussa "analazimisha anayotamani yeye ndiyo yalitakiwa kuandikwa" (huyu lazima atakuwa Chizi)

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 10 місяців тому

    Kama wewe ni MTU wa Bumbwini weka like hapa

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 10 місяців тому +3

    Huyu jamaa kila siku anajaribu kusafisha uovu uliofanywa na masultan, aliumia sana waafrika wa Zanzibar kujikomboa, ajiulize swali moja tu, kama utawala wa masultani ulikuwa mzuri kwa nn waafrika waliuchoka na kuamua kuupindua? Aisee hao watu ni hatar sana

    • @saidmohamed4619
      @saidmohamed4619 10 місяців тому +1

      Soma vizuri historia ya Mapinduzi, kina nani waliyafanya, kwa Amri ya nani na kwa faida ya nani

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 10 місяців тому

      @@saidmohamed4619 naongea ninachokijua kwa hiyo sbishani na watu weny fikra za utumwa za kuwa chin ya watu weupe

    • @Zainaabby
      @Zainaabby 3 місяці тому

      ​​​@@saidmohamed4619History ya utumwa iko wazi kabisa waarabu walifika Zanzibar kwa ajili ya biashara ya utumwa na wazungu ndio waliowanyesha Ramani waarabu kama hujui na wao ndio walioleta uislam hapo kisiwani sasa historia ipi unayozungumzia ????

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 10 місяців тому +1

    Mm naamini hakubaguliwa mtu kupata elimu isipokuwa hatukuwa na mwamko wa elimu.

  • @OmaryHabibu-gs7ld
    @OmaryHabibu-gs7ld 10 місяців тому +1

    Huseni mwinyi na famiria yenu pamoja raisi Samia kiukweri mmefanya jambo kubwa sana kumzika mzee zanzibari kiukweri ungemzika bara pwani nazani Zanzibar kungechimbika wanzibari wabaguzi sana mbona tunawazika huku bara kisutu kira siku kisutu Leo mwinyi kuzikwa zanzibari imekuwa shida

    • @abdifaraji2883
      @abdifaraji2883 10 місяців тому

      Kaa ukijua kuwa waliozikwa Kisutu hawakuwa Marais. Hata huko Zanzibar wanazikwa Watanganyika, tena wengi.

    • @Zainaabby
      @Zainaabby 3 місяці тому

      Mijitu isiyokuwa na akili timamu utaiyona tu kila sehemu ipo kama mijinga.

  • @ignasnyembo1256
    @ignasnyembo1256 10 місяців тому

    Nimekuelewa vizuri Jussa. Mwanadamu anageuka wakati wowote

  • @omarsaid6059
    @omarsaid6059 10 місяців тому +10

    Mtu kwao ingependeza sana angezikwa kwao mkuranga alipo zikwa babaake

    • @aishamgambo6422
      @aishamgambo6422 10 місяців тому +1

      Mbona baba ake wema mzee Sepetu ni mnyamwezi ambae amezikwa znz,
      Jaman znz kuna watu wabara wengin ambao wapo znz miaka Mingi,mana kuna wengine wamekulia znz hata kwao hawapajui,amekulia Zanzibar alafu mtu kama huyo kweli aka zikwe alipozaliwa haiwezekan.

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 10 місяців тому

      Isiwe kesi nijambi dogo tu nenda kafukue mwili uupeleke huko mkuranga uka uzike zogo hatutakiiiiiiiiii heee imekuwa sewe kazi Kwa znz znz,znz tumesha jua yeye si m zn,br mumu achetu apumzike kwaamani tena

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 10 місяців тому +3

    Sasa kama hamtaki azikwe huko mfukueni basi tuone

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 10 місяців тому +1

    Nzanzibar kama marekani asilimia 90% ni wageni walio zaliwa nzanzibar. Wacomoro, wabara, kenya,msumbiji , waarabu,wahindi na wengineo wote wapo nzanzibar. Asilimia kubwa ya ngoma za nzanzibar zina asili ya Rufiji.

    • @amerwelder7786
      @amerwelder7786 10 місяців тому

      Kwa iyo Sisi warufij au

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 10 місяців тому

      Hilo linakubalika na kufikirika maana watu wa rufiji ni wabantu

    • @soamShs-cp4dl
      @soamShs-cp4dl 10 місяців тому

      Hahaha bora umuulize

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 10 місяців тому

      @@amerwelder7786 Nyinyi ni mchanganyiko wa watumbatu, hao niliyo wataja mwazo na wengineo.

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 10 місяців тому

      Kwa mfano makamu wa kwanza wa Rais wa Nzanzibar Ndugu Othman Masudi aliwahi kusema yeye amelelewa na wapare ambao walitokea bara. Ki ukweli Masudi ni atakuwa mpare. Kina Shamte wanatoka rufiji na wengine.

  • @adamstour5736-kb6zq
    @adamstour5736-kb6zq 10 місяців тому +2

    Ukweli ni kuwa Ndugu OTHMAN MASOUD ni hazina kwetu WAZANZIBAR kwa itifaki tu lakini ISMAIL JUSSA LADU ALLAH akuweke zaidi wewe ni zaidi ya HAZINA

    • @mhandomhina5503
      @mhandomhina5503 10 місяців тому +1

      KASRI YA MWINYI FUAD, Fakhi Adam Fakhi

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 10 місяців тому +3

    Ubaguzi ni human reaction na ndio Allah katupa mtihani sisi waja wake ili apatikane mcha Mungu katika sisi Ambae ana focus kwenye haki kuliko rangi au ukabila sema mistake alofanya alipokua raisi hakuifanya quraan kuwa katiba ya nchi na mahakama iwe ya ki islamu

  • @HassanKings-e7u
    @HassanKings-e7u 10 місяців тому +3

    Sasa si ungesuburia msiba wishe basi mzee jusa ndio uongee hayo kiubinaadam lakini

  • @geembwana6189
    @geembwana6189 10 місяців тому

    Sikuzote mlikua mnaambiwa mwinyi hakua mzazibar ila mlikua mnabisha baada yakufa ndio mnajua kwamba alikua mtu wa pwani na mdengereko

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 25 днів тому

    Wafrica uwasaidie vipi hawajui kushukuru
    Wameka kama wanyama
    Wameka na chuki unmaskini wao wore ukiwasaidia hawajui asante

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 10 місяців тому +6

    UBAGUZI WALIULETA WATANGANYIKA NA HADI SASA ,WATANGANYIKA HAWAPENDI WAZANZIBARI NI WAIGIZAJI TU WA MUUNGANO!

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 10 місяців тому

      Wa Tanganyika swala la ubaguzi hawana kabisa si dini,kabira wala rangi Tafauti na Zanzibar hasa pemba fanya hiyo tafiti bila kuegemea upande wowote utaona hili nalolisema kua ni kweli

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 10 місяців тому

      Fanya tathimini ya wapemba na wazanzibari waliowekeza bara kisha tathmini wabara waliowekeza znz utajuwa mbaguzi nani?na hili neno zanzibar au unguja ni kabila ya mtu au sehemu?imefika wakati ukisema mimi mzanzibari basi taja nasab yako mababu zako wametokea wapi ndy utajuwa kabila yako bora,msituchoche ardhi ya africa na kila muafrika na mgeni ataependa aishi tu mradi hakuna mja aloumba ardhi basi hana uwezo wa kupangia watu pa kuishi,wenye asil haswaa waishi na wageni wasojijuwa waishi tu.

    • @teeganaally7760
      @teeganaally7760 10 місяців тому

      Watanganyika si wabaguz ss wazanzibar ndio wabaguzi

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 10 місяців тому

      WATANGANYIKA WALIANZA UBAGUZI ZANZIBAR KABLA NYERERE
      KUANZISHA
      AFRO-SHIRAZI PARTY NA CHAMA CHA MAPINDUZI
      @@teeganaally7760Nimelazimika kutoa mukhtasari kwa sababu baada ya Muungano, taarekhe ya Zanzibar inafichwa, haitakiwi lakini huandikwa na Watawala kutoka Uingereza au Tanganyika kwa faida ya Kanisa.
      1) KUANZISWA VYAMA VYA KIBAGUZI KWA ZANZIBAR
      Watanganyika walipokuja kuchuma karafuu walijua Zanzibar sio kwao. Wengi walitoka Tanganyika kusoma au kusomesha St. Andrew Boys Missionary School ya Kiungani. Daktari wa vidonda Herbert Barnabas, Mkatoliki wa Moshi alianzisha Jumuia ya WAZANZIBARA iliyoitwa:
      AFRICAN IMMIGRANT WORKERS ASSOCIATION.
      Hiyo ndio asili ya AFRICAN ASSOCIATION na Rais Abeid Amani Karume, Mzaliwa wa Nyasaland (Nyasaland) kabla ya AFRO-SHIRAZI PARTY (ASP) iliyoundwa na Nyerere baada ya kuambiwa na Waingereza. Ni chimbuko la Mfumo Kristo Zanzibar kutoka Tanganyika kuanzia U-Raisi hadi U-Topasi.
      2) GAZETI LA KIBAGUZI ZANZIBAR
      Watanganyika walikuwa na Gazati lao AFRIKA KWETU lilioanzishwa na Mtoro Rehani Kingo, Mzaliwa wa Tanganyika kutetea U-Afrika na kupinga U-Zanzibari. Mwanzo wa UBAGUZI baina ya U-AFRIKA na U-ZANZIBARI kama AFRIKA KWETU (MEI 5, 1955) lilivyoandika kabla Afro-Shirazi Party kufanya Mapinduzi Dhidi ya Wazanzibari kwa msaada wa Tanganyika.
      Baada ya Mapinduzi, Mtoro Rehani aliteuliwa kuwa Meya wa Kwanza na Mwenyekiti wa Afro-Shirazi Party Abeid Karume alikuwa na Uzalendo wa Ki-Zanzibari na alikataa Ukoloni wa Ki-Tanganyika. ALLAH AMLAZE PEMA.

    • @salyali7807
      @salyali7807 10 місяців тому

      @@stanslausmteme8455 in your dreams

  • @MussaAlly-t6m
    @MussaAlly-t6m 10 місяців тому

    Ww muhindi too

  • @seifmohammed9167
    @seifmohammed9167 10 місяців тому +3

    Wewe jussa una asili ya kihindi uzanzibari wako umeupata wapi?

    • @mohammedhamad9392
      @mohammedhamad9392 10 місяців тому +1

      Ww mwenye mbongo asili yako tanganyika
      Wajifanya wamjua Sana.walio kufa sio ndugu zako. Hauna uchungu weye.

    • @Zainaabby
      @Zainaabby 3 місяці тому

      ​​@@mohammedhamad9392TANGANYIKA ipo bara la afrika. Tunajua kisiwa cha Zanzibar kipo bara la Afrika Wahindi, waarab asilo yao Bara la Asia haya utasemaje wewe mzawa alafu mnaeneza chuki nyinyi na waarab, na walichganyika mnaichukia TANGANYIKA wakati TANGANYIKA ndio inajua Mambo makubwa kuliko sehemu yeyote ile Duniani... Na hzi ni zama za Ukweli mtaumbuka soon maana Asili yenu sio afrika . Na hizo dini zenu mlizo leta now watu wanaamka nakujua hazina maana . Maana ndizo zinazowabeba na kuwafanya watu Wengine wasijitambue but hizi zama ni zama za Ukweli mtaumbuka very soon maana mnasambaza chuki bila ya faida yeyote ile.

  • @abdulfatahshafii7835
    @abdulfatahshafii7835 10 місяців тому +3

    Mie cjafaham hapa kwani ili uwe mzanzibar uzaliwe zanzibar au wazee wako wazaliwe zanzibar

    • @abhambomihambo6754
      @abhambomihambo6754 10 місяців тому

      Ndugu muhusika ili uwe Mzanzibari halisi unatakiwa asili yko uikatae au usitake kuijuwa ama kufichwa na wazazi wako kwa sababu wazijuwazo wenyewe au kunogewa na akili za kitumwa na kupenda zaidi kujitambulisha na kujinasabu kwa asili ya aliyekutawala"your master"na kupelekea kupoteza uhalisia wa asili yko na majina yko ya asili ambayo yangekutambulisha chimbuko la asili yko ama kabila lako yaani uwe"someone who lost his or your identity for some unknown reasons"na kujikuta umezaliwa Z'bar au"you belong to some area or villages in Z'bar"Hayo ni mawazo yangu nionavyo mm hasa ukizingatia kiasili visiwa vingi wakaazi wake wamehamia kutoka maeneo mengine na kuselelea au kupotelea huko kwa vizazi na vizazi kwa kuoana na watu wa asili tofauti pasina kurejea makwao na kupelekea kizazi chake kujihisi au kujisikia hao ni wazaliwa wa sehemu husika.

  • @shahabdallah9407
    @shahabdallah9407 10 місяців тому +4

    mnayasema haya siku ya mziko yake Hata dua basi jamaa? aaa?? c vzuri hvy kuna maisha baada ya siasa

    • @ZanzibarKamiliTV
      @ZanzibarKamiliTV  10 місяців тому

      Kipindi hiki ni marudio kilifanywa mwaka jana. Link hii hapa ua-cam.com/video/mrek5HNXoXA/v-deo.html

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 10 місяців тому +1

      Mwaka jana huu, Marudio tu haya, hata kama Pana utofauti ila hatumchukii mtu yeyote

    • @shahabdallah9407
      @shahabdallah9407 10 місяців тому

      @@KhalfanMassoud kila mmoja na atakavyoipokea hii video.. wznz tnajuana.. na uislam wtu lkn chuki bdo zmo baina yetu.. mantiq y video hii siku ya leo haijaleta picha nzuri hem shuka chini hapo usome comments za kina Abdallah, Mahmoud, Kina Issa… ambao leo tumetoka kuswali Jumaa pamoja bega to bega.. Uislam tunauvua iblis wa siasa anapotuvaa.. Allah atusamehe.. karib ya asilimia 99 ya wanao pita kuangalia vidoe hii sote tumesomeshwa mavyuoni “msemeni maiti kwa mazuri yake na si kwa mabaya yake” Ali Hassan Mwinyi kshafika mbele za hakki si wa ulimwengu huu tna sasa ansubiri hesab yke tu kutoka kwa Allah. Badala ya kutukumbushwa kwa mabaya aliyoyafanya tajeni mema yake walau Apate Sahal.. japo kua tunamkataa sio mzanzibari basi tuheshimu hichi kipindi cha mauti yake jamaa.. haya ni mauti jamaa si safari tu mangapwani.. ni mauti

  • @fredtarimo1738
    @fredtarimo1738 9 місяців тому

    Haka ka mchezo ka kujaribu kusafisha na kutetea wakoloni na kubeza Waafrika ni ka mchezo ka hatari sana. Tena haka ka mchezo kanatuaibisha sana watu weusi.

  • @bugdadiajm1832
    @bugdadiajm1832 10 місяців тому

    WAZANZIBARI NDO WALIVYO, SASA HII NDO NINI?

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f 10 місяців тому +6

    Mkuranga ndipo alipozikwa bb ake kwann nayy asizikwe huko

    • @bekabakari7394
      @bekabakari7394 10 місяців тому +1

      Wewe jambo hilo linakuhusu nini?
      Mbona una tapatapa?
      Jee ukiulizwa wewe nawe
      Vinasaba vyako utasemaje
      Sote ni kitu kimoja watanzania tusibaguane

    • @aishamgambo6422
      @aishamgambo6422 10 місяців тому +1

      Mkuranga kazaliwa lakin hajakulia uko,na yeye Sio wa kwanza hebu ssomeni historia ya Zanzibar ,ni Kisiwa Ambacho wahamiaji wengi sana,Mimi binafsi babu yangu ni amezaliwa comoro amehamia znz akiwa mdogo makuzi yake yote ni znz na baada ya kufa amezikwa znz .

    • @eastafricaqualitychickenfa9916
      @eastafricaqualitychickenfa9916 10 місяців тому

      Politiko propaganda iyo ndo ilofanya Azikwe Zanzibar

  • @godfreymwaimu9637
    @godfreymwaimu9637 10 місяців тому

    Uchambuzi kwa mtazamo wa Jussa Ladhu.

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 10 місяців тому

    Mzee alitia siasa baada ya mafanikio lkn ukweli alipata elimu bila ubaguzi.

  • @dahirgaraar360
    @dahirgaraar360 10 місяців тому +3

    Kuandika kitabu kitakachobakia muda mrefu sana kama si milele kunahitaji kuchagua yepi ya kuyasema na yepi ya kuyanyamazia, nayo huwa ni kadiri ya kumbukumbu, busara, na yale unayohisi yabakie, Mzee wetu kajitahidi alivyoweza, ya faida tuchukue, tunayodhani si ya faida yatabaki kuwa yake ye mwenyewe, na huo ndiyo ustaarabu wa kukisoma alichoandika mwandishi, ama kuchambua kwa kukosoa kwa nguvu zote huletwa na msukumo utokanao na hisia za mtu kwa mwandishi mwenyewe, n.k.

    • @omarmohammed5157
      @omarmohammed5157 10 місяців тому +1

      Historia haifutiki hatakama utaziba mapengo watu wasijue uhalisia basi ALLAH hasau kwa dhulma ya zanzibar

    • @devothabalisimashigela9924
      @devothabalisimashigela9924 10 місяців тому +1

      Kweli kabisa. Ieleweke hivyo. Si lazma kutaja kila kitu.

    • @makameshibli2797
      @makameshibli2797 10 місяців тому

      mm nahisi kwamba Shekh Hassan anaposema kulikua na ubaguzi anakusudia km ni mfumo na si mtu mmoja mmoja hata mm nimeppata kusimuliwa si km kulikua hakuna waarabu walikua wanaamiliana vizuri wazanzibar wa Asili na uchambuzi wenu ni ktk kuweka mbele mihemko yenu ki siasa na si kutupa elimu na hv ndo mnavyo waharibu wazanzibar wabaki na chuki yapo mambo mzee Ali Hassan Mwinyi ameyazungumza yakisema yatatusaidia wazanzibari mumeyanyamazia kimya

  • @HassanKings-e7u
    @HassanKings-e7u 10 місяців тому +4

    Kwaiyo huyu inamaana anamaanisha kuwa mzee mwinyi sii mzanzibar watu wapo kwenye msiba huyu yupo kwenye siasa si asubiri basi wamalize msiba ndio aendelee na hizi siasa ama vipi mie sielewi

    • @ameirmanzi2684
      @ameirmanzi2684 10 місяців тому +1

      wew ndio umekimbilia siasa mbona yapo mazur ya mzee mwinyi tusoyajuwa km kwa umri alokuja zanzibar ni mzanzibari halis kwa miaka iyo

  • @kheriakida3309
    @kheriakida3309 10 місяців тому +2

    Mohamedi pamoja na ndugu jussa,Nadhani nivizuri kumshukuru mtu kwa kizuri ulichopata kuliko kuzungumzia mateso uliyokutana nayo kwake ,Nadhani mzee mwinyi upande wake aliamua kushukuru, ila Ukweli unabaki pale pale

  • @nouraalharthy5509
    @nouraalharthy5509 10 місяців тому +1

    Huna kazi wee andika na wewe histor yako mpaka kichapo ulichopigwa mana wewe utakufa uhakai maisha upo
    Tafuta akhera yako siasa haina tija kwako umejufaika na nini toka uanze
    Kupotosha watu tu.

  • @maulidnkumilwa5171
    @maulidnkumilwa5171 10 місяців тому +2

    Huwezi ukaandika chochote

  • @seifmohammed9167
    @seifmohammed9167 10 місяців тому +1

    Insssifia nini hicho mnachokifanya na huyu jussa Ni muhindi kwao India uzanzibari ameupata wapi

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 10 місяців тому +5

    Hata sultan sayid bin saedy alizaliwa kilwa

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 10 місяців тому +3

      Hujuwi katika ardhi gani utakufa na vizuri utakapo kufa ndio hapo hapo uzikwe watu wamfate Maiti alipo kufa . Kila mambo yakenda kwa haraka ndio vizuri kwa Maiti. Mungu awaraham. Amin

  • @kassim1262
    @kassim1262 2 місяці тому

    Saiv znzbr imekua kitovu cha wtembea uchi nawauza uchi kuuwana kukabana ndio neema yznzbar

  • @umsalim6515
    @umsalim6515 10 місяців тому +1

    Ikiwa tunamjadili Rais Mwinyi kuzikwa Zanzibar, basi 90% ya wazanzibar tutafutiwe pa kuzikwa , maana sote tunatokea miji mengine

  • @kherihightechllc113
    @kherihightechllc113 10 місяців тому

    Hassan mwinyi Ali alikuwa mwalimu wa St. John after mapinduzi ikaitwa tumekuja

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 10 місяців тому

    kabaguliwa vipi na yeye kama tunavyojua wake zake wawili wana asili za Kiarabu

  • @salimomar2032
    @salimomar2032 10 місяців тому

    UNAPOTOSHA JUSSA SASA KWANI SAIVI HAKUNA WATU WA MRENGO WAKO AMBAO WAKO NAFASI ZA JUU NA AU TEUZI MBALI MBALI AU AJIRA MBALI MBALI KWANINI PIA MNAKAA MAJUKWAANI MKISEMA
    KUNA UONEVU NA UNYANYASAJI, TAFTA MKE UOE ARBAB USITUZINGUE VIJANA TUNA AKILI ZETU TIMAMU MNO

  • @komboko4143
    @komboko4143 10 місяців тому

    Hapo nikua alikua kajitenga na wenyeji Kwa kufuata kile alichofuata juu ya elimu

  • @zinjibaryetu8451
    @zinjibaryetu8451 10 місяців тому +2

    Hapa kuna mambo ya ajabu na masuali tusokua na majibu yake.. tulivozoea au ilivo kawaida mtu akifa ugenini na uwezekano upo basi maiti husafirishwa na kwenda kuzikwa kwao na haya tumeyaona sana lakini hili ni jipya yaani mzee Mwinyi kwao Mkuranga na amekufia hukohuko kwao Tanganyika kulikua na sababu gani ya kuisafirisha maiti all the way ije kuzikwa Zanzibar wakati huyu mtu kwao ni hukohuko Tanganyika?
    Logic and common sense ingekua hivi; tujaalie mzee Mwinyi amekufia nje ya Tanganyika ingeelekea mwili wake urudishe kwao Mkuranga ili akizikwe kwao sio the other way round.
    Hivi wiki mbili tatu tu zilopita tuliskia kwenye mitandao ya kijamii kua mzee Mwinyi ameacha mpaka wasia kua akifa akazikwe kijijini kwao Kivule (Mkuranga) sijui kuna siri gani kina Dr Hussein Mwinyi kwenda kinyume na destruri bali kinyume na usia huo wa baba yao... KUNANI?

    • @salehemganga1081
      @salehemganga1081 10 місяців тому +3

      Huo wosia uliuona?

    • @zinjibaryetu8451
      @zinjibaryetu8451 10 місяців тому

      @@salehemganga1081 mie sina haja ya kuuona wala hauto-make any difference

    • @mohammedhimba1647
      @mohammedhimba1647 10 місяців тому +4

      Watu wote walikuja zanzibar iwe wao au wazazi wao pamoja na wewe

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 10 місяців тому +2

      Huyu jusa mwenyewe asili yake Oman huko ndo katoka babu yake sasa hakuna mzanzibari wa kweli wazanzibari wa kweli walichukuliwa kama watumwa 🤣🤣🤣

    • @zinjibaryetu8451
      @zinjibaryetu8451 10 місяців тому

      @halimamasai2234 ama kweli Zanzibar imevamiwa dah, wewe halimamasai2234 haya maneno yako tu yanathibitisha kua wewe sio mZanzibari wala huijui Zanzibar ndio waleee wafukuza mwenge muloletwa Zanzibar na kudhaminiwa ili kutuharibia mazingira na kuipa uhai CCM

  • @YussufJumaKhamis-g7k
    @YussufJumaKhamis-g7k 10 місяців тому +3

    Oya Acha kumuongelea ujinga kiongozi wetu kama huna lakusema petea Acha usiasa mpaka kwenye maziko uwo ujinga jusa

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 10 місяців тому +1

      Ujinga kwako wewe. Ila wenye akili tumeelewa

    • @ZanzibarKamiliTV
      @ZanzibarKamiliTV  10 місяців тому +1

      Huu ni wasifu wake alouandika kwa mikono yake kwenye kitabu chake. Kipindi kimerudiwa kuchapishwa. Kilitoka wakati Mzee Mwinyi amechapisha kitabu chake. ua-cam.com/video/mrek5HNXoXA/v-deo.html

    • @SharifRashid-g1j
      @SharifRashid-g1j 10 місяців тому

      Mijiga wewe

  • @kiddyadams
    @kiddyadams 10 місяців тому

    NZASA NI NENO LA KIZARAAMO LENYE MAANA YA CHEM CHEM ISIO KAUKA.

  • @AhmedSeif-p6w
    @AhmedSeif-p6w 10 місяців тому

    Asante makamo wangu wa raisi mwaka ujao

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 10 місяців тому

    Hayo maelezo ya waalimu wa ziada ya marehemu mzee Ruksa yana maana nzuri tu,walikuwa wanawafundisha masomo ya ziada kwa sababu wanaandaa makarani wa kutafasiri lugha ya kiarabu au kiingereza ili wakoloni watunyonye na kutukamua vizuri

  • @hamischilinga6706
    @hamischilinga6706 10 місяців тому

    Wapi kasema kuwa alibaguliwa

  • @KksesaSljleeymaan
    @KksesaSljleeymaan 10 місяців тому +2

    Ss kipi kinamfanya asiwe mzanzibar?

  • @hassanbilali1697
    @hassanbilali1697 10 місяців тому +4

    Wewe Jusa ni nani hasa mwarabu au mwafrika
    Asili ya wazanzibari wengi ni Wabara waliokaa dago za uvuvi

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 10 місяців тому +3

      Nani alikudanganya?
      Labda sasa hivi ndo wabara wengi kwasababu mnaingia kwa wingi

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 10 місяців тому +2

      Jussa ni Mzanzibari Kindakindaki.

    • @FeisalDoctor-tn9vd
      @FeisalDoctor-tn9vd 10 місяців тому +1

      Eh 😂😂😂labda muanze kuunga ukoo s hv maan mnaingia kw wing uk

  • @geraldsenkondo4334
    @geraldsenkondo4334 10 місяців тому +1

    Wewe Jusu unaonekana unashida na mwinyi na sio hivyo tu unakasumba ya ubaguzi

    • @bekabakari7394
      @bekabakari7394 10 місяців тому

      Kweli bro
      Maongezi yake yote
      Anatapatapa kuna jambo aliweki wazi
      Kama ni mtu mwenye ufahamu utakua
      Umemuelewa anapo elekea

    • @FeisalDoctor-tn9vd
      @FeisalDoctor-tn9vd 10 місяців тому

      Anabagua nini

  • @Ndalolusulo-yt2ol
    @Ndalolusulo-yt2ol 10 місяців тому

    Waarabu ni wabaguzi sana sio zamani hata hii leo hilo halina ibishi

  • @khaledsuleiman9819
    @khaledsuleiman9819 10 місяців тому +1

    Mh.Jussa anachambua yalioandikwa kwenye kitabu Sheikh Ali Hassan Mwinyi. Kwa hiyo hamna ubaguzi hapo.

    • @rahmaidd8818
      @rahmaidd8818 10 місяців тому

      Mengine anayoyatoa ni MAONI yake

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 10 місяців тому +1

    Watu wametiwa fitna na kasumba kama waarabu walalikuwa wanawafanya baishara za utumwa ukiwambaia wakuoneshe ushahidi hawanao kumbe ni fitna tu na ulafi wamadaraka

  • @abdalahmsigiti5308
    @abdalahmsigiti5308 10 місяців тому

    Maneno yake hayapishani kwakua mtu utakapo ona watu wanabaguliwa lakini wewe huja baguliwa ukiulizwa kua hapa pana ubaguzi utamjibuje jibu ndio kuna ubaguzi japo wewe hujabaguliwa

    • @mhandomhina5503
      @mhandomhina5503 10 місяців тому

      Jamani jamani hii yetu ngozi nyeusi
      kwayo nyoyo kuna migogoro.

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 10 місяців тому

    Siku zote ulikua kimya leo keshakufa ndio unatoa kasoro....

    • @sanaf8367
      @sanaf8367 10 місяців тому +1

      Hii video ni ya mwaka jana wameitoa tena ili kupata kumbukumbu kupitia kitabu chake

  • @MussaAlly-t6m
    @MussaAlly-t6m 10 місяців тому

    Kwani ww jusa mtu wapi ?, Naona ww una hasli ya Africa

  • @Fatma-xl7rv
    @Fatma-xl7rv 10 місяців тому

    Acheni upotoshaji na elimu zenu za kijinga wazanzibari wote ni wakuja tuu hata nyinyi wote ni wale wale tu someni musikariri babaake

  • @salimomar2032
    @salimomar2032 10 місяців тому

    JUSSA ACHA CHOKO
    CHOKO MBONA KAMA SKUELEWI

  • @saadamar6712
    @saadamar6712 10 місяців тому

    😂😂😂

  • @Samii8600
    @Samii8600 10 місяців тому +1

    What make this dude to be buried in Zanzibar lol as he is from Tanganyika?That his book are lots of lies lol any way it easy what it’s lol .may God let you rest peace Ameen

  • @osos9073
    @osos9073 10 місяців тому +3

    Hata mugabe na viongozi wote wa kiafrica walisomeshwa na wazungu na walipitia shida ya ubaguzi kasome jussa ni mropokaji usiye na ushaidi

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 10 місяців тому

      Muacheni Jusa, yeye na wenzie wenye asili ya kiarabu wanataka kutupora kisiwa chetu Tanzania Bara
      kuwamilikisha waarabu 😂

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 10 місяців тому +2

      Hemu nukuu icho alicho ropokwa Jussa apo kama wewe unasema kweli

  • @HassanKings-e7u
    @HassanKings-e7u 10 місяців тому +1

    Huku watu wapo kwenye msiba wengine wapo kwenye siasa alimradi ni vituko tu znz siasa za kule

    • @Legends_Interviews
      @Legends_Interviews 10 місяців тому

      Mwehu huyu

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 10 місяців тому

      Aaaa jamani imeelezwa mwanzo kua hiki kipindi kimerekodiwa sio cha jana hapana hiki ni toka ile siku alio zindua kitabu chake kwaiyo imerejeshwa kwa manufaa ya nchi yetu na vyama vyetu

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 10 місяців тому

    Sikiliza wewe jussa, your opinions doesn't count, maalim seif hakuandikiwa na Allah kuwa rais, mja hapati atakacho bali ajaaliwacho

  • @omarhusna1766
    @omarhusna1766 10 місяців тому +4

    Uzanzibar mtamu watu wanaungangania kwahalina mali¿¿¿¿¿¿¿¿

    • @osos9073
      @osos9073 10 місяців тому

      Vichwa maji na umarekani utakuwaje

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 10 місяців тому

    Bado kuna nini? Tena

  • @Omar-g9q9b
    @Omar-g9q9b 10 місяців тому +1

    Mwinyi ni mbara Azikiwe kwao

  • @AhmedSeif-p6w
    @AhmedSeif-p6w 10 місяців тому +2

    Huseni urais bayibayi

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 10 місяців тому

      Sisi tunamtaka bara atawale na huku.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 10 місяців тому

      ​@@rayisadesigns2646Kanisa wamatake ili iweje?

    • @salyali7807
      @salyali7807 10 місяців тому

      @@rayisadesigns2646 bora aje kwao... kuwatawala jamaa zake... sie tumechoka nae

  • @MasturaMohammed-l5x
    @MasturaMohammed-l5x 10 місяців тому

    Huyo Anaitwa Alihasn magandi

  • @nasramusaro
    @nasramusaro 10 місяців тому +1

    Kwani ambayo hayakusemwa na muhusika unayasema wew umeyajuaje kama si uongo na ubaguzi?

  • @HusnaKhamis-bf9sm
    @HusnaKhamis-bf9sm 10 місяців тому +2

    Ccm niwaongotu na hawana fadhila warabu siwatu wabaya na malinduzi yamekuja kupindua uislamu

    • @jimboulaya
      @jimboulaya 10 місяців тому

      Malinduzi ndio nini? niwaongotu , wakati wa mapinduzi CCM haijaundwa so your point doesn't make any sense, jifunze kuweka space kwenye sentence. Somo la mwanzo kwako: Hakuna tabaka la watu likawa na watu wote wabaya au wazuri, ila vitendo vya Waarabu kuuza watu (Slave Trade) vilifanyika kweli lakini sio Waarabu wote walikuwa wanafanya hio biashara. Na pia Waarabu wengi tu hawana ubaguzi na walioana na kuchanganyika na waswahili, wahindi, wangazija nk, ndivyo ZNZ ilivo. Kwa maandishi yako tu inaonekana elimu yako na upeo wako wa kufahamu ni mdogo sana. Watu kama nyinyi ndio mnapandikizwa chuki kirahisi.

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 10 місяців тому +1

    Sasa kati ya wewe Jussa na Ally Hassan mwinyi ni nana raia haswa wa Tz

    • @MohdAziz-z9j
      @MohdAziz-z9j 10 місяців тому

      Tatizo munakasumbs ya rang jusa ni kizazi cha tatu na zaidi hapa znz mwingi ni yeye ndio amekuja sasa utatwambia na I mzanzibar wa kweli

    • @salyali7807
      @salyali7807 10 місяців тому

      Mh Jussa....

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 10 місяців тому

    👊✌️🙏.

  • @AbdulaziziPacha
    @AbdulaziziPacha 10 місяців тому

    Kwani jusa unataka kutetea nini?maana kama ubaguzi wa rangi hadileo upo ushahidi wa kutosha upo ukitaka kujua pelekaposa kwa muarabu kama siotajiri huwezi kukubaliwa

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 10 місяців тому

      Acha unafik kijana sasa kma hukusoma upewe binti wa watu ukamlishe nn? Nani anataka shida dunia ya leo? Kama ni ww utampeleka binti yako kwa kijana asiyekuwa na mbele wala nyuma? Hebu kaa kwa kutulia

    • @Talib-j5x
      @Talib-j5x 10 місяців тому +1

      Ndio mana Kule Mangapwani kuna kampuni sijui kunataka kuekezwa kitugani,kumbe wanasema ni kwao ndio wanajimarisha duuu

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 10 місяців тому

      Hayo ni mahojiano, yeye anajibu anavyoulizwa

    • @JumaMatao
      @JumaMatao 10 місяців тому

      ​@@OmerSuley-gl7go😅😅😅😅. Kaka umenichekesha

    • @salyali7807
      @salyali7807 10 місяців тому

      @@OmerSuley-gl7go 🤣🤣🤣

  • @yusuphyusuph3623
    @yusuphyusuph3623 10 місяців тому

    lengo ya yote ayo nn wakat mda tulikuwa tumuombe duwa nyie mnatafuta kasoro ndo nn sasa hemu tuambieni

  • @AbdulaziziPacha
    @AbdulaziziPacha 10 місяців тому +1

    Lakini pia ktk wabaya hata wema wapo hawawezi kuwa wabaya wote Allaah anasema ktk qur ani hakika waarabu wamepundukia ktk kufru na unafiq

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 10 місяців тому +1

      Hakuna aya hiyo. Hiyo aya watu wanaitafsiri sivyo

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 10 місяців тому

      Akhui hyo ni qur an,haijasema ulioyasema

    • @abuutasniym2675
      @abuutasniym2675 10 місяців тому +1

      Hivi wewe unaifahamu hio aya ama unasema tuu
      Hivi unajua maana yaneno أَعْرَابُ (A'araab)?
      Hilo neno halina maana ya Warabu bali linamaana ya Mabedui yaani watu wanaoishi nje yamji bimaa shamba ama milimani au majangwani
      Nahao niwatu hujishughulisha na uchungaji kama vile ilivyo Tz kwamfano A'araab tunaweza kuwaita watu kama Wamasai nawengineo wanaoishi mashamba kwashughuli zao zakuchunga au kilimo
      Hivyo ndivyo ninavyo elewa mimi maana yaneno A'araab

    • @omarmohammed5157
      @omarmohammed5157 10 місяців тому +1

      Ikiwa hujui kitu Nyamaza

  • @kheriakida3309
    @kheriakida3309 10 місяців тому +1

    Jussa eleza ukweli, unaujua kwanini, jumbe aliondolewa unajua fika ila huwezi kusema mana muhusika mkubwa ni mtu wako wa karibu sana sana, kama kweli unahitaji kuzungumzia hili funguka

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 10 місяців тому +2

    Uyu mzee kaichambua ukweli mtu