Ndio kawaida ya uwongo, uwongo siku zote hauna kheri utakuadhirisha tuu kitabu chake hakikukaa sawa kaandika vile anavotaka yeye ndio mana sehemu nyengine anajifunga mwenyewe. Tumekuelewa Mheshimiwa Jussa na Brother Moh'd Ahsanteni ❤️
Inasikitisha sana kuwa amechagua kukiuka ukweli kwa sababu historia imtazame kwa macho ya kheir. Vile vile kashindwa kumkosoa JKN kwa fujo zake za kuingilia kazi ya Uraisi. Uwongo una madhara mengi kwa jiil zinazokuja.
Ahmed Issa, ukisoma article ya Professor Abdulrahman Babu, "Zanzibar and the future" utajua kabisa Zanzibar inaweza kuwa kama Singapore , kukiwa na wazalendo wa kweli sio hawa wapigaji, pia huu mradi wa mafuta haufai kufanywa Zanzibar, kwa athari za Mazingira na utalii.
Mimi nnahisi hata msimulizi wetu ana mapungufu yake maana katika historia zote zilizopo duniani hakuna ilio andikwa kila kitu au maisha ya mtu aandike kila kitu haiwezekani sasa alicho kiacha basi kwasababu zake na tusimuhukumu kwa hilo na kuliweka kua hoja ya uzaifu au uhini
Vitabu vyote vyooooote lazima vijadiliwe na vikosolewe ni kitabu kimoja tu ndio kilokua perfect kimekamilika nacho ni Qur'an tukufu bas vilobali vyote vina mapungufu
Mjomba angu Mwalim Raza nakumbuka aliwahi kunihadisia walipokua walimu pamoja na mzee Sihaba Beit Ras kuna siku walikua wakisikiliza matokeo ya uchanguzi ASP walishindwa bac mzee Sihaba akainuka na kuvunja radio wazanzibar walimshanga na kumwambia ww hujazaliwa Zanzibar hii jeuri ya kuvunja radio umeitolea wapi na kuzusha mtafaruku mkubwa chuoni.

Shukran sana kwa kipindi kizur chenye mafunzo ❤️
😮😮HAO WOTE WALOLETA MAUWAJI YA WAZANZIBARI MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WEZI WANAFIKI WAONGO MADHALIM HAKI ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN
Well done Jussa kwa ufasaha na techniques zako za kuchambua mambo.. as always your analysis is top class masha'Allah
MashaAllah Shukran kwa uchambuzi
Ila Jussa uchambuzi wako uko vizuri sana
Ahsanteni sana kwa uchambuzi huo, Allah akuhifandini
Inasikitisha sana kuwa amechagua kukiuka ukweli kwa sababu historia imtazame kwa macho ya kheir. Vile vile kashindwa kumkosoa JKN kwa fujo zake za kuingilia kazi ya Uraisi. Uwongo una madhara mengi kwa jiil zinazokuja.
Uchungu mtupu.. wamekuja zanzibar kuneemeka baadae wanatubadilikia.. hasbiyallah waneemal wakeel
Wala usiseme akhuy hawa jamaa ni mahasid sana sana
Inasikitisha sana zanzibar kama so ubinafsi wa watu flani basi zanzibar ingefika mbali
Ahmed Issa, ukisoma article ya Professor Abdulrahman Babu, "Zanzibar and the future" utajua kabisa Zanzibar inaweza kuwa kama Singapore , kukiwa na wazalendo wa kweli sio hawa wapigaji, pia huu mradi wa mafuta haufai kufanywa Zanzibar, kwa athari za Mazingira na utalii.
Mimi nnahisi hata msimulizi wetu ana mapungufu yake maana katika historia zote zilizopo duniani hakuna ilio andikwa kila kitu au maisha ya mtu aandike kila kitu haiwezekani sasa alicho kiacha basi kwasababu zake na tusimuhukumu kwa hilo na kuliweka kua hoja ya uzaifu au uhini
Hakika nyerere alitutetea mapandikizi meng Zanzibar
Vitabu vyote vyooooote lazima vijadiliwe na vikosolewe ni kitabu kimoja tu ndio kilokua perfect kimekamilika nacho ni Qur'an tukufu bas vilobali vyote vina mapungufu
Mjomba angu Mwalim Raza nakumbuka aliwahi kunihadisia walipokua walimu pamoja na mzee Sihaba Beit Ras kuna siku walikua wakisikiliza matokeo ya uchanguzi ASP walishindwa bac mzee Sihaba akainuka na kuvunja radio wazanzibar walimshanga na kumwambia ww hujazaliwa Zanzibar hii jeuri ya kuvunja radio umeitolea wapi na kuzusha mtafaruku mkubwa chuoni.
Toba 😱 anajitia hasira za kizungu eenh
@@misscoast3174 😂😂
Kitabu cha ali hasan mwinyi nakuwataja kina said ali ruwehy
Hichi kitabu ilikua kiitwe Mzee Nuksi sio Mzee Rukhsa
Unateseka ukiwa wapi?
Ilikua chuki za kisiasa mm mwenyewe mzee ali kanikarbisha kwake na mm nina asili yakiarabu alikua hana chuki za kisiasa.
Mhindi wewe huwezi kusema ukweli, kwani hata kule Afrika Kusini sio wazungu wote walikuwa wabaguzi, kwahiyo huwezi kusema hakukuwa na ubaguzi