BINTI MASKINI 💞 DADA MUUZA MATUNDA PART 6 | Love Story

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 138

  • @twizydadytv_
    @twizydadytv_  24 дні тому +36

    UNADHANI TWIZY ATAPENDWA NA MAI KWELI?

    • @EmmanuelMabogo
      @EmmanuelMabogo 24 дні тому +4

      Nimkuwa wakwanza aombeni lakini hata 10 jamani maana Mimi huwa nafanyahivyo

    • @EmmanuelMabogo
      @EmmanuelMabogo 24 дні тому +1

      Atakupenda tu ila atajifikiliatu

    • @NivoMchomvu
      @NivoMchomvu 24 дні тому

      Atampenda

    • @MwanasitiTambwe
      @MwanasitiTambwe 24 дні тому

      Mm nampenda sana Maya jaman ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @MwaJuma-x3t
      @MwaJuma-x3t 24 дні тому

      Kwel ​@@EmmanuelMabogo

  • @ImaniBinilm-w7y
    @ImaniBinilm-w7y 24 дні тому +15

    Wanao subiria dunia, Siri ya huba, mtoto wa boss tujuwane kwa like maana Sisi atunaga team tupo kwa ajili ya Ku support wote wanao jituma kwanbidii, sema goooooooonga

  • @SizzäryThemsömäriänoö
    @SizzäryThemsömäriänoö 24 дні тому +8

    Kama wew unaungana namimi lua Twizzy Atakuwa pamoja na mai Kweli baada ya muda ebu gonga Like Apo❤❤❤

  • @Mwanamisi-q6y
    @Mwanamisi-q6y 24 дні тому +3

    Mashallah kazi nzuri n nimewahi pia ..naomb Ata like moja toka nianze kuangalia sijapta😢😢😢

  • @Tina-l8q8y
    @Tina-l8q8y 13 днів тому +1

    unajua mai anakupenda sanaa❤❤❤❤❤

  • @Joyceauma-fv4xd
    @Joyceauma-fv4xd 23 дні тому +2

    Mungu akujalie dada Angu usikate tamaa

  • @MauwaAuwa1991
    @MauwaAuwa1991 24 дні тому +3

    Nimefika much love 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @AllyAllymsomi
    @AllyAllymsomi 20 днів тому +2

    Mungu kaumba wanawake wazuri kweli maiy nimrembo sana nduu

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 24 дні тому +3

    mai nakupenda mwayaa❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @riziki8406
    @riziki8406 24 дні тому +2

    Hako ka kofi nika mahaba wallah duuh mai ww ukimuacha twizy utakuwa umepoteza bahati nzuri sana🎉🎉🎉

  • @PatriciaMshanga
    @PatriciaMshanga 24 дні тому +4

    Mashalllha alhamdhulillah ❤❤ kwa wote atakae comment na kulike video hii mungu atambariki

  • @SaumuChengo-j1w
    @SaumuChengo-j1w 24 дні тому +2

    Pole pole tu twizy
    Moto utawaka ndio mapenzi badae😂

  • @MondesterJohn-p9w
    @MondesterJohn-p9w 24 дні тому +4

    Wabongo wanajua kupenda au movie Tu hakuna lolote😂😂😂😂

    • @NajmaSaid-sb2lh
      @NajmaSaid-sb2lh 24 дні тому +2

      Movie tu hajui kupenda wee jichanganye upende mbogo 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 23 дні тому +2

    We May unamupiga mcumba kweli ikosiku utaona aibu kumuangaliya usoni huwezi kugusa hela yake naunaitumiya kilasiku 😂pole sana Twizi usicoke wekazana tu atakua wako May

  • @KingQueen-f4r
    @KingQueen-f4r 24 дні тому +2

    Kweli wagenga walisema kipedwacho na moyo ni dawa 😊😊basi hapa kwa twizy na mai nakubali haya ndio mapenzi mwanaume akupende yy na moyo wake wote kwa kweli hua ndoa inadum sana ❤❤nimeipenda kwa kweli hii love taam sana na ina mafunzo 😘😘🤝🤝🙌🙌🙌

  • @PhilisterSidi-r1d
    @PhilisterSidi-r1d 24 дні тому +3

    Mai nakupend bure dadangu ❤❤😂😂😂

  • @VivannyStar
    @VivannyStar 24 дні тому +2

    Kazi nzuri sana hii twizi

  • @VivannyStar
    @VivannyStar 24 дні тому +2

    Nataka kumjua wakwanza nani zaidi yangu from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Karen-g1s
    @Karen-g1s 23 дні тому +3

    Mm hap naomba aolew na twizy

  • @chingoalichomar4141
    @chingoalichomar4141 5 днів тому +1

    Gostei muito do seu trabalho brw twizy natokea Moçambique

  • @salmanadjibu
    @salmanadjibu 24 дні тому +3

    Jamani wanaye mupenda mai lank atakumi

  • @KelvinMaloba-q8t
    @KelvinMaloba-q8t 24 дні тому +2

    One day one time mai atampenda twizy na watakua na furaha Sana katika mapenzi yao

  • @DorineKennedy
    @DorineKennedy 22 дні тому +1

    Msiwe mnachelewa kutupa next episode, watching from kenya

  • @PerezQuenisha
    @PerezQuenisha 24 дні тому +3

    Mai pole sna🎉🎉🎉❤❤❤

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 24 дні тому +3

    Nipo hapa tokea 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 wabogo wanajua kupenda daah sio kama vinyangarika vya uku kwetu😅😅😅

    • @zainabumaulidi1030
      @zainabumaulidi1030 24 дні тому +1

      😂😂😂😂😂wewe hata 🇹🇿mapenzi ya kweli tunayaona kwenye move tuu kipenz 😂😂😂

  • @RuthMwende-n9g
    @RuthMwende-n9g 24 дні тому +2

    Nakupenda mai❤❤❤❤

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo 23 дні тому +1

    Kazi ni nzuri sana

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 24 дні тому +2

    Kazi nzuri❤

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 24 дні тому +2

    Mapemaaa sana kazi nzr sana nawapenda zaidi❤❤❤❤❤

  • @HidayaHamisi-w5k
    @HidayaHamisi-w5k 24 дні тому +2

    Jamn. My pole nayote yanayo kukuta utamfaham anaye kusaidia ucjali my wetu wote

  • @NajmaSaid-sb2lh
    @NajmaSaid-sb2lh 24 дні тому +3

    🤣🤣🤣🤣ila twizy nae musione ivyo aanajua kupenda hata kutesa pia anajua huyo

  • @AlyHasan-p3j
    @AlyHasan-p3j 22 дні тому +1

    😢kiukweli mai yupo vizuri sana

  • @faudhiahassan7907
    @faudhiahassan7907 24 дні тому +4

    Yani nimecheka kama mazur maana sio kwa kumtafuta hivo may

  • @AminaRamadhan-g7t
    @AminaRamadhan-g7t 24 дні тому +2

    Mai wewe ni mzuri sana usijeukapaka mkorogo

  • @MalkaNinik
    @MalkaNinik 24 дні тому +3

    Ushauri wangu tu twizy walausijali maneno machafu ya mai una giveup hiyo itakuja kuwa historia yenu pindi mnaza utani weni kwenye muda wafuraha yenu

  • @MpajiOnesmo-w5j
    @MpajiOnesmo-w5j 24 дні тому +3

    Leo nimekuwa wa kwanza

  • @ESHIFATHWILISONDaniel
    @ESHIFATHWILISONDaniel 24 дні тому +2

    Kweli kabisa utapendwa2

  • @JoelWafula-in3xh
    @JoelWafula-in3xh 24 дні тому +1

    thanks Kwa part6 ,Mai usimwaeche twizy maana mumekarbiana damu,,

  • @FurahaChristine-g8w
    @FurahaChristine-g8w 24 дні тому +1

    Pole sana mai umkubali twizy muka woane ili maisha ipate kuendelea

  • @GinaFaruqueFaruque-e6j
    @GinaFaruqueFaruque-e6j 24 дні тому +2

    Duuuuh mãe jeuri pole twizy❤❤❤

  • @MwadawaMayengo
    @MwadawaMayengo 24 дні тому +2

    Kazinzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @OliverPaul-y3e
    @OliverPaul-y3e 23 дні тому +1

    Mai ungetambua kuwa twizy ndolomtibia mama Ako 😮😮 na sijui ukifahamu itakuweje😢😢😂😂

  • @AudaNzeyimana
    @AudaNzeyimana 24 дні тому +1

    Nabapenda❤❤❤

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr 24 дні тому +1

    😂😂 na kicapo twizy umekula😂😂😂 pole lakini twongezee dakika ndugu yangu

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g 24 дні тому +2

    Kwni mamake mai anaugua vipi hata kuongea haweziii🥺🥺,,jamani episode 7 tuwaishieni mbna imefika patamuu😂😂😂😂😂

  • @HadirialssaShund
    @HadirialssaShund 11 днів тому +2

    May jishauwe tu utakuja kumpenda twizy wewe tena huku ukimpigia magoti kumuelezea hisia zako 😅😅

  • @SalamiMansour
    @SalamiMansour 24 дні тому +2

    Utapendwa jaman ila ame kuwashaa kofiii polee pia twizy

  • @EmmanuelMabogo
    @EmmanuelMabogo 24 дні тому +2

    Atapendwa tu lakini Binti ajifikilie kwanza

  • @AishaH-e3k3w
    @AishaH-e3k3w 24 дні тому +1

    Jaman Laveness anashindw na my saiv kwa uzuri na rangi may usje ukajichubuw naweye uzur wako wakuzwaliw nao umeendan na twice sana

  • @SamouOman
    @SamouOman 23 дні тому +1

    Kazi nzur kaka

  • @marcelosonhi664
    @marcelosonhi664 23 дні тому +2

    Good afternoom friends, we are enjoying your work, but you are triing to prolong these theaters, but I wish goog work for the whole team together, good women without shame, one day with Go"s help, I will arrive in Tanzania to see your work, Eng. Marcelo-Angola.

  • @BarakaAbedi-ne7pi
    @BarakaAbedi-ne7pi День тому

    Kazi mzuli bro 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KudraEliasa
    @KudraEliasa 23 дні тому +2

    Mai ww ujitahid San jmn umpend huyo ndio wako tu mnaendan san

  • @MaryamHussein-v8v
    @MaryamHussein-v8v 24 дні тому +2

    Kaz nzr San twizy ❤❤❤❤

  • @EmanuelMaturo-z6i
    @EmanuelMaturo-z6i 22 дні тому +2

    M naona twizy navmai watakuwa wapenz mda sio mrefuu

  • @FarhhFarhh
    @FarhhFarhh 24 дні тому +3

    Nakubandamaj❤❤❤❤❤❤

  • @هيلنهيلن-ن1ن
    @هيلنهيلن-ن1ن 24 дні тому +2

    Twizy usife moyo jikase huyo ndio wako mai

  • @fatmakhalifa2598
    @fatmakhalifa2598 24 дні тому +2

    Mai tafadhali mkubali twizy😢😢

  • @to00ofh
    @to00ofh 24 дні тому +3

    Babo ya saba ametiwa Kofi atamuowa

  • @kbhazina
    @kbhazina 24 дні тому +2

    Namkubali Mai ❤❤❤

  • @SanuraNamlola
    @SanuraNamlola 24 дні тому +2

    Wagombanao ndio wapatanao usikate Yamaha twizy kofi la Mahana hili kuna siku utakuja muuliza wakumbuka kuna SKU ulinipiga kofi

  • @saphinaamosi
    @saphinaamosi 24 дні тому +2

    Leo nimewai kwel

  • @RukiaShomary
    @RukiaShomary 24 дні тому +3

    Pole twizzy

  • @Mrwhitetz
    @Mrwhitetz 24 дні тому +2

    Big up lemy

  • @AnastasieSmith
    @AnastasieSmith 23 дні тому +2

    La suite svp

  • @NanaJoseph-gf9bf
    @NanaJoseph-gf9bf 24 дні тому +3

    Remy achaushauli kakaako kaamua

  • @NikolausJuma-tj1ii
    @NikolausJuma-tj1ii 24 дні тому +3

    Remy watuwakipenda awashauliki Kala achananae Ila my

  • @hffh7717
    @hffh7717 24 дні тому +2

    Yes tumewazili kama kawa

  • @FaridaAly-r5n
    @FaridaAly-r5n 24 дні тому +2

    Safi Sanaa ❤❤

  • @tommymelodyofficial4844
    @tommymelodyofficial4844 23 дні тому +1

    Mnajua jaman from🇦🇷

  • @BaxterJere-d4u
    @BaxterJere-d4u 24 дні тому +2

    Pole pole MAHI utafika 8:18

  • @LoveQueen-i5c
    @LoveQueen-i5c 24 дні тому +2

    Twizzy🎉🎉🎉🎉

  • @RauhiyaMwinyijuma
    @RauhiyaMwinyijuma 24 дні тому +2

    Mai kaua🔥👏🏾

  • @PascarSaimoni
    @PascarSaimoni 24 дні тому +2

    Good job

  • @HadijaNgwame
    @HadijaNgwame 22 дні тому +1

    Twizy na may wanaendana

  • @Godfreycostamwanjale
    @Godfreycostamwanjale 20 днів тому +1

    Kanzi nzur sana twizy

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 23 дні тому +1

    Hahahaaa,,,,kibao hicho twizy umajisikiaje

  • @marcelosonhi664
    @marcelosonhi664 23 дні тому +1

    On fine day, I came to get married in Tanzania.

  • @rozamarcelle1241
    @rozamarcelle1241 24 дні тому +2

    ❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🥀💯

  • @ThamimaRajabu-bs2nd
    @ThamimaRajabu-bs2nd 24 дні тому +2

    ❤❤❤❤

  • @mankinishee
    @mankinishee 24 дні тому +7

    Wanaotaka mai aolewe na twizy tujuane kwa likes ❤❤

  • @DusengeIradukunda-f2b
    @DusengeIradukunda-f2b 23 дні тому +2

    Munacherewa kuturetea muvi mbiyo

  • @MwendeJuma
    @MwendeJuma 14 днів тому +2

    Atampende twizy

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 24 дні тому +1

    ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hillarimtambo482
    @hillarimtambo482 24 дні тому +2

    ❤❤a❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @SharafiHamisi
    @SharafiHamisi 22 дні тому +1

    my mzul san jaman

  • @FaridaKarembo
    @FaridaKarembo 24 дні тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @naylaplantan
    @naylaplantan 19 днів тому +1

    Wanaomkubali may gonna like

  • @razigirazigi5437
    @razigirazigi5437 23 дні тому +1

    We Mai Yuko namoyo

  • @AugeniaAlex-l1b
    @AugeniaAlex-l1b 23 дні тому +1

    Sina uhakika kama may atampenda twizy dady

  • @rodahatandi5533
    @rodahatandi5533 23 дні тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SwalehSelemani
    @SwalehSelemani 24 дні тому +1

    Uyo maibanaombaje mboga wakati alipewa hela kibao

  • @zainabumaulidi1030
    @zainabumaulidi1030 24 дні тому +1

    😂😂😂kakofi katam hako😅

  • @IssaAndi-f2e
    @IssaAndi-f2e 12 днів тому +1

    May Yuko namoyo

  • @to00ofh
    @to00ofh 23 дні тому +1

    Vipi mai

  • @NeemaMsongole-x4c
    @NeemaMsongole-x4c 3 дні тому

    Mmmh wasichan wa iv niwachache san

  • @ErastoMsemwa
    @ErastoMsemwa 24 дні тому +2

    Hahaha my

  • @NanaJoseph-gf9bf
    @NanaJoseph-gf9bf 24 дні тому +1

    Kazinzuli twizi

  • @saumuchai9620
    @saumuchai9620 24 дні тому

    ❤🎉

  • @HadijaNgwame
    @HadijaNgwame 22 дні тому +1

    Atapendwa tu