Napenda sana umoja wenu kelvin na Twizy kazi nzuri Mai anawapenda wote😂😂kazi nzuri sana Mungu awabariki wote maigizaji na watasamaji, nawapenda sana ❤❤
My sijapenda yan hii movie 🎥 umefeli mbona umekua kama mjinga my jaman aaaaah sijapenda aisee hupendez kua hiv unapenda ukiwa na msimamo my acha kunianga bas rafki angu 😂
Hii move ikonamafunzo mengi sana mda nimuhimu. Kwa kila kitu siwezi mlaumu mai mapenzi yanataka mda sio kula wala mavazi kama mkeo umpi mda wakukudannganya wakumsikiza porojo zake unamuthiri sana moyo ndio utaona umtu yuwachukuwa mamuzi hayo ya mai
Tunao isubiri penzi la mtoto wa bosi gonga like kwa wingi
inatoka Leo saa moja
❤😅@@TeshmonyAntonio
Mm mmpk inanitia stress
Good job 👏👏👏❤❤❤🎉🎉 Nawapenda sana
Moto moto kbx Kelvin nakuona nana kupenda san kweny movie Niko Burundi❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Twizy na Kelvin wote ni mahandsome boy mai na lovenes wote ni beautiful lady ❤❤❤❤
Kelvin nakukubali plus mayi
Mai and lovness is beutiful ❤❤mashaallah❤❤❤ila tena nimependa kuwaona wakiceza pamoja na kelvin🥰🥰🥰nawapenda saaana balaa
Kevin mtoto wa Boss hitatoka saa kapi????? 😂😂😂😂
Kazi nzuri Sana Kevin love your movie but Niko Kenya sisi huku Kenya tunawependa Sana,,,,,
Kevin kumbe uko huku Kwa twizy dady na tumegojea penzi la mtoto wa Boss na dada wa kazi daaah ❤❤
Penzi la mtoto wa boss atatoka sangapi lakini?? Tunaingojeya toka Congo mjini Lubumbashi ❤❤❤❤
Kevin kwa huyo unamwambia unamupenda na kwa love es umwambie unamupenda❤❤❤❤❤
Nakupenda mnoo lovness n mai hasa nkikuon upo n kelvin n mai nakupenda cnaa n munaendan n twizy❤❤❤
Nzur sanaaaaaaa
Kazi nzr sanaaa Kevin mbon munapendan sanaa ba may
Mai Ukicheza Na TWIZY Dady Unanoga snaa
Aki ii movie imekuwa tamu coz Kelvin yupo jmn❤❤❤❤
Mai mrembo wallai mashallau ❤❤
Napenda sana umoja wenu kelvin na Twizy kazi nzuri Mai anawapenda wote😂😂kazi nzuri sana Mungu awabariki wote maigizaji na watasamaji, nawapenda sana ❤❤
Naona hii itakua mapenzi gam😂😂❤❤❤
Loveness ameiona hiii kwel
Mai leo umepatikana na mahandsome wote kz unayo maua yenu jmn 😂❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Msichana mrembo amekutana na wavulana wazuri wenye maneno matamu pia
Aya Kelvin na Mai tunawaona,, na je voleness uko wap jamani,, Aya naona mim ni wa kwanza kutoka Kenya,,. Aya watu wa mungu mungu hawabariki
Anamsalitii Loveness Leo
Kelvn upo huku Tena haya twende kazi baba tunakupend mno
Ila mayi ni mzuri daaa
Nani mwengine anaye ona kelvin na mai pia wamependezana kama unakubaliana na mm gonga like hapa bila bifu😂😂😂😂😂😂😂
Movie nzuri story yake poa...actars na actress Mko active lakin badilisheni location....(nyumba sebule)😢
Kazi nzuri.ila Kelvin isiachie movies njiani kama penzi hasara
Mi wewe wote unawapenda
My sijapenda yan hii movie 🎥 umefeli mbona umekua kama mjinga my jaman aaaaah sijapenda aisee hupendez kua hiv unapenda ukiwa na msimamo my acha kunianga bas rafki angu 😂
Nina kubalisanaaaaa
Hii move ikonamafunzo mengi sana mda nimuhimu. Kwa kila kitu siwezi mlaumu mai mapenzi yanataka mda sio kula wala mavazi kama mkeo umpi mda wakukudannganya wakumsikiza porojo zake unamuthiri sana moyo ndio utaona umtu yuwachukuwa mamuzi hayo ya mai
Kanumbeee 🫡
Kaka kanumbe🔥🔥🔥
Kelvin ukicheza Sehem zengine unawza sema Nakupenda ila kwa Loveness huwa husemi
Kweli ile
@GraceVISAMAYANI-gj1xm Labda Anampenda Moyoni Ndio manaa huwa Ngumu kokote ila panapo Sitahili tu
Afu niulze ni kwanini hawa wasanii chipukizi wanamuweka kelvin Kwenye movie tukishaitazama season mbili tatu wanamtuoa 😢😢wananiboa kweli yaani
Kazi ipo poa
Safi twizy
Mai mzuri sana kuliko hata lavenes 🎉🎉🎉🎉
Wazur hawaishi hata akitokea mwengine hapo utasema ni mzur kuliko Mai na lovenes😂😂
kwel @@SakinaHassani-xm7ti
Huna Lolote Wape Haki Wote kila mtu Mzuri na Kila mtu ana Uzuri wake
Huna Lolote Wape Haki Wote kila mtu Mzuri na Kila mtu ana Uzuri wake
Mai hapo umeniangusha nakukubali ila kwahapo umefeli
Twizy dady mbona Binti maskini part 4 haijatoka tunaitaj sana
We nae siulete Binti masikin jmn
jaman nawapenda san
❤❤❤
❤🎉
Aaaa kelv kumbe upo uku kwa twizy dady na tunasubiri penzi la mtoto wa bos mnachelew
Kelvin,usifanye wakati mwingi kwa Twizy, fanya haraka kutuletea muendelezo ya mtoto wa boss
Kevi buana tunakugoja xana
Nasra yuko wapi napenda sauti yake
Kevin wapi?? Love s
Loveness ameiona hiii
Lakn mie katk mtazamo wangu kelve anaendana na laveness popot anapo shuting muvi wanapendeza lakn mai mh
Ila kweli bhana 😂😂😂
@olicej7837 asant
Kwakuniunga mkon my
@@AishaH-e3k3w 😅😅😅
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amujanoga mmepooza
Yaaan apo kelvn na twizy nani katisha
Twizy ni yupi nimjue
@@olicej7837 uyoo mume wa mai ap ambae yup biz muda wot
Wote 🎉@@tommymelodyofficial4844
@@KhadijahKinyuriHakuna wote lazima mmoja AZidi
Mm Bado Sijamaliza
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤