Mtafsiri tunaomba ututafsirie ukwel khaaaaah Pale yule mama alikua anatapika kwasababu huyo dada alipika nyama ambayo huyo mama haitumii na wala hata sio dawa 🙌🙌🙌🙌
@@maxrecapswahilihdhapana ujumbe sio huo jamaa amepewa masharti ili arithi pesa za kampuni na kampuni lazima waowe yeye na kaka yake!! Ili kuweza kuendesha kampuni!! Mdogo mtu akakutana na huyo dada na kuingia mkataba wa kuwa mchumba wake ili wafunge ndoa ya magumashi sasa wewe unatafsiri na sio Dawa ni nyama ya nguruwe
Kutemda mema, upendo siku zote ni Bora zaidi ktk maisha lakini roho mbaya haijengi hata mara Moja,👌🔥♥️🎉💃💃
Nikweli kabisa
Nzuri sana imenifudisha kwamba tujifunze kuishi na watu❤❤🎉🎉
Walahi tujifunze kuishi nawatu kama Sharon japo alikuamwizi Apo mwanzo❤❤❤ good job DJ 💯👏👏👏
Kabisa kuna watu wana badilika, ni funzo kubwa sana
Nilicheka jaman kuingia ndani na kuiba😂😂😂😂
Kwa kweli
Asante sana kwa story Kali pita nimejifunza upendo ni daraja la mafanikio pia tuvumiliane
Wakwanza❤❤❤
Kama wa pili vileee, ila ngoja tukupe maua yako na likeee😂✅
Mashallah ❤❤❤
Jaman nzurii kwelii🎉🎉
Asanteee
Jmn huyu ni vumilivu kwa kwel namp makopa yake❤❤❤❤
Sana aiseee
Nimeisubiri🎉🎉🎉🎉
Hatimae imefikaaa
Jamani nimechelewa kidog ila nimewai Ahsantee brother 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
Karibu sanaa
Mtafsiri tunaomba ututafsirie ukwel khaaaaah
Pale yule mama alikua anatapika kwasababu huyo dada alipika nyama ambayo huyo mama haitumii na wala hata sio dawa 🙌🙌🙌🙌
Kweli jamaa anadanganya kabisaa yaani anajua wote hatujui kingereza Mimi nimeicheki hii movie ila anavyotafsiri sivyo😊
@ me nilihisi nipeke yangu nilikua nacheka yan khaaaah yan anadanganya mbaka anaboa sasa
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Mwisho waubaya ni aibu ❤❤
Sanaa
From DRCongo 🇨🇩🇨🇩
Karibu sanaa
Nimeiwahi 😅😅😅😅
Karibuuuu
I nimependa sana kutoka mocambique
Nzuli sana
Asanteee
Movie nzuri sana🎉🎉🎉 jamani tuletee ni pia kama zile za kina princess Tyra and Passion of my soul
Sawaaa
Lkn kichwa cha habar tofauti na movie😮
Jamani huoni kaogopa kushika konii hapooo
Hongera❤🎉❤
Naipenda kwakweli watuhawana shukulani
Cool 👌🇨🇩
Asante kwamuendelezo
Karibu sana
Subra ndo jambo muhimu ❤❤❤
Kabisaa
Kuishi na watu vizur❤
Nikweli
Wallah tamu
Sanaa
Nimejifunza uvumilivu niwamuhimu sana, hasa katika nyakati ngumu
Kwel kabisaa
It is very good ❤❤❤❤
Thanks
Namipenda sana piya nawatakiya mwaka wabaraka nimetokeya RDC🇨🇩
Asantee karibu sanaaa
Iyi movie ni nzur sn na ina mafunzo ila ss dj kam unatoa titre ya movie uwe unaangalia cha kuendan na movie
Muhim ujumbe,karibu sana
@@maxrecapswahilihdhapana ujumbe sio huo jamaa amepewa masharti ili arithi pesa za kampuni na kampuni lazima waowe yeye na kaka yake!! Ili kuweza kuendesha kampuni!! Mdogo mtu akakutana na huyo dada na kuingia mkataba wa kuwa mchumba wake ili wafunge ndoa ya magumashi sasa wewe unatafsiri na sio Dawa ni nyama ya nguruwe
Nice
Welcome
Bom trabalho brow 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
🎉🎉🎉🎉
jmn tujifunze kutenda mazur kwa watu pia msimfikirie vibaya mwenzio
Kwelii
Kweli
Duuuh nimempenda Sharon mvumilivu sana anh
Nikweli
Haujui
Wivu utakumalizaa😂😂Angalia comment za wenzio kasoro wewe tu
❤ nic
Inafunfisha sana kwavijana
Asante
Watukama hawahata kwetuwapo tabiaya beti nimbaya kamashetani huyukatoka kuzimu
Nzuri sana
Sauti kama ya Mr josam
😂😂😂😂kumbe
@maxrecapswahilihd ndio
tuna omba mwendelezo ep3
Iliishia hapo boss wangu
Nimehifunza hata upitie magumu aje usikate tamaa
Nikweli kabisaa
❤❤❤❤❤❤
❤
Huyu dada mbn utata vile we acha wenge
Umeona eee
Mm sijaelw title na story tofautiiiiii
Title ni kivutio cha kutazama story nzur
Uko Poá dj
Asante
L. L. Lllll
Mashallah ❤❤❤
Alhamdullillah
❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
❤❤❤❤
🥰🥰🥰
❤❤
❤❤❤
❤️❤️❤️❤️