😂😂😂😂😂😂 nacheka venye james anashanga venye tina anamupokea amekuwa amezowea vituko kira siku nimependa veny umebadirika tina na kumupokea mme wako na heshima ❤❤🇧🇮
Leo jemsi kapatikana jemsi umeona jinsi vinavyo kua vitamu unavyo umiza wanawake njoukome lakini pole Tina atakua sawa ivi ameenda kuomba ushauri kwa Vicky japokua sijaimaliza
No 3 wana donta tv likes zinifuate❤❤❤❤❤from kenya
100% mko sawa kabisa mafunzo mazuri sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉mwaaaaaaa from 🇰🇪
Waaah leo James naye kawezwa 😂😂😂kumbe nawe unajua kunywea hiki kikombe
hongeren waigizaji wetu,kazi yenu ni njema,mnatufundisha mengi
James umenyoa umependeza
Tina hiyo si vizuri
Leo nimekuwa wa pili. From Tz❤🎉.
Mafunzwo baada y mafunzwo 🎉🎉🎉🎉 donta tv ❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂 nacheka venye james anashanga venye tina anamupokea amekuwa amezowea vituko kira siku nimependa veny umebadirika tina na kumupokea mme wako na heshima ❤❤🇧🇮
Burundi tunawapata Sana tupe prt 2🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂donta my family,, napenda sana movie zenu
Tina Sio Sawa kabisa mume hajibiwi Ivo akipata mwingine aefanyia vizuri ataenda
Wakwanza jamani minipeni link yangu from merekani ❤
Tina rafiki wangu aki nakupenda sana Kwa nafasi yako Kwa move unacheza poa,,
Hadi mume ywaogopa.mahaba ya tina😂😂😂😂😂
Yaan Tina nikatili jamani namkubali sana Kunambi
Leo jemsi kapatikana jemsi umeona jinsi vinavyo kua vitamu unavyo umiza wanawake njoukome lakini pole Tina atakua sawa ivi ameenda kuomba ushauri kwa Vicky japokua sijaimaliza
James safari hii kapatikana
KUWENI MAKIN SANA WATU WANAONEKANA KWENYE KIOO MUVI IKIANZA TUNAJENGA SO KUBOMOA
Unamaanisha nini?
@@janethfelix9411 MUVI IKIANZA WATU WA NYUMA YA CAMERA WANAONEKAN KKWENYE KIOO
@@kikaboy11 ooh
@@janethfelix9411 YEAH
Hongera sana daa Vick kw ushauri ulio mfundisha tina kw kweli tumepata kitu pia sisi😂😂
James huamini kma Tina amebadilika😂😂😂😂
Ila Tina jaman kanichekesha alivyompokea mume wake😂😂😂😂
Jemsiiiiii ume pendeza
Kenya Watching, twapenda
Tina mwamba lm from burundi 🇧🇮 💖 nawunik Morocco 🇲🇦 ❤
Jamani hebu niwauliza donta plas ni channel moja na donta tv
Niwewe au tinna jamani 😂😂😂
Nimekuwaa wa 42 uuuw jaman nihurumieeeen show love toka zanzbariiii hapaaa
Yani Tina na kendy hawana tofauti
Weee tina no ingn ww
Nampenda sana dada vick
HALAFU KIZO KAK KAK KAK KAK ZIMEKUA NYINGI SANA
Sasa me wangapi kweli aya kuleni izo like basi 🎉 kama amtanipea ata moja
Vick❤❤❤❤❤❤❤
Nakupnd pia
James wewe unapelekeswa aje na tina vimba!!!!
Umepatikana we mkaka pole😂😂😂
Yaani na hizo nywele Tina kama shumleta zitoe tu uko kichwani hujapendeza kwa kweli
kwel angebaki na nywele zake znampendezaga
Umeonae akayatoe tu
Alex kanyoa umependeza ulikuwa kama jambaz jambaz ukisuka Kwa kweli
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tina sio vizuri badilika basi mbona hivo
❤❤❤❤❤❤❤❤Vicky❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
😂😂😂
❤😂😂❤🎉🎉
❤❤👍👍👍👍👍👍👍
Kwan uyu mke au redio. Kutoka cape town
Tina wala haupendezi kuwa romantique tulisha kuzoweya mtu wa matata kila siku.
❤❤❤❤🎉🎉🎉 4:08
❤❤❤❤❤😂😂😢😢😭🤱🤱😢
❤😂
Yan tina unakera ww SEMA hujui2
James jmn n mzur macho yako kaka yananivurugaaa
Jem's apa 🙏🙏🙏🥰🥰🥰
❤❤❤🎉🎉
Tina punguza makasiriko
Ila Tina akili hana
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤