Congratulations 👏👏 for you very fantastic and wonderful movies with you friend Kelvin hongera znah nimepata kitu kubwa znah natamani sana mcheze movie zingine ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Loveness nakupenda sana,unajua na unaweza,na una mvuto wa acting,naitwa joan nko kenya,congs kp it up,my advce remain humble n focused,n dont evr b proud or relax kikazi
Naitwa kenzo Lee na naishi Burundi movie zenu nimezipenda Sana Ila yote juu ya lovenes pamoja na Kevin kiukweli wanaonyesha true love niwapenda Sana paka nikiona picha Zao tu lazima nifungue mungu awajalie Sana becouse munatufunza vingi kwenye maisha ya kawaida
Nampenda huyu mrembo kwa kazi yake safi,,,nikianza episode yake moja lazima nimaliza hata kama ni mia.Pia tuelezewe kuhusu kina kendi,Victoria na wengine
Nimependa ur interview loveness,unajua sana kujibu qns kwa hekima ya juu,na pia lv noticed muonekano wako kwa movie na hali halisia is the same,thats good ur lucky coz its v rare,nime learn vitu vngi frm donta tv movies n pia Kiswahili sanifu ,mmi ni madam JOAN nko KENYA ❤
Sura yako jikkama tabia yako nzuri mungu kakujalia hongera loveness
Loveness uko fiti sana put more effort all the way from kenya
Kelvin pia unatisha sana kwenye maisha yaekishua unabamba sana mwanangu.big up .
Loveness usiwe unajipodoa kabisa MUNGU alishakupodoa tayari vinginevyo haupendezi unaboa,, nakupenda sana actress wangu🎉🎉🎉
Love wewe uko sawa kabisa umependeza na kelvin na weka mekap uso unapendeza sana
Hogera na mtoto wa Boss umecheza poa na kelvin wako hogereni nyote
Ukweli muna pendezana wewe na kelvin tamthilia zina pendezana
Loveness we love you so much we as your funs,hakika umesimamia wanawake wengi sana humu dunia, much love from kenya ❤❤❤❤❤❤
Leo ,,Lavness hujajipodos sana .umependeza sanaaaa .nakupenda sana .kazi zako ninzuri unazitendea haki .ukifanya kazi ns kelven🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Ila mfanye mpango muoane kelvin na love nes
Congratulations 👏👏 for you very fantastic and wonderful movies with you friend Kelvin hongera znah nimepata kitu kubwa znah natamani sana mcheze movie zingine ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Leo ujajipodoa umependeza hongera sana 5:05
Loveness nakupenda sana,unajua na unaweza,na una mvuto wa acting,naitwa joan nko kenya,congs kp it up,my advce remain humble n focused,n dont evr b proud or relax kikazi
Wow thanks so much kutuletea uyu dada nampenda sna ❤❤
Kelvi uyo ❤❤❤🎉labesi anasifi wawo ❤❤🎉🎉🎉kaka yake baudi ❤❤🎉
Usi ongezake jipodowa yaani una furahisha sana kabisa 🎉🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹
Hongera sana Loveless Nakupenda Bure Alafu pia fikira ZANGU nilikuwa uwe na Kelvin mnapendezana kiukwel ❤🎉Yadumu Daima🎉
I really love you and your movie also,,you really touch my soul,,mpaka nasikia tew niact kama wewe
Kumbe hiyo sauti ndio yako basi uko na sauti nzuri sana loveness ww n mrembo sana tena ww nmsichana mwenye busara tena mwenye heshima zote ❤🎉🎉🎉
Loveness ni mnoma Sana, napenda mchezo wako Sana, hongera hongera
Leo upo love nes yule tulomzoeya na kumpenda hongera mrembo wetu
Loveless luv you saana .
Keep It Up 🎉🎉🎉
Nakupenda sana loveness kazi zako ninzuri unazitendea nawew kelven naba penda sana❤❤❤❤❤
Wewe Loveness, isitoshi kukubona hapa tu, lazima nikukute masikani kwako🥰nakupenda💞
Hakika umefanya vizuri mdugu nipo saudiya Riyadh shabiki wenu
Kelovin na Lavunesi nawapenda sanaa❤❤❤❤bia movie zawo👍👍👍👍👍
Nakubali love 🎉🎉🎉🎉🎉❤ mpend kelvin chaguo lako chombo ichooooo😂
Pendeza sana lovenexx congratulations
Nakupenda san loveness
Wanaonekana wanapendana❤
Baby Lovenes penda shana 🌹 yani ww ni karembo 🥰
Nawapenda sana
Loveness na Kevin mnaimalisha Jamii nawapenda
Pia mnaendana sana na kelvin
Nakupenda sana loveness ❤❤❤
Loveness we ni mrembo Sana usipojipodoa nakupenda Sana❤❤
Lavenss nakupenda mama
Wow lovenes
Tafadhali tupee mtoto wa poss na dada wa kazi ep ya 46,umeimiss sana
Naitwa kenzo Lee na naishi Burundi movie zenu nimezipenda Sana Ila yote juu ya lovenes pamoja na Kevin kiukweli wanaonyesha true love niwapenda Sana paka nikiona picha Zao tu lazima nifungue mungu awajalie Sana becouse munatufunza vingi kwenye maisha ya kawaida
Binti mzuri nakupenda sana hongera
Nakukubali lavunes unakaa wap
Nakupenda lavines
Jamani nimefulahi❤❤❤
Mashallha loveness wangu❤️❤️💕💕💕
Umependezaaaaaa sanaaa lovenesssssz
Uko bombaaa❤❤❤❤❤
Wewe nibalaa kwa kazi zako unavutia sana Mungu akubari Sana 🎉🎉🎉❤❤
Jaman kwnn msioane tu mnapendeza❤
Lav mnaenda sana na kev nimewapenda sana kama hamna mahusiano naomba mungu muwe pamoja .
Nakupenda sana loveless ❤❤❤❤
Mko xawa💞💞💞
Laveness❤ kutoka Bja unakipaji hongela
Nampenda huyu mrembo kwa kazi yake safi,,,nikianza episode yake moja lazima nimaliza hata kama ni mia.Pia tuelezewe kuhusu kina kendi,Victoria na wengine
Jaman love Ana macho ya aibu Kama Mimi eti wadau mnasemaje gonga like apa❤❤❤
😅😅😅😅
Oooh hongr Yako dear
Nakupenda bure Ila mukioana na kelvin inapendeza sana
Wow nampend lavoness❤️💋
Hongera Sana mlemboo unafanya kazi nzuriy Sana ❤❤❤❤❤
Upon vizur mashallah alafu munaendana sana na kelvin
Nimependa ur interview loveness,unajua sana kujibu qns kwa hekima ya juu,na pia lv noticed muonekano wako kwa movie na hali halisia is the same,thats good ur lucky coz its v rare,nime learn vitu vngi frm donta tv movies n pia Kiswahili sanifu ,mmi ni madam JOAN nko KENYA ❤
Daa love mashallah usipo jipodoa unapendeza😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
San
nitakutafta lovenes jinsi ninvyio kupenda❤❤❤❤
uko vizur Sana dada yangu napenda Sana movie zako
Ee bwana ee loveness unatisha kinoma nakukubali na we ni mwanangu.
Jamani love unanikosha sana mmnanifanya nisile ili niweke bando na huyu kelvin
Wew kibawo yaan noma
Mimi nakubal lovenes na kelvin sitaman move yoyot
Loveness umependeza usijipodoe mungu amekupodoa tyr❤
Nakupenda sana love ❤❤❤
Loveness❤kutoka Kenya unakipaji hongera sana
Mi nakupenda Ravines and Kevin
Asante
Nikwa ju munalingana munaendana saaana mukicheza pamoja nawapenda saana❤❤❤❤❤
Me natak kuuliza kama upo single me sijaoa
Mmh wewe tena😂
Kojoa ulalee😂😂😂
Nenda ukalale 😂😂😂lovenes niwa kelvin
@@mercyakech unauwakik ???? Hajaolewa uyo
Hongera mdada mzuri unapendeza sana kiukweli kwe sanaa yako
❤❤❤ my dear
Ooooooo kumbe uposingo waoooooooo
Eeeeih 😂😂 unamuuliza maswal nkama umeniuliza congratulation 🎉🎉🎉🎉
Beautiful girl,,,hongera sana love wa kelvin❤❤❤❤❤💖💗
Mashallah ❤❤❤❤❤Lovenes❤❤❤❤❤
lovenes tunakupenda sana u look so beautiful❤
❤❤❤❤nakupenda sana love
Hata Mimi na kutazama kutoka Uganda lakini je na kuamini sana na kevi
Nakuelewa loveness
Nakupenda sana love yan unge olewa na klvn
Watching from +254 🇰🇪 , can I join donta tv? Really good people and amazing. Lovely Loveness. Keep it up.
Kumbe Lisa mwenzanguuu 🎉🎉🎉
Lovennes n'a Kelvin ni wapenzi kweli Ama apana
Oa eeeh!!! Kelvin anafa kwako kuwa mmewako
Loveness nampenda saaana pamoja n'a laviness❤❤❤❤
kwa kweli tunakukubali sana❤❤❤🎉🎉🎉
Uyo mtoto namwelea sana
Ukweli mkiact na kelvin movie inakua tamu❤
Hi ongra kwa kaz nzuri kipenzi unajitahidi kuliko kawaida
Napendaga sana huyu dada kaone kanavyoongea ❤❤❤❤
Loveness umependeza🎉
Lavnes wewe nimrebo sanaa
Nakupenda❤❤kutoka Ug
Nakupenda saana loveness nataman ungeolewa nakervin mnaendana saana
kelv tu mm ndo hoi namkubali saaan yaan
I love you loveness
Nakupenda sn
Ww huyo kelvn akakomba unampa
Umependeza San love uko poa San ingependeza San mngeoana ingependeza San mnapendezan san🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ nawapenda San wote jmn kelvin Yuko poa san