Nina mtukuza Mungu wangu kwa namna amenitendea kwa kutuokoa kwenye ajali maeneo ya Mafinga kinyanambo tukielekea nyumbani holiday ...tarehe 20/12/2024 roho wa Mungu aliniongoza kusoma zaburi ya 35 nilipomaliza tu ndipo gari liliacha njia na kuyumba sana (private car).yote mapito mwenyez mungu alitushindia tukatok salama na gari likiw limeathirika nje mpaka askari wa barabarani wakakili ni Mungu tu amewaokoa .Sifa utukufu narudisha kwake Mungu wangu
Happy Sabbath Pastor, Thank you very much for the information. I follow your teaching, I am requesting your comment on the family where the spouse snows(kungorota
Nina mtukuza Mungu wangu kwa namna amenitendea kwa kutuokoa kwenye ajali maeneo ya Mafinga kinyanambo tukielekea nyumbani holiday ...tarehe 20/12/2024 roho wa Mungu aliniongoza kusoma zaburi ya 35 nilipomaliza tu ndipo gari liliacha njia na kuyumba sana (private car).yote mapito mwenyez mungu alitushindia tukatok salama na gari likiw limeathirika nje mpaka askari wa barabarani wakakili ni Mungu tu amewaokoa .Sifa utukufu narudisha kwake Mungu wangu
Praise be unto God🙏🏽
Glory to The LIVING GOD walking with HIS PEOPLE AMIN
Utukufu na sifa vimrudie Muumbaji wa mbingu na nchi.
@bettymirama4061 🙏 Amen
Amina ndugu katika kristo
Nafuatilua kutoka diaspora vizuri sana.Darasa la leo ilikuwa inanimlika sana...blessings kwako pr.
Pastor Mungu akutunze.
Unaniokoa sana.
Happy Sabbath Pastor,
Thank you very much for the information. I follow your teaching, I am requesting your comment on the family where the spouse snows(kungorota
4 yrs ago nafuatilia mahubiri yako Pst David.
Mungu azidi kukulinda na kukubariki.
Frm Bujumbura
Amina.
Balikiwa mtu wa Mungu
Mungu atukuzwe akutumie apendavyo.
Mungu azidi kukutumia apendavyo Pastor
May GOD continue blessing you each day and have a wonderful Sabbath.
Pastor naomba majina ya hivyo vitabu Na mwandiahi wake,nimebarikiwa sana kwa somo
Pr you have been a blessing to us but I had one request may you please don't forget to pray for students of all levels
We are blessed 🙏🙏🙏
Mungu atubariki zote 🎉🎉🎉🎉🎉
Amen Pr
Barikiwa zaidi pastor
Nabarikiwa san mungu akubarik
THE MAN OF GOD, meatal
Nabarikiwa mchungaji nipo shinyanga
Hakuomba hata maji 😂😂😂 Ila pastor Mbaga🤣🤣🤣🤣🤣
Amen
barikiwa
AMEEE
AMEN
Munģu abariki wewe pamoja na familia yako
Balikiw naomba mtusaidie namuna yakuweza kupata hivyo vitabu huku mukowa kagera wilaya ngala
+255 69 342 8152 mpigie huyu
Barikiwa zaidi pastor
Amen
Amen