Asante Mungu kunichelewesha kupata watoto kama nilivopsnga najua sijachelewa ila ulikuwa unanindaa na ni kwa makusudi yako sahihi.. nakushukuru sana. 2025 January tupo tayari Mungu. Tuguse wanao. Mimi na mume wangu tupo tayari kupokea baraka ya watoto. Amen.
Pr Mungu akubariki sana . Tangu kipindi tunasoma pamoja suji niliona unakitu ndani yako. Tarajia mibaraka mikubwa zaidi katika maisha yako .Huwa nabarikiwa sana na maneno yako.
Asante kwa somo la leo,muda mrefu nimepitia changamoto kali katika kazi biasha yangu,kifo cha Baba Mzazi rafiki mshauri wangu mependwa,pia Familia ukosefu wa Watoto.kupitia fundisho hili nimepata nguvu mpya,nina imani yakwamba Mungu atatenda ndani ya maisha yangu.nime barikiwa sawa. Maombi inaanja saha ngapi?
Mungu atukuzwe sana mchungaji kwa ajili yako somo limenibariki sana na kuniongoa, naendelea kusubiri naamini Mungu atatenda kwa wakati kwani ratiba yake ndo sahihi
Asante Mungu kunichelewesha kupata watoto kama nilivopsnga najua sijachelewa ila ulikuwa unanindaa na ni kwa makusudi yako sahihi.. nakushukuru sana. 2025 January tupo tayari Mungu. Tuguse wanao. Mimi na mume wangu tupo tayari kupokea baraka ya watoto. Amen.
Amen
Mungu awatembelee mwaka huu
Mungu akakutendea dear. Mwakani utakuja na ushuhuda
🙏
Mungu akutendee sawa sawa na hitaji lako
Pr Mungu akubariki sana . Tangu kipindi tunasoma pamoja suji niliona unakitu ndani yako. Tarajia mibaraka mikubwa zaidi katika maisha yako .Huwa nabarikiwa sana na maneno yako.
Bwana ni mwema
Nafarijika sana pasta mbaga
Nikiwa mbweni mpiji Sda
Amen amne
Amen,akika nimebarikiwa na somo hili MUNGU akubariki pastor mmbaga
Aminaaaa,I receive Blessings IN JESUS NAME,Amen Amen Amen.MUNGU ATUKUZWE
Nashukuru Mungu sana,kupitia mafudisho yako Pastor mmbaga,nashagaa sana kuelewa Mungu ni zaidi jinsi nilivyo muelewa kitambo
Asante MUNGU nimeelewa
Nmeacha kwanzia leo kulalamika najua unamakusudi mema juu yangu
Mungu akubariki sana azidi kukutumia siku zako zote utakazoishi duniani Kwa jina la yesu amen
Bwana yesu asifiwe
Asante kwa somo la leo,muda mrefu nimepitia changamoto kali katika kazi biasha yangu,kifo cha Baba Mzazi rafiki mshauri wangu mependwa,pia Familia ukosefu wa Watoto.kupitia fundisho hili nimepata nguvu mpya,nina imani yakwamba Mungu atatenda ndani ya maisha yangu.nime barikiwa sawa.
Maombi inaanja saha ngapi?
Kusema ukwel i need lord to do something coz ninachopitia ni Mungu anajua, naomba kupata mawasiliano na Pr Mbaga
Ameeeeeen 🙏🙏🙏
Mungu atukuzwe sana mchungaji kwa ajili yako somo limenibariki sana na kuniongoa, naendelea kusubiri naamini Mungu atatenda kwa wakati kwani ratiba yake ndo sahihi
Amen
Amen amen
Nashukuru saana mungu awabariki
Mungu akutunze milele
Amina
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Emeeen
Sjakwelewa mchungaji nakuombea tafadhali utuelekeze namna gani una isikia sauti ya Mungu ikikujibu
Mchungaji na Mimi niombe nizidi kukua kiroho zaidi juma kutoka mbweni mpiji beach Sda chach
Jina la bwana libarikiwe pr siku Moja ututembelee mbweni mpiji beach Sda chach
Mama yangu anaumwa miguu naomba uponyaji juu yake
PR naomba uniombee nipate fedha ili niweze kumaliza nyumba
Ndio sauti ilikatikakatika sana mwanzoni
Mina penda ise video
MUNGU atusaidie
Mbona Sauti ilikuwa inakatikakatika?Ni mitambo mbaya,ni internet ama ni mafundi?
Ni shetani hataki tupate mibaraka
MUNGU atupe nguvu
MUNGU atusaisie
Pst ikiwa utapata huu ujumbe naomba sana kuongea na wewe kadri roho wa Mungu atakubalia
Tuma ujumbe WhatsApp +255 755 932 283
Amen
Jina la bwana libarikiwe pr siku Moja ututembelee mbweni mpiji beach Sda chach
Amen
Amen