Mchungaji mimi ni maabato na nilikwisha batizwa na nikawa mshiriki kamili ndani ya kanisa la Tegeta, nikaanguka dhambini dhambi ambayo ilikuwa ikinisukuma kukutafuta kwa bidii mwaka tangu mwaka 2017, dhambi ikapelekea nikachukua mimba utumwani, Mungu ni mkuu na haachi wamtafutao kwa bidii.. mtoto ni baraka na nimeipokea naendelea weka ulinzi tangu nilipothibitishiwa niliwa na week 3 na Daktari that am positive. Sasa Mungu ameruhusu nimekuona 2024, siku ya kwanza ya juma la maombi lilipoanza (tarehe 8), nimepona nilikuwa na mzigo mzigo ndani ya moyo wangu, uchungu na majuto juu ya mapito nilopita.. Mungu akaniponya tena na niko huru kweli kweli. Naomba azidi nifanya nimkaribie na kutafuta ufalme wake ndipo hayo yote nitazidishiwa. Nilishauriwa futa ushirika nilipo beba mimba nje ya utaratibu kama mshiriki ila sikufanya hivyo, Je? ninaweza sasa batizwa hapa Ijumaa ikiwa bado sijafuta ushirika kule tegeta nasikia kuguswa ndani yangu kukaa miguuni pa yesu na kumtumikia kikamilifu ama utaratibu ni upi nifate Mchungaji.. naomba mwongozo na bwana akubariki unapoendelea tuongoza kiroho.
Pastor ,, tuombee maana kila pesa inayopita kwenye mkono ni nyingi lqkini zinaingia kyenye matumizi ya magonjwa tu, atufanyi maendelo yoyote, kama m7ngu atatukumbuka mda ulo baki atufungie tukafanye maendelo , aka tubariki kulingana na siku alizo tutesa ,,

MUNGU akutunze
Amen karibu nyumbani tena ndugu yetu
Please nisaidie namba ya kutuma sadaka yangu juu pia mm nataka baraka nisiachwe nyuma
Karibu nyumbani mwana wa MUNGU
😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮 1:07:01
“Kumkimbia mchawi ni kumdhalilisha Mungu. Mchawi ndio anatakiwa kukuogopa. “ Pr. Mbaga 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Kutaja neno imekkusa ni jambo la mahana, weki wanasema mahuburi ni tamu bia kutaja mahali imekkusa moyo wake
Stranslater yuko vizuri sana, apewe maua yake kwa utukufu wa jina la Bwana.
i agree
Nakiri kupokea kwa jina la yesu. Na mwakani kama mungu atatupa uzima nitatoa ushuhuda kwa matendo makubwa ya mungu
Samahani naomba kusaidiwa namba ya kutolea sadaka
Pastor ,, tuombee maana kila pesa inayopita kwenye mkono ni nyingi lqkini zinaingia kyenye matumizi ya magonjwa tu, atufanyi maendelo yoyote, kama m7ngu atatukumbuka mda ulo baki atufungie tukafanye maendelo , aka tubariki kulingana na siku alizo tutesa ,,
Asantee Pr Mmbaga, umenitia moyo tena leo.
Thanks!
.AMEN..Following from diaspora
Amina sana pastor Mungu akusaidie
Hata kama ckupata nafasi yakusikiliza live,ninaiman naangalia saivi nanitabarikiwa zaidi
AMINA 🖐️🖐️🖐️
Bwana asifiwe, please waombee watoto Bolphone, Naflex Gedwick bwana awerehemu na awaokoe ,awaopue kotuka ulevi.Mkumbuke na Nasyline
Wow feeling blessed.
Amen
Mbarikiwe sana huyo kaka aliyevaa shati la njano jamani ni kaka yangu kabisa
Ameeeen
🙏 🙏
Habari za Leo watoto wa mungu ,ninawasalimu kwa jina La yesu.
habari yako mchungaji😀😀😃
Aminaaaa