Ndugu Ngena Elelwa, nakutakia baraka za Mungu muumba wa mbingu na Nchi akutiye nguvu zaidi. Unafanya kazi njema sana tena ya kuinuwa Bara letu la Africa.
Mzee unasema vizuri sasa tatizo ni kwamba ungehanza kwanza mambo ya asili ungehungwa mkono sana,unajua watu wamevurugwa sana na maisha sasa unawaletea mambo ya asili nahuku mwenyewe ndo bado uko nje kabisa ya asili jihangalie kwanza.
Haha; wewe mwenyewe unaongea kiswahili. Hala unalalamika tunapotenza asili yetu. Kama sio nyie mnao ipotenza asili yenu. Mambo ya kicongomani unaongea kwa kiswahili ndo nini?
Ndugu Ngena Elelwa, nakutakia baraka za Mungu muumba wa mbingu na Nchi akutiye nguvu zaidi. Unafanya kazi njema sana tena ya kuinuwa Bara letu la Africa.
Mweneombe akanyibwe manga sana!!
That really keep it up
Mzee wetu,mi2 ni kijana mbembe,hendeleya Na kutuelimisha.
Ukosawa ndugu yetu
Asili ni maisha yetu
Safi Sana.
😳😳😳jisikiee uhuuru zaidi muzazii karibuu tena kwetu tanzania
Mzee unasema vizuri sasa tatizo ni kwamba ungehanza kwanza mambo ya asili ungehungwa mkono sana,unajua watu wamevurugwa sana na maisha sasa unawaletea mambo ya asili nahuku mwenyewe ndo bado uko nje kabisa ya asili jihangalie kwanza.
👏👏👏👏😊
Yuko sahii kabisa
Anasema kweli ndugu huyu
Umeoongeaah mengi Ila yote umekopi tu! Na anayetakaka kusikiliza hoja zangu anifuate inbox
Hajaiga anasema ukweli naukweli unauma
Unamuonea wivu kwasababu amekuzidi kujielza pia kiswahili chake chepesi nakinaelewaka kwaulaisi anajuwa haigi
Asili nini nawe unapiga suits,pamoja na tie,na Asili ya watu zamani walivalia ,ngozi za miti ,nyama nk.....
Kwani unafikiri kuvaa ngozi za nyama na miti ndo hasili? Acha ujinga hakusema eti mrudishe wakati nyuma alisema mkumbuke hasili na muhiheshimu,,.
Watu walifuma nyuzi.zapamba tangu zamani zaidi yamiaka4000 iliyopita
Haha; wewe mwenyewe unaongea kiswahili. Hala unalalamika tunapotenza asili yetu. Kama sio nyie mnao ipotenza asili yenu. Mambo ya kicongomani unaongea kwa kiswahili ndo nini?
Hana hongea kiswahili lli watu wengi waelew.
💯💯kabisaaa
Kiswahili nikicongo
Namba yako yamawasiliano nashida nawawe maana umenifunguwa ubongo
Kiswahili nikikongo